Subhanallah, kweli huyo dada aje ahongwe lakini mbili afute kesi, kweli hana uchungu na nduguye, inaonesha hata yy ataenda kumtesa kwanza kamuacha ana miaka miwili hajui uchungu wa nduguye kudhalilishwa hata kutiwa majiti, akuchukulie poa basi angekua mwanawe yy angekua mwanawe angechukulia poa, Zahir hii kesi ifike sehemu husika kwa wanotwte haki za wtt, huyo dada na hao serikali ya mtaa hawakumtendea haki huyo mtt. Huyo muajiri kuachiwa hivi bila hata kufunguliwa mashtaka serekali lazima imchukulie hatua nimfalifu hata wtt wake anyanganywe na asiruhusiwe kuwa na mfanya kazi maishani mwake, nafikiria dada huyo kachukua umuzi bila hata wazee kuwajulisha na kuwaelezea yalomsibu mtt wao siamini kama wangechukulia poa kama huyo dada kwa laki mbili. Na huyo anofanya traffic ya kutorosha wtt wa wt lazima serikali imfuatilie afunguliwe mashtaka.
@@maximumtvonline SAA nimeumia saana najua ungempeleka ww kwao pangeniga saana wotewangechukuliwa hatua natamaniuyo dada an gen yang many auto mdogowake asiendenaenaana pesa zimemchanganya
Asalaam aleykum warhmatullah wabarakatuh... Natumai uko mzima kabisa! kwa Kweli Zahir babaa. hawajamtendea haki kabisa huyo mtoto Maana mtoto ajapata vipimo Bali wameangalia tu nakutathin kwa maelezo nakumpa dawa za maumivu bila vipimo je kama huyo mtoto kaathirika ndani kwa ndani itakuaje na hapo wamemaliza kesi kutokana na ufinyu wa kifkra wa dada hajui kujieleza sio kosa lake alikua anaitaji mwenye uwezo wa fikra zaid kumsaidia huyo Dada but yashakuwa ila kwa ushauri wangu ungewezekana huyo Dada angeojiwa na atiwe adabu ili iwe funzo hata kwa wengine kwa Kweli kuna watu ni roho mbaya sana hata shetan anawaogopa wanatumia pesa zao kunyanyasa walio chini yao 😭 ila Mwenyezi Mungu atamlipia yeye mwenyewe Hatomwacha atese mwengine Tena
Kama wenyewe wamesamehe sisi kama wajumbe tunaomba Serikali uchukue mkondo wake kuhusu huyo Boss mtu maana atawanyanyasa na wengine watakao kuja kufanya kazi bora angeadhibiwa kisheria ili iwe fundisho kwa maboss wengine.
Duuh huyu dada kweli kakaa Zanzibar. Sie tuna moyo wa huruma tu kwa kila kitu. Mtu wa bara hapo asingekubali na hiyo 245,000. Allah atawafanyia wepesi na atawapa zaidi.
Hawa ndio wale madada hawajashika pesa wako manyumbani Tu hawajui thamani za pesa atamimi nimeudhika zaidi napia inaonekana huyu dadake hanaupendo na mdogowake
Mwenzenu huyo dada umeniudh vby mno yaan hata huyo mtoto anajibu tu lkn hayo maneno nahis kafundishwa mm jmn lidada lijinga mno mdogo wako kabikiriwa na majiti lkn unayafukia hajui thamani ya bikra hawa shungi lileeeee
@@maximumtvonline kwa nini usingekaa nae pembeni ukamshauri arudishe hiyo pesa sheria ichukue mkondo wake kaka Mjinga sana huyu dada halafu bado anasema anataka asaidiwe dah niimeumia kias natamani ningekuwa karibu nae nimshtue hata kibao tu
Mateso yote hayo alfu mnamuachia huyo mama 😢😢😢pesa yenyewe ni ndogo kulingana na tukio. Zahir hebu mtafute huyo mama umhoji ajieleze kwanini anawatendea vibaya wafanya kazi
Kaka Zahir haki za kijinsi hazikuchuliwa ila kwa kuwa dada kaamua kumsamehe bc tuseme Inshaallah Mungu ndie mlipaji ila mabos waache kutunyanyasa na kututesea watoto wetu kupata kwao isiwe pigo kwa wengine
