Zari aenda Uganda kumuomba msamaha mume wake, aongea kwa uchungu "nilimkosea sana kwa niliyosema"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 144

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 15 วันที่ผ่านมา +39

    Zari she needs to grow up.... she is a drama queen 👸.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 15 วันที่ผ่านมา +13

    😂😂😂😂😂😂😂wanaume bado hamjajifunza kitu😂😂😂😂tafuteni pesa,heshima ya mwanaume ni pesa,ni hilo tu..bila pesa utafika umechoka🤣🤣🤣🤣

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 14 วันที่ผ่านมา

      @@kekiplus1andonly jinsia ya kike pasua kichwa hakuna utakacho mlizisha Wacha maisha yaende

  • @taichi5370
    @taichi5370 15 วันที่ผ่านมา +27

    Huyu Zari alimtumiaga pia Diamond Black Rose, Lakini Mtoto wa Tandale hakutishika akamove on😂😂😂😂😂😂

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂husahau wewe

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 15 วันที่ผ่านมา +28

    Diamond yuko buze na zuchu mahaba ndi ndi

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 15 วันที่ผ่านมา +38

    Shakbu katulia kimya zari kaenda mwenyewe

    • @chainbre275
      @chainbre275 14 วันที่ผ่านมา +1

      Juu zari ndo alie kosa kwahiyo Yuko sahihi kuomba musamah

    • @omarmufti4184
      @omarmufti4184 14 วันที่ผ่านมา

      Ndoo unaume Sasa kwa brothe Shakbu

    • @HawaNangasu
      @HawaNangasu 13 วันที่ผ่านมา

      Unafanya mchezo nin zama hz za mashoga na wala chps wakumpelekea moto kma hyo kjana atamtoa wp

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 14 วันที่ผ่านมา +6

    Nilisema tu huyu bibi dai akirud bongo akimuona anainjoy na zuchu lazima akamtafute huyo kaka 😂😂 Yan kamfanya kama spea tail" huyu bibi akimuona mondi anakuwa chz lkn mond ndo Hana muda jmn Kwa Sasa kutwa yupo na zuchu

  • @IreneIsaya-ek5pc
    @IreneIsaya-ek5pc 13 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa akimsamehe ana matatizo😢

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 15 วันที่ผ่านมา +11

    Jamaa akimsamehe huyo malaya atakua mpumbavu tena sana,Zari alitamka maneno makali mno,wala asisingizie pombe,alimaanisha alicho kisema na kudai zaidi kua wapo wanaume wengine kibao wanao mtaka.Shakib akimsamehe atadharaulika mnoo tena sana."Usisahau maneno makali uliotamkiwa na mtu,kipindi ana hasira au kalewa!Ujumbe ni ujumbe na umefika iwe kwa njia ya sim,au barua!

    • @pesaspy_tv
      @pesaspy_tv 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂,,,😅😅😅

    • @faridadondo2103
      @faridadondo2103 14 วันที่ผ่านมา +3

      Huyo Zari alizamiria naaliyo yasema yalitok moyoni kabisa kijana amekaa kimya alijua atawewesek kumbe hana muda nae hata asisubutu kumsamehe nakumrudia huyo mama amezoea kuwa nakila mwanaume aendelee kujiuza

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 วันที่ผ่านมา

      @@faridadondo2103anajua anacho fanya au anachotaka

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 14 วันที่ผ่านมา +9

    Uyo shakibu nae kila siku anazalilishwa yan mond akienda South zari anamuona mumew ana thaman😢We Shakibu kuwa kama mwanaume uwe na msimamo

  • @user-wd2bc7bf5x
    @user-wd2bc7bf5x 15 วันที่ผ่านมา +21

    wanawake tuache ujeur km una pesa muheshim aliekustiri ,yaana unamdharau huyu kijana kisa daimond? mbon huyo d hajakuoa na hat kama ulizaa nae lazima uheshim mme wako na huyo dai anatakiwa awe na mipaka sio anakuja tu kisa ana pesa Looh wanwake sisi

