Hongera saaaaaana mtumishi wa Mungu Bella kombo Mungu awabariki sana. Lakini usivae suruali kwenye madhabahu unapendeza na gauni zako za heshima. 🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🙏🏼🙋♀️
Sijapenda mavazi yake unapanda madhebao unamwimbia MUNGU umevaa suruali uimbaji wa sasa hv hauko roho ni entertainment tu ila moses una mafuta ssna MUNGU akupe hatua zaidi
Mnaimba vizuri ila vikolezo hivyo vya haiyayaya asilimia Kila mtungaji wa nyimbo fanyeni mtupe radha nyingine ya wekeni hata nananana kila wimbo kama si hayayay oooooo aau hhhhhhhhh
Sijajua lakini kama Mungu anachunguza suruali, tujitahidi kuishi maisha ya utakatifu yanayompendeza Mungu, Yesu naye alisema msihukumu msije mkahukumiwa
@@ajemimlangwa8873 wewe umesema sahihi kaka, ila huyu mwenzetu aliyetoa comment ndio anashida, badala ya kusikilizia wimbo anaangalia suruali za watu 😂
MUNGU AKUPE NEEMA ZAIDI SANA MDOGO WANGU KAZI NZURI HAKIKA AMALAKI YESU 🔥🔥🔥🔥
Amen Dada Bella
Bella hii ninzurii saaaana huna jambo dogo mamaa barikiwa zaidi na zaidi
THANK YOU WOMAN OF GOD 🙌🙏GLORY TO GOD
Kwema safi Next level kimya kingi mshindo mkubwa
❤@@browsekidcleymmo
Love the way Bella is supporting everyone's ministry. The song is beautiful. More blessings ❤❤
Nimebalikiwa sanaaa,mungu awanaliki sana,more grace Bella kombo and our brother, amen and amen
Waoooh Nice song mmefanya vizuri watumishi hasaaa nimeipendaaa❤ niwewee niweee mlivyoimbaa Mungu azidi kuwainua utukufu hata utukufu
Kazi nzuri sana ❤ kwa wapakwa mafuta wa Bwana Mungu aendelee kuwatumia vyema 👏👏👏
Gloire gloire gloire....... kwenye bass hatari Sana huku Kenya 🇰🇪 Moore love 🔥
Bella Mungu azidi Kukuiinua Mtumishi ❤
Kawimbo flani hivi amaizing ,🥰
Only you are God
Hallelujah be blessed brother.. for this good song🙌
Mungu ahimidiwe milele,Hakuna kama yeye
Namuona Paub B katika akidance majestically.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The way his back up was happy about it,they really love him❤❤
What touches me the most is Bella’s humility and her availability to Support the upcoming 🎉
Hiyoooo groove daah 🙌🏾🙌🏾♥️🔥🔥... Chiteteeeeee
Glory to God🙌🙌🙌🙌🙌🙌
❤❤❤God is raising you from one level to another 🎉🎉🎉
Kazi kubwa kaka
@MoseseB👏👏👏
Mtumishi uko vzr sana na Mungu azidi kukutunza ila wekeza kwenye Maombi utafika ........sana
Oooh mziki nasikiya unafunjo Ila nimependa
Wooow❤
Naiona mbali sana hii hudumu ya catalyst 👏
We say aiyayaya aiyayayaa eeee..'For in him we live and move and have our being.' .......yuko na sisi mahali popotee 😇😇😇
Nyimbo nzur ila magazine sasa
Waooooo mose B haki Mungu amezidi kujifunua ndani yako barikiwa sana mwana wa Mungu nitazidi kujivunia mwalimu wangu❤❤❤
Kaka mkubwa 🔥🔥
MOG ❤
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mavazi nitafsiri binafs mi nafurahia utam wa ngoma 😂😂
Hongera kijana wangu Gloire Bass go ahead
Keep racing 🎉
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌 hongera kwa kazi nzuri my dear. Mungu akutumie zaidi 🙌
Utukufu wa kwa MUNGU Halleluyah 🙌
Hii kubwa sana. Hongera sana. Glory to God
MUNGU akubariki Csta
Every moment you bring us best songs mwalim wangu God continue to protect you❤
Blessings brother Moses B. Mungu ametamalaki milele ni kwelii.