Dada tako lako lakushoto huna akili kabisa mwehu wewe .ningekuambia karibu ningekupa Kofi la hatari .umeona hpo umepewa hela nyingi .mpuuzi wewe mavi yko .hujawahi shika hta elf hamsini yakwako mwenyewe ndio Mana umechanganyikiwa na na hela ya kijora mpuzi .kwanza umeishia darasa langapi sijajua mavi yako
@@niachiemahehee2523 sn aki naukiangalia mtu hujui alvyo umia ela shetani mshenzi kuma vuzi unathamin ela kuliko dadko mburu kenge jifunze kuongea stupid
Yaani huyu Dada angekuwa ndugu yangu ningemuweka ndani yeye na huyo mtuhumiwa kwanza ili akili imkae sawa! Laki mbili na 45 unafuta kesi? Maa kweli akili ni nywele 😭😭😭😭
Aisha ndio maana kunausemi bora ukose mali hupate hakili ndio huyo mwezetu kaona pesa bora kuliko Utu wa ndugu yake Hakili yangu mie angelala mabusu bosi wiki shilingi yake sitaki
Huyo dada jamani hivi hizo hela alizopewa anaona bora kuliko kitendo alichofanyiwa mdogo wake ningekua mimi huyo muajiri ningefika nae mbali aisee huyo dada ametushangaza wengi
Mtangazaji nimekupenda bure,umeuuliza huyu dada haswa,sababu mimi naona kama hajielewi.. Na kama ulivyosema iyo ni pesa ndogo sana,kwanini wewe mwandishi hukuhakikisha unafuatilia hii kesi wakati inasusuhishwa?kutakuwa na jambo hapo,sio bure...huko serikalini huko kuna mambo chini.ya kapeti
Ukweli kabisa Zahir ungelifuatilia hadi huko walipoongea hapo kuna njama ya ushenzi kupewa laki 2 na mateso yote hayo jee anguuuwa ama ampe jiraha la maisha useless Sister Hanamaana huyu dadake
Nimeenda baada ya kupata taarifa kuwa huyo dada anakuja dar nikijua akifika moja kwa moja watanipigia Mimi ili ikiwezekana tupate kushsurisna lakin Cha ajabu amefika dar wamekutana na mtuhumiwa..kadanganywa Sana na Sana na mwisho napigiwa Mimi kukutana nao ndo WALIKUWA wanaenda Zanzibar sa hapo nitafanya nn..ikabid nifanye kipindi BARABARANI hapo dar live mbagala Kisha nikakiweka hapa
@@maximumtvonline aaaah jamani,yaaani dunia hii. Hawajafanya fair kabisa,hata mtoto unaona kuna vitu hajamwambia,usikute aliona tu hata haina haja sababu dada yake labda hata hakuongea nae,alianza kuongea na hao watuhumiwa na kuja huku kumshawishi tu mtoto. astaghfirullah Dah! nimeskitika sana mwandishi,basi tena inna lillah Lipo nje ya uwezo wenu tena,kama wao wamesema hamna kesi tena basi nyinyi hamuwezi tena kuendelea nalo. Mungu aendelee kuwatia nguvu na moyo kutatua uonevu ,manyanyaso na mikimiki yote iliyoko ndani ya uwezo wenu. Mnafanya kazi nzuri sana Maxmum Tv Online👏👏👏👏👏👏👏
@@hjhj6230 Wallah inasikitisha wameshidwa kuchukua hatua yeyote kukomesha vitendo vya kinyama Kama Hivyo eti wanamalizana kwa laki 2 nimejikuta naumia Kama japo Huyo mtoto simjui..
Mm kama mama nimeumia saaana kuona hii kesi imeishia hivi Huyu mwenyekiti hakupaza sauti juu ya udhalilishaji wa watoto sjui km hajahongwa..MUHESHIMIWAJOHN POMBE MAGUFULI tunaomba utusaidie juu ya hili jambo mm nimechukia nimechukia nimechukia haki haijatendeka na nimeumia kama mama.shenz type wee mama
Kweli pesa mbaya,pesa kidogo hiyo inafanya unasahau suluba aliyopitia ndugu yako?hapana hiyo kesi haitakiwi kuisha kienyeji ivo..uyo ni mfanyakazi mmoja,waliopita je?watakaokuja?