    • @khadijaamur6032
      @khadijaamur6032 14 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa kweli, yaani hii dharau ni vigumu sana mumeo kusamehe hata kama hujamuazirisha mbele ya watu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 วันที่ผ่านมา +2

      Dai ameenda kwenye birthday ya mwanae by surprise nahisi kama kweli ni surprised hata Zari hakuwa anajua, na mumewe anamjua Mondi ni baba mtoto hapo kosa la Zari ni nini na huyo Mondi? Kosa la Zari ni kumsema vby mumewe lakini sio Mondi

    • @iktharsalum7440
      @iktharsalum7440 12 วันที่ผ่านมา

      Mond pia ana tatizo unaendaje nyumba ya mke na mume bila ya taarifa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 วันที่ผ่านมา

      @@iktharsalum7440 hilo neno! Dhalau hiyo si anajua hana hela kama yeye na huyo mama mtoto wake 😂😂😂

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 14 วันที่ผ่านมา +3

    Hili malaya kazidi laana msituletee hili mama chawi

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 15 วันที่ผ่านมา +37

    Waliosema Hamisa ni sababu ya zari na diamond kuachana wapate somo hapa. Sasa hivi zari yupo single kwanini kama diamond anampenda zari asimchukue na kumuoa? Shenzi type diamond alivyomdate Hamisa kipindi hiko alikuwa alisha mchoka zari. Ona aibu hii zari anaomba msamaha kisa diamond Ali kuwa sababu. Zari anamtaka diamond arudi kwake ila diamond hamtaki period! Diamond akienda south ni kwa ajili ya kuona Watoto wake na KIKI.

    • @Bahati47
      @Bahati47 15 วันที่ผ่านมา +9

      Wanamuonea tu huyo hamisa maana aliachwa hadharani akawaacha zari na dai wakaendelea na maisha yao lkn walikuja kuachana na dai akaenda kwa tanasha lkn mpaka Leo Wana mlaumu hamisa huyu dada Bado anampenda sana dai na hiyo ndio sababu maana angalia sasaivi Kila dai anapokwenda sauz lazima agombane na mumewe

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 14 วันที่ผ่านมา +2

      Yani Dai ni KIKI 💯

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@Bahati47 huyo bibi Malaya SEMA dai ndo hampend na dai kashajua udhaifu wa huyo bibi ndo mana amamfanyia makusud 😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 วันที่ผ่านมา

      @@Bahati47sio kweli! Hawakuachana kwa sababu ya Hamisa wala, ya Hamisa Diamond alienda kumuomba msamaha kupitia watu ambao Zari anawahesimu na akamsamehe, Zari alimuacha Mondi aliposhikana shikana na Wema kwenye sherehe fulani. Hawa wanapendana sio kama Zari tu ndo anampenda Mondi kama umebahatika kuangalia ile show yao ya Netflix utajua ninachosema.

    • @JaneBihagala
      @JaneBihagala 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@Bahati47sasa kama hamupend zari anakupenden nyie huyu pugi 😂haki unachekesha hilo so lakusema at hamupend anafata watoto haya huyo pugi anayependwa mbona kakataliwa na mtoto wake??? Pamoja na uganga wake tupwa kule mfyyuuu

  • @asyakhatib7942
    @asyakhatib7942 14 วันที่ผ่านมา +15

    Team zari😂wanakomeshwa na Zari mwenyewe🎉

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 15 วันที่ผ่านมา +4

    Daah, kama mm kiukweli sirudi hata akinitokea malaika.😮

  • @Agath45
    @Agath45 15 วันที่ผ่านมา +14

    Na huyo shakibu akimsamehe ajiandae na dharau nyingine kubwa kuliko hiyo.

