Dah asante mpoto kweli taifa la Tanzania lapotea mpaka ww umeamua kusema kwa mafumbo dah twatia huruma sana sijui ulifkilia nn mrisho mpoto kuimba hivyo l love you song
Full Lyric and meaning Part 1 Karibu Tausi uipambe nyumba yetu(Karibu Rais uitengeneze nchi yetu) Chanua mbawa zako waione rangi yako, mpole sauti hyo ndio sifa yako (Nyanyua mdomo wako waone makali yako tena kwa sauti ya upole maan ndio sifa yako mama etu) Jichunge tausi, wasinyofoe nyoya lako (Kuwa makini Rais, wasikuingilie kweny kiti chako) Mchezo uliotukuta nao ni wa sadakalawe Amina mweny kupat apate mweny kukosa akose, kipapatio cha kuku, kuku gani mweusi analiaje kwiyo kwiyo (Mchezo uliotukuta nao ni wa siasa ambao ni mchezo mchafu, mweny nacho(rushwa) ndiye hupata na asiyenacho hukosa, utamu wa uongoz, uongoz gan giza weny nyng kelele za kupotosha). Mpak lin mweny kupat apate, mpak lin mweny kukosa akose ( Mpak lin mweny pessa apate na mpak lin asiyenayo akose? Asante Mh Rais). Umeukataa mlio kwiyo na rangi ya kuku kugawana (Umekemea kelele zake zinazopotosh jamii). Tausi harufu unayoiskia ni ya chakula walichokula, wameamua tu kujisaidia nyuma ya nyumba ili harufu irud ndani kumchefua mpishi, usishtuke ndivyo ilivyo kwa watu weny shibe (Rais uchafu unaouskia umetoka midomoni mwao wenyew yaan bila kueditiwa hata kdg, wamefany kusud kuzungumzia mbele ya watu ili tu wakuharbie na wao waonekane wazur, Ila usivunjike moyo ni kawaida kwa viongoz weny shbe). Tausi umbo lenye kukataa huleta tumawe mawe unapotak kututambulish watt wako kwa wagen tumia idadi yetu na sio majna maan baadh ya wanao wanatumia A.K.A siku hiz watakuzingua (Rais mtu asiyekupend huleta choko choko na unapotak kutuletea maendeleo kutok kwa nje usiweke hadharan maan wengne wana tafsir mbil mbil watakubeza tu).
Fasihi imetumika sana kwa huu wimbo. Huyu tausi anayetajwa hapa, si tausi anayetaga mayai. Ni mrembo ambae haujui urembo wake anahadaiwa kwa mali (materialistic). Kunyofolewa nyoya ni sawa na kupeana kwa kila mrembo anayeona wenye magari na mali ndio wafaao. Nipeni likes zangu, nizidi kuwatafsiria.
Kindly listen to the song again and understand the message...this song is actually about their president and the current ongoing situation in the country
MPAKA LINI MWENYE KUPATA APATE, MPAKA LINI MWENYE KUKOSA AKOSE!! CHANUA MBAWA ZAKO TAUSI WAIONE RANGI YAKO, WASINYOFOE MBAWA ZAKO DAAAH!! GOD BLESS MY COUNTRY... I LOVE U TANZANIA🙏🇹🇿😭😭😭😭🙌🙌
Full Lyric and meaning. Part 2 Tausi mm mwanao baada ya kutok jandon, Nilizan mm ni mkubw sasa, Naambiw oooh icho kilichotolew kipande cha ngoz tu hakina uhusiano na kukua kwako, kwel inamaan kila anayeingiz kidole puani ana mashaka na alichonusa ( Rais mm mwenzio mara baada ya kupata uspika nilizan mm ni mkubwa sasa, Nikaambiw oooh hapo ulipo ni kipart tu cha serikali na hakina uhusiano wa kukua kwako, Kweli ina maan kila anayefany kaz nyumba moj nawe ana mashaka na ww?). Uliwahi kusema ww mwenyew, mnyonge hapigan kwa fedha na tulifany makosa kuchagua silaha, silaha tulioichagua inatutia unyonge na kuondoa unyonge kwa kutumia silaha za weny nguvu ambazo sisi hatuna tunazid kupoteza muda. Muda upi wa sisi kukua au nyakati ( Uliwah kusema ww mwenyew (Ndugai) mnyonge hashindan kwa