Wakenya wasema hoja ya Rais kuhusu mabadiliko la mawaziri angezitekeleza hata kabla ya maandamano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Taarifa ya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na Rais William Ruto adhuhuri ya leo imepokelewa kwa msisimko kote nchini , huku baadhi ya wakenya wakisema hoja alizoangazia Ijumaa hii angezitekeleza hata kabla ya maandamano ambayo yameisishia kwa vifo na kuumizwa kwa baadhi ya wakenya.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 24

  • @Enosh254
    @Enosh254 3 หลายเดือนก่อน +5

    The Guy Has Come Down, Let Him Actualize All These Sentiments

  • @Agro_nomad
    @Agro_nomad 3 หลายเดือนก่อน +5

    Too much talk

  • @NoraaEldaa
    @NoraaEldaa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you Mr. president. All the best.

    • @bingobilaly7808
      @bingobilaly7808 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu MTU siye Aki mukimpea Tena five years walai Kenya imeisha

  • @Firog6004
    @Firog6004 3 หลายเดือนก่อน +1

    There's nothing independent when it comes to Ruto.

  • @hamisidogo6302
    @hamisidogo6302 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ni vizuri kubuni nafasi za kazi zaidi serekalini ili kila mtu awe na kazi. Pia mishahara inafaa iwe kidogo.

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113 3 หลายเดือนก่อน +1

    all ministers should not earn or paid more than 200,000 a month, if they don't want there are alot of Kenyans who will accept 100,000 a month.

  • @johnonyango6069
    @johnonyango6069 3 หลายเดือนก่อน +2

    Actions actions Wacha tuone. Any one have a deadline on this promises

  • @timhumble2244
    @timhumble2244 3 หลายเดือนก่อน

    We no longer trust Ruto and any politican anymore 😢😮

  • @Enosh254
    @Enosh254 3 หลายเดือนก่อน +1

    When Did Rain Start Beating Us If Not 2010 Constitution Which Was Effective 2013,

    • @Davidonyango-qx9et
      @Davidonyango-qx9et 3 หลายเดือนก่อน

      Too little to late the leopard 🐆 shed of sheep 🐑 skin

  • @rashiduchongole1333
    @rashiduchongole1333 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo zakayo yuwatafuta kura coz amebakisha 1year tu 2026 2027 siasa zitakuwa siasa zimeanza

    • @bingobilaly7808
      @bingobilaly7808 3 หลายเดือนก่อน

      Mpeni Tena five years nyengine ndio hata mkiandamana ndio mtajua hamjui

  • @FatmaAli-dh1pd
    @FatmaAli-dh1pd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mishahara ipunguzwe na pia nchi iwajue wasiokua na kazi maisha yao yatawnda vipi?

  • @MuthamaSabastian
    @MuthamaSabastian 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli GENZS ndio dawa yao........na bado hizo pesa huwa mnatoa kwa churches mtasema zinatokanga wapi na tunajua mishahara yenu.......bure kabisa wanafiki .

  • @Davidonyango-qx9et
    @Davidonyango-qx9et 3 หลายเดือนก่อน

    Lion shed of sheep skin

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 3 หลายเดือนก่อน

    Has this ended corruption in his incurable government?

  • @JulixYung-kw2tr
    @JulixYung-kw2tr 3 หลายเดือนก่อน

    Si vijana peke yake hii cycle ya maneno haisaidii anafanya nini ili kila mtu adumu maisha apate chakula mara tatu kwa siku, nyumba nzuri na masomo.kwa wote

  • @capitalplant128
    @capitalplant128 3 หลายเดือนก่อน

    No need to do what he say we want see all thief taken to court big problem is parliament

  • @MsababishiKabambi
    @MsababishiKabambi 3 หลายเดือนก่อน

    Start with yourself on the list you are the first thief

  • @adokaish
    @adokaish 3 หลายเดือนก่อน +1

    Late in the day...too much kizungu

  • @LeahOngosi
    @LeahOngosi 3 หลายเดือนก่อน

    Analalia akili anangoja asukumwe na Gen Z basi watamwamsja