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 15 วันที่ผ่านมา +1

      Shua, amove tu maana daah, aibu sana kampa yule mwanaume

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 วันที่ผ่านมา

      Anajua anacho fanya au anachotaka sio mjinga yule

  • @OfficialEK17
    @OfficialEK17 14 วันที่ผ่านมา +3

    inaonekana shakibu anapiga show vzr

  • @humbleshoal
    @humbleshoal 15 วันที่ผ่านมา +15

    Zari nakupenda ila umezidi kiasi kwa unavomfanyia huyu kaka ulikosea

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 13 วันที่ผ่านมา +2

    Huwezi mchukiza na kumdharau mumeo kwa mtu mpita njia tu'Zari hajijui kama atumika kuiharibu ndoa na furaha yake mwenyewe, kila mwaka dai ataharibu maisha ya hawa wawili kwa kufanya haya! Atafanya haya kwa muda wa umuri wote wa Zari na shakeb iko wapi furaha yandoa?shakeb asimame kama mume azuie

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 14 วันที่ผ่านมา +5

    Mtu akikuonyesha tabia yake siku ya kwanza mwamini, huyu Dada ni mjasiliamali na anapenda tension saaana

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 12 วันที่ผ่านมา +1

      Sio tension ...anapenda attention sana....

    • @Makakulaya
      @Makakulaya 11 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂​@@BenedictaMagantg

  • @rerisamba
    @rerisamba 15 วันที่ผ่านมา +7

    Miaka imeenda umedate huyu na uka date huyu inafika mahali unajiita mkutano unaona mimi ni mjinga

  • @RamadhaniMohamedi-de2vc
    @RamadhaniMohamedi-de2vc 13 วันที่ผ่านมา +1

    Muda wa kiki sasaivi atuna hajanao kwanini asiende kimya kimya mambo yao sisi yanatuhusu nini hao wanazingua leo hili kesho lile.

  • @user-dz5jc6pp8e
    @user-dz5jc6pp8e 15 วันที่ผ่านมา +15

    Huyo shakib ganda la ndizi litamponza angetafuta mwanamke atakae kua saizi yake wakupanga na kupangua atakae mpa amri akasikilizwa pale atajipotezea muda labda azae nae heshima itakuepo lkn ivyo ivyo zarau muendelezo

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanamme aliye kuoa muheshim kuliko ualiye kuzalisha nahajakuoa

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 14 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂yaan zari anazeeka vibaya kurudi kwa daimond ni ngum maana mzanzibar anakaba kila kona

  • @infiniteabundance2024
    @infiniteabundance2024 15 วันที่ผ่านมา +12

    sasa si aende kwa hao big boys wanaomtongoza.... ningekua shakib talaka ingetosha

    • @EstarMichael
      @EstarMichael 15 วันที่ผ่านมา

      Ningemlima 3😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 วันที่ผ่านมา

      Hawapendi! Ukiwa na hela hana haja ya ku date jina au position hayo kwa wenye njaa 😂😂😂. Ukiwa na hela unachukua kile roho inataka ila aache mdomo

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 15 วันที่ผ่านมา +10

    Watu ndo wanasema hasila hasala zari usiwape watu faida siku nyingine zari mana unajichoresha

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 15 วันที่ผ่านมา +1

      "hasila" "hasala" kweli? Wewe vipi?😢

    • @hopechidera
      @hopechidera 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 ​@@Brunn-mh2bq

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 15 วันที่ผ่านมา +13

    Hata iweje eshima ya mume Iko pale pale

  • @DM_15
    @DM_15 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mwanamke akiwa na pesa kukuzidi tegemea kudhalilika mdawowote,

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 13 วันที่ผ่านมา

      Sio wanawake wote😂😂😂😂😂 ila sema kuringa ndio sna tmeumbwa ivyooo😂

    • @DM_15
      @DM_15 13 วันที่ผ่านมา

      @@Sarah-e1o9k okey

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 15 วันที่ผ่านมา +19

    kaona mondi amshuliki Yuko na zuchu ndio yuwatafakar amekosea mumew shenzi Sana mtu mzima hovyo usitrik kwenye ndoa utuli ukamueshimu mumeo mulienda mpak hajji kuomba mungu lakin bado ukakosa adabu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 วันที่ผ่านมา