pessa na tulifany makosa kuchagua silaha(mkopo), Mikopo tulioichagua inatutia umaskin na kuondoa umaskin kwa kutumia mikopo ya nje yeny riba kubwa ambazo sisi hatuna uwezo nazo zinatupotezea muda. Muda upi sasa kukua kiumri au kiuchumi?). Tausi nmeamin asiyeona anatumia tochi usiku sio kwa ajili yake, anawamulikia wanaoona ili wasimkanyage, Na ili iote tausi lazima ioze kila mweny zamu yake asiache kumwagilia (Rais nmeamin mikopo unayoikopa sio kwa ajil yako bali ni kwa ajili ya Watanzania na unapotak maendeleo lazma uumie kwanz(tozo+riba za mikopo) kila mweny dhaman ya uongoz hana budi kuwatumikia wanyonge. Viroboto, kupe huleta virusi Tausi, Ukuta mweupe wasiufaanye mweusi (Wanafik na wasalit huleta nuksi nchin Rais na White House(Ikulu) wasigeuze iwe Black House(Chaka). NB: Pongez nying kwa Mrisho Mpoto & Mbosso, Waoooooh what a song!!! That's Art.. Hyo ndio Sanaa. Mama Samia unaupiga mwingi sana sijakusahau( Strong Leader)
Mbosso kwa kweli wewe fundi sio kwa mashairi tu bali unajua kucheza na sauti yako na pia producer mocco genius anakujulia kwenye tamba mambo yalikua bomba sana shabiki wako mkubwa kutoka +254 Malindi
Dah nikiwaza mashairi hata maana nayoipata ni kubwa sana na somo kubwa kwa mtu mapya madarakani au mgeni kazini afu ukawakuta watu ambao licha yakuwa upo juu yao wanataka uwe chini yao hawataki kukupa ata fursa ya kufikilia vema. Bless pia mbosso kwa hzo Melody Kali 🔥 🔥 🔥 MWISHO kila mwenye zamu yake asiache kumwagilia
Kwawalio sikiliza hii nyimbo na hawajaelewa, Basi Mpoto amejarbu kufikisha ujumbe kwa Wimbo huu, Tausi ni Raisi Wetu,yaaan Mama Samiaaa, kama unakubaliana na mimi like na reply
Pongezi kwako Kwko Mrisho Mpoto😍 Mbosso huna kazi mbovu najua ilo BIG UP✨InshaAllah kila la kheri TAUSI wetu. Super woman💪 first lady in TANZANIA💪 HONGERA mamaetu SAMIA SULUHU HASSAN.
Daah ufundi mwingi sana nimeelewa Tausi ni nani na nyumba yetu ni nini na wale walio jisaidia nyuma ya nyumba ili harufu iingie ndani wamkere mpishi pia nimewaelewa ni wa kina nani!??? Salute sana Mrisho Mpoto na kijana wako Mbosso
Im listening to this song on my phone and the music doesnt go well with the way they are singing bruhh 🤷♂️ it seems like an amateur did this song..when they start to rap is where its shitter than ever 🙄 the rap thing ruins everything and the music doesnt deserve this music tbh
Ifike wakati watanzania tujifunze kuwatia wanaoinuka moyo maana tumejawa vinyongo na hila kana kwamba wengne hawafai,tumekuwa watu wa kufurahia anguko la viongoz wetu badala ya kuwapa ujasiri wa kusogeza gurudumu💪
Mbosso brw pole nakukubali sana kakangu Ila sijui ni vipi au uliskiza Ngoma ya kwangu ndo ukafanya nayo Tausi....brw mbona sielewi lakini😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
Mh Raisi Samia Also Known As Tausi,,,,wimbo wake huu kabisa,,Sema jamaa Genius,,,Jamaa ni Tiba wa Fikra kwa nafasi yake,,,na anaitumia vyema mnoo kwa ugani murua wa mistari katika nyimbo zake,,, Mungu aendelee kumbariki ili Tuendelee Kufaidi zaidi Tiba za Fikra zenye Mafumbo bora kabisa ya kiuandishi###MrishoMpoto###✊✊✊
I had to listen to this song 10x to get the meaning from it. This is not a love song from my point of view. This song has been dedicated to madam president.
