Daaaahhh,mimi binafsi nawaambieni,hii kazi ina mkono wa Mungu mwenyewe na sio binadamu,hawa wanaoimba kwaajili ya binadamu waacheni wafanye hivyo wamsshapokea thawabu yao,ila Uinjilisti mmemtukuza MUNGU aishiye Mbinguni,sina chakuwapa kwa hii baraka na uponyaji wa Roho yangu,MUNGU wa mbinguni aliyewapa haya mafunuo awalipe sawasawa na mahitaji yenu.
Majila haya mungu baba umesimamasha dunia midomo imefungwa lakini wewe hulali Wala husinzii.sayansi kamwe haviwezi kushinda na wewe uhimidiwe baba lakini bado lipo tumaini kwa kila atumainiye kwako baba hatubanduki🤲🤲🤲🤲
Haleluyaaaaaa BADO LIKO TUMAINI💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤na corona itapita.....na hali ngumu.itapitaaaaaa......BADO TUMAINI.....KWA KILA AAMINIYE...YESU KRISTOOO NDIYE TUMAINI😊😊😊😊😊
Mungu yupo kila siku na tumaini pekee katika maisha ya Mwanadamu. Hongerani kwa utumishi wenu. Hakika Mungu aliwavusha Wanaizrael pale walipo kosa tumaini. Tuangalie tumaini letu lilipo ili tuvuke katika majira haya.
Nawaona hongera Sana waimbaji hawa,uimbaji huu sio uimbaji wakitoto,Bali ni wakiutuuzima,nyimbo nzuri Sana,vyombo vimetulia,waimbaji hawamezi maneno yanasikika vyema,ujumbe Nani ya nyimbo mungu awabariki
receive my congratulation from the church of Christ Church Nakasongola South Sudan-A.I.C Juba. We really enjoy all you preaching through the Gospel Music. May God bless each one of you
Wimbo mzuri sana unampa mtu tumaini ya kwamba Mungu wetu huwa anaingia kazini pale binadamu mnapo karibia kukata tamaa kutokana na jaribu lililo mbele yenu.
Hakika lipo Tumaini @kijitonyamauinjilistichoir Mmejua kutuimarisha hasa kwenye kipindi hiki kigumu dunia nzima tunachopitia wengine wanapozidi kutupa wasiwasi nyie mmefanya jukumu lenu Mungu azidi kuwabariki
Mungu kweli wewe ni Mungu mwenye wivu na hakina uliko tutoa kwa akili zetu tusingeliweza kufanya kitu chochote Nakurudishia sifa na Utukufu katika kiti chako cha Enzi
Kwakweli Mungu awabariki sana kwa kutia moyo nawapenda yangu nilipowajua hamjawahi kuchuja na Mungu awakumbuke kila moja kwa hitaji lake maana mmejitoa kwake
Hongereni watumishi wa BWANA kwa kazi njema, mmekuwa faraja kwa mataifa, MUNGU wa mbinguni akawinue na kuwatumia zaidi ktk huduma yake, utukukufu wa YESU. LOVE YOUUU
Mungu Awabariki sana Watumishi wa Mungu Kijitonyama Uinjilisti Choir kwa kazi nzuri ya kuhubiri kwa njia ya uimbaji..Mpewe hatua moja zaidi na Mungu katika Utumishi wenu.Amen🙏🏻
Da Martha and Teacher Raymond Mmetisha Sana kwenye kipengele chenu, utukufu kwa Mungu haleluya, kaka Modest unasauti flani hivi tamu ya kipekee mnooo. Amaizing Amaizing!