      Kwani ni yeye alimualika Mondi bila kumwambia mumewe au Mondi alifanya surprise

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 15 วันที่ผ่านมา +39

    Zari kaonanyege zimempada kichwani bora yende kumuomba shakibu kumuomba msama ,daimond hanamuda na wewe. Nimfanya biashara , na huyo bikidude wa zanzibar ,asubirie zamuyake , badahajafika yetu macho, 😂😂😂

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 15 วันที่ผ่านมา +11

      Akimaliza zamu yake usubiri nawe zamu yako

    • @rerisamba
      @rerisamba 15 วันที่ผ่านมา +3

      🤣🤣🤣🤣

    • @laxmikhairah1503
      @laxmikhairah1503 15 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona bi kidude😂😂😂

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 15 วันที่ผ่านมา

      Eee umeona😂😂

    • @JamalKanani
      @JamalKanani 15 วันที่ผ่านมา

      Ukweli mchungu nyege si mchezo​@@alzawahirabdallah2299

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hua nawaambia Mwanamke hata awe na mabilioni hawezi kua kitu chochote kama hana mwanaume na mwisho tu atadharulika na kusemwa vibaya katika jamii

  • @sameraamiry3849
    @sameraamiry3849 10 วันที่ผ่านมา

    Zari anamuone Sana uyu kaka daah

  • @Zenny89
    @Zenny89 14 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa anakuwa BWEGE akimkubali tena Zari... Kwahiyo kila siku atakuwa anatukanwa, kununa na kuombwa msamaha

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 15 วันที่ผ่านมา +11

    Ningekuwa me shakibu Wala nisingemsamehe,,,mwanamke aliyezaa na mwanaume mwngnee ni Kaz sana kuishi nae,wanaume wenzngu ushaur tu mwanamke aliyezaa ni hatar Kwa afya zetu

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 15 วันที่ผ่านมา +1

      Ukikua utaelewa

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 14 วันที่ผ่านมา

      ​@mtzhalisi2232 😂😂 kwa kweli

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@mtzhalisi2232😂😂😂😂😂 kabsa

  • @vincej9275
    @vincej9275 14 วันที่ผ่านมา +2

    Zari amechanganyikiwa na tulijua tuu kwamba ataomba msamaha baada ya kumthalilisha mume wake kwenye mtandao. she is confused and very immature.

  • @joanmamu7833
    @joanmamu7833 13 วันที่ผ่านมา

    I feel her

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 13 วันที่ผ่านมา

    Miye zari ata afanye nini niko upande wake😂😂❤❤❤❤ yni adi wamuweee niko pmoja na yeye 😂😂😂😂

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 14 วันที่ผ่านมา +2

    Zari anapenda kutombwa sana hawezi kukaa bila mwanaume,nahuyo Shakib bahati yake wameshafunga ndoa bila ivo angekua ameshabadili mwanaume mwingine

    • @ommie_nyzer
      @ommie_nyzer 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂

  • @williamkhaemba2782
    @williamkhaemba2782 15 วันที่ผ่านมา +1

    Whisky ndio ililuwa inaongea iyo siku😂😂😂

  • @user-hu5qi4nl1i
    @user-hu5qi4nl1i 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kama na muona meneja waka zari likimshuka baada ya mwamba kurudi kwa mkewe na wambea wote wasio penda penzi hili😂😂😂😂😂😂

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 15 วันที่ผ่านมา +4

    Yaani zali hana akili hivi unakumbuka huyo unae mwita mumeo alichokise? Alisema et wewe ni mama yake mzazi leo et unarudi kwake tena nabado ataendelea kukuzalilisha hivi huoni kama nilika la mwanao? Yule wakwanza?

