SIKIA BALAA LA MSHAIRI FUMAU KWA ALI KAMWE/MANARA/AMTAJA ENG. HERSI/AL HILAL WATAKUFA MAPEMA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Leo Octoba 5 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Msanii wa Mashairi Fumau Ally maarufu kama Fumau Mshairi ambaye ni shabiki wa Yanga.
    .
    Fungua video hii kupata uhondo wote wa Mahojiano haya.

ความคิดเห็น • 74

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwananchi unajua unajua unajua tena hongera sana kipaji bora💚💚💚💛💛💛

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว +2

    Na ana vibe balaaaaaa All the best bro tup pamoj

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Allah barik kipaji umejaaliwa 💚💛

  • @aliyussuf9126
    @aliyussuf9126 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah allah akulinde na hasadi napenda sana mashairi haswaaah sauti ulizo zitumia umenikosha sana

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 2 ปีที่แล้ว +6

    MANSHAALLAH KIJANA BIG UP ENDELEA UNAWEZA 💛💛💛💛💚💚💚💚💚💯💯💯💯

  • @halimamnavi3208
    @halimamnavi3208 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante mwanangu unakipaji Mungu akutangulie kwa kila hatuwa

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 2 ปีที่แล้ว +4

    Naaam naaam nmeinjoy hiii enterview🤣😋💃💃

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 2 ปีที่แล้ว +8

    UNA KIPAJI MDOGO WANGU MUNGU AKUBARIKI 💛💛💛💛💛

  • @nuruali7859
    @nuruali7859 ปีที่แล้ว

    Masha Allah! Mkaka penda wewe uko vzry sana...BIG UP BROH!

  • @benymathew4277
    @benymathew4277 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa sana Mswahili mwenzangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว

    Salute kwa walimu wako wa Kiswahili kwa kpalilia kipaji chako dogo.

  • @aminasaid308
    @aminasaid308 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarki kaka naamini utafika mbali coz unakipaji sana

  • @latifmangula7876
    @latifmangula7876 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana baba Ang Azam media mko wap mchukueni kipaja hicho Kiko wazwaz

  • @khalidmaalim2439
    @khalidmaalim2439 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongoze very talented

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 2 ปีที่แล้ว +4

    tunaaangalia ushindi jaman wachezaj wote niwetu na mupo ndani ya team yetu tukiliweka hilo haswaa wachezaj wetu tutafika mbali mnooo nasikiaga vibaya tukikosa goli alaf kuna mtu yuko kwenye nafasi na akupewa mpira inaniuma sn ila kwakua siko uwanjani.pingine ninavooona mm yy ajaona ila kuna wakt unamuona.mtu anaoma ata raadhi kwa mwezake.kwamba alimuona na.alijua pale kuna nani fanyeni kila nafasi kuwa dhahabu na tuitumie kwa umakini naona ninyi akina akina feisali na mayele faridi anaga baya kwenye kutoa pass ya magoli

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah jmn nailudia tena eti🔥

  • @burhantvtzonline5417
    @burhantvtzonline5417 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiii hatar MaashaAllah

  • @habibuismaili3881
    @habibuismaili3881 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda bure we kaka

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +3

    Unafaa sana kuwa mtangazaji wa mpira Big up wako na tena sauti yako inafanana na baraka mpenja

    • @eshanyiro7435
      @eshanyiro7435 2 ปีที่แล้ว

      Dogo uko vzr bhana Allah azidi kukusimamia katika malengo yko

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 ปีที่แล้ว

    Hiki ni kipaji cha kuzaliwa, hongera sana.

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 2 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda sana

  • @ommydia2734
    @ommydia2734 2 ปีที่แล้ว

    ManshaAllah kijana upo vzr 🇾🇹

  • @hosenmdigo1125
    @hosenmdigo1125 2 ปีที่แล้ว

    Good good kijan upo vzr

  • @makatutv2433
    @makatutv2433 2 ปีที่แล้ว +5

    Was mwanzo ku coment

  • @ophryntirnigaprod1263
    @ophryntirnigaprod1263 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaj unasaut nzur nenda UPANDE tren uje kigoma STUDIO UTOE NYIMBO

  • @reylahjafali8035
    @reylahjafali8035 2 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri kijana

  • @junayhaone874
    @junayhaone874 2 ปีที่แล้ว +2

    Upo vizur kijana
    Nmekukubali

  • @mashakalonka7767
    @mashakalonka7767 ปีที่แล้ว

    Nice talent!

