PART15:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 295

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 4 ปีที่แล้ว +33

    Wakwanza leo likes zangu basi.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 ปีที่แล้ว +7

    Nimezidi kuogopa nilivyo ona iyo alama kwenye mkono wako Mwenyezi Mungu atulinde na shari za binadamu na majini.

  • @evishorts4543
    @evishorts4543 4 ปีที่แล้ว +6

    Davistar vizuri sana unatupa story nzuri alafu msimuliaji Makini Kama wewe💯

  • @shakiraabbas7538
    @shakiraabbas7538 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani leo hadi asubuhi nawakilisha chezea gamboshi ha haaa😂🙌🙌

  • @Lucykagz
    @Lucykagz 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema Davistar nafuatilia from Kenya Mombasa, nakwambia naingia TH-cam tuu kuona mwendelezo hii story isiishe iendelee tuvuke mwaka nayo Kaka, be blessed bro

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +6

    Masikini wa Mungu hayo mateso jmn..Pole sana kaka angu!! Siku ya hukumu tutasema nini mbele za Mungu wetu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +2

    Namshukuru baba mzazi sikua namuelewa wkt anatufundisha kuusu Yesu sikuwah jua mimi sikuwah aiseee niliona kama anazingua kumbe alijua siri

  • @jeannettemilumbu4081
    @jeannettemilumbu4081 4 ปีที่แล้ว +10

    Nimekuwa wakwanza kutizama leo
    From 🇦🇺

    • @zuhuraimran3659
      @zuhuraimran3659 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeitazama saa ngap 48 mins na hii video pia iko na 48mins

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 4 ปีที่แล้ว

      @@zuhuraimran3659 muongo huyo😀😀🤣 wakucoment kabla hawajatazama

  • @theunseen.believe5672
    @theunseen.believe5672 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Davista,yani nilikuwa na hamu ya kusikia kuhusu gamboshi, naona tunaendelea taratibu hadi raha🙋

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว +2

    Mateka kweli gambushi ndoulivyoo ingia lkn kichapo umekipata kweli pole sana hapa ndonaona film imeisha mkanda kamili ndohuuu 😱😱😱😱😱😱

  • @marysteven605
    @marysteven605 4 ปีที่แล้ว +4

    Jaman haya mambo ili kuyapona,tumtafute sana Mungu,wachawi wanatisha

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว +1

    naelimika vizur sana😊

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 4 ปีที่แล้ว +21

    uchawi upo kabisa nivyema kuomba hifadhi kwa MWENYEZIMUNG.

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +2

    Rizik somoe cute emmy pili njooooon jaman mambo mapya🇪🇭🇪🇭🙄

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 4 ปีที่แล้ว +2

    Intresting part👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah atulinde na hawa wachawi

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @jimmykazoya1749
      @jimmykazoya1749 4 ปีที่แล้ว

      No Allah... Jesus above all

    • @bintimrope
      @bintimrope 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jimmykazoya1749 hakuna mwingine nimjuae zaidi ya ALLAH.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      @@jimmykazoya1749 Allah above all ndugu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

      @@bintimrope mwambie huyo

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 4 ปีที่แล้ว +1

    Duniani kuna mengi MUNGU Atulinde,,,, asante kwa kutuletea vipindi vya kujifunza

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +13

    Yaani Zabron ungekuwa ulaya wewe ungekuwa millionare make kwa xtory hiyo sisi tunafulahi kusikiliza ila ni bonge la dili hiyo ni movie tosha ulaya na ukatajilika

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 4 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah nashukuru kwa mapito yangu,kuna watu wamepitia mitihani balaa Duuh!!!Mungu endelea kutulinda na majanga ya Dunia hii.Kweli kila mtu akisumulia mapito yake utajiona una afadhali sana uliyopitia kuliko mwenzio.
    Daah ndo mana tunatakiwa kushukuru Mungu kwa kila unalopitia maana kuna mwenzio huko anapitia magumu zaidi yako.

  • @alitoufik5477
    @alitoufik5477 4 ปีที่แล้ว +9

    Hapa sawa tuandalie ya 16 cc tupo macho na Zabron

  • @missnmissnn244
    @missnmissnn244 4 ปีที่แล้ว +2

    Tunaomba ya 16 plz

  • @neemaomar76
    @neemaomar76 4 ปีที่แล้ว +2

    Afadhali ahsante DM❤️

  • @patriciakamugisha2294
    @patriciakamugisha2294 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilivyo muoga kusikiliza ucku nasubiria mchana tu hahahah. Pole sana zablon uliyopitia sitaki kuamini ila ndio ukweli. Nawaza tu hii dunia ina mambo jamani Mwenye Enzi Mungu atusaidie sanaaa. Tuletee bac episode kama 5 hv mfululizo

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +3

    nakoment tena
    ndugu watazaman tumchangien huyu jamaaa ( Zabron)
    naomba tuwambiwe namba hıı ya cm ya mpesa pia?

