Mafundisho yako mama ni mazuri mno umefanya moyo wangu ufatilie zaidi mafunzo yako na ibada zako MUNGU azidi kukutunza kwaajili ya wengi kwa ajili ya utukufu wa jina lake Amen Amen Amen 🙏
Amen mama kwa somo zuri mno. MUNGU azidi kukutunza mama etu kipenz, at sis ambao atujaolew hakika MUNGU atatupatia wale ambao tutakubaliana kwa kila kitu.
Kila nikikusikiliza lazima nikuone kwenye njozi ukiniubiria na hii imenitokea mara nyingi sijui kwanini yaani❤❤❤ na mara nyingi hua unaniambia nisome kitabu cha mhubiri

Kwa kweli unamafundisjo mazuri sana mamangu mungu akuzidishie nguvu na ueledi wakuelimisha na kuokoa maisha ya wanandoa❤❤
Amen
Haya mafundisho yamenitoa mahali, nilikuwa tayari nimekufa moyo
Amen mama kwa somo zuri mno. MUNGU azidi kukutunza mama etu kipenz, at sis ambao atujaolew hakika MUNGU atatupatia wale ambao tutakubaliana kwa kila kitu.
Maen mama ubarikikiwe sana🙏🙏🙏
Maman mungu kupe nguvu, napenda. Sana iyi mafundisho, Niko Congo RDC Goma
Mafundisho mazuri
Ameeeen mama❤
Amen Amen
❤❤ameeen
Amina mama❤❤❤
Amina,ubarikiwe Pastor.
Amina sana mama
Kila nikikusikiliza lazima nikuone kwenye njozi ukiniubiria na hii imenitokea mara nyingi sijui kwanini yaani❤❤❤ na mara nyingi hua unaniambia nisome kitabu cha mhubiri
Soma itakuwa kuna ujumbe Mungu anataka kukwambia/kukufundisha kupitia andiko fulani
Amen 🙏 @@gladnessshola2718