RC MAKONDA ARUDI OFISINI ARUSHA KIMYAKIMYA BILA MBWEMBWE - AANZA KAZI - KAIBUKA na TAMASHA la MAGARI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
- RC MAKONDA ARUDI OFISINI ARUSHA KIMYAKIMYA BILA MBWEMBWE - AANZA KAZI - KAIBUKA na TAMASHA la MAGARI....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Duh
Uwa najaz na spati
Waongo hamna zawad
Bora mjomba umerudi hongera yako raisi yetu
Mungu ni mwema tulikumiss makondaaaa
Amen ..
Mungu Mkubwa
I
Nakuombea kwa Allah akuepushe na wazushi,wazandiki na wanafiki wasiokutakia mama.Mungu ni mwema ataendelea kukulinda mpambania haki za wanyonge Mheshimiwa Makonda.
Habari ya mchongo maniner😢
Mtangazaji Tofautisha kukabidhiwa ofic na kurudi kzn baada ya likizo, awe na mbwembwe za nn,Bora amerud tunampenda
Mungu ni mwema saaaaaaaanaaa nashukuru Mheshimiwa Makonda umerejea teeeenaaaaa. Mungu azidi kukulinda na kukupigania.
Afadhali shukra sana roho zimi tuliya,❤️🤲✅🇹🇿Makonda kipenzi cha wa Tanzania❤🎉
Safi mwamba honger❤❤❤❤❤❤❤
Asante Mungu tunashuklu kwa kuejesha fraha ndani ya mioyo yetu watanzania na kujibu maombi yetu
Afazari hata chakula na kula mpaka ni vimbilwe ❤❤❤😍🥰🤩😊😊🙏🙏
Ushamba mzigo
@@mataizytembo7043 msimi wa mama yako ndio unao zurula mpaka unageuka mzigo
yan nmefurah mnoh
Kabisa mwenetu,,maana huyu baba anafanya kazi na kuongea vzr na wananchi wakee
Matako yako😂
Sifa na utukufu Ni kwa bwana Yesu🎉
Asante Yesu
Mh makonda tunakuombea Mungu akutunze, ss wtz tunakupenda❤
As the Lord lives, may God strengthen Mr. Paul Makonda for he is called to serve people in the true spirit. I pray this spirit to descend on me and on other Tanzania public servants.
Lastly, hon. Mrisho Gambo may you forgive those who said you are involved in the bad sin of persecuting Mr. Paul.
Hii ndio Chanel niliyokuwa naisubiri iseme neno 🙏🙏 Asante sana Mungu 🙏
Alhamdulillah 🤲
Dooo najikuta sasa Amani ya moyo imerudi
Nyie huyu kaka anatembea na roho za watu nilijaaliwa kuonana nae mara moja tu Airport ya Dubai mwaka huu mwanzoni nikajikuta naropoka tu MAKONDA jamani alinionyesha heshima ya hali juu kwa kuweka mkono kifuani mwake maana alikuwa umbali mdogo ni mtu asiyejikweza
Asante mungu, sifa na utukufu ni wako.
Atukuzwe Mungu wa Iburahim na Isaka mtoto wake na Mungu wa Makonda kwani Makonda Yuko salama,Hongera Mh Samia Raisi wetu kwa kumteua Rc Makonda acha aendelee kukusaidia majukumu katika kuijenga inchi yatu Tanzania,mteue Tena kwa nyasifa za juu zaidi Mimi na wenzangu tumejiandaa kukupigia kura,wapuuze wote wanaompuuza
Mh Makonda na wapandishe vyeo wote wanaompa ushirikiano kwani nchi yetu inataka viongozi kama huyu,Mungu Ibariki Tanzania .
Mungu ashukuriwe kwa uzima Afya na Salama Asante Mungu kwa wema wako kwa ajili ya kiumbe wako
Mungu akulinde mkuu
Mungu akulinde Mtetezi wa wanyonge
Mungu akupe umri mrefu
Roho yangu imefurahi sana 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
Mungu amlinde sana we love you,,,,❤❤❤❤❤❤
Asante Mungu wa mbinguni...wewe ni mwema Sana ..Asante Kwa ajili ya makonda
Mpaka nimeliya fulaaa imenijaa Asante mungu kwa kukulinda aendeleee kukutunza
Asante mungu makonda njooi tunazurumiwa maeneo yetu yamakazi
Makonda shujaa karibu. Ukimya bila kujibu ni Akiri na Ubuni mungu akusimile
Mungu akubarikisana makonda
Asante mungu kwa kumrudisha Rais wetu wa awamu ijayo
Woah asantee Mungu kwa Ajili ya makonda
Mungu akutunze Rc Makonda
❤❤❤❤ makonda tunakupenda sana tulikua tunaumwa kwa ajili Yako makonda oyeeeeee😂😂😂😂😂 mwenyezi mungu akusimamie akupe afya njema wanaokufanyia ubaya utawarudia wao
Mungu wetu mwaminifu Asante
oooo asante yesu kwakuwa wewe nimwema kurudi kwa makonda
Alhamdulillah Mungu ni mwema 🤲🤲🤲 yani km kweli karudi nimefurahi vilivyo 🎉🎉🎉
Mungu amfanyie wepesi
Asante. Sana. Makonda. Wetu nimefurahi. Sana. Kumuona. Makonda🇰🇪🇰🇪
Laa laha sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu akutangulie katik kazi Yako makonda Songea tumekumis sana
Kama Makonda Karudi nimepona Mama Samia Mpe makonda uwazi wananchi tunamuombea nafasi hiyo sifa anayo uwezo anao ❤❤❤❤❤
Watanzania tupendane. Tuwapende sana wanaotetea wanyonge. Tutangulize uzalendo kuliko kuombea wazalendo wapotee. Makonda ni mtetezi na mzalendo kati ya wazalendo wachache wa nchi hii. Ndiyo maana nchi imetikisika.
