Kila Mtu na Choice yake _ _ Kila Mtu na Type yake na Kila Mtu na Mpenzi Wake !!!! Hapooo _ _ Wengine Tutaendeleaa Kukauka Tuu na kukodoa Macho kaa Chura _ _ _ Uku Ngombe zikiendeleaa Kunywa Maji _ _ _!!!! Hapo Chacha_ _
jamani kuna taarabu maja nimeisahau jina kunakipande kinabwa) (umemnyima kijiji namkabidhi dunia tiamajitiamaji miguno nnajua naombeni mnitajie jina la taarabu hiiii
huu wimbo hauishi hamu tunao usikiliza mpaka sasa 2024 gonga like hapo chini tujuane ❤❤❤
na muimbaji nae kuutendea haki masha Allah ❤❤❤
Wimbo 🔥 milele pambe 🔥
2023 July bado ni choice yao 110%
Naupenda uu wimbo nipo mdgo pande za kenya
Hongera sana umejitahidi wimbo mtamuuuu,Kila mtu na Choice yake Santaaaa.
Hahahaaa hatari huyu mtoto apaishwa tobaaaah.
Highclass 2021 bado type yangu+254 sisi ndio sisi😘
Hiyo Nyimbo Ilibamba Sana Sana _!! Niliikubalia Mashaallah Thabit , Nitafute kitu gani Tena _ _ _!!?
Wanikumbusha malehemu omari kopa mashaallah sauti kama yake ukojuu bro
hapo yani umenimaliza wallai nyimbo tamu sana👌👌👌
Kila Mtu na Choice yake _ _ Kila Mtu na Type yake na Kila Mtu na Mpenzi Wake !!!! Hapooo _ _ Wengine Tutaendeleaa Kukauka Tuu na kukodoa Macho kaa Chura _ _ _ Uku Ngombe zikiendeleaa Kunywa Maji _ _ _!!!! Hapo Chacha_ _
Itaendelea Kubaki Nzuri Hivyo Hivyo 4Ever _ _ _ _!
Hamisi Mwasahani umeonaeeeeh naipenda hadi kufa.MTOTO YUPO MAKINI KILA KITU ANAJUA...HUNIPA VITU LAINI TAMU YAKE HASILIA
nalewa.sijitambua.uko.juu.kaka.sweet.amenidatishaaaaaaa
Kwa huba nampasisha maksi simpunguzii anavyo nipagawisha yoyote hamuingii teiiina
nampenda fulani nisipomuona naugua hapo tu unikosho
ASha Mashaka some ujakosea
Thabit Abdul hapo nakubali yani hatariiii,,,
nimeipenda sana
youtube djbadaga
Santaaa🤩🤩🤩🤩
jamani kuna taarabu maja nimeisahau jina kunakipande kinabwa) (umemnyima kijiji namkabidhi dunia tiamajitiamaji miguno nnajua naombeni mnitajie jina la taarabu hiiii
Twaomba nyengineeee
mko juu
mashaallah TANZANIA TUKo JUU
Naipenda sana hii nyimbo inamaneno kuntuuuuu teiiina
Naipenda sana hiii nyimbo
Aysha Mahariq kwiwubwpowminjwnuwm
nyimbo ikosawa kma izotano wakeshatuh bilakufahmu hapanaharusi uko kwaroom yko!!!
asante kk
hewani unipaisha mpoo
Kuntuuuu