Kazi Imeshiba Nyandu,Ni Kweli Mitaa Inaelewa Mzee Baba Umetisha,Kideo Kiko Fureshi,Huku Mtu Mzima Kinywele Kimoja Huwaga Hakosei Kwenye Mambo Hayo Ya Beat Katupia Beat La Kiwango Cha Dunia,Kazi Imebamba Sana..BigUp Wote Walioshiriki Kwenye Hii Kazi Mmeitendea Haki
Young dee wa sasaivi sio yule wa kwenye ngoma ile NIMEKASIRIKA kitambo dee ulikua unachana dunia now daaa stayl yako sio kiivyo mzazi .. ..ila bonge LA ngoma nyandu naona safar hii umepoa kimtindo kaza
I guess Im asking randomly but does anybody know a tool to get back into an instagram account? I was dumb lost the password. I love any tips you can give me
@Cesar Sincere Thanks so much for your reply. I got to the site thru google and im trying it out now. Takes a while so I will reply here later with my results.
mtaani tunakuamin mwamba unajua kuchana. we endelea kushusha zana hii vita tutashinda watoto wadogo na vigari mtaani wanavimba, wakiniona wanachimba nauliza why au nanuka kama kimbaaa aaaah
Katika wanahiphop wanaojua kurap na pia kuimba chorus chin bees ni mmoja wapo,,,,,tofauti na wengine, wengine wanajua kurap tu chorus kuimba hawajuh lkn chin bees vyote anajua
Here in 2024....still the BANGER🔥🙌🏾
Aliyegonga hii beat anaenda peponi bila maswali.😉
Luffa huyu baba
Nyanduuuuu
Tumpeni Maua yake maana co pouwah
@@crershawmafia1009 Kumbe hii beat ni ya Luffa nilikua najiuliza muda mrefu sipati majibu aisee
Kazi Imeshiba Nyandu,Ni Kweli Mitaa Inaelewa Mzee Baba Umetisha,Kideo Kiko Fureshi,Huku Mtu Mzima Kinywele Kimoja Huwaga Hakosei Kwenye Mambo Hayo Ya Beat Katupia Beat La Kiwango Cha Dunia,Kazi Imebamba Sana..BigUp Wote Walioshiriki Kwenye Hii Kazi Mmeitendea Haki
EBWANA EEEEEEEEEEEEEEEH!!! BONGE LA NGOMA FLOW HIZI SIO ZA NCHI HII KUANZIA NYANDU MPAKA YOUNG DAR ES SALAAM NOMA SANA WAZEE...
Km bdo unaiskiliza 2020 gonga liketujuane
Inagonga bado.Ham from 254
Chin bees kumamako unajua kama mnyamwez wa mamtoni
hili dude sjui kwann nmechelewa kulicheck yan.
vitu ka hizi mi naitaga #mkong'oto
Bonge la nyimbo mamaee!!! Halla 2 hamidu paka rappa na mzee mzm chin beeeeeez ovaaaaa
Nyanduuuuu bado iko on 🔥🔥🔥unyamasana ndani ya dar es salaam, 26 life🔥💪
Sema kati ya ngoma kali za HIP HOP hapa #Bongo hii ni moja wapo🫡 Young Dee Paka Rapper ameua sana #Respect. here in 2024🫡
Hamidu from 1999 ni fire , big up double double to you.
Supporting nyandu from kigoma after 10 years of diamond platinumz
Producer alifanya kazi nzuri sana kwenye huu wimbo, hauchoshi.
Plus chorus Beez katisha 🔥
Can See PFunk He is good HipHop Rap Producer
Young dee wa sasaivi sio yule wa kwenye ngoma ile NIMEKASIRIKA kitambo dee ulikua unachana dunia now daaa stayl yako sio kiivyo mzazi ..
..ila bonge LA ngoma nyandu naona safar hii umepoa kimtindo kaza
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeee .. Hili Linyandu Linajua mpaka linatisha..! Seeeeh..!!
Du hii miamba imekutana. Noma sana cheen bzzzzzz. Yang dar salama. Nawaelewa sana nice song nice video
Kuwa milionea 🤘🤘🔥🔥 dude la kibabe
Hez Josef oi karbu kwenye channel yang subscribe, view na kulike na ntafanya ivo pia
Sio kuwa millionea ni poor millionea
Salute mzazi hujawahi kukosea ni mwendo cheche tu ovaaaaa #26life
Josephine Ludovick oi karbu kwenye channel yang subscribe, view na kulike na ntafanya ivo pia
Verse zote angeimba nyandu ingekuwa poa sana
salute sana wazee wa kazi nimekubali, IVASON nimekuona mbaba, YOUNG D salute damu yangu
Nyandu rasta.roll modo wangu.nakukubali kinoma boy.
