🔴LIVE : KAHAMA NET- EVENT | YATOSHA JANGWANI - SIKU YA 08
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Karibu katika Mfululizo wa mahubiri ya ATAPE - KAHAMA NET-EVENT 2024 Siku ya 08, mahubiri haya yanakujia Mbashara kutokea
Kanisa la Waadventista wa Sabato Nyahanga, Kahama. Tafadhali shiriki mbaraka huu na watu wengi kwa kushare link hii, kwa watu wengi Zaidi. Subscribe sasa kuwa wa kwanza kupata maudhui yetu kila tunapokuwa Mbashara.
Mungu Akubariki.WATCH HOPE CHANNEL TANZANIA📺
AZAM - 466 | ZUKU -870
Follow Us On:
INSTAGRAM: / hopechanneltz || /awrtz
X : / hopechanneltz
FACEBOOK: / hopechanneltz
Amina sana Ila jamn wasabato nywere daaaaa
Rose Athumani salugole mmenitoa janwani kwa mengi mungu azidi kunitetea
❤
Tunawapatavizuri kutoka Mara BWANA Awabariki.
Msabatto kabisaa kazibana nywere jmn MUNGU atuteteeee
Uwe na Amani Victoria,, sio dhambi kubana nywele.