PAULO SIRIA - MUNGU IMENITENDEA ( OFFICIAL VIDEO )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 677

  • @NelvinNanyama
    @NelvinNanyama 5 หลายเดือนก่อน +37

    Kama kweli mungu amekufania kitu ,ona.. gonga like hapa👇👇👇👇👇👇👇

  • @Zainah3G
    @Zainah3G 9 หลายเดือนก่อน +54

    New subscriber from kisiii Kenya 🇰🇪 let us like tukisonga. God bless you Mr.siria

  • @shelmithwilliams8747
    @shelmithwilliams8747 9 หลายเดือนก่อน +41

    When I look at my former pictures,if I'm told it was me,I deny😭,just leave Jesus He has decorated me😭😭I'm a different person now all glory to God ❤️🙏

  • @AgnittahParsaoty
    @AgnittahParsaoty 5 หลายเดือนก่อน +9

    Wenye tumeskiza more than 10times 🖐️ubarikiwa mtu wa Mungu siria🙏wimbo ulio n message mzito

    • @dariuskipkoech7981
      @dariuskipkoech7981 4 หลายเดือนก่อน

      You too😮😮😮😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @pauldaniel6227
    @pauldaniel6227 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya nzima wasanii wa gospel mjifunze kwa uyu jamaa ana mafuta ya kweli sio mnaimba uku rasta za ajabu ajabu wengine sjui ingiza ndani aseeee achen izo uyu ndo mwimbaji bora ata angewa tz ningempigia kura

  • @MohamedyMsumbwa-v2z
    @MohamedyMsumbwa-v2z หลายเดือนก่อน +6

    kama nawewe mungu amakufanyia decorations gangs like twende sana

  • @CatherineJOHN-ej8mc
    @CatherineJOHN-ej8mc 4 หลายเดือนก่อน +5

    Amen sijatenda mimi ni Mungu amenitendea.Fellow kambas ngonga like tukisonga

  • @pessykish
    @pessykish 9 หลายเดือนก่อน +60

    Am a kamba bt the love I have for this man .God knows...any maasaii here to be my friend ❤❤

    • @DavidMwikali
      @DavidMwikali 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kamba from were

    • @lazaronaata2249
      @lazaronaata2249 9 หลายเดือนก่อน

      Mkamba kujaaaa😂

    • @lazaronaata2249
      @lazaronaata2249 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@DavidMwikaliwanakaa Kenya makueni, kitui, ama machakos😂😂🎉🎉🎉🎉

    • @EverKamanthe
      @EverKamanthe 9 หลายเดือนก่อน

      Wow🎉

    • @LabanLekolool
      @LabanLekolool 8 หลายเดือนก่อน

      Niko hpa

  • @Evanko.foxAfrica
    @Evanko.foxAfrica 8 หลายเดือนก่อน +46

    I'm doing this typing here so that every time you like this comment i will be back here to stream it as many times as it should,we must support light 🕯️ to glow

    • @CheerfulRecordPlayer-oz1cy
      @CheerfulRecordPlayer-oz1cy 8 หลายเดือนก่อน +2

      Rosimwando

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 5 หลายเดือนก่อน

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      th-cam.com/video/r3gsfk3zbDQ/w-d-xo.html
      MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +2555713575718 🙏🏻

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 5 หลายเดือนก่อน +8

    ❤❤❤❤❤ napenda nyimbo zko sana nipeni likes basi

  • @LydiaKelembu
    @LydiaKelembu 9 หลายเดือนก่อน +7

    Sijafanya mimi ni mungu amenitendea, Oyeyai siake, Siria mekitamayiana enkaii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏❤️

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 9 หลายเดือนก่อน +8

    Mekitamayana engai ndugu Paulo siria 💪❤️💯

  • @EmmanuelMollel-bd3ku
    @EmmanuelMollel-bd3ku 8 หลายเดือนก่อน +161

    Umenifurahisha paulo.mungu kakufanyia decorations.kama umesikia huo mstari gonga like

    • @StephenChepkwony-sd6tv
      @StephenChepkwony-sd6tv 7 หลายเดือนก่อน +12

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @josephnaiputari4461
      @josephnaiputari4461 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@StephenChepkwony-sd6tvvbblx 000*(000

    • @marthaloketo7359
      @marthaloketo7359 5 หลายเดือนก่อน +3

      That's my favourite part...Aki amenidecorate 🙏

    • @CherotichLydia
      @CherotichLydia 5 หลายเดือนก่อน +1

      0:16 🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉😢​@@StephenChepkwony-sd6tv

    • @CherotichLydia
      @CherotichLydia 5 หลายเดือนก่อน

      😢🎉😢🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉​@@StephenChepkwony-sd6tv

  • @RehemaMollel-sk8fb
    @RehemaMollel-sk8fb 9 หลายเดือนก่อน +1

    I love this little boy,he is amazing ❤❤

  • @Shiro254wanji
    @Shiro254wanji 3 หลายเดือนก่อน +4

    Napenda huu wimbo sana,ati mungu alinfanyia decoration 🙏🏽.