Mrisho Mpoto hii kali sana. Naamini tausi #mamasamia ameyasikia haya maneno na yatamtia nguvu ktk kuendeleza kazi yake na asiyumbishwe na vitendo pamoja na maneno ya wanaomkejeli
Team mbosso tujuane👌👌👌
🙌
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Try. th-cam.com/video/0keUefJlyiY/w-d-xo.html
Tupoooooo
Mbosso khan
Dah asante mpoto kweli taifa la Tanzania lapotea mpaka ww umeamua kusema kwa mafumbo dah twatia huruma sana sijui ulifkilia nn mrisho mpoto kuimba hivyo l love you song
Full Lyric and meaning Part 1
Karibu Tausi uipambe nyumba yetu(Karibu Rais uitengeneze nchi yetu)
Chanua mbawa zako waione rangi yako, mpole sauti hyo ndio sifa yako (Nyanyua mdomo wako waone makali yako tena kwa sauti ya upole maan ndio sifa yako mama etu)
Jichunge tausi, wasinyofoe nyoya lako (Kuwa makini Rais, wasikuingilie kweny kiti chako)
Mchezo uliotukuta nao ni wa sadakalawe Amina mweny kupat apate mweny kukosa akose, kipapatio cha kuku, kuku gani mweusi analiaje kwiyo kwiyo (Mchezo uliotukuta nao ni wa siasa ambao ni mchezo mchafu, mweny nacho(rushwa) ndiye hupata na asiyenacho hukosa, utamu wa uongoz, uongoz gan giza weny nyng kelele za kupotosha).
Mpak lin mweny kupat apate, mpak lin mweny kukosa akose ( Mpak lin mweny pessa apate na mpak lin asiyenayo akose? Asante Mh Rais).
Umeukataa mlio kwiyo na rangi ya kuku kugawana (Umekemea kelele zake zinazopotosh jamii).
Tausi harufu unayoiskia ni ya chakula walichokula, wameamua tu kujisaidia nyuma ya nyumba ili harufu irud ndani kumchefua mpishi, usishtuke ndivyo ilivyo kwa watu weny shibe (Rais uchafu unaouskia umetoka midomoni mwao wenyew yaan bila kueditiwa hata kdg, wamefany kusud kuzungumzia mbele ya watu ili tu wakuharbie na wao waonekane wazur, Ila usivunjike moyo ni kawaida kwa viongoz weny shbe).
Tausi umbo lenye kukataa huleta tumawe mawe unapotak kututambulish watt wako kwa wagen tumia idadi yetu na sio majna maan baadh ya wanao wanatumia A.K.A siku hiz watakuzingua (Rais mtu asiyekupend huleta choko choko na unapotak kutuletea maendeleo kutok kwa nje usiweke hadharan maan wengne wana tafsir mbil mbil watakubeza tu).
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Dw. th-cam.com/video/0keUefJlyiY/w-d-xo.html
Wow 💯
Uko fiti bro coz u made me understand the true lyrics blessed tausiii wewee
Wow
Kuna NYimbo sikuwai jua zinaexist na vile ni tamu. Kazi swafi sana Mbosso na Mrisho.
Fasihi imetumika sana kwa huu wimbo. Huyu tausi anayetajwa hapa, si tausi anayetaga mayai. Ni mrembo ambae haujui urembo wake anahadaiwa kwa mali (materialistic). Kunyofolewa nyoya ni sawa na kupeana kwa kila mrembo anayeona wenye magari na mali ndio wafaao. Nipeni likes zangu, nizidi kuwatafsiria.