Eti laki Mbili wamewadharau Sana alifa kulipa mshahara wa kazi aliofanya kando na pesa yengine kumfariji huyu msichana aliye pitaya mateso ila namlaumu Sana dadake
Looh Dada umerahiisha sana mambo huyo mtoto ameshaarika kimwili na akili maisha yake hayatakuwa ya kawaida tena Lazima huyo mama afunguliwe kesi maana anaonekana ni mnyanyasaji mkubwa ama mgojwa wa akili Azimio Pia awajibike maana ndio mshawishi mkubwa ADHABu gani ya kumtia mtoto vijiti ukeni Nawe unaona ni sawa tu. Looh hebu fikiria tena
Yaani nimestàajabu...kawavunja moyo majirani wote waliojitokeza kumsaidia huyu mtoto...Majirani walionyesha uchungu kuliko hata huyu ndugu yake...laki 2...pesa sio kila kitu huyo mtoto aweza pata tatizo mda wowote afu hata huko chini hamkumfanyia uchunguzi itakuwaje ukifika zanzibar naukamkuta mdogo wako kaumizwa sana na majiti unadhani hiyo laki 2 ni nyingi? Isee bora mungu akunyime mali akupe akili...Dada umetuvunja moyo sana loooh...kama mambo yalivyotoka hadahani ungemtafuta mwandishi huyuhuyu mambo yaishie hadharani na majirani nao waridhike yaani mmenda kumaliza kimyakimya astaqafurullah.
Huyo Dada mtu kwakweli ni mtambo saana yani mtoto kafanyiwa unyma kiasi hicho mbaka mtoto kuingiziwa mijiti sehem za sili alfu yeye anasema eti kamfanyia ubinadam ubinadam upi. Kwa mfano nichenga sana
Subhanna Allah 😭😭 unamsamehe mtu alioatarisha maisha yake mmmmh inasikitisha kweli eti laki mbili duuuh
Kaka upo vizur nimekupend buleeeee
Dhahir cc hatujakubali kes iendelee
Wenye kesi wameifunga ndo tatzo..unaweza fungua na mtoto hayupo
Wakwanza naombeni like zenu.Zahir Allah akujaalie umri mrefu zaid unafanya mambo makubwa Allah akufanyie wepesi.
Aamiin
Ni tuzo apewe yuwastaili sana 🏆🏆🏆
zanzibari.food
Penye uzito na wepesi pia upo subuhnallah mungu akujalie maisha mazuli amina🙏🙏🙏
All the way from 001county mambasani.Dada kumlipa si hoja ashamuharibiya maisha yake.mbeleni itakuja kumpa msonga Wa mawazo.
Mmh huyo dada mtu simuelewi daah!!
Bora mwenyez mungu akunyime vyote akupe hakili hakyanani.
Najihisi kukupenda we mtangazaji kwakweli mungu akusimamie vema ktk kazi zako
Asante kwa upendo wako..amen mungu mwema ubarikiwe sana
Dadayakenimzuri
Nyie watu munaomani unyamawotehuo alofanyiwa mpakamitisehemuyasiri km kaumiandani kwandani je
Dah hawa watoto wana hatari kubwa mno .....Ungekufa je!
Ahsante sana dada mungu akupe moyo huo
Watoto wetu wanamitihaya wallah
@@Ryoof-qo7if sanaaa yaani watoroka kizembe ndio maana madanguro hayaishi kwa kweli
Subhanallah, kweli huyo dada aje ahongwe lakini mbili afute kesi, kweli hana uchungu na nduguye, inaonesha hata yy ataenda kumtesa kwanza kamuacha ana miaka miwili hajui uchungu wa nduguye kudhalilishwa hata kutiwa majiti, akuchukulie poa basi angekua mwanawe yy angekua mwanawe angechukulia poa, Zahir hii kesi ifike sehemu husika kwa wanotwte haki za wtt, huyo dada na hao serikali ya mtaa hawakumtendea haki huyo mtt. Huyo muajiri kuachiwa hivi bila hata kufunguliwa mashtaka serekali lazima imchukulie hatua nimfalifu hata wtt wake anyanganywe na asiruhusiwe kuwa na mfanya kazi maishani mwake, nafikiria dada huyo kachukua umuzi bila hata wazee kuwajulisha na kuwaelezea yalomsibu mtt wao siamini kama wangechukulia poa kama huyo dada kwa laki mbili. Na huyo anofanya traffic ya kutorosha wtt wa wt lazima serikali imfuatilie afunguliwe mashtaka.
