Jennifer Mgendi Joto La Roho Pt 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 284

  • @kimanimercy9116
    @kimanimercy9116 6 ปีที่แล้ว +5

    wow asanteni sana! nimesoma mengi kutoka kwenyu, nitakua makini sana. Kama mkristo namwomba Mungu anifungue macho ya kiroho ili niweze uwajua watu wanao nifaa kulingana na mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

  • @abdallahkoba9536
    @abdallahkoba9536 7 ปีที่แล้ว +2

    Thanks xana Jennifer mgendi Kwa movie tamu kma hizi

    • @emmymbwambo7957
      @emmymbwambo7957 6 ปีที่แล้ว

      Ninzuri sana hiii movie sio siri ninaipenda sana

  • @barakajacobs4539
    @barakajacobs4539 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweliii dunia Ina mwisho wakeee.. thanks to This amazing souls Jennifer and Bahati . Love you so much. God bless you 🙏🙏 🙏

  • @veronicamwita7304
    @veronicamwita7304 5 ปีที่แล้ว +4

    Mshahara was dhamb ni mauty!Mungu nisaidie mwisho mwema

  • @nesterchunga4576
    @nesterchunga4576 7 ปีที่แล้ว +7

    Hii move inamafundisho sana ubarikiwe sana dada Jennifer, Mungu aendelee kukubarikia sana sana

  • @lightmushi2212
    @lightmushi2212 5 ปีที่แล้ว +2

    Dada angu Mungu akuongoze katika kazi zake za kuitangaza injili yake 🙏

  • @Ansel.
    @Ansel. 7 ปีที่แล้ว +21

    nilikuwa naitafuata sana hii movie ni somo zuri sana WALOKOLE TUNAPASWA KUWA MAKINI dunia hii inafanya vita na sisi sana BILA KUSHIKA SANA NENO LA MUNGU tutaangamia.....barikiwa dada Mgendi

  • @lettyphilipo2144
    @lettyphilipo2144 5 ปีที่แล้ว +2

    daaaah movie infundxha can
    tnx Jennifer kwa kutufunza

  • @mariahamis2803
    @mariahamis2803 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dada dati hapo bukuku alikuwa mzuri sana hapo jamani

  • @lydihemojong1031
    @lydihemojong1031 6 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante sana mugendi na bukuku kwa mafundisho yenu nimejifunza mengi

    • @bakarisaidi2398
      @bakarisaidi2398 5 ปีที่แล้ว

      Ukweli unajua kufunfisha jamii pongezi kwako

  • @asikoemily6585
    @asikoemily6585 7 ปีที่แล้ว +13

    I loved the movie ni funzo kwa sisi wanadada tusitamani vitu za ulimwengu na tuheshimu ushauri wa wazazi.ukiambiwa tuliza na usubiri.

    • @zibuplaysroblox6887
      @zibuplaysroblox6887 4 ปีที่แล้ว

      Jambo.n Wewe uliyopata hizishida?.Ama nimifano tu.Mungu akubariki kahaya mafunzo

    • @zibuplaysroblox6887
      @zibuplaysroblox6887 4 ปีที่แล้ว

      Urizo ?uwomume yupo.Mungu atakusaidia nauombe ssna Mungu atskuponya iyimagonjwa.
      Kwani yeye arikatsra musijipime.
      Kumbuka ginsi baba arikuogoza.akikuombeya. nipe namba yako.

  • @rodgerstoroitich8361
    @rodgerstoroitich8361 2 ปีที่แล้ว

    Funzo kubwa Kwa binadamu congratulation

  • @leonidahayuma3410
    @leonidahayuma3410 6 ปีที่แล้ว +4

    Kupitia kwa hii video nimejifunza mengi sana kama kijana,mungu awabariki sana kwa maono haya

    • @neemamaiko9021
      @neemamaiko9021 5 ปีที่แล้ว

      Leonidah Ayuma mingu awabariki sana\

  • @cosmusmutisya4772
    @cosmusmutisya4772 5 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwaminifu kwa wale wanao mwamini Bahati bukuku na Jennifer Mungu awabariki.AMEN!

  • @samuelwafula4682
    @samuelwafula4682 6 ปีที่แล้ว +1

    All Jennifer and the rest may God plunder to you great blessing for touching and changing peoples status. Big ups mwaaaaa.....