  • @sharifusaidi461
    @sharifusaidi461 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteee davistar tuleteee iyoooo nyingineee

  • @oduoratieno2613
    @oduoratieno2613 4 ปีที่แล้ว +4

    Very touching story
    Sorry bro God protect u forever

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 4 ปีที่แล้ว +2

    Davister hii series ni ndefu hebu tushushie mzigo bampa to bampa....usidelay

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah Kaka zablon nashindwa hata niandike nn

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭kuna watu wanapitia magumu sana

  • @aminabhitalio8143
    @aminabhitalio8143 4 ปีที่แล้ว +2

    Story nzur sana

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว

    Alamanimeonekan vizuri sana dah iyo alama inatisha

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +5

    Ufunuo wa yohana 21...Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
    Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku...alafu linatokea jitu linasema eti bible ni gazeti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anna kitabu kilicho andika ukweli wote na maneno ya Mungu kama bible...yote yanayo tokea na kuendelea yameandikwa

  • @saidjuma25
    @saidjuma25 4 ปีที่แล้ว +1

    story safi

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 4 ปีที่แล้ว +2

    WA Kwanza Leo MCESHI🤛🤛🤛💪💪💪

  • @omarmahmoud451
    @omarmahmoud451 4 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up bro

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 4 ปีที่แล้ว +3

    Wachawi wote motoni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😪😥😥😥😥😥😥

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh nikajua nimewahi Leo na mimi

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimewahi leo asante br

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 4 ปีที่แล้ว +1

    Dunia Ina Mambo walah
    Mungu tusaidie tu hakuna tunachojua Wala kuona kwa macho ya kawaida Ni wewe tu Mola wetu wakutupigania😪😥

  • @kisomekiseto5674
    @kisomekiseto5674 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubari sana

  • @nahirhumoud8756
    @nahirhumoud8756 4 ปีที่แล้ว +4

    👍👍👍

  • @hamisihassan2620
    @hamisihassan2620 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar tuletee part 16 mbona watuchelewesha bhana

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 ปีที่แล้ว +2

    Hatari sana

  • @mysskibe
    @mysskibe 2 ปีที่แล้ว

    9:00 anaongelelea zaneti train ama?

  • @jamesngalijah3710
    @jamesngalijah3710 4 ปีที่แล้ว +3

    Ila usimuache zablon mpaka amalize story

  • @godfreymwita6148
    @godfreymwita6148 4 ปีที่แล้ว

    Dah noma mpaka alama

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 4 ปีที่แล้ว +1

    Aseee.!
    Kuna watu wamepitia Kama Sio binadamu wa kawaida.

  • @jeaninemugisha6395
    @jeaninemugisha6395 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu kweri kuna uchawi kabisa

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

    Duh hatari. Wamemuweka alama duh. Pole sana zabron

  • @angelmilele4730
    @angelmilele4730 4 ปีที่แล้ว +1

    Okoka kaka angu

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 4 ปีที่แล้ว +1

    story tamu jamani davi uwe wasaka watu kama hawa wenye mambo mazuri

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 ปีที่แล้ว

    Davista naomba kazi ya u mcamera man
    Mshahara wangu msosi tu

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 4 ปีที่แล้ว +1

    Uchawi jamani upoo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @mr.jasonfxsignals4873
    @mr.jasonfxsignals4873 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar tupe aki yetu 😂😂😂🤩

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 ปีที่แล้ว +2

    Nlikua nasubiri kwa hamu.. Davistar alivosisitiza kuchukua namba za hao jamaa wenye mihuri nimecheka 😜😜😜

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 4 ปีที่แล้ว +1

    Ziwe part one na 2 tunasubiri sana mpaka macho yanataka kutoka kuchungulia kila dakika halafu hii kama fupi ina dakika chache au mm tu utamu umekolea 😂

  • @justerinnocent7014
    @justerinnocent7014 4 ปีที่แล้ว

    Davister siyo vizuri jamn mbna dk ndogo😝 tupe muendelezo basii😥😴

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 4 ปีที่แล้ว +1

    najifunza📖

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatariii sana

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 4 ปีที่แล้ว +1

    Misukule kitambo sikua najua hizi story nilianza kuzisikia na Bishop Gwajima misukule misukule

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 4 ปีที่แล้ว +2

    nyingine iko wapi...dah inaisha haraka sana dah

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa majanga

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว +3

    Wachawi ni watu tofauti sana, yaani tunashangaa kuwa duniani humu humu kuna watu wanaoishi dunia tofauti, yaani mtu yaliomkuta mambo hayo, akisimulia unaweza ukafikiri kuwa au alikuwa anaota? lakini njozi gani hiyo ndefu hivyo? alafu anakumbuka kila tukio. wachawi sio watu kabisa, waangamie.