Tatzo familia imeshalumaliza..na rushwa imetendeka Sasa mm hapo nguvu nitatolea wapi
@@maximumtvonline SAA nimeumia saana najua ungempeleka ww kwao pangeniga saana wotewangechukuliwa hatua natamaniuyo dada an gen yang many auto mdogowake asiendenaenaana pesa zimemchanganya
Dah kaka zahir mungu akulinde sana
Hy dd ni mpuuzi sana,ss hl gn hiyo. Hapo hapo eti pa1 na mshahara i duh 🤭 🤭 🤭
Asalaam aleykum warhmatullah wabarakatuh... Natumai uko mzima kabisa! kwa Kweli Zahir babaa. hawajamtendea haki kabisa huyo mtoto Maana mtoto ajapata vipimo Bali wameangalia tu nakutathin kwa maelezo nakumpa dawa za maumivu bila vipimo je kama huyo mtoto kaathirika ndani kwa ndani itakuaje na hapo wamemaliza kesi kutokana na ufinyu wa kifkra wa dada hajui kujieleza sio kosa lake alikua anaitaji mwenye uwezo wa fikra zaid kumsaidia huyo Dada but yashakuwa ila kwa ushauri wangu ungewezekana huyo Dada angeojiwa na atiwe adabu ili iwe funzo hata kwa wengine kwa Kweli kuna watu ni roho mbaya sana hata shetan anawaogopa wanatumia pesa zao kunyanyasa walio chini yao 😭 ila Mwenyezi Mungu atamlipia yeye mwenyewe Hatomwacha atese mwengine Tena
Kweli hakuna haki yoyote Ile iliyotendwa
Kweli
Kama wenyewe wamesamehe sisi kama wajumbe tunaomba Serikali uchukue mkondo wake kuhusu huyo Boss mtu maana atawanyanyasa na wengine watakao kuja kufanya kazi bora angeadhibiwa kisheria ili iwe fundisho kwa maboss wengine.
Jaman serikali iko wap wajumbe atuelew mpk sheria ichukuwe mkondo wake
Asipelekewe hasa wafanyakax
Ata mjumbe mimi nakuunga mkonoo
Dada hajielewi kabisa
Duuh huyu dada kweli kakaa Zanzibar. Sie tuna moyo wa huruma tu kwa kila kitu. Mtu wa bara hapo asingekubali na hiyo 245,000. Allah atawafanyia wepesi na atawapa zaidi.
ameen..ukimsamehe mtu duniani Allah atakusamehe akhera..
Dada MTU pungu yaani kaona laki mbili pesa nyingi tofauti na maumivu ya MDOGO wake yaani kaniuzi balaa
Hawa ndio wale madada hawajashika pesa wako manyumbani Tu hawajui thamani za pesa atamimi nimeudhika zaidi napia inaonekana huyu dadake hanaupendo na mdogowake
Mbaya zaidi yy kachukua nyingi muhusika kapewa kidogo khaaaa kufa kufaana WALLAH
Mwenzenu huyo dada umeniudh vby mno yaan hata huyo mtoto anajibu tu lkn hayo maneno nahis kafundishwa mm jmn lidada lijinga mno mdogo wako kabikiriwa na majiti lkn unayafukia hajui thamani ya bikra hawa shungi lileeeee
Dada uyu siyo mxima wallah
Pesa ndogo sana uyu dada ajierewi
mungu atalipa..sisi wazanzibar Allah tumemuweka mbele..
Ni Kweli kabisa
Huyu dada amenikera sana ni bora angebaki hukohuko zenji hana upendo na mdg ake na akili hana
Duh hela gn iyo na kipigo juu mm nilijuwa milion naaaaa
Masha Allah kama pacha mungu awa weke dada pole na mitiani
huyu dada mjinga kweli hovyo kanibowa 😕
Yaani hunishindi mie kwakweli
Yaan km nimtie makofi
Yukowapi huyo muaji wallah
Ety wapokea lak 2 mimi ningempereka jela na fidia juu
Wewe azimio mungu akulaani
Zahir ningekuwa karibu ningemtia vibao huyo Dada
Tena mm ningempiga sanaa Yan mtu apigwe adhalilishe hiyo halafu kirahisi tu anasamehe na malipo madogo hayo haki mbingu huyu dada haendi
Yan nais ww ungemchezea iyo miti ya mbelen ningemtia uyo dada mpumbav wa mwisho
Kweli kabisa..anakera
@@maximumtvonline kwa nini usingekaa nae pembeni ukamshauri arudishe hiyo pesa sheria ichukue mkondo wake kaka
Mjinga sana huyu dada halafu bado anasema anataka asaidiwe dah niimeumia kias natamani ningekuwa karibu nae nimshtue hata kibao tu
Anakera Sana Mimi naona huyo dada mtu na huyo muhalifu wote wawekwa ndani wafunge
Shukrani sana kk Zahri..ila uyo dd wa bint kazingua ni pesa gani sasa iyo ya kumfanya yy kufuta kesi..
