MAGOMA AONYWA MIAKA 7 GEREZANI INAMNYEMELEA "APIMWE AKILI ZITAKUWA ZIMERUKA MASHABIKI TUMSAMEHE TU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 88

  • @maxmilian2511
    @maxmilian2511 หลายเดือนก่อน +3

    No way!😮 Huyu mzee kwann hayupo bungeni? Level ya waziri Fulani hivi! Dah! High capacity 🧠

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 หลายเดือนก่อน +2

    Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt 2 หลายเดือนก่อน +2

    This Gentleman is talking sense, mahakama za Bongo zinaendeshwa kwa rushwa.

  • @nashirihamisi8329
    @nashirihamisi8329 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duh kusaga angalia usije ukawakimbia wadudu huku chuga tunakutegemea💪💪

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aliye enda na hati za saini sio Magoma ila yule aliyeenda kuwakikisha Yanga ndio ametoa hati hizo za saini

    • @comfortkitiwi2879
      @comfortkitiwi2879 หลายเดือนก่อน

      Kwa nn asaini wakati Wahusika walikuwepo?

  • @abuali-cf6cn
    @abuali-cf6cn 2 หลายเดือนก่อน +2

    Zingatoa fodgery documents ni kosa kisheria

  • @ZephaniaNdaki-vq1ti
    @ZephaniaNdaki-vq1ti 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maamuzi na hatua alizochukua Magoma si sawa; pia hakimu aliyehukumu kwa haraka kiasi hicho, naye anatisha! Nchi hii Kuna kesi nyingi, na wahusika wanapata athari kubwa lakini Bado kesi zao hazifikii hukumu ya haraka kama ilivyopelekwa hii! Unaweza kufikiri na kuhisi hakimu yule huenda ana maskahi na jambo hili dhidi ya Clab ya Yanga.

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

      Yupo sawa magoma huyu dingi mwingine ushabiki unamtesa

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j หลายเดือนก่อน

      Point

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani mnao mtetee magoma eleweni vizuri ,mnamponza msaidieni Kwa ushauri atagungwa bure

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 หลายเดือนก่อน

    Ww mzee upo vzr sana

  • @haroldtarimo3115
    @haroldtarimo3115 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo hakimu aliyesikiliza kesi ya upande mmoja atakuwa ni dunduka tu

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j หลายเดือนก่อน

      Hakimu atakua koio lazima 😂

  • @MagangaSeni
    @MagangaSeni หลายเดือนก่อน

    sawa

  • @yasinramadhan6829
    @yasinramadhan6829 หลายเดือนก่อน

    mzee umeongea point sana

  • @simonmathias6474
    @simonmathias6474 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wejukuu na watoto wa magoma wamemkana magoma watampiga makofi kama huna hela waombe pesa familia wakusaidie

  • @salumomar-ph8ht
    @salumomar-ph8ht หลายเดือนก่อน

    Kweli mzee huyo hakimu wa kesi ni simba ndiomana wakatoa ushindi huyo mzee magoma choko

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mzee magoma akapimwe akili ya nini ? Kipimo ni tayari kilishaonekana yeye kukaa kwenye nyumba ya udongo hadi umri huo mpaka inataka kumuangukia Mnataka kupima nini tenaa ?

  • @amazi6796
    @amazi6796 หลายเดือนก่อน

    Mbele ya mahakama Yanga ni sawa na dodoma jiji football club, hakuna timu kubwa wala ndogo mahakamani

  • @SelemaniHamis-z2b
    @SelemaniHamis-z2b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee uko vizur

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mzee ktk hoja alizozitoa zote fact tena kwenye hoja ya yanga kufungua miradi mbali mbali apo mm namuumga mkono aise

  • @D.P.O
    @D.P.O 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee amepaniki😂😂😂

  • @michaelmwikalo971
    @michaelmwikalo971 หลายเดือนก่อน

    Aah kumbe ukiwa utopolo ni lazima uwe ccm na ukiwa ccm ni lazima uwe uto😂

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 2 หลายเดือนก่อน +1

    MAGOMA ANAHOJA ASIKILIZWE😂

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 2 หลายเดือนก่อน

      Msikilize umpe mama ako amzalishe mdogo wako mwenye utaahira kama yeye

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Kutumika kuna hasara zake hivi magoma unashindana na umaa au ujitambui

  • @beatricepatrick5576
    @beatricepatrick5576 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwel kabisa mwenyekiti anaongea ukweli kabisa magoma asituchanganye tuangalie mechi yetu kesho na mechi zingine

  • @simonmathias6474
    @simonmathias6474 2 หลายเดือนก่อน +1

    Washabiki wa magoma hamna akili mchukuweni mtu wenu mumpe cadi na ndoo mgeni rasmi simba day

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน

    No Simba no Yanga no Yanga no Simba kwa hiyo mashabiki bora wa Simba na Yangu endeleeni na utulivu na upendo mpira ni burudani.