Kindly listen to the song again and understand the message...this song is actually about their president and the current ongoing situation in the country
Hujaelewa maudhui kjn
tausi huyo anaeongelewa hapo ni mama Samia rais wako
Mbosso ni msani pendwa kwangu coz anajua kuimba sanaaaaaaaa msanii bora kwangu kama na ww ni msanii bora kwako gonga like and comment
Simba made a good decision to sign this talented king under WCB I love ur music
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
F Ty. th-cam.com/video/0keUefJlyiY/w-d-xo.html
🔥🔥🔥🔥❤
@MIKKO 🤣😂
@MIKKO th-cam.com/video/da29WqrVMRs/w-d-xo.html
Ni mimi tu ndo Nimeelewa Tausi ni Mama Samia, au Fasihi ya Mpoto imenipita kushoto
You really thinking big🤝🤝
Ok
We ndo unaelewa sanaa sasa😂🤝🤝
Kabisaaa
Umepatia kaka. Tausi ni mama samia. Nyimbo inaongelea siasa za Tanzania.
MPAKA LINI MWENYE KUPATA APATE, MPAKA LINI MWENYE KUKOSA AKOSE!! CHANUA MBAWA ZAKO TAUSI WAIONE RANGI YAKO, WASINYOFOE MBAWA ZAKO DAAAH!! GOD BLESS MY COUNTRY...
I LOVE U TANZANIA🙏🇹🇿😭😭😭😭🙌🙌
Full Lyric and meaning. Part 2
Tausi mm mwanao baada ya kutok jandon, Nilizan mm ni mkubw sasa, Naambiw oooh icho kilichotolew kipande cha ngoz tu hakina uhusiano na kukua kwako, kwel inamaan kila anayeingiz kidole puani ana mashaka na alichonusa ( Rais mm mwenzio mara baada ya kupata uspika nilizan mm ni mkubwa sasa, Nikaambiw oooh hapo ulipo ni kipart tu cha serikali na hakina uhusiano wa kukua kwako, Kweli ina maan kila anayefany kaz nyumba moj nawe ana mashaka na ww?).
Uliwahi kusema ww mwenyew, mnyonge hapigan kwa fedha na tulifany makosa kuchagua silaha, silaha tulioichagua inatutia unyonge na kuondoa unyonge kwa kutumia silaha za weny nguvu ambazo sisi hatuna tunazid kupoteza muda. Muda upi wa sisi kukua au nyakati ( Uliwah kusema ww mwenyew (Ndugai) mnyonge hashindan kwa pessa na tulifany makosa kuchagua silaha(mkopo), Mikopo tulioichagua inatutia umaskin na kuondoa umaskin kwa kutumia mikopo ya nje yeny riba kubwa ambazo sisi hatuna uwezo nazo zinatupotezea muda. Muda upi sasa kukua kiumri au kiuchumi?).
Tausi nmeamin asiyeona anatumia tochi usiku sio kwa ajili yake, anawamulikia wanaoona ili wasimkanyage, Na ili iote tausi lazima ioze kila mweny zamu yake asiache kumwagilia (Rais nmeamin mikopo unayoikopa sio kwa ajil yako bali ni kwa ajili ya Watanzania na unapotak maendeleo lazma uumie kwanz(tozo+riba za mikopo) kila mweny dhaman ya uongoz hana budi kuwatumikia wanyonge.
Viroboto, kupe huleta virusi Tausi, Ukuta mweupe wasiufaanye mweusi (Wanafik na wasalit huleta nuksi nchin Rais na White House(Ikulu) wasigeuze iwe Black House(Chaka).
