WALIOSOMESHWA na SERIKALI na 'WASHAJIPATA' WANATAFUTWA WALIPE DENI - BODI ya MKOPO WATANGAZA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @Watcher994
    @Watcher994 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kujipata ndio nini sasa?.

  • @JumaMasunga-b6b
    @JumaMasunga-b6b 7 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu ana miaka 5 tangu amalize chuo kikuu hajaajiliwa tuuze nini

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 7 หลายเดือนก่อน +3

    Binafsi hawatakiwi kulipa. Kwa sababu hilo ni jukumu la serikali kuwahudumia wananchi wake. Wao wanatakiwa wakatwe kodi.

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 7 หลายเดือนก่อน

      Wakatwe Kodi wakati Hawana Kaz ama ndio wanyonywe dam Kila mwezi

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 7 หลายเดือนก่อน

    Mlikula hela sasa mnajikoroga kuwadai watoto.

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wanafunzi wanajisomesha wenyewe bila kujua

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wengi hawajaajiriwa vipi marejesho yawe mazuri

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 7 หลายเดือนก่อน

      sio makubaliano kikubwa ni kulipa utalipaje hilo kama serikali haliwahusu

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani hamkuwa na majina yao mpaka mfichue

  • @Joseph-l9r2l
    @Joseph-l9r2l 7 หลายเดือนก่อน

    Waliojariwa walipe hamna shida serikali imewasaidia kufikia hapo walipo

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 7 หลายเดือนก่อน +1

    tuanze kudai mikopo kuanzia 1961,

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 7 หลายเดือนก่อน

    Nyingine nihiyana tu tupo tunahangaikanao tukchoma vitumbua nakuuza mchicha mzigo bado kwa Wazazi wapo Wastaaf u waajirini Watoto wetu Mikopo italpwa tu

  • @cosein
    @cosein 7 หลายเดือนก่อน

    Htr

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 7 หลายเดือนก่อน

    Eliminacji ni bure hata Ulaya kila anayetaka kusomea kitu serikali inamsupport mwanafunzi kwa lumpa pesa za kumuwezesha kununua vitabu na bitu vitakavyomsaidia katika masomo hakuna mtu anayedaiwa ni bure kwa kila mwanafunzi.

    • @ahmadmohd3771
      @ahmadmohd3771 7 หลายเดือนก่อน

      Labda ulaya ya mars au Jupiter university zote ni mkopo