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee,umemuelewa,maoma?

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unajificha kwenye amani
    Mama wa taifa
    Verication of documents
    Chama cha mapinduzi
    *******Kimeumana*******
    Magoma hoyeeeee

    • @richardmoses7470
      @richardmoses7470 2 หลายเดือนก่อน

      ndugu yangu umeandika vizuri sana ila hueleweki unachotaka ni nn?

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Huenda wewe ni wale vijana wa GZ wa kenya mnapenda vurugu sio Amani

  • @salimamoshi619
    @salimamoshi619 หลายเดือนก่อน

    Naomba ticket ya ndege nina kitambuisho cha Nida😂

  • @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff
    @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff หลายเดือนก่อน

    Magoma tumpe dudu baya ampatie punch 3

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 26 วันที่ผ่านมา

    We mzee kale Sato na sangara tuondolee kelele ..mzee magoma wanamuelewa wenye hekima zao nakuhusu kuweka ndani napimwa akili angalia usipimwe wewe mzee ...

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee hana hoja wala hekima, ana ushabiki tu.

    • @Blessedboi8019
      @Blessedboi8019 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Jenga hoja na wewe ili tujue na wewe akili unazo

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 2 หลายเดือนก่อน

    Kaa utulie mzeee

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndo waliishusha toto yetu

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee,umepewa,sh,ngapi,unasema,Kama,Nani,unaingilia,Uhuru,wa,mahakama,,nenda,na,mahakaman,ukamshitaki,magomaa,acha,kupwata,tu

  • @stevensosipita
    @stevensosipita หลายเดือนก่อน

    HUYO HAKIMU ALIYETOA HUKUMU NADHANI NI SIMBA KWASABABU HUWEZI KUSIKILIZA UPANDE MMOJA KISHA UNATOA HUKUMU NA BILA KUHOJI WEWE NIKAMA NANI? UNAYEISHITAKI YANGA

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 2 หลายเดือนก่อน

    Mahakama imekosa uadilifu. Je ilijiridhishaje hati ya wito iliwafikia walalamikiwa je walikataa kusaini au ilikuwaje

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 หลายเดือนก่อน

    TKUKURU ICHUNGUZE HILI SAKATA WALA RUSHWA WOTE WACHUNGUZWE WANACHAFUA MAHAKAMA

  • @giliadjackson7860
    @giliadjackson7860 หลายเดือนก่อน

    mzee punguza jazba ongelea kitu anacho kiitaji magoma na magoma sio adui wa mpir

  • @liberatvalence1510
    @liberatvalence1510 หลายเดือนก่อน

    Kwahili mahakama ilaumiwee. Mahakama imeshidwa kufanya kazi yake ki profesional

  • @saidimnyani3330
    @saidimnyani3330 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ana kitu

  • @paulotemba8881
    @paulotemba8881 2 หลายเดือนก่อน

    Magoma tuisikia sauti yako unaamini giza ila zama hizo zimepitwa na wakati SAlama yako waombe viongozi wote wa Yanga msamaha umekua kituko

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh หลายเดือนก่อน

    Mbona yanga mambo yenu mnapenda sana kuishirikisha serikali? Kwahiyo mnataka kututhibitishia kua hiyo timu yenu ni ya serikali. Na wewe Mzee kumbe ndio maana umekua mwenyekit wa mtaa yanga huko mbele mtamkumbuka magoma

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 หลายเดือนก่อน

      Magoma atakumbukwa na family yake pamoja na madunduka wakati uo akinyea debe

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 2 หลายเดือนก่อน +1

    kusaga TV na mtangazaji mnamkosea hugo mzee, yeye sio mshabiki ni mwanachama acheni kupotoshaji.

