MAREKANI YASISITIZA KUKOSOA KWA UWAZI UKIUKWAJI WA WAKI ZA BINADAMU, DEMOKRASIA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 168

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 หลายเดือนก่อน +15

    Huyu Balozi ni mwamba sana
    Anapinga amri ya raisi openly and no one can do anything.
    Safi sana

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio utamaduni wao waliouzoea,kwamba Rais ni binadamu na huwa anakosolewa lkn hapa kwetu Rais ni kama Mungu,hakosolewi.

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile หลายเดือนก่อน

      Kabisa kabisa ​@@yassinnabwera4273

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

      @@yusufmohamed8874 whY she can do ? She relies on their donation to run her corrupt and weak government .

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน

      Nikweli ndiyo maana rais wa nchi anatakiwa kujiandaa kabla kuzungumza mambo yenye maslahila kwa Dunia ! Hotuba rais lazima iandikwe na wataalamu sio polisi.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

      @@simonnaivasha6393 pia raisi aziwe kilaza, kifuu , jiwe na mpumbavu kama Iddi Amini mama samia

  • @drsamsonkibona371
    @drsamsonkibona371 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you Mr Battle, you are talking as the word of God tells us to be. Never leave our country alone.

  • @JosephTarimo-c5h
    @JosephTarimo-c5h หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana baba mungu akubriki sana

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 หลายเดือนก่อน +3

    Mashehe na Maaskofu wamelala kumshauli Mkuu WA Nchi mpaka wanakuja wagen kuisemea nchi yetu msipo angaliya mtakuwa watumwa katika mchiyenu wenyewe penye Ufa tumieni busala kupaziba hao ndugu ni jeuli sana Mungu atusaidiye

  • @bonifacejohanes895
    @bonifacejohanes895 หลายเดือนก่อน +9

    Marekani akiongea dunia imeongea hakuna mwenye ubavu wa kukohoa

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 หลายเดือนก่อน +3

    Congratulations sana wawakilishiiii

  • @AbdallahDotto-ik4ni
    @AbdallahDotto-ik4ni หลายเดือนก่อน +2

    Yes thank you for being togetherness

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml หลายเดือนก่อน +3

    GOOD MR.AMBASSADOR

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you.

  • @DorothyFrancis-j5z
    @DorothyFrancis-j5z หลายเดือนก่อน +10

    Si mama alisema juzi kwamba hana uhakika kama aliyesema alitumwa na nchi yake na atamuuliza rais mwenzie imekuwaje tena hapa?

    • @jdanny497
      @jdanny497 หลายเดือนก่อน

      Siasa

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน +1

      Hana uwezo huo,angekuwa na uwezo,amfukuze huyo Balozi aone itakavyokuwa.

    • @David-if6nk
      @David-if6nk หลายเดือนก่อน

      ​@@yassinnabwera4273hana ubavu wa kumfukuza Wala kumhoji

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 หลายเดือนก่อน

      ​@@yassinnabwera4273kumfukuza anafukuzwa na hakuna wa kupinga labda kama sheria za nchi huzijui na pia wao wanaweza kumfukuza wakwetu na asipinge lakin hiyo haiji hivi hivi mpaka kuwepo na tatizo zito nakushauri ndugu yangu usiwe una comment kama unangalia makalio yako

    • @NixonJohnson-r4m
      @NixonJohnson-r4m หลายเดือนก่อน

      Huyu wetu simu yake akipiga kwa presdent Biden haiwezi kaingia...Africa viongozi wake ni vipofu wa ubongo

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 หลายเดือนก่อน +4

    Duuu..hotuba hii ni moto!

  • @williammashine3405
    @williammashine3405 หลายเดือนก่อน +3

    Pamoja sana tena muendelee hivyohivyo,,nataman na urus nao waseme

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kwa busara yangu siwezi kulazimisha liuongozi la nchi kubwa kama hii,tena urais nimepata kwa bahati tu .ningeawaachia 2025. waanze upya nokabaki na heshima yangu mpaka kufa .kuongoza hizi nchi sasa hivi ni shida na nimzigo mkubwa inaweza kukusababisha kuikosa pepo bure,

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 หลายเดือนก่อน +4

    Tusali sana jamani tunapoelekea kuna giza

  • @tester-kf5re
    @tester-kf5re หลายเดือนก่อน +3

    Sikio la kufa huwa halisikii dawa. Tuendelee kuwakumbatia ipo siku tutajua kilimchotoa kanga manyoa. Hakuna nchi Demokrasia imeiacha salama. mf. Libya, Congo, Iraq, Kenya, nk.

