ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kramo bado tunahitaji atupatie alicho nacho mguun tumemumis
Safi sana kwakubaki kramo me kwangu kamashabik nainjoi sana kwajina naitwa fikiri shabki lialia kutoka dodoma❤
Simba nguvu moja
Ndugu watanzaji , Iko hivi kramo ni mchezaji Bora kuriko wachezaji wote waliosajiriwa msimu huu
Onana akienda sawa ila kramo apewe nafasi
Na huo ndo uungwana wa Simba asitengwe Kwa sababu ya kuumwa hongereni Simba!!!!!
Mmmmh jamani kwani kuugua kumbe hata nyumbani wanakutenga siyo mwanafamily hapana ni mpaka acheze Simba ipate faida kwa Obin cramo
Binafsi kramo ni kifaa acha utani onana aondoke
Acha uwongo klamo hajaenda huko
Mimi Mshabiki Wa Simba Kwa Usajili Huu Tutafika Fainali
Kwakweli Kramo ni mzur sana wamuache acheze kwanza
Apewe nafasi kramo ivory cost Kuna ball
Acheni kuturoga Wachezaji wafanye KWELI. Tunawangiana wa nini??😅😅😅
Fukuza hao wevi kramo,onana mabishoo tuliwapa nafasi wakashindwa kuitumia hatuwezi wakajaribu kungine
Ndugu aliepewa nafasi Ni onana kramo hakutumika kwa kuuguria majeraha
Deo kanda alitoka gormahia
kuwame namkubali sana
Isack Rogers Kramo ninoma shida mjerui Mo komaanae Hicho kifaa
Apewe nafasi kramo aonyeshe kitu
Kramo ni bonge la mchezaji
mo kafanya kweli
toa onana weka kramo