Daah we acha tu
Uyo dada mshenzi sana angeingizwa yy miti mbeleni angejisikiaje sura kama kikaango😏
Yani hatamm kaniudhi saana yani uyo mama angetoa milioni mbili kweupe
@@maximumtvonline najua kaka umejitioa saana naimekuuma saana ilauyodada kaboa saana
@@fatemaligalawa4151 milioni2 pia kidogo kuanzia 5 huko
Uyo azimio la Arusha mungu anamuona kwakweli pole bint pole Sana 😢😢😢
Duh shirikisho yn wanadanganuwa Dar kuna maisha mazur wanakubar
Huyu dada dishi limeyumba
Subhannallah yn uyu dd mjinga wakweli kbs
Mateso yote hayo alfu mnamuachia huyo mama 😢😢😢pesa yenyewe ni ndogo kulingana na tukio. Zahir hebu mtafute huyo mama umhoji ajieleze kwanini anawatendea vibaya wafanya kazi
Ivi we unaakili au aunauchungu na mdg ako u atamaaa naroho mbaya
Mungu atamlipa nshallah
Ukute ni mke wa kigogoo ndo maana ananynyasa watu ila Mungu atampiga na uzao wake
@@marthasumaye6017 ameena
Hapo kuna njama ya kishenzii Sana inaonekana wametishiwa Mahali hakuna kuridhika yoyote iliofanyika hapo ati laki Mbili Tu na haliiniiile he angeuuwa
😪😪😪😭😭😭kuingizwa mti sehemu zasili muuaji huyo mama
Kaka Zahir haki za kijinsi hazikuchuliwa ila kwa kuwa dada kaamua kumsamehe bc tuseme Inshaallah Mungu ndie mlipaji ila mabos waache kutunyanyasa na kututesea watoto wetu kupata kwao isiwe pigo kwa wengine
zahir asante sana kwa muendelezo
Hamna adabu sana nyinyi wazazi. Yaani kambikiri kwa miti halafu kamlipa laki moja umefuta kesi. Sheria ichukue mkondo wake
Dunia inaelekea mwisho jamani,ivi kama umemshindwa mtoto wa mtu siumrudishe kwao..
Kbsa
Dada tako lako lakushoto huna akili kabisa mwehu wewe .ningekuambia karibu ningekupa Kofi la hatari .umeona hpo umepewa hela nyingi .mpuuzi wewe mavi yko .hujawahi shika hta elf hamsini yakwako mwenyewe ndio Mana umechanganyikiwa na na hela ya kijora mpuzi .kwanza umeishia darasa langapi sijajua mavi yako
@@niachiemahehee2523 sn aki naukiangalia mtu hujui alvyo umia ela shetani mshenzi kuma vuzi unathamin ela kuliko dadko mburu kenge jifunze kuongea stupid
Uonevu mkubwa sana. Hata mwenye kiti amekubali hayo makubaliano 😳😳😳😳
Angekuwadadangu Hutu mdadaa huyomamaangekoma jinsiningemtingishaa aisay naona angeopa huyo mdada...yanihuyu dada Kayoyo mno kapewahela kalainika 1😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Huyo tajiri wa binti mungu atamlipa double price
Tajiri wapi Hana lolote
@@maximumtvonline amemtendea mtoto wa wenyewe unyama m mbaya sana ..ila ajue na Yeye amezaa
Jaman hapana huyu dada hajielewi hata kidogo
Kabisa uyu Dada cyo mxima wallah
Kabisaaa
Yani sema wewe maana bora Hata angempeleka mabusu uyo bosi na kuacha kuchukua hiyo pesa
Mi nmewatch saiv ,uyu mdada n taira + punguan hana uchungu kbsaa na ndugu yakeee ,iv angemkutaa marehemu jee
@@zubedanyamsha1971 acha tu
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆👏🙆🙆🙆🙆
Uyo dada ni mujinga kabisa laki mbili kweli apana wangemupa ata million 10 wallah mujinga na ujinga wake😢😢😢
Atamm na ngaatuu
Kapagawa na laki mbili duuuu pesa ya sigaratu
Amnaa no mambo ya kawaidaatu elaa sio kituu boraa uhai mtoto kapatikana
Umekosea sana bora ungeacha watu wakasaidia angepata pesa nzuri na boss angeshishwa adabu asingerudia tena udhalilishaji
Mwenyeki mungu anasema km ilotukio lingekua kwamanao uliemzaa
Mungu anawaonaaaaa
We dada hiyo pesa na utu sio, haviendani mbona mmechukulia poa sana😏😏😏
Ingekuw ni ndug yangu mbon tungefikishan mbali tajir wakituy gan
Zahir God bless you more.
Amen
Dah musingekubali kupokea hiyo pesa, mungepeleka kesi mbele, huyo mtt nae anamsamehee vipi.
