AMBOKILE: TAIFA STARS HAIWEZI KUFUZU/WACHEZAJI WANARUKARUKA TU/AWACHANA UKWELI MZIZE,SAMATA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 16

  • @chalemofaraji8797
    @chalemofaraji8797 11 วันที่ผ่านมา +3

    Bro umeongea ukweli kabisa na tupunguze dharau wachezaji,🇬🇷🇬🇷🇹🇿

  • @ZiiiMEDIA
    @ZiiiMEDIA 11 วันที่ผ่านมา +1

    Daaah jama anaongea vizuri sana

  • @ANNYClarissa-i8p
    @ANNYClarissa-i8p 12 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri kaka tatizo yenu mlileta zalau sana mbele ya mchezo

  • @kapafulemartin5164
    @kapafulemartin5164 11 วันที่ผ่านมา +1

    Shauri ambayo Mimi ni mkongomani kutoka Lubumbashi nimewapatia ni kusema muendelee kutafuta wachezaji wenu ma inchi ya ulaya

  • @maase2023
    @maase2023 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kufungwa kubaya sana

  • @AmisseMwenetombwe
    @AmisseMwenetombwe 8 วันที่ผ่านมา

    Kweli Samata sio kitu mbele ya Mayele. Na Meshaki haiwezi mlinganisa na feitoto

  • @RichardAmosi-hz3nm
    @RichardAmosi-hz3nm 11 วันที่ผ่านมา

    Hii aibu kwa tanzania serikari inachangia hatuna mfumo wa mpira

  • @abumussabnassor6141
    @abumussabnassor6141 11 วันที่ผ่านมา

    Tunahitaji kocha kutoka njee ya nchi moroco co kocha anasifa ganii tusileane mpira coudugu tulete makocha kutoka njee

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ambokile msema kweli

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 11 วันที่ผ่านมา

    AMBOKILE ACHA UJINGA UNAWASEMA WACHEZAJI VIBAYA NDY MAANA WACHEZAJI HUWA WANAOMBA KUSTAAFU SOKA KWENYE TAIFA LAKE
    TUSIWAKATISHE TAMAA WACHEZAJI WETU

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 12 วันที่ผ่านมา

    Watanzania 🇹🇿 Tumechagua Maisha magumu sana kwa Nini?
    1: Tumechagua Maisha ya Kuongea Sana Kisiasa Kwenye Mpira ⚽ hatuambizani Ukweli
    2: Tumechagua Maisha ya Kusifiana kwenye hakuna hata kama kuna makosa yamefanyika sisi tunasifiana tu.
    3: Tujengeni Utamaduni Wa Kuwaendeleza Vijana Wetu Wanaofanya Vizuri Kwenye Umri Mdogo Kwenye Mashindano Mbalimbali Wanaoshiriki na Kuleta Mafanikio Tanzania 🇹🇿

  • @IlayaShabani
    @IlayaShabani 12 วันที่ผ่านมา

    Wewe ambokile acha mdomo mbwana ndo kazi ya watanzania tu mdomo mwingi sana 🇨🇩

  • @IlayaShabani
    @IlayaShabani 12 วันที่ผ่านมา

    Akuna wajambuzi apo. Je wewe unawenza kila siku amko bora wewe kuwa kocha sasa. Acha kubwatukambwatuka. Unaweza kucheza acha mdomo.? Umesha fungwa tu 🇨🇩