Ibra acha ufara fanya kazi achana na hawa maraya wabongo watafufelisha fanya kazi ndogo angu pambana bado unasafali ndefu sana ya maisha pia unawatuwengi sana nyuma yako wanakutegemea pambana achana na upuuzi
Baki na yule wa utoto ambaye ulikuwa unaye kabla hujawa maarufu maana ndiyo utadumu naye ,hao mademu maarufu ni wa pesa tu wakipata zaidi yako wanakutenga FANYA KAZI UNAWEZA MPAKA UNABOA😍
Iv binadam anajifikiliaga ata kufaje au ata ila imani yake yeye ataish2 iv kunasiku umeenda kumuabudu mungu wako achana na kujionesha kwa wa2 akuoneshe nn ufanye hizi ni siku za mwisho dalil zaomeonesha watu wanapenda pesa na kuto jali wakwao kila m2 anawaza umaalufu na wengine kutaman waishivyo walio potoka usijue wafanyao mung a2saidie kuongeza upeo wakufikil atusameh asitugeuzie mgongo kiac hiki 🙏🙏🙏🙏
Agnes rijali maana yake ni mwaume ww unatafsiri vbaya hilo neno la kiarabu maana yake mwanaume kuanzia leo ujue sio munavotafsiri nyie mukaona kajisifia hapana
Nana ni mrembo jamani lakini bahati hana yaani kwa urembo Alio nao lakini akuna mwanaume wa kumuoa na kutulia ndani wanaume wanajilia kisha wa nasepa kweli usiringie uzur bahati ndo mpango mzima
Kusema rijali sio kujisifia ni ukweli yeye ametumia neno la kiarabu. rijali maana yake ni mwanaume, Arrijal kawwamuna alannisaai wanaume ni wachunga kwa wanawake
Daah! Ibrah msema kweli wa mungu weuwe...una makini Sana unachokisema...na uzindishiwe
Ibrahh kiufupi unawezaaa na unakoshaga mnoooo brooo mwenyezi akuzidishie zaidi ya hapoo blod
Much love for Ibraah here in Kenya
Jaman nampenda sana huyu kaka mungu ampe kira jema duniani
Keep going Ibrah. You are so talentedn humble.
Ibra acha ufara fanya kazi achana na hawa maraya wabongo watafufelisha fanya kazi ndogo angu pambana bado unasafali ndefu sana ya maisha pia unawatuwengi sana nyuma yako wanakutegemea pambana achana na upuuzi
Nikweli
Xan br nakubal kaz akoo
Ibraah nakwelewa sana bro 🇶🇦
My handsome boy hey bro Ibraah chinga, congratulation ❤️❤️🔥🙏
Ibra nkupenda San u and harmonise konde boy group love u imba mziki ibra achan n hao wanawk wa dar
Nakubali sana fundi ibraah umekaa kijanja sanaa💥💥💥
Kabisa yaan ibraah yuko vzr sn
@@malikzafarani172 sanaa
Mungu hajajitahidi kuumba #IBRAAH. Mwenye sifa ya kujitahidi ni binadamu ila Mungu anatenda as anavyotoka.
Hata mimi sijapenda kauli hiyo ya Ibra Mungu msamehe kateleza
@@bantwamwasakapiga4941 amin thumma amin
Point dogo unable kujieleza hongera IBLA NATION NA HARMONIZER am watching from Congo DRC
Ibraah nipeni likes zake kwa heshima
Mwenyezi mungu hajitahidi. kuumba kwakwe hapati vikwazo. Umeteleza nadhani
smart boy tusurprise na vitu motomoto br ibraah,,much love
Wap like za ibraah
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🥰
@@samuelkaricogapiroro9694 mimi nikukubali dingi
Pole sana
Pw San kak
@@shalomilionea9300 lllahslllllaahlkahjsllkalasjksaajlaslsfalssldddkjlslsaakjjasadlssjfs
Mancha, Allah bro Allah akujanlie
Baki na yule wa utoto ambaye ulikuwa unaye kabla hujawa maarufu maana ndiyo utadumu naye ,hao mademu maarufu ni wa pesa tu wakipata zaidi yako wanakutenga FANYA KAZI UNAWEZA MPAKA UNABOA😍
Nampenda sana huyu kaka jmn
Very Hubble guy may God bless you forever. .all the way from Kenya
Uko sawa bro
Hongera broo, lakini, usikule makombo, tafuta chako ukiingarishe, hao Chao, watakutapeli hela tuu, kisha watakutoroka, wengine wametumwa tuu
Et MwenyeziMungu kajitahidi...
Hii kauli sio sahh ni kufisha uwezo wa Mungu,Mungu huwa hajaribu wala hajitahidi bali anafanya kile anataka
Iv binadam anajifikiliaga ata kufaje au ata ila imani yake yeye ataish2 iv kunasiku umeenda kumuabudu mungu wako achana na kujionesha kwa wa2 akuoneshe nn ufanye hizi ni siku za mwisho dalil zaomeonesha watu wanapenda pesa na kuto jali wakwao kila m2 anawaza umaalufu na wengine kutaman waishivyo walio potoka usijue wafanyao mung a2saidie kuongeza upeo wakufikil atusameh asitugeuzie mgongo kiac hiki 🙏🙏🙏🙏
Kakosea jamani kwani kukosea akupo?