Niwe star wa bongo ambae siringi 🤔
Young D ukiimba na Tozzy wagwa unshkwa na hasra,afu Chin Bees nae amenyoosha
Chin beez😍😍 nyandu🥰🥰 young dee😍😘
Hamidu Ujawah Niangusha Flows Za Bei Ghali Vyuma Vimekazaa.....Chin Bees Killer Paka Rapper Shot Em
Nyandu 26 tunakuelewa mnyama , hope next time jiwe jingne kali kama kawaida but wekanamba chafu nying 13,26 hadi 28
That bassline is so dope!!!
Bassline makes this beat higher than Chuga weed
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😈😈😈😈😈😈😈😈😈💪💪💪💪💪💪💪💪✊✊✊✊✊✊✊💘💘 Tunazikamata double double level za kidevil iga ufeeeee 👏👏👏👏👏👏👏👏
Oyooooooooooo, nyandu tozzy umeua humu ndani big up sanaaaaaaaa
Amini mwanangu Nyandu ww ni jini mzee sio kwa mipanch hiyo shikamoo Kaka👊👊
Dubleduble sio🎉🎉🎉sio double double
Namsikiaga sikiaga tu NYandu Nyandu lkn nilikuwa simfat8li8ii lkn kwa hiiiii ngoma yani FIREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE DOUBLE DOUBLE mikazo mpaka mkazo ujuteeeeeeeeeeeeeeeeee B.OB
Awee sailor
Like that mean........👊👊👊✔✔✔✔Together Together blood
Big up nyand 26 lef God bless you good job
I guess Im asking randomly but does anybody know a tool to get back into an instagram account?
I was dumb lost the password. I love any tips you can give me
@Finnegan Randall Instablaster =)
@Cesar Sincere Thanks so much for your reply. I got to the site thru google and im trying it out now.
Takes a while so I will reply here later with my results.
@Cesar Sincere it worked and I actually got access to my account again. Im so happy!
Thank you so much you saved my ass !
@Finnegan Randall no problem xD
kuzinyaka lazima hustle bro
mugodi wenye madini. machaliii mmewakiliasha vyema.......nice...
........BIG.........MCHAKA MCHAKA AD JIJI LINA AMA...........NIWEBMDOGO ALAFU AKILI NYINGIIII....
mtaani tunakuamin mwamba unajua kuchana.
we endelea kushusha zana hii vita tutashinda
watoto wadogo na vigari mtaani wanavimba,
wakiniona wanachimba nauliza why au nanuka kama kimbaaa aaaah
Nani amekubali hii chorus ni kali sanaaa🔥🔥chin bees
hii nimeikubali aisee ..kazi nzuri sana ..mob love toka +254
Fuata🔥
Unyao 🔥
Uchane 🔥
Msamba 🔥
Jitu bovu 🔥
Hit ya kibabe Brother hood ✋
Latino style 📷
November 2019 ambao bado tunaskiliza tujuane
Yaan leo nyandu nakupa big up afu majan mtu mzma huwa hawakosei asee yaan kufanya kazi na uyo mtu lazima ngoma iwe kali
B.O.B click team 26 No, mameen Nyandu hili dude ni bomb arif!!
nyandu unajua my blood. hip-hop unaijua.one love.
Bonge la ngoma men. Salute
Ooh!! Young d!watu wanaeza wacmwerewe alichoongea mana kafany cool flow
🔥 🔥 🔥 nyandu huwa unachana tu unavyojickia na upo free kwenye kila beat. wataelewa tu
Nyandu uko vizuri ongera kazi mzuri ww hauimbi bari unakufuru habari baba
Nyandu unajua kinoma koma tupe mawe mm unajua Hawakuwezi Bongo mzima ww ndio mfanyaji hip hop harisi kabisa bless up kaza
Nyimbo mbaya
nyimbo qalii
Mawese Baby kaimbe yako GAY wew
sio harisi ni halisi jifunze kwaza kiswahili
sio kwaza ni kwanza
Ebwana ni Noma 2024
"wanagawanya promo, endless Ludhiana Zanaa.. "
mamae hii ngoma sichoki kuiangalia..mmeua sana wazee
Nyandu napendaga sana anavyochana huyu muhuni😀😀😀
nakubali Sana hamidu toka #wamekasirika mpaka #doubledouble
Nimewakubali wana umetisha
noma sanaaa huuu ni motoooo
Qboy katika ubora wake...paka rapper amewaka..
Hili beat ni kama version ya Hey Dj ya Sister P…..nani amefananisha sawa na mimi 🙌🏿🙌🏿🙌🏿p funk kinywele kimoja
Chin bees hufai kabsa fire mwanangu unatisha mbaya
hii Ngoma ni Kali hadi nahisi ina verse moja ya nyanduToz
Kazi nzuri sana....ila umevaa remba kama mabishoo imetia doa.