  • @abbasibaro6217
    @abbasibaro6217 2 ปีที่แล้ว +3

    Salute dogo 👊💚💛

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 💚💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi n simba lakini sisi wanasimba wengi n mbumbumbu hatuna hicho kipaji cha ushairi😀😀😀😀😀

  • @aminasuleiman3091
    @aminasuleiman3091 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah unakipaji kaka

  • @peterchande957
    @peterchande957 2 ปีที่แล้ว +2

    Dogo yuko vema wako wapi Azam media wambebe huyu dogo, paji kubwa sana

  • @ahmedalhashmy6445
    @ahmedalhashmy6445 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah famau

  • @Abdulrahman1971Abdulrahman
    @Abdulrahman1971Abdulrahman ปีที่แล้ว

    Hahaha .. karibu 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @msimbatiboy7517
    @msimbatiboy7517 2 ปีที่แล้ว

    Brow unajua sana

  • @ibrahimchilindo9291
    @ibrahimchilindo9291 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee huyu jamaa ni mwisho nimemsikiliza mpaka mwisho ,jamaa ana kitu kikubwa Sana mungu akusimamie

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 ปีที่แล้ว

    Kijana!kijana!

  • @yahyaog1175
    @yahyaog1175 2 ปีที่แล้ว

    Wow 😳😳😳 Pambana unakipaji kikubwa sana

  • @rahimhogola3909
    @rahimhogola3909 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah noma san dogo unajuwaaash

  • @tarikasaa1396
    @tarikasaa1396 ปีที่แล้ว

    Ubdul unaweza

  • @jillydezanzibar4435
    @jillydezanzibar4435 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @makatutv2433
    @makatutv2433 2 ปีที่แล้ว +7

    Please like

  • @hosianawilliamson7396
    @hosianawilliamson7396 2 ปีที่แล้ว

    Hatar sana kijana

  • @michaelselis8531
    @michaelselis8531 2 ปีที่แล้ว

    🤣 nakupenda sana dogo

  • @kamdinindevu5185
    @kamdinindevu5185 2 ปีที่แล้ว +1

    Anakipaji sana

  • @zenamkwepu4095
    @zenamkwepu4095 2 ปีที่แล้ว

    Yanga raha sana

  • @emmanuelmtifu5107
    @emmanuelmtifu5107 2 ปีที่แล้ว

    Congratulatins dogo

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kama kafanana na baraka mpenja

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 ปีที่แล้ว

    Ndotto zako zita timia inshaallah

  • @kamdinindevu5185
    @kamdinindevu5185 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kamdinindevu5185
    @kamdinindevu5185 2 ปีที่แล้ว +1

    👊👊👊🔥

  • @idrissamussa7845
    @idrissamussa7845 2 ปีที่แล้ว

    Nakubal

  • @samirysharifu8649
    @samirysharifu8649 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwa jemas samweli duuuu shikamooooooo

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 2 ปีที่แล้ว

    Ndio mambo umunaweza

    • @tasianalucas1716
      @tasianalucas1716 2 ปีที่แล้ว

      Big up mwananchi walabu tuna wapigatu 4 kavu amini manenoyangu by kilosa moro

  • @zenamkwepu4095
    @zenamkwepu4095 2 ปีที่แล้ว

    Yanga kuna vipaji jamaniiii

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 2 ปีที่แล้ว

    Kwa vipaji hivi haviendelezwi!?

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 2 ปีที่แล้ว +1

    tupo tumekusikia

  • @hamismalima8371
    @hamismalima8371 2 ปีที่แล้ว

    Kwangu hii ndo interview bora uliyowahi fanya na mashabiki tangu msimu huu umeanza,naomba km inawezekana nimpate huyu kijana nimpe ticket ya VIP B ya kesho

  • @chollomiro5990
    @chollomiro5990 2 ปีที่แล้ว

    5

  • @sirojingereza6495
    @sirojingereza6495 2 ปีที่แล้ว +1

    Anakipaji jamaa

  • @innocentmbugi1961
    @innocentmbugi1961 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakupat usiishie apo Tunga Zaid na Zaid IPO sk

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 ปีที่แล้ว

    YANG'AA weweeeee

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂👍

  • @Bertzoneboy
    @Bertzoneboy 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mwamba anabalaaa