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ndo kwanza imeanza

  • @aishaha3538
    @aishaha3538 4 ปีที่แล้ว +1

    Bona watuweka sana

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 4 ปีที่แล้ว +1

    unaweza toa movie zabron na ukawa mbele hiyo ni filamu tosha

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 4 ปีที่แล้ว

    Dah katika story zote za davistar za kichawi hii noma ssna dah natamani iishe

  • @pazimazongera4934
    @pazimazongera4934 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndani ya gamboshi

  • @nyendochamwela3031
    @nyendochamwela3031 4 ปีที่แล้ว +4

    Sasa je! Mwache mti mkavu ale bata.

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 4 ปีที่แล้ว +1

    Ungekua unatupakulia haraka jamani vibando vyenyewe vya 24hrs 🤣🤣🤣

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeani na nitamwamini Mungu

  • @sultansoule2571
    @sultansoule2571 4 ปีที่แล้ว

    Inatisha duh polesana Jamaa😳

  • @tamranadiya2962
    @tamranadiya2962 4 ปีที่แล้ว

    Duh kumbe haya mambo kweli

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว

    welcom ndugu watazamaji to GaMbOsHi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmewahi Leo 💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @rehimamohamedi634
    @rehimamohamedi634 4 ปีที่แล้ว +1

    Just waiting 16ep

  • @joycedzuya2330
    @joycedzuya2330 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar aky wanifanya ka chizi kazi sifanyi vizuri kila dakika nachungulia what's next

  • @halimaaa3860
    @halimaaa3860 4 ปีที่แล้ว +1

    Asantkwasimulizinri🙏💯

  • @godfreymwita6148
    @godfreymwita6148 4 ปีที่แล้ว

    Yan nilikuaga naona licnk za isimliz naipotezea kumbe tam sana

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

    Uko ndiko kuzimu jamani kuzimu kunatisha...iyo miji ni ya shetani na mjue shetani anaiga mbinguni kuna mji mzuri mtukufu lkn bila kumjua Yesu basi uwezi fika ktk huo mji

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 4 ปีที่แล้ว

    big up and up

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 4 ปีที่แล้ว +3

    Yan hyu jamaaa kapitia pagumu sana

  • @sarahsaimon2318
    @sarahsaimon2318 4 ปีที่แล้ว +1

    Woyooo wapili

  • @abduliddy4545
    @abduliddy4545 4 ปีที่แล้ว

    Kamasio Judi zako dm mikasa tungeipata wapi

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +2

    Na yule mganga alie kuchanja lengo lake ufike gamboshi..apo ndipo mjue waganga ni wa shetani amna mganga anae toa dawa ya kweli maana wote wanachukua izo sumu kuzimu...

  • @jamesngalijah3710
    @jamesngalijah3710 4 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja mwanzo mwisho

  • @annasilayo1405
    @annasilayo1405 4 ปีที่แล้ว

    Vipi jamani mwendelezo mnatuekaroho juu

  • @khadijasalum7340
    @khadijasalum7340 4 ปีที่แล้ว +3

    jamaa anasema ukweli nishawahi kuona watu wanahiyo alama nilijisemea urembo gani huu. kumbe

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema uchawi hauend kwa mentali
    Sema hii nchi kuna watu wnaroga..
    Daaash cio poa..

  • @evalynclemens2861
    @evalynclemens2861 4 ปีที่แล้ว +1

    Waiting Part 16

  • @ziadameta8702
    @ziadameta8702 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 4 ปีที่แล้ว +1

    uchawi upo na wachawi wapo kizuri kukimbilia kwa yesu

  • @maryamevarista9473
    @maryamevarista9473 4 ปีที่แล้ว

    Khaa kumbe haya mambo yapo kiukweli ukweli misikuzote huwa nazani ni maandiko ya history tu! Daa ama kweli wachawi shikamooni

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuona wachawi kumempeleka gamboshi😂😂😂😂🤣🤣😅🤣

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Gamboshi!! Gamboshi!! Gamboshi!! 😏😏😏😏😏😏🤣Kwann lkn kuzimu kunakua hivo jmn

  • @tonywambua9505
    @tonywambua9505 4 ปีที่แล้ว

    Still following up

  • @fatumamohamed8645
    @fatumamohamed8645 4 ปีที่แล้ว

    Haki yaani uchawi uko kweli yaani HATA wamekuweka Alama?
    Haki Zako ziko sana Mungu Azidi kukulinda sana, Nahodha Devistar MATA, uko chonjo sana yaani Nakubali Akikutana nao Achukue Numbers 🤣🤣💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko

    • @mcheshcomedy5809
      @mcheshcomedy5809 4 ปีที่แล้ว

      Saw😀😀😀🇹🇿🏃🏃

    • @suleymanally4729
      @suleymanally4729 4 ปีที่แล้ว +2

      Zinatuchangamsh tuliop ughaibun

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว

      @@suleymanally4729 kabisa pamoja sana mdau Mwenzangu Tuwendelee kupata somo kutoka kwa dm

  • @kimandoro7432
    @kimandoro7432 4 ปีที่แล้ว +1

    💯💯