INATISHA ARUSHA;BALOZI AFANYA SHAMBULIZI "ADAI HAOGOPI POLISI YEYOTE WALA RPC MANA NI CHAMA TAWALA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 53

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana mdogo wangu"utapona ukiuwa kwa upanga utauliwa kwa upanga

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 วันที่ผ่านมา +2

    Duuhh Inauma sana pole sana

  • @SamwelLotuno-xo1jy
    @SamwelLotuno-xo1jy วันที่ผ่านมา +2

    Hao washuhulikiwe kabsa Mungu Yuko upande wako

  • @charlesmwakagile7294
    @charlesmwakagile7294 วันที่ผ่านมา +2

    Ubinadamu umeisha watu wamekuwa makatili sana Mungu tusaidie

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 วันที่ผ่านมา +3

    SIKU MOJA CCM ITAANGUKA KAMA MAMBO YANAENDELEA HIVI

  • @AngelaMollel
    @AngelaMollel วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana kaka

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu ni mwema, mke alikua kanisani, maombi yalisaidia la sivyo angechomwa 😢🙏

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 วันที่ผ่านมา +1

    Daaaa kweli ni shidaaa. Felix amekutana na shida, inauma .

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc วันที่ผ่านมา

    Diwani maashallah Allah akusimamie kwenye ngazi yako upo na utu au ubinadamu safi mauwa yako 🎉🎉🎉

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i วันที่ผ่านมา

    Dada jasiri sana hongera kwa kazi nzuri

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana kijana, Mungu akupe wepesi, upone haraka .

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 วันที่ผ่านมา +4

    Huyo Balozi ni jambazi hatari.

  • @user-pq2yl4bk4v
    @user-pq2yl4bk4v วันที่ผ่านมา

    Safi sana diwani mpeni kijans haki zake

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc วันที่ผ่านมา +1

    Mama samia chama chako kizuri ila watu au viongozi wako sio wazuri ccm oyeeeeeeee
    Kupigwa ooyeeeee
    Kutekwa oyeeeee
    kuwawa oyeeeeeeee

  • @annajohn175
    @annajohn175 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kaka hakikisha unapata haki yako na huyo balozi feki ashtakiwe

  • @loitengia4217
    @loitengia4217 วันที่ผ่านมา +1

    Daah kaka wawatu anngechomwa hivi hivi tar 23 jamani

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl วันที่ผ่านมา

    Polesana jamani inatia uchungu Mungu atakulipia.

  • @HussenMadimbwala
    @HussenMadimbwala วันที่ผ่านมา

    Pole sana ndugu

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda วันที่ผ่านมา

    Pole sana nakumtaarfu mkeo ilikuwaje

  • @MwajumaMsimuwilliam
    @MwajumaMsimuwilliam วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana ndugu Mungu anaona

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo balozi achukuliwe hatua anatumia madaraka yake vibaya na kuchafua chama chake kwani chama chake hakiwezi kumtuma kufanya upuuzi huo

  • @user-um7kj5kf6p
    @user-um7kj5kf6p วันที่ผ่านมา

    Hao.watu wafungwe.kukomesha mauaji yanayoendelea huko Arusha kuchoma watu Moto bila sababu pole Sana kaka

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 วันที่ผ่านมา

    Pole sana, unapigwA nyumban kwako? Inamaana balozi hakufahamu?

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti Chama tawala., kura yangu hampati nawaambia😢

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc วันที่ผ่านมา

    Huu ni mtihani wallah wabillah

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 วันที่ผ่านมา

    Nanyi mngechukua sheria yenu kumnyuka vizuri mwenyekiti ili ajifunze kufanya kazi yake vizuri

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 วันที่ผ่านมา

    Dah inasikitisha sana mtu unaweza kuuwawa hivi hivi bila hatia

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 วันที่ผ่านมา

    Fungilia mbali huyo baradhuli mwernyekiti mstaafu na mwanamke wake. Asipewe tena nafasi ya uongozi. Ccm muwachoke hawa wahuni Wanakiharibu sana chama

  • @SamweliZaburi-fk3qj
    @SamweliZaburi-fk3qj วันที่ผ่านมา +3

    Naichukia ccm mpaka kufa maana wanafurahia maafa dhidi ya wengine mungu awalaani na yeyote wa uzao wangu akiwa ccm na alaaniwe na dunia iseme amina

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i วันที่ผ่านมา

    Juzi gari imepasuka tairi watu wanabadilisha tairi,watu ghafla wakatokea,nakusema,wanateka watoto badilikeni jamani siyo vizuri!