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน

      @@tester-kf5re Kwa hiyo hutaki wenye nchi waishi kwa Uhuru?Kwanini tuliwaondoa wakoloni?

    • @Awadhi-d1y
      @Awadhi-d1y หลายเดือนก่อน

      bora kukumbatia wamarekani hata kama niwabaya kuliko kuisapoti wauwaji hawa maccm

  • @augustinemukandara9341
    @augustinemukandara9341 หลายเดือนก่อน +1

    Angalia dharau ya wajumbe wa ccm, wapo kwenye ujumbe miili tu ili waonekane walihudhuria!!! Lakini kiuhalisia hawapo bali wamekaa ndani na kufanya mambo yao ktk simu sijui ni ya kabudi au ni ya butiku!!! Hawasikilizi!!! na hawajui kinachoendelea!!!!

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 หลายเดือนก่อน +3

    Well said.

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

    Wao kwao wana demokrasia?

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 หลายเดือนก่อน +1

    Do be proud of that amount of financial support you have donated to Tanzania. You always after natural resources, we have been blessed. In America, there's a lot of homeless people. They need that money.

  • @rajabhassan5665
    @rajabhassan5665 หลายเดือนก่อน

    Ao wanayageti ya kuja kuvuruga inchi washangilieni tu

  • @mathiaspaul3055
    @mathiaspaul3055 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

      Safi kwa lip wakati hawa ni wauaji wakubwa huko kwao? Acha kushadadia usichokijua

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanafiki tu acheni kuwakumbatia,marekani kila kukicha wanauwa maelfu ya watu wasio na hatia kwa kuanzisha vita kwenye nchi za watu,halafu wanataka kutufundisha wa africa democracia mashetani wakubwa

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg หลายเดือนก่อน +1

    Washaanza zengwe uko marekani hadi Trump anataka kuuawa mbona hawasemi kitu kazi kuingilia ya watu wengine,hyo juudi wangeifanya kongo mbona amani ingekua tayari Congo imetulia hadi sasa

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Marekani hatuwataki mnalazimisha kuwepo kwenye mataifa ya watu kwa lazima lakin hata wananchi wa nchi za africa hawataki uhusiano na marekani

    • @Kibaadvocate
      @Kibaadvocate หลายเดือนก่อน

      Sasa si muwaondoe

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 หลายเดือนก่อน +2

    Watu bwana , bora kutafuta suluhisho wenyewe kuliko kutegemea mipango ya watu wa nje , wapo kwa ajili ya kuivuruga africa ili waweze kuchota madini, ndo maana wanapenda kuchochea kila nchi zenye utajiri wa madini na mafuta

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml หลายเดือนก่อน +2

      Mwislamu usiyeweza kutetea haki sawa na kafiri tu

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 หลายเดือนก่อน

      Hongera Barozi wa Marekani kwa naelezo mazuri yaliyojaa Busara na Hekima, Rais asikie na aelewe kwamba unachokitamka hapo hiyo ni kauli ya serikali ya Raifa lako,hivyo wasijidanganye kwamba ni maneno kutoka mfukoni kwako.
      Sheria na haki zinapovunjwa wazi wazi na kutekeleza utekaji mpaka mauaji ya wazi kwa wanaharakati mbali mbali Nchini ni dhahiri kwamba kiongozi kama huyo Barozi na viongozi wengine wenye akili timamu hawawezi kukaa kimya kwa kumuogopa mtu!

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 หลายเดือนก่อน

      Wenyewe imeshindikana.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 หลายเดือนก่อน

    Wow!

  • @JumaNyangalio
    @JumaNyangalio หลายเดือนก่อน +2

    Wachafuzi wakubwa wa haki leo wawe walimu inashangaza sana, hao hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, kwao maslahi ndio kipaumbele. Waafrika tuamke kwa kutatua migogoro yetu kwa kujadiliana sio kuwategemea wajomba

    • @issakazi2758
      @issakazi2758 หลายเดือนก่อน

      Hawa wajinga sana ,nyami haoni kundure,wao hawana demokrasi

    • @FaizaSanga-wn6dm
      @FaizaSanga-wn6dm หลายเดือนก่อน

      Kwa udhamini wa watu wa Marekani! Mlijua huu usemi ni bure?