Ahh munaudhi.
Hapo mungelipwa million 5-10 huko
Dada mtu hazimtoshi hata robo.
Wapumbavu Sana sana
Kaka zahri ongera sana kwa kufwatiliya mambo yako unayo yasimamiya inshaallwaa mungu atazidi kukuongoza
Yaani huyu Dada angekuwa ndugu yangu ningemuweka ndani yeye na huyo mtuhumiwa kwanza ili akili imkae sawa! Laki mbili na 45 unafuta kesi? Maa kweli akili ni nywele 😭😭😭😭
Aisha ndio maana kunausemi bora ukose mali hupate hakili ndio huyo mwezetu kaona pesa bora kuliko Utu wa ndugu yake
Hakili yangu mie angelala mabusu bosi wiki shilingi yake sitaki
Huyo dada jamani hivi hizo hela alizopewa anaona bora kuliko kitendo alichofanyiwa mdogo wake ningekua mimi huyo muajiri ningefika nae mbali aisee huyo dada ametushangaza wengi
Mwendazimu wa wazimu huyo dada nae tena mpuuzi sana hana huruma na mdogo wake
Ukweli kaka yangu mtangazaji Allah akupe umri mrefu kwaufatiliaji wako uyo dada kaniudhi ule boss lazma angekanywa asirudi uyama uyo kwa yoyote atae muajiri
Huyo dada kakosea, huyo mama ni heri fisi, anamfanyia ubaya Kama huo, anastahili onyo kali. Msamaha baada ya onyo
Huyo mtoto hivyo anavyo muangalia dada ake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijuw kwanni😂😂😂😂😂😂
Hahaha
Kabisa zahiri umemuumbua sana uyo dada yake tahira ume mkatiza kauli eti usaidiwe vp pesa kapewa na kalizika😁
😂😂😂
Hanaata aibu unaridhikaje na pesa ndogo kwaajili ya maisha ya mdogoako inaonekana Hana upendo kabisa na huyo mdogoake maajabu haya
@@lovvy854 😃😃😃 na maajabu kweli wallah Abdul
Tamaa tu
Uyu dada kaniuzi kweli kaka zahri yani sijui ajasoma uyu aliye fanya ikikitendo alikuwa afungwe ndiyo ingekuwa dawa pumbaaavuuuuu uyu dada wa binti
Aisee angkuwa mdg wangu hata million sichukui namuweka ndan kbs upuuz gan yn laki mbl wkt ht mshahara wangu wa mwez n mara tatu yake dada mjinga sana
yani ingekuwa mimi kwanza salamu sikupi mkofi yangekuhusu
Dah zair pole sana jamn najua utakuwa ulichukia sana ila kiukweli huyo dada siyo mtu mzur hata hiyo hela ata mnyang, an, gany wakitoka hapo
Mmmmmh makubwaa nayo aya aya pole mdogo wangu
Ivi uyu Dada msengeee eeeh
Wewe mama utalipia kwa hayo ulomfanyia huyo binti acha kuwaonea watt wakazi kwa kuzizarau familia zao duni,Mungu atakupa unachostahili.
Kwanza pole mtangazaj mana uyo Dada sijui anadaiwa vikoba ndug yako kapotea miez mitatu unashukul mungu mh ay
Zahir kazi unayo,pasua kichwa
Umeona eeh..ndomana nimewapotezea tu
Sijawai ona dada ambae hna uchungu na mdogo wake😑
Namtamani huyo Dada chuzi
Hana uchungu hata robo ,Tena sijui kaona sifa tu kuongea na mic.ila sio kosa lake,nahisi shule haipo.
Wamefanana masha allah
Huyo dada kaona laki mbili pesa kuliko mateso na kutokulipwa mdogo wake mshahara miezi 3, au hiyo ni faini tu?.
Subhanallah inasikitisha sana jins mambo mazito kama haya kwisha kanakwamba nothing.ahh
Huy Dada akili hana kathamini kitu kuliko utu majuto nimjukuu atajuta badae
Kweli kabisa na anaweza pata madhara baadae, sijui watamlilia nani?
Hela mbaya laki 2 tuu 🤣🤣🤣🤣🤣 una rizika sasa uyo binti vp?
Mm ndo maana nampendaga geah habibu, anaanzia police mka kinaeleweka
Mtangazaji nimekupenda bure,umeuuliza huyu dada haswa,sababu mimi naona kama hajielewi..