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 วันที่ผ่านมา

    Huyo balozi sijui mwenyekiti anajisifia kabisa chama tawala ndio chama cha uhalifu na kuvunja sheria na amani kuanzia ngazi ya chini daah🤔🤔ndo maana haki haipo, kila mtu anajichukulia sheria yake tu apendavyo masikini Tanzania

  • @KhadijaMwenda
    @KhadijaMwenda วันที่ผ่านมา

    IPO siku yenu nyieee maccm

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p วันที่ผ่านมา

    Usiwaache iwe fundisho kwa wengine wanao jichukulia Sheria mkononi

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i วันที่ผ่านมา

    Watu wanafanya mabaya,halafu,wataja chama tawala huo ni ushamba, chama chamapunduzi hakipo ivo,nichama kitakatifu nachenye weledi!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 วันที่ผ่านมา

    Tanzania yangu😢😢

  • @aby21111
    @aby21111 วันที่ผ่านมา

    Must be compasated at least 5M sh to be a lesson to offenders. 😔

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i วันที่ผ่านมา

    Yule dada ,nayule mzee,na bodaboda ndo waizi

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i วันที่ผ่านมา

    Hiv kwanini babati wanakuwa hivyo,juzi tena wamepiga watu kunani?mbona mnakuwa watu wakuhisi watu kila mara,?kwa hiyo huko mtu hatakiwi kutembea huko?hadi vii gozi huko siyo wastaarabu sijuu wanachaguliwa nanani!!!

  • @relaykimario4118
    @relaykimario4118 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna Cha balozi hapo, Pepo la kuzimu, mliomfanyia huyu kaka mmetafuta laana na familia zenu, mlichopanda mtavuna, eti chama tawala mnasema ndo kimewatuma kufanya ivo? Diwani simamia kijana apate haki yake na huyo balozi feki aondolewe uongozi hafai kabisaa.

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 วันที่ผ่านมา

    Sasa ikiwa viongozi wanachukua hatua wenyewe na raia pia wasikubali kuonewa, wakipigwa nao wapige tu

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 วันที่ผ่านมา

    Kwa maana hiyo mtu aweza kuuwawa na kuchomwa moto kwakisingizio cha wizi bure tu bila hatia!bora tukutane na mnyama atakupisha upite kuliko binadamu, nilidhani wanao uwawa na kuchomwa moto ni vibaka kweli

  • @Mdenya
    @Mdenya วันที่ผ่านมา

    Unajuaa mm n nanii imerudi vzuri na wakubwa wanaonea wadogo masikini wanapigwa na kunyanganywa ata kidogo waliccho nacho

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 วันที่ผ่านมา

    Kaza Sauti na wewe,,,,Unaonhea kama mtotto wa Mwisho..pua haya ndio madhara ya kujichukulia sheria mkononi. Raia, Polisi, Wote sawa, Sheria mkononi. Hawa Raia hawana tofauti na Baadhi ya Polisi wanaofanya Extra Judicial Killings

  • @MwajumaMsimuwilliam
    @MwajumaMsimuwilliam วันที่ผ่านมา +2

    Kupiga oyeeeee kutekwa oyeeeeekuuwawa oyeeeee lakini kudai haki mbaya 😢

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS วันที่ผ่านมา

    Ndo watekaj chama tawala haina ubishi 😮😮😮😅

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha วันที่ผ่านมา

    Hawa mi ccm nawachukia sana tena sana

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 วันที่ผ่านมา

    Hapo ndiyo umeboronga eti chama cha ccm hakiko hivyo wakati wako hivyo

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o วันที่ผ่านมา +1

    NCHI IPO SALAMA IPO SHWARI KABISAA. WATU WANAISHI KWA AMANI HAKUNA TATIZO LOLOTE MTU KWA MTU AMA KIFAMILIA .CCM OYEEEEEE

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc วันที่ผ่านมา

      Kwa hali Sasa ya mungu tumuachie mungu ya kaithari tumuachie kaithari

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana kaka

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA วันที่ผ่านมา

    Pole sana