    • @issakazi2758
      @issakazi2758 หลายเดือนก่อน

      @@JumaNyangalio ,hili genge la wahuni na wauza mihadarati wao wamekuwa vibaraka wao

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 หลายเดือนก่อน

    Mmeshindwa kuandika hata kichwa cha habari, Yaani ni uvivu wakupitoliza

  • @davieswillson9782
    @davieswillson9782 หลายเดือนก่อน

    Cheki kawaida anavyo toa macho ... 😅😅😅😅😅😅 ✌️

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Marekani hamtakiwa mnalazimisha nchi zikubali ushoga kama ni ushoga fanyeni nyie sio sisi

  • @Ba63828
    @Ba63828 หลายเดือนก่อน

    Acha kukiuka The Geneva Convention nenda zenu.

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp หลายเดือนก่อน +1

    Hawo wamarekani ndio wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu, wajirekebishe wao kwanza , na ndugu zao Israeli

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona mnatumia hela zao msaada.! Kwanini mnachukua hela waharifu?

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 หลายเดือนก่อน

    Uuuuuuwih!😢

  • @emanuelsichone8027
    @emanuelsichone8027 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ndo wanao tutesa kilasiku had sisi Kwa sisi tunauwana

  • @bobaiddi9599
    @bobaiddi9599 หลายเดือนก่อน +2

    Palestine wanauliwa mmekaa kimyaa

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน +2

    Mchukueni mukamfungulie mastaka ya. Utekaji na uuwaji yule Iddi Amini mama samia , kifuu , fisadi, mpumbavu wa kizimkazi

    • @khamisjuma7616
      @khamisjuma7616 หลายเดือนก่อน +2

      we kua na adabu

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

      @@khamisjuma7616 kamshikishe adabu Iddi Amini mama , awache kuteka na kuuwa, asije kuishia ICC ya Hague Holland

    • @helsonjonathan
      @helsonjonathan หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 angalia utafuatwa na noah nyeusi

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

      @@helsonjonathan kila la heri kwa hilo 🤣🤣🤣

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 หลายเดือนก่อน +1

      Duh😮😮😮

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 หลายเดือนก่อน +2

    Hukoooo Merikani Polisi wanauwa watu hasharani kwa kuwapuga risasi hatujui wangapi wanokufa kwa kuuwawa kwa siri,
    Merikani wanapenda kuwa Polisi wa Dunia lakini hutawasikia kwa WAPALESTINA kwao kule ni shangwe.
    Adui ujinga asitawale ktk kichwa chako. Wao wameuwa watu sana, nani kasahau Iraq na maeneo mengine

    • @DAVDChalse-db6tz
      @DAVDChalse-db6tz หลายเดือนก่อน +2

      Mpaka atekwe Baba yako mama yako au Mkeo ndo utajua kuongea kwahiyo unaunga mkono mauaji ya Samia au sio Acha Watu wenye akili zao wakemee huu Ushetan

    • @gabrielkitia6808
      @gabrielkitia6808 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo unachotetea ni nini au ndio kusema unafurahia mauaji na utekaji unaoendelea nchini

    • @hamisimwinzagu6624
      @hamisimwinzagu6624 หลายเดือนก่อน

      Naomba utekwe alafu utajua mazara Yake

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl หลายเดือนก่อน

      Unakohoa nn sasa wakati kasema baba wa dunia, mpige Kofi Sasa ujinyee mapema tu

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Hamana lolote manataka kutengeneza vibaraka kuharibu amani ya nchi yetu majeshi yetu hayatakubali hata kidogo na sisi wananchi tunayaunga mkono majeshi yetu na tuko pamoja na majeshi yetu na raisi wetu hata ukiropoka raisi kashasema na hapo unapo hutubia yeye hayupo ametulia zake wewe poteza muda

  • @dbrothers4551
    @dbrothers4551 หลายเดือนก่อน

    Mmmh kimewaka

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 หลายเดือนก่อน

    Anakiri kwamba hata Marekani wana changamoto kama mauaji na mambo mengine. Siasa zina hila nyingi hivyo wananchi ni muhimu kuwa makini. Serikali imara hupambana na hizo hila za wanasiasa. Usalama wa taifa huwatizama kwa jicho lilelile wawe wa chama tawala au upinzani ili nchi isimame, na Tanzania tuko vizuri.