  • @priscillahnjogu727
    @priscillahnjogu727 7 ปีที่แล้ว +12

    can't stop my tears....... this video is so touching.... I have learn something thanks alot Jenifer

    • @elishamhana6719
      @elishamhana6719 5 ปีที่แล้ว +1

      Mtumish yuu wimbo ubarikiwe. sana make umenigusa na nmepata fuzo kubwa sana mzazi au waziz tuwaskilize kbxa mungu anawexa na najibu

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 7 ปีที่แล้ว +13

    asante kw movie nzuri yenye mafunzo inanikumbusha mbali hii movie kuna mdada yamemkuta kweli mtaani kwetu mburahat kisiwani

  • @petermshale5672
    @petermshale5672 6 ปีที่แล้ว +2

    Imenigusa sana hii move bahati na mgendi big up

  • @joywangamary16
    @joywangamary16 6 ปีที่แล้ว +1

    waaaa nitakuishia mungu wangu , naomba uniongoze kwa lolote lile mungu wangu, kwa Yesu kuna raha kweli 😢😢😢😢😢

  • @abbyshayoi5929
    @abbyshayoi5929 7 ปีที่แล้ว +2

    inafundisha sana ubalikiwe dada mungu akupeleke mbali zaidi

  • @niyibitaulyauly7004
    @niyibitaulyauly7004 5 ปีที่แล้ว

    Mubarikiw sana mungu awabaliki mumetoka mbari ndio manaa saaii mumenenepa mume barikia na mungu kabisa

  • @musahtrophy
    @musahtrophy 6 ปีที่แล้ว

    From the first part to part 4,,hongera sana kwa ujumbe mzuri 👏👏👏

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว +9

    hongeren sana movie nzur mungu awabariki

  • @elizabethmaombie5178
    @elizabethmaombie5178 4 ปีที่แล้ว

    Nice video because

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 5 ปีที่แล้ว +2

    Asanten San jamani zuri 👏🤝🤝🤝🤝❤❤❤❤❤

  • @azizimahangana1082
    @azizimahangana1082 5 ปีที่แล้ว +3

    tunao fatilia hii movie toka mwaka 2007 mungu yupo

  • @priscadickson59
    @priscadickson59 5 ปีที่แล้ว

    Movie nzuri sana mungu awabariki

  • @mercymwaj7463
    @mercymwaj7463 7 ปีที่แล้ว +6

    Jenifer and Bukuku lots of blessings, nawapenda Sana

  • @joycentongani388
    @joycentongani388 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Dada ubarikiwe nimejifunza kitu Mungu akubariki Sana .

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 ปีที่แล้ว

    Thanx kwa movie nzuri yenye mafunzo, hongera Jennifer kwa kazi nzuri.hii movie yani ni mambo yanayotendeka.

  • @markjanuary3232
    @markjanuary3232 5 ปีที่แล้ว +1

    #BAHATI BUKUKU yan we mdada unanikoshaga mwanzo mwisho napenda unavyoimba

  • @brilliannangila3328
    @brilliannangila3328 5 ปีที่แล้ว

    Daau siamini kama n bahati bukuku naona kumbe watu hutoka mbali be blessed Jennifer and bahati

  • @eunicenjoroge4629
    @eunicenjoroge4629 7 ปีที่แล้ว +5

    Good teaching there! may the Lord bless you

  • @stellanafuna871
    @stellanafuna871 7 ปีที่แล้ว +11

    Hongereni sana dada jennefe na bahati na wote mlio husika movie tamu sana

  • @okanyimitsherine1921
    @okanyimitsherine1921 6 ปีที่แล้ว +1

    pole siz,usilose hope,mungu you pamoja nawe,jipe iman,wimbo mzuri kabisa.

  • @doreenngina6945
    @doreenngina6945 6 ปีที่แล้ว

    asante sana mama Mimi in mwanarika na nimesoma mambo mengi sana ...nakupenda sana.mungu azidi kukuinua.

  • @mlaybeatha4003
    @mlaybeatha4003 5 ปีที่แล้ว +1

    Bukuku mama angu mwanzo mgumu hadi sasa umeshiba neema za mungu umenenepa duuuu love you my

  • @dadapaul2533
    @dadapaul2533 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana dahhh nimejifunza mengi hongera sana Masada zetu

  • @carolmmamatugi7515
    @carolmmamatugi7515 7 ปีที่แล้ว +3

    Waaaah nice movie dada

  • @mwanaisha9549
    @mwanaisha9549 7 ปีที่แล้ว +19

    nice move jaman japo me mwiislam nimeipenda cn 😍😍😍😍😍😍love Jennifer

  • @stellarkyando1603
    @stellarkyando1603 7 ปีที่แล้ว +2

    Janipher mgendi unatisha ujumbe wako unaenda na wakati mungu akibariki sana

    • @revinadeci3520
      @revinadeci3520 7 ปีที่แล้ว

      umependeza sana mbarikiwe

    • @bonibm3793
      @bonibm3793 6 ปีที่แล้ว

      Stellar Kyando x

  • @ashurathomas482
    @ashurathomas482 7 ปีที่แล้ว +14

    asanteni sana kwa kutufunza vema barikiweni sana

  • @kaziulayakaziulaya762
    @kaziulayakaziulaya762 7 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe mzuri Ina wapasa mabinti kujifunza si kila king'aacho ni zaabu

