Naomba msaada dr, steamer yangu ikichemka inavuja maji kwa chini, halafu inakuwa inatoa mvuke kidg inatulia tena hata dakika 3 inaleta tena mvuke, sielewi nn shida, msaada plz
Jmn me Niko mbar na dar natamn kujua kusuka, kumuweka mtu daw na kuset py. Stima ninayo draya py ninalo lkn sijui chochote. Naweza jua vyote Kwa njia ya online?
Asante sana Farida mungu akubariki
Nakushukuru sana nilikuwa sijui linatumikaje asante kwa mafunzo yako
Asant sana mungu akubaliki
Asante sana wateja wangu nilikuwa naweka kwenye draya
Asante Sana
Hi,,, nafurahia sana mafundisho yako uko sahihi sana good
Shukran sanaaa
❤❤
thnx
Ubarikiwe
Shukran
Ahsante
Asante nimefaham nilikuwa sijui je hayo maji yataendelea kutumika kwa mda gan?
Shukqraaan😍😍
Asande my deal
Steamer nzur inauzwa sh ngap?
Hi mependa mafundisho naomba kuungwa kwenye group
Naomba msaada dr, steamer yangu ikichemka inavuja maji kwa chini, halafu inakuwa inatoa mvuke kidg inatulia tena hata dakika 3 inaleta tena mvuke, sielewi nn shida, msaada plz
Je ni aina gani ya nywele inatakiwa utumie stiming??
Samahan da farida stima hakuna pakupunguza moto
Habar madam hivi ukiwa umewasha stima na unamueka mteja ila mvuke unamwangikia shida ina kubwa nn msaada tafadhali
Jmn me Niko mbar na dar natamn kujua kusuka, kumuweka mtu daw na kuset py.
Stima ninayo draya py ninalo lkn sijui chochote.
Naweza jua vyote Kwa njia ya online?
farida mbona stima yangu nikiweka maji yanavuja chini nisaidie pls.
Hat mm jmn
🔥🔥🔥😋😋😋
Helooooo
Mm stima yang ina km jagi chin
Kwenye stima kuna vimmtungi vingapi vinaekwa maji
Madame me.naitaj kujua jinsi ya kumpaka mtu steaming
Sawa dear soon nitaanza kuposti
Sasa nimeelewa🤸
Hayo maji yataenderea kutumika kwa muda gani?
Kazi yke nn
Je ayomaji yanakua juu na chini au vp
Je nikitaka kutoa maji natoaje naomba nielekeze jaman
Tupe contacts
Shingap Kama iyo.
Mimi nataka nijue jinsi ya kutumia draya ya mkono
Hicho kikopo hpo kina kaz gani
Unamvalisha kofia ya plasti
Da farida mi nataka vile vi stima vya kofia ya prastiki my dear
Asant sana mungu akubaliki
❤❤❤