PART 3: MTANZANIA ALIYEFANYIWA UKATILI OMAN,AFUNGUKA ALIVYOKAMATWA NA POLISI BOSS WAKE AKAMKIMBIA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 วันที่ผ่านมา +4

    Poleni sana mishaaaa

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo Dada anajua sana kujieleza.
    Apewe kipindi kwenye hicho chombo Cha habari

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 วันที่ผ่านมา +3

    Jokha Jokha Jokha
    Kiboko yao
    Kama kuna moto kesho kuna mambo
    Allha atupe mwisho mwema

  • @ZeinabAbdallah-d2t
    @ZeinabAbdallah-d2t วันที่ผ่านมา +3

    Mungu amekupa uvumilivu kweli Pole sna

  • @ShamoosAlrashdi
    @ShamoosAlrashdi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I know everything and I am from the Sultanate of Oman and everything is correct😢

  • @rosedominick-k2h
    @rosedominick-k2h 2 วันที่ผ่านมา +3

    Nchi za watu binadam wanabadilika sana ata akiwa mtanzania mwenzio anabadilika sana pole dada angu kipenzi

  • @bonita329
    @bonita329 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi ni Joan yupi huyo ? Au ni yule alikuwa ana saloon makumbusho ya inatengeneza kucha? Wadau naomba mnijuze please

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 วันที่ผ่านมา +2

    Umenifanya niangalie kwanza kaz zako

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u วันที่ผ่านมา

    Nchi za kiarabu hawafugi upuuzi wa kujiuza sio km Tz wanawake wanadanga Bila wasiwasi Huku utaozea jela 😅😅

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 วันที่ผ่านมา +2

    Mitihani itakwishaaaa. Inasitisha

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 วันที่ผ่านมา

    Tunaishi omn mabalaa yote hatuyajui
    Watanzania mna mambo hamna hata uoga 🙆

  • @selemanigoha8541
    @selemanigoha8541 วันที่ผ่านมา +4

    Treu story

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 วันที่ผ่านมา

    Kujiuza hakuna mwisho mwema
    Chafua nchi ya watu

  • @AttivorsRoyalstore
    @AttivorsRoyalstore 2 วันที่ผ่านมา +1

    Joha kiboko anazungusha wenzie watu wazima kama wehu

  • @AttivorsRoyalstore
    @AttivorsRoyalstore 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mume naye kashindwa kupambana mke akarudi kws mahangaiko hayo?

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly วันที่ผ่านมา +1

    Mbona bado mnaende tu? Mnadanganywa na nani??

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo mengine bhn unazingua kweli sema nyie mnapenda maisha mazuri wakati ulipoona huyo joha ahaeleeeki ungetatafuta nyumba yoyote yyte ukakatiwa visa ukafanya kazi za ndani mwaka mmoja tu ungepata nauli ila maisha ya ugenini yanachangamoto mungu atusaidie kwa kweli

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @GraceKija
    @GraceKija วันที่ผ่านมา

    Kumbe hii ni juz tuu

  • @OmanOman-fr5hl
    @OmanOman-fr5hl วันที่ผ่านมา

    Ninja ya nn ssa na ufusqa ulofanya

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 วันที่ผ่านมา +3

    Hii story mnaitia jina baya Oman tu, huo ubaya wote kafanyiwa na watanzania wenzake

    • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
      @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly วันที่ผ่านมา +1

      Acha uongo Waarabu ndio wanafanya hayo mambo,hakuna anayesema uongo hapa,mshamba we!!

    • @umsalim6515
      @umsalim6515 วันที่ผ่านมา +2

      @@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Umemsikiliza vizuri huyu dada story yake yote ?

    • @ummohamed4404
      @ummohamed4404 วันที่ผ่านมา

      Mlishikwa nguvu kujiuza

    • @OmanOman-ru4eu
      @OmanOman-ru4eu วันที่ผ่านมา +1

      @@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly uongo gani sasa na ww mtu unakuja oman bila kibali unategemea uishi vipi kila nchi inataratibu zake kwanza nenda mabella uone watanzania ujinga wanaofanya warabu sio wote wabaya

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u วันที่ผ่านมา

      ​@@OmanOman-ru4eunchi yoyote km utaingia Bila taratibu za kisheria litakuchwea. Ndiyomaana tunahamasishwa tuwe na kibali cha taesa, barua ya mwanasheria, mkataba og na barua za wadhamini
      Ukiwa na hivi vitu utafanya kazi kwa Aman.

  • @shikokanjora1493
    @shikokanjora1493 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢

  • @SaadaAlsheibani
    @SaadaAlsheibani วันที่ผ่านมา +1

    Mnajitahidi kuichafua omani mutabakia hivyo hivyo omani ni amani utulivu na upendo mwafanyiana ubaya wenyewe kwa wenyewe eti omani

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck วันที่ผ่านมา

    Usiwawekee waoman doa baya nyie wenyewe wa tz mnafanyiana vibaya wenyewe kenge wewe

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 วันที่ผ่านมา

    Waarabu makatili sana sijui kwanini watu hupenda dini yao.

    • @umsalim6515
      @umsalim6515 วันที่ผ่านมา +1

      Waarabu gani, mbona wote alowataja ni watanzania

    • @AllyNassor-de6ck
      @AllyNassor-de6ck วันที่ผ่านมา

      Mkatili mama Yako alie kuzaaa mkundu wako

    • @shamzone388
      @shamzone388 วันที่ผ่านมา

      Mbona waarabu sio wakatili
      Mbona kwetu kila siku mauwaji na mateso…
      Huyu dada ni mdangaji alikosa biashara ndio aona atie sifa mbayA…
      Oman huwezi kufungwa bila sababu awadanganye nyie watangazaji

    • @lawmaina78
      @lawmaina78 วันที่ผ่านมา

      @@AllyNassor-de6ck Hiyo dini aliyobuni muarabu inawafundisha chuki, matusi na ndio imesababisha machafuko dunia ya leo, ni laanda mbovu sana mliachiwa.

    • @nasseraljahwri6310
      @nasseraljahwri6310 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wee km unachuki na wivu na waarabu kafie mbele, mbn huk kwenu Tz, mnauwana kila siku, Acha chuki kelb ww

  • @AttivorsRoyalstore
    @AttivorsRoyalstore 2 วันที่ผ่านมา

    Mmmm maisha ya kijinga na mahangaiko bora kubaki tanzania

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 วันที่ผ่านมา

    Kujiuza hakuna mwisho mwema
    Chafua nchi ya watu