DOCTOR MO ASHINDWA KUJIZUIA AMCHANA MUTALE HANAUWEZO WAKUCHEZA SIMBA MPANZU TAYARI KWAKUTUMIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @SophiaWanene
    @SophiaWanene 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    We Mo mdogo wangu punguza kulalamikia sana wachezaji hakuna mwanadam asiye na mapungufu au unavisa na ukuta wa yeriko umezidi punguza lawama kwa wachaji mi sijapenda

  • @clarencemeena1628
    @clarencemeena1628 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dr.Mo uko sahihi sana, huyu Chemalon ataigharimu Timu
    kama viongozi hawatachukua hatua

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uko sawa docta moo chemaloni anatatzo

  • @Joe-tr2vk
    @Joe-tr2vk 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hayo mambo ya Mpanzu day si ya unyamani waachie utopolo

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu che malon hakae benchi kwanza ajirekebishe makosa ya makusudi anafanya Tena mengi

  • @VictorIshengoma-v4y
    @VictorIshengoma-v4y 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Che malon huyu au utoporo mbona hanatufanyia hivi makosa Kila siku hebu achunguzwe

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiyo tuzo ungempa Mutale.