K2GA amjibu DVOICE juu yakauli yake kwa ALIKIBA, mimi niko tayari kufanya kazi na Boss wako DIAMOND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @SivenLuringa
    @SivenLuringa 9 หลายเดือนก่อน +1

    one love k2ga uko na akili san

  • @wankurumasanja4764
    @wankurumasanja4764 11 หลายเดือนก่อน +18

    Jamaa amejibu kiukweli one love❤️❤️❤️ ,D voice akili hana yule

  • @pc_boy426
    @pc_boy426 10 หลายเดือนก่อน +3

    K2ga uko mpole saana endeleya vile brother mungu aku zidishie

  • @witnaofficial
    @witnaofficial 11 หลายเดือนก่อน +17

    Ni ta anza ku follow wote wa King's sababu ya jibu zako

  • @hamismchoma
    @hamismchoma 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mchiz wa uk chaguo pendwa ilo tz atoe ngoma axtoe bado love

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 11 หลายเดือนก่อน +14

    Nimemkubal Mchizi UK Kawajibu Kihakili Xan , Ila D.C Kam Kazinguw Kidogo Hivo❤❤❤🎉🎉🎉

  • @VitalessGalus-m6d
    @VitalessGalus-m6d 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ndug zangu niache hunafiki binafsi mimi sijawai kusikiliza nyimbo ya uyo D voc sijawai hata siku moja kwaza simwelewi kabisa ki2ga ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 10 หลายเดือนก่อน

      Afzar ww mie ata kumskiiza tu smsikiizagi

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 10 หลายเดือนก่อน

      Me too yaani hata interview zake sijawahi kuzisikiliza kiukweli

  • @YoungProfessionel
    @YoungProfessionel 11 หลายเดือนก่อน +12

    K2GA MCHIZI WA UK Akili sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 11 หลายเดือนก่อน +9

    Kajibu vyema sana kijana wetu

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 11 หลายเดือนก่อน +7

    Nice..... Mupitie na kwangu wapenzi ❤❤❤

  • @kapeamohamed2750
    @kapeamohamed2750 11 หลายเดือนก่อน +6

    Yuo ni ngoma kali 🙏🙏

  • @StanleyStanleyStanleyStanley
    @StanleyStanleyStanleyStanley 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli huyu k2g haimbi nyimbo kwa kushindana na msaan mwenzake ye anaimba nyimbo zake kwa kuipenda 🎉

  • @EddytabenMwambegu
    @EddytabenMwambegu 11 หลายเดือนก่อน +6

    Haya ndio majibu ya kibusara.kwa king,s music

  • @ReySiblings
    @ReySiblings 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kijana kajibu vizr sana ❤❤

  • @salimkadege3415
    @salimkadege3415 11 หลายเดือนก่อน +6

    Safi kabisa ki2gs

  • @Mahadontz
    @Mahadontz 10 หลายเดือนก่อน +1

    K2ga anamalezi mazuri sana namkubali huyo dada d voice bado sana

  • @KhalphaniMussa-xz2wv
    @KhalphaniMussa-xz2wv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekukubali sana kwanzia leo broo Karim Allah akuongoze vyema katka kazi zako na akupe afya njema kaka mkubwa

  • @Igweezysirleem
    @Igweezysirleem 11 หลายเดือนก่อน +2

    Akili nyingi kichwani🔥🔥🔥🔥🔥kings music for life

  • @ivantompoo3420
    @ivantompoo3420 11 หลายเดือนก่อน +25

    Umeona watu wakubwa d voice wanavyo jibu maswal sio ww bado kijola haujui kujibu maswal kam msanii

  • @bakarisuleimani5692
    @bakarisuleimani5692 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mino TV

  • @ivantompoo3420
    @ivantompoo3420 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nc ki2g

  • @AliNgurudu-i4r
    @AliNgurudu-i4r 11 หลายเดือนก่อน +11

    D voice dogo kiburi mwisho wasiku utajuta kuingia wcb

  • @kambandefusaidi6966
    @kambandefusaidi6966 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mchizi wa UK 🦅🔥🔥👏

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 10 หลายเดือนก่อน

    Be gup broo nice interview

  • @StalonPetro
    @StalonPetro 10 หลายเดือนก่อน

    Congratulations

  • @EricksonAbell
    @EricksonAbell 10 หลายเดือนก่อน

    Unajua brother

  • @Masudimwege-rc3tm
    @Masudimwege-rc3tm 10 หลายเดือนก่อน

    Saw brow nachuki yanni

  • @LenaMwatwino-xi5cg
    @LenaMwatwino-xi5cg 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mchizi wa UK❤❤❤

  • @EsperanceNamagajo
    @EsperanceNamagajo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli ❤❤❤❤

  • @EdithaAlasi-wg2pt
    @EdithaAlasi-wg2pt 11 หลายเดือนก่อน

    ❤ nakukubali San k2g

  • @mbwelamedia3469
    @mbwelamedia3469 10 หลายเดือนก่อน

    Kama amejibu Hili kutoka kwenye moyo bas respect ndg wng k2ga

  • @depsonathanase6275
    @depsonathanase6275 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka tuna kuchunga depuis congo

  • @JosephMumuza
    @JosephMumuza 10 หลายเดือนก่อน

    Ka2g yangu Léo takufatikia sana una baya

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 11 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anaimba sana halafu hana kwere

  • @fredymsigala2289
    @fredymsigala2289 10 หลายเดือนก่อน

    Wa Uk

  • @JumaMakenga-t2o
    @JumaMakenga-t2o 11 หลายเดือนก่อน +4

    Akili kubwa San dogo kajibu kiutu uzima

  • @JuniorMuhima
    @JuniorMuhima 10 หลายเดือนก่อน

    Uyo D voice 😂maisha ndo katafuta ali siyo mwenziye🇨🇩

  • @JoshuaMwamuye
    @JoshuaMwamuye 11 หลายเดือนก่อน

    Mature man anaongea kma yuko na akili za watu mia

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato 11 หลายเดือนก่อน

    Natamani Siku Moja Nifanye Kollabo na K2ga

  • @YasinJumbe
    @YasinJumbe 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @MtumbaOG
    @MtumbaOG 11 หลายเดือนก่อน +2

    Vitu vingi vipi wewe unapoteza mashabiki k2ga

  • @RajabuNassoro-o5n
    @RajabuNassoro-o5n 10 หลายเดือนก่อน

    D voic napenda ngoma zake ila amefeli kwa ilo kwaiyo baba akigombana na mama yako utomueshimu baba kisa wametofautiana ache uswaili

  • @mbezzoprince9462
    @mbezzoprince9462 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu duniani hayuko wala mbinguni

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 10 หลายเดือนก่อน

    Miakili Mingi kama Baba wake

  • @KellyKimbeo
    @KellyKimbeo 11 หลายเดือนก่อน

    Dgo anajua kujibu maswali

  • @Tozdance3570
    @Tozdance3570 11 หลายเดือนก่อน

    Wasani wakukaratasi ila uwanjani hawapo

  • @fredymsigala2289
    @fredymsigala2289 10 หลายเดือนก่อน

    Mchizi

  • @CalvinMwacha
    @CalvinMwacha 10 หลายเดือนก่อน

    ♥️♥️♥️