Maini yakukaanga | Jinsi yakupika maini yakukaanga matamu sana | Maini ya ngombe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

    If you would like to watch this video in English press the link ➡️th-cam.com/video/3zFUJzseLr8/w-d-xo.html

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa

  • @ummoislam4832
    @ummoislam4832 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah nyute zina nindondoka

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Ummo Islam karibu sana dear

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 2 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allaah

  • @zainaabdallah243
    @zainaabdallah243 4 ปีที่แล้ว

    whaoooo its so nice dada.

  • @rumaanrumaan2216
    @rumaanrumaan2216 4 ปีที่แล้ว

    Hayo maziwa ni yakawaida au maziwa mtindi

  • @st.schogg6772
    @st.schogg6772 4 ปีที่แล้ว +1

    Wao, very nice recipe.. Love it

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Binti scho thank you

  • @talhasalim504
    @talhasalim504 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah nice

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 ปีที่แล้ว

    Favorite 😋😋Ma shaa Allah yummy😍ugali hapo tu😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Cook with Raniyah kabsa habibty thank you love 🥰😘

  • @hollojumanne9924
    @hollojumanne9924 3 ปีที่แล้ว

    Asante tam sana

  • @kosovonaiiem782
    @kosovonaiiem782 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo nimependa kwasababu mimi msela

  • @kamau54ambu
    @kamau54ambu 4 ปีที่แล้ว

    Maziwa mala au fresh

  • @ablatuny5406
    @ablatuny5406 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah tamuu😋😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Awwww thank you soo habibty 😘

  • @judithbariki1351
    @judithbariki1351 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana nimependa

  • @abdallarashid4583
    @abdallarashid4583 4 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @cuteamish1571
    @cuteamish1571 4 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah

  • @faithwawira5615
    @faithwawira5615 4 ปีที่แล้ว +1

    😋😋😋😋

  • @munirahiddy963
    @munirahiddy963 3 ปีที่แล้ว

    Maina umeloweka n maziw gan

  • @ashamidello8298
    @ashamidello8298 4 ปีที่แล้ว

    Woooowwwww!!

  • @keziahmwamburi3472
    @keziahmwamburi3472 3 ปีที่แล้ว

    Tasty

  • @tumatuma6478
    @tumatuma6478 4 ปีที่แล้ว

    je unaweza kuroweka na mtindi

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      tuma tuma Sijawahi jaribu dear

  • @josphatnjenga9151
    @josphatnjenga9151 4 ปีที่แล้ว

    👏👏

  • @vanessaiwato4480
    @vanessaiwato4480 4 ปีที่แล้ว

    Dada ayo n maziwa gan yakuloekea main

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Maziwa ya kawaida ya maji

  • @judithkidiwa7973
    @judithkidiwa7973 4 ปีที่แล้ว

    Ukiweka maini jikon unaweka na hayo maziwa. Au ayo maziwa uyaweki

  • @aishakibwana5383
    @aishakibwana5383 4 ปีที่แล้ว +1

    Maziwa unayatoa?

  • @hajiamina7152
    @hajiamina7152 3 ปีที่แล้ว

    Unachuja maziwa kwa kichungio ama unaeka kwa sufuria pamoja n maini?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 ปีที่แล้ว

      Namuaga tu si lazma kichungio

  • @kosovonaiiem782
    @kosovonaiiem782 2 ปีที่แล้ว

    Unajuwa kupika faste sisi masela inatufaha wewe vipi umeolewa au bado mimi napenda kula vizuri

  • @nabilaabdul2820
    @nabilaabdul2820 4 ปีที่แล้ว

    waroeka kwa mda gani maini

  • @sarahneema3376
    @sarahneema3376 4 ปีที่แล้ว

    So maini silazima ukaange na tomato?alafu maziwa uliyorowekea,niya myindi or fresh,na umeyatoa or umepika pamoja?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว

      Maziwa fresh na nimetoa maziwa baada kuroweka for 10minutes

    • @sarahneema3376
      @sarahneema3376 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia thanx,but hayo maziwa badaye,unamwaga or waeza chemsha or kuyafanya mtindi?

  • @yasminfadhil9817
    @yasminfadhil9817 4 ปีที่แล้ว +2

    Sorry mamy nimaziwa gan yahitajika kulowekea main

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 ปีที่แล้ว +1

      Yasmin Fadhil maziwa Yakawaida tu maji

    • @yasminfadhil9817
      @yasminfadhil9817 4 ปีที่แล้ว

      @@RukiaLaltia thanks mamy