  • @zamdamfaume9544
    @zamdamfaume9544 4 ปีที่แล้ว

    Hivi hii movie ukiitaka unaweza kuipata kwa sasa nimeipenda sana

  • @christineouma2957
    @christineouma2957 7 ปีที่แล้ว +2

    Movie nzuri xana yenye mafunzo

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 5 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana mafunzo mazuri sichoki kuiangalia

  • @zuwenabilikundi8449
    @zuwenabilikundi8449 5 ปีที่แล้ว +1

    iko vizur sana kitambo sana bukuku jamani we mzur jaman

  • @teddystephano8243
    @teddystephano8243 6 ปีที่แล้ว +1

    Jenifer na bukuku hongeren saaana

  • @magdalinemuthiani2753
    @magdalinemuthiani2753 7 ปีที่แล้ว +2

    thanks alot of lessons have learn Alot

  • @user-jo2bb2lb4q
    @user-jo2bb2lb4q 7 ปีที่แล้ว +1

    Very nice thank you.

  • @SaSa-xy7lw
    @SaSa-xy7lw 7 ปีที่แล้ว +5

    never..trust..anybody..by just a look.its also good to hear advice from parents

  • @isackboniphace404
    @isackboniphace404 7 ปีที่แล้ว +6

    kweli iko vizur pongezi kwenu wote.

    • @mertusmsumule2418
      @mertusmsumule2418 7 ปีที่แล้ว

      Ama hakika, nimejifunza jambo kubwa sana kupitia wimbo huu. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu dada Jennifer Mgendi.

    • @neemamaiko9021
      @neemamaiko9021 5 ปีที่แล้ว

      isack boniphace mubarikiwe sana dada bahat na jenifha mgend yaan tunajifunza mengi kupittia nyinyi mungu awabariki

  • @milliamkathambi5263
    @milliamkathambi5263 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa movie nzuri yenye mafunzo

  • @lekarikeiltaanyua6566
    @lekarikeiltaanyua6566 4 ปีที่แล้ว

    In world there is tribulations however, in Jesus Christ there is peace and harmony

  • @jackiemapenzyambwamedson3919
    @jackiemapenzyambwamedson3919 5 ปีที่แล้ว +2

    I can't believe am crying

  • @lilianundisa3434
    @lilianundisa3434 7 ปีที่แล้ว +5

    So encouraging

  • @shakiramwenye1683
    @shakiramwenye1683 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuu, nzur sana

  • @mudially7115
    @mudially7115 6 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho haya jenifa

  • @caroline3442
    @caroline3442 7 ปีที่แล้ว +8

    Imependeza, mbarikiwe wote mliohuzika

  • @milkamugomomugenimgomo6824
    @milkamugomomugenimgomo6824 5 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri sana Bahati umetoka mbali dada mubarikiwe nyote

  • @tzdgentillegentille3516
    @tzdgentillegentille3516 7 ปีที่แล้ว +8

    asante sana kwamafundisho

    • @neemamaiko9021
      @neemamaiko9021 5 ปีที่แล้ว

      TZD Gentille gentille mungu akubariki sanaa dada unatupa mafunzo mazuri

  • @lorenaeugene332
    @lorenaeugene332 7 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana Mgendi, unatufunza mengi dada zako.

  • @zawardnyongolano9250
    @zawardnyongolano9250 7 ปีที่แล้ว

    kwa kweli muvies nzuri sana mliyoitoa mungu awabariki sana

  • @nelsonbenjamin515
    @nelsonbenjamin515 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde ktk huduma yako make ili ni funzo

  • @einothmeliyo1942
    @einothmeliyo1942 7 ปีที่แล้ว

    daaah! kwa kweli nabarikiwa kila nitazamapo movies za Jennifer coz zna mafundisho mazito na mazuri

  • @joycekatana9984
    @joycekatana9984 6 ปีที่แล้ว

    Nice movie Jennifer mungu akubariki

  • @estellahakizamungu9567
    @estellahakizamungu9567 7 ปีที่แล้ว +3

    Nice movie thanks Jennifer

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 ปีที่แล้ว +5

    Jennifer nakumbali movie zako ongereni xna

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 ปีที่แล้ว

    I follow it from part one to the end it's good lesson let us follow the way of Jesus so that we can not follow the way of satani Jesus will protect and detector in the GOD'S way AMEN AMEN thank you Jennifer your playing and your songs are very interested and incergemen to people GOD bless you and your work of your hands in Jesus name amen