Umetisha classmate 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤
Powerful broo
My bro ❤❤🎉🎉🎉
God bless u ❤
Mungu awabariki
HONGERA SANA KAKAA ANGU MUNGU AENDELE KUKUTUMIA KAKA ANGU 🤝
Wow ❤❤
🔥🔥🔥
Kwan producer anashida gani mbona mziki uko ivi tenaa jmm
Vizuri san broo mungu azidi kukuinua❤❤
Yessir 🔥🔥🔥🔥
Hallelujah 🙌🙏🏽😊
Ametamalaki❤❤❤kenyans
Uwepo wako upo mahali hapa🙌🏾
HAKIKA MUNGU AMETAMALAKI MAISHANI MWANGU.MBARIKIWE VIJANA WA YESU
Hongera saaaaaana mtumishi wa Mungu Bella kombo Mungu awabariki sana. Lakini usivae suruali kwenye madhabahu unapendeza na gauni zako za heshima. 🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🙏🏼🙋♀️
Kazi nzuri brother
Blessings .....more Grace upon you
Ndugu yangu 🔥🔥🔥🔥
Kaka na mtumishi halisi wa kweli wa Mungu Moses Endelea kuendelea kaka🙌
Brother 🙌
Hatua mbele Zaid brother 🔥🔥
❤️❤️❤️ kazi nzurii sana watumishi wa Mungu mtunzwe sna na Yesu 🎶🎶👏👏
Good Job keep going homie
Thank you home boy 🙏
👏👏👏👏 ni zaidi ya kutamalaki
Chitete 🙌
Mubarikiwe sana watumishi
It's absolutely good song
Great 👍
Good job bro 👍
Thank you so much 🙏
Kazi ya Mungu hiii iko nzuriiii
Wimbo mzuli saana kakaa..
Proud of You Brother from Unanguvu namna hiii with Apostle Zoravo🫂
💪my brother ubarikiwe sana 🔥🙌
hii Kazi Nzuri saa
Waooo nice song
Mungu mwema kazi nzuri ubarikiwe sana
God is God
Kaka ❤❤
🔥🔥❤️
My Brother 🙌🙌🙌
Kaka
Kazi nzuri sana
Umetisha Ndugu yanguu 🎉🙏🙏🙏
❤❤
upo mahali hapaaaaaa🤗🤗🤗🤗🤗
We are waiting🙌🙌
Ameen
Kazi nzur inasubiriw kwa ham🎉🎉🎉
Froom the toooop
🙏
Sijapenda mavazi yake unapanda madhebao unamwimbia MUNGU umevaa suruali uimbaji wa sasa hv hauko roho ni entertainment tu ila moses una mafuta ssna MUNGU akupe hatua zaidi
N kwelii
No no God doesn't looks what we wear hebu mungu anaangalia roho Yako .stop judging your not God please.
@@phenysamba2885 leta maandiko yanakosema mwanamke aavae suruali
Mavazi yanashida gani hapo🤔we unahangaika na mavazi,Mungu yupo busy na moyo wake😂nonsense
@@Milianstore23 nonsense mwenywe.nyie ndo wale mnasema waty wanywe pombe wawe na mashoga Mungu anaangalia moyo.
🎉🎉🎉🎉
👍
MUNGU AINULIWE KUPITIA WEWE KAKA
Mnaimba vizuri ila vikolezo hivyo vya haiyayaya asilimia Kila mtungaji wa nyimbo fanyeni mtupe radha nyingine ya wekeni hata nananana kila wimbo kama si hayayay oooooo aau hhhhhhhhh
Lakini sio vizur Kwa mwanamke aliyeokoka kuvaa suruali
Kabisa haifai kabisa hapo kuna shida haijakavizuri unamuimbia MUNGU umevaa suruali
Sijajua lakini kama Mungu anachunguza suruali, tujitahidi kuishi maisha ya utakatifu yanayompendeza Mungu, Yesu naye alisema msihukumu msije mkahukumiwa
Wewe mwanaume bro, unatakiwa ubadilike namna yakufikiri....
@@manpierre571 Poa brother tupo kujifunza🙏
@@ajemimlangwa8873 wewe umesema sahihi kaka, ila huyu mwenzetu aliyetoa comment ndio anashida, badala ya kusikilizia wimbo anaangalia suruali za watu 😂
God bless you 🥰
🔥🔥🔥
❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