ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

CHRIS LUNDA FUNGUKA MAZITO KUHUSU NANDY : NILIMTOA CHUMBANI : NI MTU WANGU KWAO WANANIJUA : NAMPENDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 13

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f 23 วันที่ผ่านมา +1

    Daah hii ya msafara ulivyo pambana machozi yame nilenga lenga Mungu akufanyie wepesi kijana Ubarikiwe sanaaaa 😍

  • @Masterkhantz
    @Masterkhantz 24 วันที่ผ่านมา +4

    Leo mimi wa kwanza msisahau kunipa likes mukishindwa na warogaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @mvullamanase
    @mvullamanase 23 วันที่ผ่านมา +3

    NDIVYO INAVYO KUA, LEO Matunda anakula BILNASS

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 23 วันที่ผ่านมา +2

    yaaani wasafi mada zao sio za msingi sijui huyu kamfanya ivi sijui huyu ana lile ukhanis ukhaniss 😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 23 วันที่ผ่านมา

    Daaaaaaa Allah azid kukupa moyo uwo uwo kijana wangu

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 24 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana mwana....umempambania mno

  • @SalamaBwanamoya-zv8tb
    @SalamaBwanamoya-zv8tb 24 วันที่ผ่านมา +1

    Leo mimi wa pili jamani like zangu ya zawadi 😅

  • @ReginaErnest-cf6ji
    @ReginaErnest-cf6ji 24 วันที่ผ่านมา +2

    Jmn watu wakumbuke waliko toka da mshikaj moyo Safi yani

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 23 วันที่ผ่านมา

    Mungu atakulipa Zaidi 🙏🙏una moyo mnoo

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 22 วันที่ผ่านมา

    Muandaa shamba na mpandani mungine'na mvunaji mungine!tujifunze kurudisha fadhila na kumuheshimisha mtu alie kushika mkono na kukusafishia njia,binadamu tunasahau haraka watu walio nyuma ya mafanikio yetu!ubinadamu kazi!kaka amechoka uvumilivu baada ya kufunikwa hali akiwa hai!mbaya zaidi kutupwa kapuni!kila akiomba nafasi Nandy anamtolea nje,aibu kwa Nandy, mtu huyu si wa kumsahau kwenye mafanikio yako

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 23 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @roseb8052
    @roseb8052 23 วันที่ผ่านมา +2

    STOP she s owner man 👨 stop 🛑 ❌❌❌❌