Nikweli kakoxea lakn czn km kazungumza kwa dharau kwa7bu namuona dogo km anahofu ya MUNGU vile... Afu hana dharau.
@@ibrahimlavinho5567 sawa
You are very humble!!! Keep it up
Ibra ilove ur music
Much love ❤️ Ibraah big up 💪here from chuga
Nawewe ibrah unakasura kazuri nana anakupe bro
Nduguyangu mimi nipo DRC Congo hongera sana na muwe simple ivo ivo
Hamonaiz mungu akubarik
Big up bro lkn MUNGU hajitahidi bali anaumba
Kamekuwa kuwa sasa ka Ibraah 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
@@tatuhongeranurushaus485 🤣🤣🤣🤣
🤗🤗😅
Ibra Anaaibu kweri, tena yeye Anasema mwanaume rijar 😂💯
Aibu
Agnes rijali maana yake ni mwaume ww unatafsiri vbaya hilo neno la kiarabu maana yake mwanaume kuanzia leo ujue sio munavotafsiri nyie mukaona kajisifia hapana
Nakubali
Ibraaaahhh
Much love From Kenya.
Big up bro💔
Keep growing darling
Go on Ibrah👏 don't give up
Pamoja Sana Ibraah
Asante ibrah
first comment
Nakukubali xana ibra pambana kaka
Unakasula kakutokuw muhuni jitahid usichefuw sila yk😊
Umeongea kwl ching inatakiw kusain vijan ambao awajawahi kujulikan vitu vipya
Hamonaiz pare namiye nashukuru kiremakukipokeya mojakwakumi
Ibraah unapend kuchek sanaa
🔥🔥🔥
Nana ni mrembo jamani lakini bahati hana yaani kwa urembo Alio nao lakini akuna mwanaume wa kumuoa na kutulia ndani wanaume wanajilia kisha wa nasepa kweli usiringie uzur bahati ndo mpango mzima
Kwerrr kabisa ,,,,,kikubwa kuolewa tuu urembo hauna thaman ,,n kuliwa tuu😔😔😔
@@estamathew5167 kabisa
Haya ni kama aunty ezekel waongo na yakawa hadharani
Mhhhhhhjhh
Wow konde gang
Napenda huyu mwanahabari huyu huyu
Eeh allah mpe wepes ibr I💖💓💕💝💞🙆
Y
Ibraah anablash
Mungu akulinde kila wakati Bro Ibrah
Yaaah ach harmonise ajitegemeee ili n watu wengine wapate ajira
Jmn nakupendaje
Ngoja nikushauri Ibra ukitaka madem njoo huku kenya uoe kn madem wakali sn klk hk kugombania mamanzi
Wa huko ni kuzalishwa tu
@@verostaherman4952 habari mrembo fatia
Ibraah upole wa inje tu lakini kiherehere
Sema kwel
Hhhhhh kwel bby
Nmecheka kwel ibrah anajicfia yy Ni rijar Tena Yuko vzur kwel 🤣🤣🤣🤣
Kusema rijali sio kujisifia ni ukweli yeye ametumia neno la kiarabu.
rijali maana yake ni mwanaume,
Arrijal kawwamuna alannisaai wanaume ni wachunga kwa wanawake
Acheni penalty za kishamba fanyeni mziki raivany paka alipo fikia hakumtukanisha mtu
Oya dah ibla ww kijana unayejielewa sana ndugu
I love u xo mxh chinga
Big
Ibrah Kama kasema hatoki naye basi inatosha.. Msije kasingizia jaman
Apo sasa
Kweli
Kijana siku hizi unaongea🤣🤣🤣
Ndo maana hamufanikiwi picha na caption mlizoweka tofauti acheni uwongo
Ibraah kweli iyo ni dodo kbs usimuache
Uzuri wadukani huo mzee babaz yule wako wakijijini usimwachee
😂😂😂
Mwaya wasikupeleze so Kila kitu uweke wazi
hahah anajiexplain anaanza kuse "aaa'''
Hahahaaaa na wewe upo
@@charlesitogozya8547 😁😁😁😁😁😁me kitaaaaamboooooo
We nooma
Eti Mungu kajitahidi kuumba daah😂😂😂
😄😄😄😄
Amazing
Nic
Ibra nimekuelewa sana
Nakupenda sana ibra
Jeshiiiii hongera
Endelea kuinjoy life konde geng
Ibra wewe ni ni smart ila usijiwe ile madorido ya wsanii.sura haifai na hizo vitu na usinone sana.
Nana mint ama nanajina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ibrah wewe nihatari nakuelewa bro hakika uko na maono.(lazima tusaini wasani wapya ambao hawajawai kuonekana)
Love is change so be care
kamekua tulia utafute ukianza na wanawake utaferi
Na wanawake wenyew ni kma hao heheee bora kucheka mie
Yap
Umefanya poa sana
Ibra bado mtt ww Mwaya usiinjoi nawakubwa utapoteaaa
Vzurii napnda mziki wakoo
💯
mwabie ajue kutunga nyimbo zake sio zawatu
Kijana wakushukuru
Abdalaidd
Pw
😘😘😘😘😘😘
frech
pambana kijana
Nana ni mrembo, lkn kajifanya Kama CHOO CHA KULIPIA
We★
Wazi
Mung akujaalie mwanya ila usiendeeze kiki bas jmni
Hi
Aja take over no whr ashole whr he take over coz zuchu still left him far 🚯🚯