Na kama ulivyosema iyo ni pesa ndogo sana,kwanini wewe mwandishi hukuhakikisha unafuatilia hii kesi wakati inasusuhishwa?kutakuwa na jambo hapo,sio bure...huko serikalini huko kuna mambo chini.ya kapeti
Ukweli kabisa Zahir ungelifuatilia hadi huko walipoongea hapo kuna njama ya ushenzi kupewa laki 2 na mateso yote hayo jee anguuuwa ama ampe jiraha la maisha useless Sister Hanamaana huyu dadake
Asante kwa upendo wako
Nimeenda baada ya kupata taarifa kuwa huyo dada anakuja dar nikijua akifika moja kwa moja watanipigia Mimi ili ikiwezekana tupate kushsurisna lakin Cha ajabu amefika dar wamekutana na mtuhumiwa..kadanganywa Sana na Sana na mwisho napigiwa Mimi kukutana nao ndo WALIKUWA wanaenda Zanzibar sa hapo nitafanya nn..ikabid nifanye kipindi BARABARANI hapo dar live mbagala Kisha nikakiweka hapa
@@maximumtvonline aaaah jamani,yaaani dunia hii.
Hawajafanya fair kabisa,hata mtoto unaona kuna vitu hajamwambia,usikute aliona tu hata haina haja sababu dada yake labda hata hakuongea nae,alianza kuongea na hao watuhumiwa na kuja huku kumshawishi tu mtoto.
astaghfirullah Dah! nimeskitika sana mwandishi,basi tena inna lillah
Lipo nje ya uwezo wenu tena,kama wao wamesema hamna kesi tena basi nyinyi hamuwezi tena kuendelea nalo.
Mungu aendelee kuwatia nguvu na moyo kutatua uonevu ,manyanyaso na mikimiki yote iliyoko ndani ya uwezo wenu.
Mnafanya kazi nzuri sana Maxmum Tv Online👏👏👏👏👏👏👏
Wew dada kweli mjnga ungeoewa hata milion
Hili jidada fisadi tuu pesa ndogo wamruka mdogo wako..na shukuru kwa ukurutu wangu ndugu Zangu hawajai ni wacha.
Duuh kwa kweli dada auna utuu kabisaa na mdogo wakoo m2 kaekwaa mti kwa studio wee wafutaa kesi kisaa pesaa
Uyu dadaake bwege kweli,,katoka zenji na njaa zake,kashatulizwa anamtetea mharifu
Allah amuhifaz uyo mtoto. Ampe furaha baada ya hapo.
Subhana Allah laki mbiiili kwe akili ninyweere jamaani kila mtu anazaake nimeumia saana😭😭😭😭
Nahasira. Kaka naomba namva ya huyo chizi kaka naomba namba
Pole sana mdogo wangu yote mitihani ya dunia
Dada punguani tena linachekelea, we mwenyekiti cjui nani nae hamnazo
Zahir huyo dd katuudhi sn wadau nadhani hajielewi kwahio kama itawezekana kesi ifunguliwe tena hatujaridhika nahilo
Ndo bc Tena mm Sina mamlaka ya kufungua kesi
Musiwasaidiye tena uyo Dada mujinga sana izonipesa ndogosana aonigisinduguyaka arivyoteswa
Jaman huyu dada hana akili tena mjinga Sana kwn uyo mtoto hawez kuongea
Duh pesa mwanaharamu... Kipigo hicho chote mmepozwa na pesa kwelii.. Zahir Mie sijapenda
Na kwa pesa gani haswa hapoo
@@hjhj6230 Wallah inasikitisha wameshidwa kuchukua hatua yeyote kukomesha vitendo vya kinyama Kama Hivyo eti wanamalizana kwa laki 2 nimejikuta naumia Kama japo Huyo mtoto simjui..
Nakwambia mm ciwezi kumusamehe ht kdg kesha atamuuwa bd watafrahi
Mr Zahir hatuna chakukupa ila twakuombea kwa Allah akuzidishie moyo huohuo
Amen Maryam.. ubarikiwe sana
Wewe dadake fala sana tena jinga kubwa
Zahir ungetia vibao huyo dada mpumbavu kweli 🙃yaani dada mjinga kweli yaani
NIMEMUACHA tu..mtoto nimeamua kuzama mfukoni mwenyewe na kumnunulia nguo na viatu aende safari Zanzibar
Maximum Tv Online god bless you bro🙌🏻
Mm kama mama nimeumia saaana kuona hii kesi imeishia hivi Huyu mwenyekiti hakupaza sauti juu ya udhalilishaji wa watoto sjui km hajahongwa..MUHESHIMIWAJOHN POMBE MAGUFULI tunaomba utusaidie juu ya hili jambo mm nimechukia nimechukia nimechukia haki haijatendeka na nimeumia kama mama.shenz type wee mama
Huyo Dada ningekuwa karibu walahi ningempiga huyo Dadamtu hana akili. Mzuri daah
mmh...just like that🙄🙄🙄
Kweli pesa mbaya,pesa kidogo hiyo inafanya unasahau suluba aliyopitia ndugu yako?hapana hiyo kesi haitakiwi kuisha kienyeji ivo..uyo ni mfanyakazi mmoja,waliopita je?watakaokuja?