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 15 วันที่ผ่านมา

      Acha kumzeesha mtoto wa zari, hajafikia ukubwa huo

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 14 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂chizi huyu ashawashwa

  • @mariej6962
    @mariej6962 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna uvumilivu kwa mwanaume asiyehudumia mwanamke wake au familia, tusidanganyane hapa . Keshachoka tuwape tu muda watatibuana tena

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 14 วันที่ผ่านมา

    😅 nivizuri kusema yanayo kuuumiza kuliko kunyamaza yanakuumiza moyoni very good 😊👍 boss lady's

  • @user-px4ld1mp9r
    @user-px4ld1mp9r 13 วันที่ผ่านมา

    There's no life for this guy with zari.. Like a man need his own family kids i mean

  • @stellangowa1893
    @stellangowa1893 14 วันที่ผ่านมา

    Kazi ipo

  • @BMboss108
    @BMboss108 11 วันที่ผ่านมา +1

    It was just clout chasing..shes very immature

  • @CROWNMEDIAKE
    @CROWNMEDIAKE 14 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa anapiga nyapuu vbyaa

  • @rerisamba
    @rerisamba 15 วันที่ผ่านมา +2

    Niliona Shakib video nyingine akiwa na mdada mwingine anafurahia kweli hata anacheka muache mtoto wa wenyewe ulidhani atahangaika

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nyege zina mutesa mpaka anaona aende 2 kwauyo kibe10 wake😅

    • @mashiassenga8849
      @mashiassenga8849 15 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @FatmaSempeho-sf6rx
    @FatmaSempeho-sf6rx 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mm nising rud mana sio kwa kejel zile

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 15 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa, kwa hili zari amekosea

  • @FAUSTAMBAGA
    @FAUSTAMBAGA 13 วันที่ผ่านมา

    yote tisa, kumi mwanaume lazima umzidi mkeo kipato hili aliepukiki by any means wanawake tunachoka

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nimemuelewa zari Sana tu nanikwel kabisa wanachokisema

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 14 วันที่ผ่านมา

    Kwani uyo kijana anaishi wapi

  • @FatmaSeif-kj6un
    @FatmaSeif-kj6un 13 วันที่ผ่านมา

    Nyoko kabisa huyo kaa na pesa zako

  • @daudynaccer4313
    @daudynaccer4313 15 วันที่ผ่านมา +4

    pumbu ni pumbu tu

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 15 วันที่ผ่านมา

      . punguza ukari wa maneno

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 14 วันที่ผ่านมา

    Shida wanawake wanaongea kwa hisia 😂😂

  • @priv524
    @priv524 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzanians that's why your radios don't for far.... Zari went to Jose's function she didn't go to Shakib.... respect Jose for paying Zari for her appearance

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 15 วันที่ผ่านมา +1

      What the hell is for far?😢

    • @magzeeee
      @magzeeee 15 วันที่ผ่านมา +3

      So your radios go far...where???..we don't even know them ..and you are in our pages

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy 15 วันที่ผ่านมา

      @Priv524 but Zari gives them contents so let them have views other celebrities are just boring and bloggers love drama because they sell

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@magzeeeehope was Zari, just she used fake account to comment, buuuh. 😂😂

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 14 วันที่ผ่านมา

    Shakibu anabemendwa tu 😂😂😂😂

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu. Bituki naye. Tumechoka na stori zake😅

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 14 วันที่ผ่านมา

    Kila sk kumdharau mumeo mwanamke mshenz uyu ata km ukiwa na pesa mpe heshima mumeo

  • @SeedsDeep
    @SeedsDeep 14 วันที่ผ่านมา

    Shakib akikusamehe Atakuwa Boya sana.

  • @Bravo-or8oy
    @Bravo-or8oy 15 วันที่ผ่านมา +4

    Alienda kwenye show ambayo alishatangaza kwenda muda tu kabla haya hayajatokea na washarudiana

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kiko wapi wale walio msapot kua alifanya sawa leo mmesikia mwenyewe kakiri kama alifanya makosa

  • @Mbisamazembe
    @Mbisamazembe 15 วันที่ผ่านมา

    Wangehachana ili nimuchukue ❤❤ 😢ata anitukane sinashida

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 15 วันที่ผ่านมา +3

    Umesema kaongea kwa uchungu, sasa kuna uchungu gani hapo? Mbona anaendelea kujitetea na kujikweza tu? Zari anajua kuna Professional Counselor, Kazi yao nikukusikiliza na kukupa mwongozo bora, hawa wana miikoya kazi na hawawezi kutoa mambo yako nje