NB: Pongez nying kwa Mrisho Mpoto & Mbosso, Waoooooh what a song!!! That's Art.. Hyo ndio Sanaa. Mama Samia unaupiga mwingi sana sijakusahau( Strong Leader)
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Daaah afadhari nyie wenye sikii la tatu kutufumbulia gumbo hili
Goood
❤
Nicely
Huyu mzee akieka popote vocals zake inakuwa hit song 💯💯💯💯💯much love from Kenya
th-cam.com/video/0keUefJlyiY/w-d-xo.html
Amin👊👊
I totally agree 🇰🇪🙌
Mbosso wew ndio mkali ninae kukubali East Africa
Mrisho mpoto nimekuelewa sana kwa ich kinachoendelea nchin kwetu🤝🤝🤝
Mbosso kwa kweli wewe fundi sio kwa mashairi tu bali unajua kucheza na sauti yako na pia producer mocco genius anakujulia kwenye tamba mambo yalikua bomba sana shabiki wako mkubwa kutoka +254 Malindi
Happy Belated birthday MBOSSO. The king of vocals, lyrics and good music. Gonga like ukipita
Mbosso kazaliwa October
Birthday ni wewe
@@whatif..6961 Alaaaah mi nkadhani ni January
@@mbogazamajanicrew3326 hahaha
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Mbona mimi sijaelewa hata kimoja... Wataalamu wa fasihi mtusaidie🙌🙌🙌
ndan yake namwona Mama samia
Hujawah kufeli mbosso♥️♥️👌
Wimbo huu ni mkubwa sana, unamaana kubwa sana kwa Taifa langu. Nimemkumbuka sana #SIZONJE leo
Kwenye Mbosso muziki huwa tamu tu... Mashairi kama. Yote 💯💯💯💯
Siasa ndo inavyotaka hivi Tausi kaukataa mcheezo wakuku kugawana 🙏🏾🙏🏾🙋🏾♂️
Nishaipenda kwa kuskiza tu sekunde kadhaa, mbosso na mjomba mko on top
Tausi nazan atakuwa amexikia🤣🤣, but is nice song big up🙏🙏🙏🙏🙏
Mbosso once again 🔥🔥🔥🔥
ila tausi tulitegemea kwa upole wa ile sauti bas angetubeba wanawe tukitoka jandoni maan tulishanyofolewa kipande za ngozi❤️❤️❤️❤️song
Aliielewa tausi n tafsida ya mam et samia 🔥
Wameamuwa tu kujisaidia nyuma ya nyumba ili harufu irudi ndani kumchefua mpishi🙌🙌🙌🙌respect sana mpoto you nailed it 👌
Tausi is a vybe 🔥🔥🔥💯
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Dah nikiwaza mashairi hata maana nayoipata ni kubwa sana na somo kubwa kwa mtu mapya madarakani au mgeni kazini afu ukawakuta watu ambao licha yakuwa upo juu yao wanataka uwe chini yao hawataki kukupa ata fursa ya kufikilia vema.
Bless pia mbosso kwa hzo Melody Kali 🔥 🔥 🔥
MWISHO kila mwenye zamu yake asiache kumwagilia
Alielewa tausi ninani agonge like.🇹🇿🔥
Diamond
Mama samia suluhu...raisi
Yes Ni Mama
Kwawalio sikiliza hii nyimbo na hawajaelewa, Basi Mpoto amejarbu kufikisha ujumbe kwa Wimbo huu, Tausi ni Raisi Wetu,yaaan Mama Samiaaa, kama unakubaliana na mimi like na reply
Mrisho mpoto nlimissi sana free style zako Asante sana kwa kutoa wimbo mpya 👏👏👏👏🤸🤸🤸
Pongezi kwako Kwko Mrisho Mpoto😍 Mbosso huna kazi mbovu najua ilo BIG UP✨InshaAllah kila la kheri TAUSI wetu. Super woman💪 first lady in TANZANIA💪 HONGERA mamaetu SAMIA SULUHU HASSAN.