  • @MusaJastini-po8hm
    @MusaJastini-po8hm หลายเดือนก่อน

    SEMA KIMEUMANA

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ndy chanzo Cha vita duniani, Ukraine, Libya, Israel. L

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo หลายเดือนก่อน +1

      Na mausji ya Tanzania mwanzo wake ni Nani!

    • @dishannyanginywa
      @dishannyanginywa หลายเดือนก่อน +1

      Bora hawa kuliko chura kiziwi.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Raisi wetu ameulizwa swali kisha katulia zake hata hao wanaokuskiliza wanatakiwa wakuambie ujibu swali au hujui kwamba raisi wetu aliakuuliza swali kama huelewi ndio nshakuelewesha sasa mm kija wa darasa la saba t lakin genius

  • @RamaMbwambo-ru8ym
    @RamaMbwambo-ru8ym หลายเดือนก่อน +1

    AFRICA TUSIPO TUMIA AKILI TUTAPOTEZWA KAMA WALIVYOPOTEZWA WA LYBIA NA WENGINE....WAVUNJAJI WA AMANI WAKUU NDO TUNAWAPA MICE WATUSEMEE??????

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani หลายเดือนก่อน +1

      Mnaenda kuchukua hela kwao

    • @Kibaadvocate
      @Kibaadvocate หลายเดือนก่อน

      Basi wafukuzeni

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl หลายเดือนก่อน

    Kabudi anaangalia nn sasa hapo au kujitoa fahamu

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 หลายเดือนก่อน

    Mapuuzi haya

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 หลายเดือนก่อน

    Upuuzi tu nani anaingilia mambo yao

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc หลายเดือนก่อน

    Trampo anapigwa lisasi mashoga nyie ajakosoa

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 หลายเดือนก่อน

    Walikuwa wapi kwamagufuli wanamuonea mama hawa tunamfufua magufuli aingie ndani ya mama samia

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน

      Wewe unang'ang'ania walikuwa wapi wakati wa Magufuli!jiulize yeye Magufuli,yuko wapi?Hii ni Dunia,usiwafanyie watu mambo yasiyofaa,kama sio kuchukua hatua,Mungu atawasaidia kuchukua hatua.

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 หลายเดือนก่อน +1

    Akili hawana mbona uko Ukraine,Gaza na sehem nyingne wanauwana na hawasemi wametuletea vyama vingi ili tugombane sisi kwa sisi washenz hawa wa magharib vita za kongo uko mbona hawaingilii Kati au sabab ni vikundi vyenu Gaddafi yuko wap mbona mmekaa kimya tuachieni tujitawale wenyew sisi tunamtaka Putin,china na Korea kaskszini sio nyinyi

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 หลายเดือนก่อน

    Marekani kwa siku zaidi ya watu alfu wanauwana Hili vp kwenu Nani anatimiza haki za binadamu vp kwenu

  • @IsmailRajabu-v2z
    @IsmailRajabu-v2z หลายเดือนก่อน

    Acheni unafiki wa marekani hv huko gaza hamuoni au michoresho2

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo gaza ni Marekani USIUE watu wako mwenyewe wao hawajui wamarekani

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe balozi kwenu hakuna vifo vya ain hiyo ?

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 หลายเดือนก่อน

      Kwao kuna matatizo kila sekunde. Kweli nyani haoni kundule.

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 หลายเดือนก่อน

    Kutaja kiasi wametusaidia was it necessary?

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน

      Yes, it was crucial kuonyesha kuwa sisi ni ombaomba wakubwa, vitu na fedha zetu tunatumia kwa vitu ambavyo sio muhimu sana kama Taifa, kwa huwezi kuwatisha kwa lo love, tena uchunge mdomo wako kama nchi umesaha Nicaragua??

  • @evaemil856
    @evaemil856 หลายเดือนก่อน +2

    Wako za binadamu maana yake nini? Hii ni mara ya pili unakosea kuspell vichwa vya habari

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 หลายเดือนก่อน

      Kuspell ndiyo lugha gani hiyo? Ukimkosoa mwenzako andika kwa kiswahili fasaha.

    • @issapandu1918
      @issapandu1918 หลายเดือนก่อน

      Kweny nchi zao wanakufa maelf ya binaadam Gaza uko wakazuie bas na ndo wanatoa msaada wa silaha wao wenywe nd wakeukaj wa mwanzo

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Ulitakiwa ujibu swali la mheshimiwa raisi wetu mwanamke mkakamavu alikuukiza swali wewe na serikali yako ya marekani kwamba mbona nyie manuwa watu kule mablack amerika na watu wanapigwa bunduki na kuwabagua weusi mbona tanzania haijawahi kuwaambia cha kufanya jibu swali hilo acha kuropoka hovyo

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 หลายเดือนก่อน

    Itakuwa ujinga kumpigia kura mtu mwenye rais wake na nchi yake.