Amina mpendwa Mungu akitupa kibali tutashiriki nanyi ibada , Hivyo basi mnaweza kuwasiliana na uongozi wa kwaya kupitia Email ya.. kijitochoir@gmail.com
Jamani mungu ambariki ndugu Cosmas chidumule ametumia mema kipaji chake vyema huu wimbo nimmeusikia leo ebenezer nikiwa Dublin Ireland barikiwa watoto wangu wapenda sana simba wayuda japo ni kingereza ndicho wanajuwa karibu nataraji mungu akipenda siku moja utakutanao
Watu wako bize na akina Diamondi na Alikiba wakati kwa Mungu kuna mziki mzuri km huu! Daaa what a song!! Mbarikiwe sana waimbaji
Hata hawajui kuimba dakika Tano wimbo umeisha
WOOW... daah my Favaourable song jamaan.. Niliisikia hii wakiwa WASAFI FM.. Gongo like hapa
Daaaahhh,mimi binafsi nawaambieni,hii kazi ina mkono wa Mungu mwenyewe na sio binadamu,hawa wanaoimba kwaajili ya binadamu waacheni wafanye hivyo wamsshapokea thawabu yao,ila Uinjilisti mmemtukuza MUNGU aishiye Mbinguni,sina chakuwapa kwa hii baraka na uponyaji wa Roho yangu,MUNGU wa mbinguni aliyewapa haya mafunuo awalipe sawasawa na mahitaji yenu.
Wonderful msg,, vyombo vimetulia,,muziki umepangiliwa vilivyo na umeendana na sauti za waimbaji!,,Nawapenda
Hakika lipo Tumaini Kwakila anaemwamini Mungu mbarikiwe sn kwa huduma ya uimbaji.
Ongera Dr umeimba vizuri Sana
Majila haya mungu baba umesimamasha dunia midomo imefungwa lakini wewe hulali Wala husinzii.sayansi kamwe haviwezi kushinda na wewe uhimidiwe baba lakini bado lipo tumaini kwa kila atumainiye kwako baba hatubanduki🤲🤲🤲🤲
Haleluyaaaaaa BADO LIKO TUMAINI💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤na corona itapita.....na hali ngumu.itapitaaaaaa......BADO TUMAINI.....KWA KILA AAMINIYE...YESU KRISTOOO NDIYE TUMAINI😊😊😊😊😊
Mungu azidi kuwainua watu wa Mungu
Amen mungu Ni mungu tu kama unajuwa hiyo nipe like hapo
Mungu ni mungu tu
Mungu yupo kila siku na tumaini pekee katika maisha ya Mwanadamu. Hongerani kwa utumishi wenu.
Hakika Mungu aliwavusha Wanaizrael pale walipo kosa tumaini. Tuangalie tumaini letu lilipo ili tuvuke katika majira haya.
Kwaya nzuri sana kila saaa nasikiliza hiiituui
Aisee ii nyimbo Kali cjawai ona ni balaa
Nimependa sana,Bado lipo tumaini kwa kila aminiye Yesu,
Kazi nzuri ya Mungu. Ahsante kwa kutubariki. Mbarikiwe watu wa Mungu.
AMINA mbarikiwe sana tena sana ,,kwa ujumbe mziri,, nani kama yaweh!!!bado tumaini lipo,AAAAmEeeeen
amen ndugu katika kristo wimbo mzuri sana
Amina hakika bado lipo tumaini
Nawaona hongera Sana waimbaji hawa,uimbaji huu sio uimbaji wakitoto,Bali ni wakiutuuzima,nyimbo nzuri Sana,vyombo vimetulia,waimbaji hawamezi maneno yanasikika vyema,ujumbe Nani ya nyimbo mungu awabariki
receive my congratulation from the church of Christ Church Nakasongola South Sudan-A.I.C Juba.
We really enjoy all you preaching through the Gospel Music. May God bless each one of you
Aisee hii nyimbo ni balaa. video haichoshi kutizama. hongereni sana wapendwa. kweli kwa Yesu lipo tumaini
Wimbo mzuri sana unampa mtu tumaini ya kwamba Mungu wetu huwa anaingia kazini pale binadamu mnapo karibia kukata tamaa kutokana na jaribu lililo mbele yenu.
Amen.Kama Mungu aishivyo.Barikiweni
Nawapenda kijitonyama choir mnaimba vizuri toka zamani Mungu awabariki sana haipiti siku sijasikiliza nyimbo zenu ❤️❤️❤️
Amina Dativa. Sifa na Utukufu kwa Mungu
Huu wimbo ulikuwa ukinipa matumaini makubwa sana kipindi kile cha corrona #bado lipo tumaini.