Mafundi wa maraishir Tanzania .🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Ila mbosso mungu akupe uhai mlefu unajua mpaka unaboa hujawahi halibu nyimbo unajua
Mwaka huu ni Mwaka wa fanaka kwa kila mpenzi wa WCB
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Ongera mrisho mpoto
Mbona nijistiri ilhali mi muafrika ata apo jadi mambo ya manguo hamnazo🥰💯tausi💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫🥳🥳🥳🥳kwioooo
Aaaah jamani tausi. Mbosso big app my brother
Tausi alieongelewa hapana ni mama samia suluhu hassan😍 proudly fr u mama na mboso na mpoto
Mbosso is always 🔥🔥🔥....his music just flows
Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daah ufundi mwingi sana nimeelewa Tausi ni nani na nyumba yetu ni nini na wale walio jisaidia nyuma ya nyumba ili harufu iingie ndani wamkere mpishi pia nimewaelewa ni wa kina nani!??? Salute sana Mrisho Mpoto na kijana wako Mbosso
MashaAllah... Jina la mtarajiwa wangu 💖
TAUSI 🤔🙌🇹🇿🇹🇿💪 Mjomba umetisha ila mbosso we nifundi kaka 🔥🔥🔥
Listening it now hits Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kent
Smile By Anish Ft Litty Elton 🇰🇪🇰🇪
Out now🇰🇪💯
th-cam.com/video/mK-2ppk0QzY/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Mrisho mpoto and mbosso pale ushairi unapopata walimu wa fasihi ulingo wa ngoma kutamba💝💝💞
The emotions in this bongo songs is always on another level 👌👌👌👌
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Im listening to this song on my phone and the music doesnt go well with the way they are singing bruhh 🤷♂️ it seems like an amateur did this song..when they start to rap is where its shitter than ever 🙄 the rap thing ruins everything and the music doesnt deserve this music tbh
th-cam.com/video/VxUK0gY1CO4/w-d-xo.html
Mjoba anatulia mwaka mzima but akitoa kitu ni ujumbe wa maisha,,#TAUSI NI NINI???
For real this one #Mbosso and #MrishoMpoto you real made it. Kibao shwari kabisa trending #Kenya 🇰🇪 , #Tanzania 🇹🇿 and #Africa
#Tausi🔥🔥🔥
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Ifike wakati watanzania tujifunze kuwatia wanaoinuka moyo maana tumejawa vinyongo na hila kana kwamba wengne hawafai,tumekuwa watu wa kufurahia anguko la viongoz wetu badala ya kuwapa ujasiri wa kusogeza gurudumu💪
Mbosso Khan Mshedede,Muhindi wa Kusini ,mwalimu wa mapenziii♥️♥️
Nice song
Mbosso brw pole nakukubali sana kakangu Ila sijui ni vipi au uliskiza Ngoma ya kwangu ndo ukafanya nayo Tausi....brw mbona sielewi lakini😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
Mjomba kwa mashairi na mafumbo,,🙋
Mh Raisi Samia Also Known As Tausi,,,,wimbo wake huu kabisa,,Sema jamaa Genius,,,Jamaa ni Tiba wa Fikra kwa nafasi yake,,,na anaitumia vyema mnoo kwa ugani murua wa mistari katika nyimbo zake,,, Mungu aendelee kumbariki ili Tuendelee Kufaidi zaidi Tiba za Fikra zenye Mafumbo bora kabisa ya kiuandishi###MrishoMpoto###✊✊✊
Mbosso khan the genius♥️🔥🔥🔥
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Sandakalawe part tells me Harmonize is a legend.... From Harmo song..... "Mchezo wa sandakalawe , mwenye kupata apate, mwenye kukosa akose"
Mrisho bro..this guy is Legend 💯
Huyu ni king 👑 nyimbo za mapenzi❤️ love you mboso
Wow ngoma kali sana hii ukiisikiliza ni noma sana 🔥🔥🔥
Huwa napenda sana nyimbo za Mpoto maana zinakufikirisha
I had to listen to this song 10x to get the meaning from it. This is not a love song from my point of view. This song has been dedicated to madam president.
kabis hata mim naona hii nyimb ni kwajil ya Madam president
Yes💥
Toby Gabone Very Correct
Kuanzia leo Hangaya ni tausi wa mrisho mpoto na mbosso!