Nashangaaa
Eti laki Mbili wamewadharau Sana alifa kulipa mshahara wa kazi aliofanya kando na pesa yengine kumfariji huyu msichana aliye pitaya mateso ila namlaumu Sana dadake
Hata mimi nimeshangaa kwa kweli,kwa mtindo huu ukatili hauwezi kuisha,hiyu dada sio mzima.
Yan haitakiwi kabisa kuisha kihvyo
Dada huna akili mdogo wako angeuwawa shule nxuri alikochokonolewa akaoza fara we we
Na huyo mwenyekiti pia zebwe
Uyo dada wa kuchapwa viboko shenzi sana
Ama kweli huyu dada hana akili timamu. Laki mbili na 45 ndiyo hela gani kwa tukio kama hilo??? 😭😭😭😭🙆🙆🙆🙆🙆
Na mm nataka nikakae Zanzibar niwe na roho km ya hy dada
We Dada kichaa dogo kaumia wew unafurahia laki 2
Muko careless mtoto mdogo huyo alitoroka hata report polisi musitoe hamujali Kabisa,so sad
Looh
Dada umerahiisha sana mambo huyo mtoto ameshaarika kimwili na akili maisha yake hayatakuwa ya kawaida tena Lazima huyo mama afunguliwe kesi maana anaonekana ni mnyanyasaji mkubwa ama mgojwa wa akili Azimio Pia awajibike maana ndio mshawishi mkubwa ADHABu gani ya kumtia mtoto vijiti ukeni Nawe unaona ni sawa tu. Looh hebu fikiria tena
Dah! Jaman laki mbili kitu gani we Dada huna akili hata kidogo na inaonekana hujawahi shika pesa na mdogo ako huna upendo nae hata kidogo shwaain
Huyo kisha dhalilishwa umeridhika ama kweli unataka nini tena😭😭😭😭
Huyo dads kaona kufatilia kesi, akiwa Zanz itamgharimu, ndiyo maana wameifuta hiyo kesi kimaandazi andazi.
Hahaha kimaandazi andazi au sio
Huyo Dada bwege sana
Wew dada umenikera sana laki mbili umevurugwa nayo haujarudi nyuma kuangalia mdogo wako yupoje au alifanyiwa nini .nyie ndyo mnamvunja moyo kak Zahiri .ovyo kweli umeniudhi rait ungeniona😩😰
We Dada umzm kweli umefuta kesi hujui hiyo mijit aliyochomwachomwa bdy ikiwa shida utamlilia nani,umeniuz kwakweli ngeu hizo hajapona unasamehe kirahis kweli
Inaudhi Sana laki Mbili wanafananisha na maisha ya mtu kwasabu angemuuwa msichana wawatu ingekuaje huyu dadake Hana thamani mshenzi hajielewi duhhh
Yaani nimestàajabu...kawavunja moyo majirani wote waliojitokeza kumsaidia huyu mtoto...Majirani walionyesha uchungu kuliko hata huyu ndugu yake...laki 2...pesa sio kila kitu huyo mtoto aweza pata tatizo mda wowote afu hata huko chini hamkumfanyia uchunguzi itakuwaje ukifika zanzibar naukamkuta mdogo wako kaumizwa sana na majiti unadhani hiyo laki 2 ni nyingi? Isee bora mungu akunyime mali akupe akili...Dada umetuvunja moyo sana loooh...kama mambo yalivyotoka hadahani ungemtafuta mwandishi huyuhuyu mambo yaishie hadharani na majirani nao waridhike yaani mmenda kumaliza kimyakimya astaqafurullah.
Mungu atawalipia inshallah haina haja mungu atamuhukum huyo mdada
Huyo Dada mtu kwakweli ni mtambo saana yani mtoto kafanyiwa unyma kiasi hicho mbaka mtoto kuingiziwa mijiti sehem za sili alfu yeye anasema eti kamfanyia ubinadam ubinadam upi. Kwa mfano nichenga sana
Pesa kidogo sana hiyo sijui umepewa nini wewe dada na huyo boss