Hakika lipo Tumaini @kijitonyamauinjilistichoir Mmejua kutuimarisha hasa kwenye kipindi hiki kigumu dunia nzima tunachopitia wengine wanapozidi kutupa wasiwasi nyie mmefanya jukumu lenu Mungu azidi kuwabariki
Hallelujah Hallelujah...MUNGU amewatunza. Niliwapenda nikiwa mdogo na kuweka alama moyoni mwangu hata sasa
Oyooooooooo.. mbarikiwe sanaaaaaa kijitooooooo
Daah.. wimbo mzuri sana, vyombo vimepangiliwa vizuri, masoloist wamejaa vizuri. Broo Morgan sauti kali vile vile.
HUDUMA YENU NI NJEMA SANA
Mungu awabariki KIJITO kwa ibada hii njema kwa Yehova, katika kipindi hiki kigumu. Tunaabudu pamoja nanyi.
Kwangu lipo tumaini
Hakika bado Lipo Tumaini kwake aaminiye...Mungu awabariki
Mungu mkubwa kila wkt mbarikiwe
Mungu awape moyowakumtumikiya mungu kwani anaweza mbarikiwesana
Shikamooo the kijitonyama.. Nyiye Yesu yumo ndani yenu kwelii
Asante Kijitonyama huwa nabarikiwa sana na uimbaji wenu
Mungu kweli wewe ni Mungu mwenye wivu na hakina uliko tutoa kwa akili zetu tusingeliweza kufanya kitu chochote Nakurudishia sifa na Utukufu katika kiti chako cha Enzi
Safi sana
Kwakweli Mungu awabariki sana kwa kutia moyo nawapenda yangu nilipowajua hamjawahi kuchuja na Mungu awakumbuke kila moja kwa hitaji lake maana mmejitoa kwake
Wimbo huu unanifikirisha sana . Utabaki kuwa Mungu tu daima.
“Wewe hulali, wala husinzii.Unaujua mwanzo wetu hata mwisho wetu.”!
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🎸🎺🎷
May you translate please, I love the song but I can't understand Swahili
Wimbo mzuri sana, vijana tujue hili maana wanapenda bongo fleva.....
🌱 🌲 🎄 🍇
Huu wimbo ni mtamu sana kuusikiliza... Pia wimbo huu umejaa Tumaini... Barikiweni wanakwaya wote...
Jmn nyimbo ni nzuri sana zimejaa na nguvu ya Mungu sana MUNGU IBARIKI KWAYA YANGU PEDWA.
Amen,liko tumaini kubwa kwa yesu
Wimbo mzuri, ujumbe mzuri, video nzuri, hapa narudia rudia tu kuangalia na kusikiliza. Mbarikiwe sana wapendwa.
Mie hivohivo
Bado lipo Tumaini. ..Mungu wetu hata sasa ametusaidia. ..
Kweli Mungu nimbilio letu hakika wimbo huu unanibariki sana
Hamjawahi niangusha aisee BARIKIWA SANA 👏💖💯
Hongereni watumishi wa BWANA kwa kazi njema, mmekuwa faraja kwa mataifa, MUNGU wa mbinguni akawinue na kuwatumia zaidi ktk huduma yake, utukukufu wa YESU. LOVE YOUUU
Kweli lipo tumaini
waaao.nilikuwa nasubiria
Nyimbo nzuri
Mungu Awabariki sana Watumishi wa Mungu Kijitonyama Uinjilisti Choir kwa kazi nzuri ya kuhubiri kwa njia ya uimbaji..Mpewe hatua moja zaidi na Mungu katika Utumishi wenu.Amen🙏🏻
Asante kijito Mungu awabariki kwa uimbaji mzuri mnanibariki sana.🙏
Mungu aendelee kuwatumia atakavyo Kijitonyama uinjilisti kwaya.
Hongereni sana wapendwa watumishi wa Mungu. Hakika bado lipo tumaini.
Mbarikiwe sana wapendwa nice msg . nimebarikwaa Sana'a. Mungu azidi kuwatunza mzidi kufanya uinjilisti mwemaa
Nafarijika sana pia najisikia kupona Asante Yesu
Mmm!! Mbona mnanitamanisha jamani. Naisubiri kwa hamu hii kazi.