Much Love to Mbosso Like za U.S.A ziko wapi
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Umekuwa mfupi wimbo kwa utamu ujumbe kwa ndani tumeufikia pia
Mbosso king of melodies what a hit listening 🎧 from Kenya 🇰🇪
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Docteur wa mapendzi is back
The voice of mbosso give me peace and when i sing along i forget everything n just be happy
Fact 👌
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Hongera mrisho mpoto mjomba. Hongera kwakuwa unajua kuishi na vijana. Hongereni sana sana Mbosso na mjomba Mpoto
Huu sio wimbo ni jimbo 🔥🔥
Ebwanaa ee kiswahili kitamu sana tumekuelewa mpoto na mama atakapoiskia hii atakuelewa sana
🔥🔥🔥🔥 kazi nzurii.... mjomba is back after 4 yrs
Nimeipnd hii nyimb umetuonesh wanwak km n ndeg mxur taus thanks mbosso
Hii Ngoma ni Level Zingineeeee Big Up to U Mr Khan & Mpotoooo........
Tausii ww ## mbosso unajua sanaa & mjombaa mrishoo mpoto🙌🙌🙌
Two legent,very nice songs....I luv every part of this music😘🇰🇪🇰🇪
Raha sana kujua kiswahili
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Ninapenda nyimbo zako kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 unaimba vizuri sana
Lovely 🩸❤️ Bro Kali Sana Strong #Tausi
hii nyimbo inamgusa Mama SM tausi wetu Angalia aya maneno ya Mpoto
This will be great when realy attached to official video....❤️❤️❤️
Mbosso khan great job wcb for life 🔥🔥🔥🔥🔥 from Kenya ndani ndani tausi 🙏
Kazi safi sana Wapi Likes Hapa kama Unaamini hii kazi Nzuri #MrishoMpoto🍁
Daa mboso umeua kinyama ushirikishwi aisee ni 🔥🔥🔥🔥🔥
💗💗💗💕💕❤️💯💯ur talented Mr Mboso
Mwage radhiiiiii....king konde Gang twapiga chabo huku
Nice one,much love from Uganda 🇺🇬
Nilitamanigi hawa jamaa kukutana ktk ligoma kama hili 🔥🔥
This is what o loves most about Tanzania 🇹🇿 heart soothing n sweet melody
Nzur ooh mjomba x mbosso show show mmewezaa aisee
Proud to be a Tanzanian 💖
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Ccb Nb. th-cam.com/video/0keUefJlyiY/w-d-xo.html
th-cam.com/video/VxUK0gY1CO4/w-d-xo.html
@LIL MAGUS ww3
Mrisho Mpoto hii kali sana. Naamini tausi #mamasamia ameyasikia haya maneno na yatamtia nguvu ktk kuendeleza kazi yake na asiyumbishwe na vitendo pamoja na maneno ya wanaomkejeli
King of RNB 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤
This song amekusudia Mama Samia mungu amjalie azidi kuipeleka mbali Tanzania
All Kenyans in the house kujen hapa💥💥💥
TAUSI MAMA SAMIA SULUHI DIS IZ FOR YOU 🔥🔥🔥🔥Mbosso Talented Boy
This pin is real nailed...combination of two kings of Swahili🤜🤛
kazi nzur mbosso umejuwa kutumia fasihi kwa umakini hongera zenu.✌✌
I love ue mboso, your songs are very very nice
th-cam.com/video/Oe72EsAgL7w/w-d-xo.html
Brother mboss nakukubiiiii kinoma... Soon two....tutakua dimba moja...🎵🎶
👑👑👑 Wafalme Wamekutana
"....ukuta mweupe wasiufanye mweusi"
Hapa bila shaka ukuta mweupe ni Ikulu
Khan never disappoints plus mzee wetu wa busara🔥🔥one addictive song💪👌
Mbosso Khan mwenye chembechembe za kihindiiiii