  • @yasinkaunda1552
    @yasinkaunda1552 หลายเดือนก่อน

    Mnao waunga mkono hawa wamerekan hamjitambui hawa kazi yao kubwa kuchochea vurugu kwenye nchi za kiafrica tazamen yaliyowakuta libya angalien congo hawa sio watu

  • @Ba63828
    @Ba63828 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa Wamerika wakati tunapigania uhuru waliwaunga mkono wakoloni dhidi yetu. Leo hii wanakuja juu eti kulinda demokrasia huku kwao demokrasia ina ukakasi. Tuko pamoja na Mama our President.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน

    Marekani ndo changamoto ktk dunia hii

  • @evaemil856
    @evaemil856 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa kasema The 4Rs of the President of Tanzania pasipo kutaja Jina mama Samia.

    • @David-if6nk
      @David-if6nk หลายเดือนก่อน

      Itakuwa hamjui

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Hata usema lakini sisi tunamsikiliza raisi wetu na wewe kamsikikize raisi wako biden

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 หลายเดือนก่อน

    Black life matters in american voice

  • @MikidadiMahumbi
    @MikidadiMahumbi หลายเดือนก่อน

    Duu wauaji wa dunia

  • @SelemanAlly-lz4sb
    @SelemanAlly-lz4sb หลายเดือนก่อน +4

    Haki za binadamu pia na Gaza Kule watu maelfu wanakua pia

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo หลายเดือนก่อน

      Nyie mda wote mnawaza waarabu tu..vp kuhusu Ukraine?

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 หลายเดือนก่อน

      ​@@JackKanyigondio tunawaza waarabu kwa sababu wanauliwa bila hatia. Ukrein wanakufa wanajeshi ambao wapo ktk mapambano.

  • @SimonLongino
    @SimonLongino หลายเดือนก่อน

    Hakuna watu washenzi kama wamarekan wamejivika ngoz ya nyoka ni bora matatizo yetu tutafute suluhu wenyew kuliko kutegemea awa mbwa waliaribu aman na uchumi wa libya, waliivuruga Afghanistan, wamesabisha vita ya ukraine awa wapuuzi try to look on the bigger picture tanzanians they have their own agendas ambazo zinawafaidisha wao wanavyoongea tofauti na wanavyofanya, afrika tusuluhishe matatizo yetu wenyewe

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 หลายเดือนก่อน

    Nyie mashoga mna haki gani israil inamwaga damu za wa Palestina nyinyi ndio mnao kuwa nao pamoja hii ni nchi hatuwezi kuwa kubali kwa lolote hapa sio Kenya ukoloni wenu

  • @RamadhaniAlly-mi2dg
    @RamadhaniAlly-mi2dg หลายเดือนก่อน

    Sisi mambo yetu hawapaswi kuyaingilia sana au kabisa, kwani mwisho wa mchango wao juu ya maswaaibu yetu unakua ni mbaya zaidi na ukatili, so kiukweli tuna changamoto lakini sisi hatuitaji wao ndio wawe sehemu ya kutatua changamoto zetu

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl หลายเดือนก่อน

      Hujielewi, acha kufuata pesa kwao kama huwahitaji. Pia elewa kinachofanywa na serikali yako ni Cha kipumbavu mno

  • @MagakaManyanya
    @MagakaManyanya หลายเดือนก่อน

    I trust in you and not the president

  • @JacksonSeweji
    @JacksonSeweji หลายเดือนก่อน

    4r inamaana Gan wasomi

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 หลายเดือนก่อน

    Cku zote ukitaka kuwagawa watu au kuwagombanisha bac wape makundi kila 1 atalipendelea kundi lake angalia ata washabiki wa mpira ukiwa simba na mwingne yanga akifungwa simba au yang na timu ya nje wengne wanafurah jap ni timu ya nch yake ndio wazung walivyotuletea vyama ving ili akileta jamb lake anaenda Kwenye kundi lingne

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 หลายเดือนก่อน +1

    Ninyi sindio mnauwa wapalestina!nani amewaingilia au ametia neno?