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy 15 วันที่ผ่านมา

      wanatafsiri wanavyojua wao ili wapate views

  • @humbleshoal
    @humbleshoal 15 วันที่ผ่านมา

    Acha kumuonea

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 14 วันที่ผ่านมา

    Alafu wala ajifunza zari mwenzie amuaribia alafu mondi arudi kwa zuchu

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 14 วันที่ผ่านมา

    Huyo bwana atamuuwa kwa sumu.

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 14 วันที่ผ่านมา +1

    Shakibu fukuza uchafu tafuta saizi yako shakibu achana nahuo bitukinawo kaona diamond hana mdanayeye ndomana kajirudisha nyuma shenzi

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 14 วันที่ผ่านมา

    Kiki tu huyu na attention

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 14 วันที่ผ่านมา

    Dawa ya kuficha aibi ni kutafuta hela kuliko kuwa kibeteni kaka yenu njo ivo tu

  • @IbniAbbas-yz3kt
    @IbniAbbas-yz3kt 14 วันที่ผ่านมา

    Sio Ala ni Allah ebu taja ilo jina kwa adabu wee mwandishi mpuuzi!!

  • @EstherSoki-zz6fc
    @EstherSoki-zz6fc 14 วันที่ผ่านมา

    Acanicekemie

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 15 วันที่ผ่านมา

    MI SIKUKATAI NG'O,,,NAKUKAZA,,HELA ZAKO NAKULA NA NNAYEMPENDA NITAKUWA NAE,,SHAKIBU USILITUPE ILO FUKO,,OSHA NYOTA BABA

  • @MskMtm
    @MskMtm 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 14 วันที่ผ่านมา

    Yani Dai ni mfanyabiashara tu, watu karibu wote hata huyo Zari na watoto anawatumia kwa KIKI, kama sio KIKI kwani akienda au wakija kumuona watoto, lazima aposti? Watu maarufu wangapi mambo yao binafsi ya familia never huyaoni popote.

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h 14 วันที่ผ่านมา

      Donc si baby dady vient à la fête de son enfant il faut insulté ton Mari hein, ça ne se fait pas , zari est la mère d'une fille,et elle doit servir d'exemple à ses enfants, Même si ShakiB n'apporte rien sur le table, mais elle savait cela et a 'accepter de l' épouser et de devenir sa femme au Yeux du monde et devant Dieu alors qu'elle respecte son serment et s'il ya problème dans la maison on ne vient pas les déballer sur la toile et diminuer son Mari, c'est pas un exemple à Suivre....
      Elle demande pardon car elle sait qu'elle a outrepassé les limites ;

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 วันที่ผ่านมา

    Mjinga huyo zari ni kama.mbwa anatapika tena anakula tena shame

  • @JacobEston
    @JacobEston 14 วันที่ผ่านมา

    Diamond anapoitaji kutembelea watoto lazima aongea na shakbu sio aende kama kwake msege wewe

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 14 วันที่ผ่านมา

    Ningekuwa shakibu nisinge mrudia maana katoswa na mondi ndo anajirudisha atafute mtotovmwingine tu aachane nauyo waote

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 14 วันที่ผ่านมา

    Zari atakuja kusababisha watoto wake wabakwe huyu kijana si wakutembea nae mineno ile halafu unarudiana nae unamuamini vipi na wanao wadogo na yeye asira zake akikurudi kwa mabaya kwa watoto jamani hana wooga Diamond chukua wanao

    • @rehemasalim6062
      @rehemasalim6062 14 วันที่ผ่านมา

      Mm ni zali hii account yangu nyengine niacheni bna shakib wanguu wabongo is typing and deleting 😂😂😂😂

  • @kingrama4673
    @kingrama4673 15 วันที่ผ่านมา

    Iki kibibi kizeee nacho kimesha chosha watuuu kwa ujinga na kiki zikijinga