  • @mageandrew5550
    @mageandrew5550 6 ปีที่แล้ว

    Movie nzur Ina funzo zur hongera actors wote wa hii movi

  • @alexibraimokumu2341
    @alexibraimokumu2341 6 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza pakubwa sana;yaani mungu akubariki

  • @collinbetwel596
    @collinbetwel596 7 ปีที่แล้ว

    wapendwa nawapenda sana,nyimbo zenu zinafundisha pia zinazungumzia juu ya maisha yetu tuliyo kuwa nayo.

  • @lucypenfod8516
    @lucypenfod8516 6 ปีที่แล้ว

    Asante dada jenifer inafundisha sana

  • @Patricia800
    @Patricia800 7 ปีที่แล้ว

    muvi nzuri sana hii. ina mafundisho mazuri

  • @immaculatenanjala1327
    @immaculatenanjala1327 7 ปีที่แล้ว

    so educating luv it congrats

  • @doreenngina6945
    @doreenngina6945 6 ปีที่แล้ว

    bukuku na Jennifer mungu awabariki...

  • @belinafinias9611
    @belinafinias9611 5 ปีที่แล้ว

    Movie nzr sana, mafunzo tosha.

  • @markjoseph5698
    @markjoseph5698 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye kuelew ataelew, achen majungu

  • @ronaldledamaledama1321
    @ronaldledamaledama1321 7 ปีที่แล้ว +3

    very beautiful

  • @violetbruno9268
    @violetbruno9268 7 ปีที่แล้ว +6

    vijana tusidharau wazazi hamn mzaz asompend MTT wak na tukumbuk wameion dunua kabla yet

  • @yonamagile5528
    @yonamagile5528 5 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe kwa funzo zuli, nice

  • @randanomar2914
    @randanomar2914 7 ปีที่แล้ว +2

    Asante Africha Entertainment movie nzuri sana.Thanx kwa wacheza movie nzuri congrats.

  • @teddystephano8243
    @teddystephano8243 6 ปีที่แล้ว +1

    hongereni na mngu azidi kuwabariki

  • @shanteloniango3198
    @shanteloniango3198 6 ปีที่แล้ว

    nimejifunza kumurudia mwenyezi mungu

  • @nirmaladavid8861
    @nirmaladavid8861 5 ปีที่แล้ว

    Amina movie nzuri yenye mafunzo

  • @asmamohamefasma2307
    @asmamohamefasma2307 7 ปีที่แล้ว +8

    Asante kwa mover nxuri yenye mafunzo

  • @carenefaustine9460
    @carenefaustine9460 7 ปีที่แล้ว +9

    Jennifer na Bahati Bukuku may God bless you so much

    • @damianaron3200
      @damianaron3200 6 ปีที่แล้ว

      Carene Faustine nyimbo za kuabudu

  • @makungumwanaisha948
    @makungumwanaisha948 7 ปีที่แล้ว

    I just like this song ina mafunzo atlist I can control myself

  • @imejachunga9958
    @imejachunga9958 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kwa mafundisho mazur

  • @emilykareha6387
    @emilykareha6387 4 ปีที่แล้ว

    Heri yesu tu

  • @truefoundationmissionminis5951
    @truefoundationmissionminis5951 6 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mafundisho mazuri sana na Mungu awabariki.

  • @nbursongsverrynicejh6274
    @nbursongsverrynicejh6274 7 ปีที่แล้ว +5

    good message

  • @kaliwabuyehosheba4330
    @kaliwabuyehosheba4330 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Da ang Dath

  • @kimmbilinyi7676
    @kimmbilinyi7676 6 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana Mungu awabariki

  • @mwanamisimwakauli4793
    @mwanamisimwakauli4793 5 ปีที่แล้ว +1

    Picha nzuri sana hongereni sana

  • @user-em4ov5uh9p
    @user-em4ov5uh9p 6 ปีที่แล้ว +3

    Bahati nzuri

  • @blessedlinah9230
    @blessedlinah9230 7 ปีที่แล้ว +2

    very touching movie, barikiweni sana

  • @festodaudi212
    @festodaudi212 6 ปีที่แล้ว

    I like it love u San wote walioshiriki hii movie

  • @rosesubi3842
    @rosesubi3842 5 ปีที่แล้ว

    mbarikiwe kwa ujumbe wa kutufundisha

  • @nelibaba
    @nelibaba 7 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Jennifer Mgendi.Ujumbe umefika