    • @edosmithrichardigogo-xm9ve
      @edosmithrichardigogo-xm9ve หลายเดือนก่อน +1

      Hvyo unajarib kuhararisha mauaji!?

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 หลายเดือนก่อน

      Wanaowawa ni Magaidi wa Hamas na wafuasi wao wanaoungwa mkono Mtawala katili wa Iran Ayatollah Khaminen.😂😂😂😂😂😂😂

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl หลายเดือนก่อน

      Una ubavu Gani Sasa wa kuingilia fala we

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 หลายเดือนก่อน

    Njinyi nyemazeni hamna democras oaleatina vipii!

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน +3

    Marekani yakwetu yana wahusu Nini washaanza shobo hawajamaa

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml หลายเดือนก่อน +1

      KWASABABU NDUGU ZAKO HAWAJAFA

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 หลายเดือนก่อน

      Wanapokupa Hela Yao unakuwa umeifanyia kazi Gani au una Dhani dollar zinatolewa na imf na world bank babako ndio kaziweka huko.

    • @HajiKlein-so1rk
      @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน +1

      @@erasmusaloyce4398 si shobo zao waliombwa tz 🇹🇿 hatutaki kupangiwa Chakufanya bi mkubwa kashasema hongera sana bi mkubwa 🇹🇿🇹🇿👏🫡

    • @HajiKlein-so1rk
      @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน +1

      @@WilbertMalula-vv7ml sio wao tu hata Mimi nitakufa ni jambo la muda tu kaka 🇹🇿🫡🇹🇿💯

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn หลายเดือนก่อน

    Palestina ndie Ali ingia izirael akauwa nakuteka watu ndiomaana anasaidiwa hata ukrini alipo vamiwa na urus ndiomaana anasaidiwa kwahiyo yeye anasimama nawanao onewa

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน +1

      PALOKO RUDI SHULE PLS 😢😢😢😢😢UTACHEKWA

  • @UbayaMohamed
    @UbayaMohamed หลายเดือนก่อน

    watoto wario kuria kwenye ndio kira jambo ndio wajinga Hawa oni mateso yanayo tukabiri watu wanatekwa wao Wana sapoti tuna taka amani ya wote sio watoto WA ccm pekee Kila mmoja anapenda amani sio maumivu

  • @hajimtumweni659
    @hajimtumweni659 หลายเดือนก่อน +1

    Waende huko haki za binaadamu Gaza hawazioni na kila siku wanapeleka silaha

  • @binseif2216
    @binseif2216 หลายเดือนก่อน +2

    Hao marekani waende kwanza palestina kusaidia kwani huko hakuna haki za binaadamu???

    • @maishasafari9724
      @maishasafari9724 หลายเดือนก่อน

      Matakox yako

    • @binseif2216
      @binseif2216 หลายเดือนก่อน

      @@maishasafari9724 Huna adabu shoga wewe

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 หลายเดือนก่อน +1

    Balozi acha ujinga sijawahi kuisikia Tanzania inaikosowa marekani Kwa maovu Yao nje na ndani

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml หลายเดือนก่อน +1

      Nje sawa lakini ndani Marekani haiwezi kuua watu wake acha mahaba na CCM wewe

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 หลายเดือนก่อน

      Kwasababu Marekani ni Bora kuliko Tanzania.

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl หลายเดือนก่อน

      Shida unapikipiki ya SSH- 2025 uko tayari watu wafe

  • @suwedwakil4392
    @suwedwakil4392 หลายเดือนก่อน +2

    A very stupid diplomat

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 หลายเดือนก่อน

    Huyu Amekalia KUTI Kavu, Aidha abadilishwe aje mwingine au Akiingia Trump Basi hana Kazi.

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu หลายเดือนก่อน

      Kwa ninii

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unadhami kifuu Iddi Amini mama samia , alifeli secondary school division 0 zero ana akili gani ?

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 หลายเดือนก่อน +1

      Trump tena ? Huyo ndiyo hana time na mafisadi kama Samia fisadi jambazi

    • @yusufmohamed8874
      @yusufmohamed8874 หลายเดือนก่อน

      Kwa kuongea ukweli?

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

      @@mariamfaicalhassan2890 wenziwe Iddi Amini mama samia ni kina Iddi Amini dada, Nguema, Mabutu, Hitler, Sadaam , tena Iddi Amini mama samia siyo to fisadi tuu , bali mtekaji na muuwaji , kifuu na mpumbavu 🤣🤣🤣