  • @abuali-cf6cn
    @abuali-cf6cn 2 หลายเดือนก่อน

    Revision of case ndani yake unakuta uwakilishi batili Hakimunaendesha kesi kumbe wahusika batili hii ni hatari

    • @jumakibasame3210
      @jumakibasame3210 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu Hakim nae kilaza magoma kilaza, pumba

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga wote wakapimwe,wanasomewa bajeti.halafu wanaambia matumizi mengineyo ni tsh ___huwa ni yapi hayo matumizi kimahesabu.wanashangilia tu.magoma mjanja,na amepimwa akili na mahakama.

  • @ASALABOY
    @ASALABOY หลายเดือนก่อน

    Uyu Mzee n mropokaji tu aeleweki

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Huyo mzee ni mropokaji akikwambia acha viroba vya mchana utamlaumu kweli

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 หลายเดือนก่อน

    WAZEE WENYE AKILI NDIO HAWA,NDIO MAANA WATU WANASTAAF WANAREJESHWA KAZINI,AKILI KAMA HII UNAIPOTEZAJE?

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 หลายเดือนก่อน

    Uyu mzee mpumbav anataka kutrend toa hoja kama magoma. Magoma ana hoja za msingi .acha kupewa baasha na kutetea upuuzi.uyu mzee amepanik

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Malezi mabovu sio kosa lako

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Adabu hainunuliwi malezi na madawa ya kulevua ni tatizo

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h หลายเดือนก่อน

    Mzee ana ongea pwent sana magoma umefeli tatizo ujasoma

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 หลายเดือนก่อน

    La muhimu atumiwe kitu kidogo hapo Abu umenena.

  • @allykarupa1411
    @allykarupa1411 2 หลายเดือนก่อน

    Uyomwandi nimchonganishi

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu kapewa rushwa na yanga tuko pamoja na magoma mpaka kieleweke

    • @RebeccaAndrew-dd4kj
      @RebeccaAndrew-dd4kj หลายเดือนก่อน

      Ndeleeni kumponza😅

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน +1

      Goli zilikuwa saba safari hii zitakuwa 9 endeleeni kudandia basi

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 หลายเดือนก่อน

    Hakimu naye jibu kabisa Kuna jambo

  • @Maiko-v9f
    @Maiko-v9f หลายเดือนก่อน

    Apewe maua yake huyu mzeee

  • @jumasella-s2k
    @jumasella-s2k หลายเดือนก่อน

    inaoneka magoma kaenda kudai haki kwenye kundi la nyuki

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi wewe mwandishi umekosa maswali ya hoja? Kama una hoja au swali sahihi usiulize swali mnatupotezea muda.

  • @phchouseprintmwanza8123
    @phchouseprintmwanza8123 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lenu hoja hamjibu.

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 หลายเดือนก่อน

      Ujibiwe vipi tena, wkt kura imepigwa wengi wapi.
      Sasa wewe mtu mmoja vipi utashindana na wengi?

    • @phchouseprintmwanza8123
      @phchouseprintmwanza8123 หลายเดือนก่อน

      @@mussammanga7791 kwa hiyo mnashindana na maamuzi sahihi ya Mahakama?

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 หลายเดือนก่อน

      @@phchouseprintmwanza8123 Lini mshtakiwa alikwenda kwenye kesi?

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

    Ushabiki wa kipuuzi huyu mzee hana lolote!

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Wewe mwenye lolote mbona umevaa gauni

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 2 หลายเดือนก่อน

    Wote,mkapimwe,akil,ni,Nina,mashaka,sana,na,wewe

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 2 หลายเดือนก่อน

    We ndo akili huna huyo kashashinda iyo miaka unamfungaje nenda kapindue hukumu tuone unaongea chamaana hapa unatupigia kelele tu

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn 2 หลายเดือนก่อน

      Kama una adabu utanielewa tuache vilevi

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Pole sana mtu upeo mdogo huoni mbali bora uendelee kuvaa gauni

  • @D.P.O
    @D.P.O 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni timu ya wazee sio ya wananchi😂😂😂

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

    Unachekesha sana! Hiv kujua kiingereza ni usomi? Du bongo hatar sana

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Umekosa yakusema ongea wewe kijaluo

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Ushamba wa fikra

    • @abuali-cf6cn
      @abuali-cf6cn หลายเดือนก่อน

      Pole malezi vilevile acha vilevi