Well done! Nyandu Tozi, Boya Stay Back....
Chin bees kanileta hapa
Gonga like kwa bees gang👍👍👍
Salum Mwita kanilta af nikakuta ngma kal...yan dah! Moto bab
Salum Mwita Chin Bees usimpe Chorus akufnyie....atakufnya uonekane kama hujui vile....hahaha Bonge la ngoma lkn
SAMU WA ukwel
Kuniona ona kwanza one time one time.. Hata kutoa ngoma ni kwa one time one time🔥🔥🔥
fundi nyandu tozi Plus paka lapa plus Chin beez 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💣🔫
Kama hauja waelewa nenda zenji
Fedrick Haule oi karbu kwenye channel yang subscribe, view na kulike na ntafanya ivo pia
Punch liner#king haijawai kutokea mtu mbaya Sana nyandu toz
Good hip hop I luv tz hip hop much luv from Kenya
fresh nyandu kaz nzr sana kino begani chupa maskan imehusikaa
"Viwanja vingi nimejimix nakwenda kusaka mahela"
konki kwel noma kafa kabaki poa unajua nyandu toz ft yuong deeeeeee
Walinichekea kama mlinzi ha ha ha Young Paka D
Nyanduu Saluuuteee
Ovaaaaaaaa👐👐
wana wakali
Ebwana eheee huu mguu aliovaa Nyandu Tozzy noma daha
niko hapa leo nalipiga mara mbili hivi after interview la nyandu na chin bees,toka kenya mombasa nakubali sana
noma kakaaaaaa nyanduuuuuuuu b o b micharazo kiboko ya mabishoooo
Hili goma hatariiii
Okey
Milady ayo katisha Sana
Milady ayo best reporter ever
Millady ayo kama mbele
Sio Millard Ayo,check profile
Katika wanahiphop wanaojua kurap na pia kuimba chorus chin bees ni mmoja wapo,,,,,tofauti na wengine, wengine wanajua kurap tu chorus kuimba hawajuh lkn chin bees vyote anajua
kiukweli hii ndo bongo flevor! hii bit salut majani naskia vinanda vyako vya ile nyimbo ya sister p! "hey dj"
michael samson yaan nlkuwa najiuliza huu mkono wa nan mbn wa kibabe kumbe p funk good sana
Mkono Wa Luffa Huo
ngoma nimeielewa kinoma.. salute sana kwa dr wa video kaua kinoma.
cheen Bees umeua babaaa double double
Sana nyandu, young D na chinbiz yoooo nawakubal sana
HESHIMAAAA YA MTAAAAAAAAAA #HAMIDU
Nomaaa nomaaa mzee bb
Nyandu tunakukubali ZANZIBAR...... ujawai kuja......... Number 26....ile ile
young dee umepita fresh
,
Big up bro kaza bro ngoma zko uwa n moto bro Hollaaaaaaahp manigah
Daaaaah! Hili goma nakimbia nalo kama kibaka wa spika za studio
Banger 🔥
Never get tired of this❤
Still in 2024💥💯
Show yakigoma ndio imenileta kwako nyandu,keep supporting @diamond platinumz
Mwana nyandu ee hii IPO vzr sanaaaa knoma
Chin bees uwaaaaa tisha sanaaa
Mwisho wa siku tunamshukuru MUNGU@young dar es salaam saaafiii
Namshaur chin Bea's bado anaweza asikate tamaa
best chorus ever sharaut jwa chinbiz
mbilinyi andrewhumphrey oi karbu kwenye channel yang subscribe, view na kulike na ntafanya ivo pia
Sumbu MC cul
hakuna lolote hapo mzaramo na hiphop wapi na wapi njaa kali tu uyu maku ndo mana anaropokaga ungese
Wale wa 2023 gonga like
Pamoja sana wanangu wa kino .Pande za uso wa mbuzi
Hivi Young Dee anaimba au anaongea.Sauti yake naifananisha naya Bodea.Aangalie atapotea.!
Dee anabadilika kwenye kila ngoma na kila mdundo ana-flow kwahyo kupotea haiwez tokea sababu hazoeleki masikioni kwa wasikilizaji@Samson Cypher
Samson Cyper oi karbu kwenye channel yang subscribe, view na kulike na ntafanya ivo pia
Samson Cyper kweli bro
salute kamanda wetu uko powa sana 🛫🛫🛫🛫👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
Bora ungechana peke yako bro uyo dee alichochana cheusi
Nyandu ngoma xwa #Yound dee #Chin bees wote Salut