Mungu akutunze baba
Nimefulahi makonda yupo mimi nipo omani mimempenda sana makonda analoo ya uluma
Mungu nimwema nilijuwa yupo salama tu maana niliomba sana
Kazi kazi boss waudumie wanyonge
Asante mungu ushukuriwe.
Asante mungu kwa kumrudisha makonda
Qsante baba maana wari2tia presha asante mungu
Asante mungu Kwa kumlinda makonda
super and God is glorified.
We real missed you jembe🎉
Ashukuriwe Mungu Kwa ajili ya huyu baba wawatu.
Uhhh mungu wangu Asante sana kusikia hii taarifa Leo nitalala
Makonda wetu mungu akulinde nama bedui wanao pinga haki
Mungu ni mwema kila wakati du😢
Ahsnt mungu ushkuruwi
Mungu.awepamojanawe.sikuzote.za.maisha.yake
Glory to be God.makonda ame rudi officine kwake
Nampenda sana mzee makonda mwenyewe nimefurahi sana ❤❤❤❤❤
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 mungu azidi kukupigania bro
Aksante Yesu
Asante Yesu
Mungu ni mwema
Mungu akutumze
Mungu mwema . Amejibu maombi
Hii ndio maana ya kuwa Mtumishi wa JEHOVAH MUNGU, BWANA YESU ALIE HAI Atakulinda Makonda
Nilikuwa na lmani kuwa upo Salama sikuweza kushabikia uwongo ulipokuwa ukizungumzwa.Hutakufa kwa sumu Bali utakufa kwa ugonjwa WA Mungu❤❤
Afadhari mungu ni mwema sana
We are glad that you are back brother! Piga kazi! We love you ❤
Waoooow nimefurahi sana jamani daaah
God bless him
Asante mungu kwa Makonda kuwepo bila ya matatizo 🤲🤲
Kama nitamuona Mwenyewe kwenye kazi zake hapo njo nitakubali Eh Mungu wanguweee Mubariki Makonda Popote hapo alipo
Mungu mkubwa afadhali lakini walio kuombea mabya mungu atawarudishia laana zao Makonda Karibu sana tumekumisi sana kaka
Watu wamesema meng lakn jembe karudii ❤❤❤❤
Allah akulinde
Oyooooooo piga kazi baba
Safi
Arusha ni Makonda na Makonda ni Arusha . Karibu tena Arusha comredy .
KWA KWELI NIMEFURAHI SANA RC MAKONDA KURUDI OFISINI.
YAANI NILIKUWA KAMA MGONJWA.
CHAPA KAZI JEMBE
Tunakupenda ukiwa hai kwa utu wako usio fichika.
Mashaka yalikwepo kwasababu 1 ukimya umetawala sana hofu ilikuwepo kwakukumbuka itakuwasawa na Magufuli 😢😢😢
Hii ishu sio kweli makonda hajarudi osisini hii chanel ni ya kisenge
SI MWACHE AONGEE mwenyewe
Hakuna usomi wowote hapo
Kama amerudi ungeenda umhoji yeye mwenyewe tumsikie
Mungu mwenyezi akulinde Baba yangu mpendwa Makonda
ameni
Hongelaa bwanaa kk maumivu ya wengi tukupendao
Asante Mungu kwa hili
Kama kweli namshukuru Mungu sana ...na Mungu azidi kumlinda
Siami ni kama kweli
Nimepona
Waooooooooo
Amina baba
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MUNGU mwema akubariki Sana kk yetu
MAKONDA ❤❤❤
Makonda oyee, kipenzi cha wa Tanzania
Baba mungu mlete sabaya tena hai akuna hamshagamsha😊
❤you are warmly welcome 🙏
Asante Mungu kwa kumrudisha salamaa🙏🙏 papa
SIFA NA UTUKUFI NI KWA MINGU AMESIKIA KILIO CHA WATANZANIA YAANI CCM INGEINGIA SHIMONI HATAHVYO CCM SIJUI TIATIA MAJI MWAKA HUU
Nyie sio kweli jamani leo ndio wanatangaza
Ni kweli au