Sanaaa
MUNGU wa mbingun awatunze!!!!!
Huu ni wimbo wa Mwaka Kijito mbarikiwe sana.
Mungu azidi kuwabariki Sana Kijitonyama.
Mbarikiwe mnoo Kijitonyama Singers
Nice song can’t wait
Nipo tayari kuipokea
Huwa tunasahau, lakini Bwana alituvusha sana. Hakika ni neema, hakikuwa kipindi rahisi.
Mungu aliye juu awainue kwenye huduma yenu hii.....mkajawe kila aina ya baraka
Nasubiria tumaini
Shikamoo Kijitonyama. 🙌🙌🔥🔥🔥👌👌
Good job i will waiting the song
Nice song,nice video.👏🏻👏🏻👏🏻
Mungu awatunze kwa utumishi wenu nilbarkiwa mlpokuja Kimara,karibuni Tenaaa ,nawapendaaaa
Wazeee wa viwango🙌🙌
Muku kwetu ni kimbiliyo kweli sana aliye ni towa chini ya gari Asante baba wa mbinguni "nyakati" song by rose shilanda ukiandika tu ROSE SHILANDA
Bado lipo tumani 2021 Mungu awabariki sana watumishi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
napenda hawa Jama balaa
Hakika bado lipo tumaini.
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri.
Kazi nzr sana hakika nmebarikiwa
Asant sana watumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
Kweli bado lipo tumaini, na Mungu utabaki kuwa Mungu.
I can hardly get enough of this tremendous song...EMANUEL MURUMBI from kiteto Manyara TZ.......!!!!
Nawapenda saana
wimbo mzuri kwa utukufu wa Mungu...nyinyi ni wa baraka
Ahsanteni na utumishi wenu leo Kimara K.K.KT hakika tumebarikiwa, MALEGENDARI
Am so much blessed from Kenya.
Hakika kwa Bwana lipo tumaini,m.barikiwe wapendwa
Da Martha and Teacher Raymond Mmetisha Sana kwenye kipengele chenu, utukufu kwa Mungu haleluya, kaka Modest unasauti flani hivi tamu ya kipekee mnooo. Amaizing Amaizing!
Mbarikiwe sana! !pongezi kwa baba mchungaji kimaro
Bado lipo Tumaini kwa Yesu. Twasubiri
Waooooooo ni wimbo wenye ujumbe muhimu sanaaaaa
Hata leo bado lipo tumaini,Asante kwa ukumbe
Hongereni sana
Hakika Lipo Tumaini Hongera Kijito.
Amen mpendwa! Bado lipo tumaini
Mungu wetu ni mwaminifu Sana barikiweni kwa wimbo mzuri
Shabaaash....!! Hatari na nusu hii.
Ameeen wimbo mzuri saana na ujumbe mzuri mnoo
Hongera madam Oliver kwa kuimbisha vizur sana 💓💓💓
Nimabarikiwa sana, lipo tumaini kwa bwana
Piya ikimpendeza mungu anayetupa pumzi tunawamba mjemtutiye hamasakwakututiya moyo kwaniusharika wetu ndiyounanza king'anzi a mtaa wasegerea
Amina mpendwa Mungu akitupa kibali tutashiriki nanyi ibada ,
Hivyo basi mnaweza kuwasiliana na uongozi wa kwaya kupitia Email ya.. kijitochoir@gmail.com
Huu wimbo ndo uliyo nifungua na kunipa amani
Jamani mungu ambariki ndugu Cosmas chidumule ametumia mema kipaji chake vyema huu wimbo nimmeusikia leo ebenezer nikiwa Dublin Ireland barikiwa watoto wangu wapenda sana simba wayuda japo ni kingereza ndicho wanajuwa karibu nataraji mungu akipenda siku moja utakutanao
Huyo si Chidumule ni Modest Morgan ni muimbaji mkongwe wa kwaya hii
Nafurahia kwaya nzuri
"kwako lipo tumaini"😭🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
What a composition! Hakika Mungu pekee ndiye kimbilio letu na nguvu yetu
Mtunzi wa huu wimbo popote ulipo Mungu akubariki sana