Simba wachezaji wetu wa ndani waliobaki Simba wote ni pumzi ya moto kwa wapinzai Hussen, Kapombe,Kib d, Edwin Balua, Awesu, Kagoma na Kijili mama weeeeh wote hawa❤❤❤ Simba wanaipenda kuitumikia toka moyoni🎉🎉🎉🎉 7 Wana nguvu ya Mungu naimani si wako 7 akija Elie mpanz, Fei toto,na huyo Camala na Ngoma tayari simba motomoto
Kibu ni mchezaji mzuri sana na mpambanaji ndo maana anaanza na timu zote anaanza
Simba wachezaji wetu wa ndani waliobaki Simba wote ni pumzi ya moto kwa wapinzai Hussen, Kapombe,Kib d, Edwin Balua, Awesu, Kagoma na Kijili mama weeeeh wote hawa❤❤❤ Simba wanaipenda kuitumikia toka moyoni🎉🎉🎉🎉 7 Wana nguvu ya Mungu naimani si wako 7 akija Elie mpanz, Fei toto,na huyo Camala na Ngoma tayari simba motomoto
Acha upumbavu kusema ati Simba waanze kumheshimu. Kwani wangemsajilije kwa pesa nyingi bila kumheshimu?