  • @sammykingofficial7175
    @sammykingofficial7175 6 หลายเดือนก่อน +8

    Wale wa tiktok wacha ka like

  • @TamaLibbohole-le8hl
    @TamaLibbohole-le8hl 8 หลายเดือนก่อน +11

    Much love from Zambia Siria, any maasai in the building we be friends ❤

  • @JamesNkurruna-wr5sf
    @JamesNkurruna-wr5sf 9 หลายเดือนก่อน +11

    Sijafanya Mimi ni mungu amenitendea, congratulations Paul siria God bless you ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @simantoiraphael5326
    @simantoiraphael5326 8 หลายเดือนก่อน +8

    Kweli ni mungu ametufanyia sote,,,
    Bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @musasaito318
    @musasaito318 9 หลายเดือนก่อน +5

    I am set fully free by the blood of Jesus.AMEN

  • @nempirislekadaa4728
    @nempirislekadaa4728 9 หลายเดือนก่อน +8

    Yuko Mungu mbinguni😭😭 Surely He did it for me🥹😭😩He heard my cry 😭Huyo abadilishaye nyakati wachani aitwe Mungu🥹😭

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations Broo your a legend 🎉🎉

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 3 วันที่ผ่านมา

    Aliuzwa kwa waishimaili( Wamisri) siyo wamidiani📖🇴🇲🇹🇿🔥

  • @gaitanjohn7851
    @gaitanjohn7851 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo mzuri sana huu ❤❤❤❤❤❤ nakupenda kutoka Nigeria japo ni mtanzania ,,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @evewairimu454
    @evewairimu454 9 หลายเดือนก่อน +11

    Sijatenda Mimi ni Mungu amenitendea Esaai🙏🙏Kikiyus from Kenya let's support Siria..he's a great , blessed man
    Ashe Naleng

  • @davidmoris7787
    @davidmoris7787 8 หลายเดือนก่อน +10

    Walae napenda Maasai.mimi mkisii lakini kwa Mungu kumbe hakuna kabila sisi wote ni familia moja kwake.

    • @Christine-m5d
      @Christine-m5d 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ❤❤

    • @GrastenMwambira
      @GrastenMwambira 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂.😅​@@Christine-m5d

    • @CatherineJOHN-ej8mc
      @CatherineJOHN-ej8mc 4 หลายเดือนก่อน

      Exactly dear ❤❤❤

    • @naturebclassic447
      @naturebclassic447 หลายเดือนก่อน

      God bless you bro

    • @davidmoris7787
      @davidmoris7787 หลายเดือนก่อน

      @naturebclassic447 pia nawe barikiwa Zaid bro

  • @drsusanchangorok2030
    @drsusanchangorok2030 9 หลายเดือนก่อน +2

    All Glory and honor to God. Mungu anachukua Nafasi yake ❤❤❤❤❤. Powerful powerful

  • @justinewaka-ceou4934
    @justinewaka-ceou4934 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wahou très jolie cette chanson super je ne comprends pas à quoi ce signifie de quoi il s'agit mais j'adore cette chanson bravo à vous bonne continuation dans votre carrière dieu vous bénisse 💞💝😘🥰👍👌💃🇳🇨🇳🇨

  • @PreviousNyoni-g3x
    @PreviousNyoni-g3x หลายเดือนก่อน

    Am a Nambiya tribe from Zimbabwe, I have a great feeling of loving this man his music has entered my heart

  • @NelvinNanyama
    @NelvinNanyama 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nikiangalia umbali maisha yangu yametoka jamani si mm ni Mungu tu,ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri,

  • @joshuanganga2201
    @joshuanganga2201 9 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful Song, but a points of corrections we don't say MUNGU Imenitendea, but we are supposed to say ni MUNGU Amenitendea.
    Otherwise Congratulations 🎉🎉

  • @mathiaskases7836
    @mathiaskases7836 8 หลายเดือนก่อน +9

    Sijafanya mimi ni mungu amenitendea .Amen

  • @elizabethkalu5132
    @elizabethkalu5132 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yes. God decorated you, my brother. Keep singing to him. The sky is the limit ❤

    • @elizabethkalu5132
      @elizabethkalu5132 9 หลายเดือนก่อน

      Give me your number to bless you 🙏

  • @rehnielsen8242
    @rehnielsen8242 5 หลายเดือนก่อน +1

    Paul, your music is on Repeat here in Denmark 🇩🇰… You’re truly anointed!- I love that you worship and give YAHSHUA all the glory!
    Keep on keeping on… Barikiwa

  • @ChepngetichJackline-rs6py
    @ChepngetichJackline-rs6py 8 หลายเดือนก่อน +3

    Am a kalenjin but the songs you have been singing as been a blessing, healing,forgiving and all the good things to our Almighty father may God lead you and continue giving more talent to inspire God word.Amen and blessed.

  • @GloryCharles-tb2lu
    @GloryCharles-tb2lu 13 วันที่ผ่านมา

    Kuna wadogo zangu flan walipomea kipaimara mwakajana mwezi wa11 nikajaona video waliicheza kwa hii wimbo nilibarikiwa saaa❤❤

  • @NelvinNanyama
    @NelvinNanyama 5 หลายเดือนก่อน +2

    Am a luhya from kenya, but the love i have for this man,wacha tu

  • @ZEPHANIAH.1588
    @ZEPHANIAH.1588 9 หลายเดือนก่อน +9

    Am from kalenjine land but this Siria is now serious on my mind be blessed daddy 🎉🎉🎉

    • @kanjolenicho
      @kanjolenicho 8 หลายเดือนก่อน

      Subscribed, pitia kwagu bro

  • @Samegmovies
    @Samegmovies 9 หลายเดือนก่อน +8

    Psalm 100:4
    Enter into his gates with thanksgiving, and into his courts with praise: be thankful unto him, and bless his name. AMEN

  • @PeterMwendwa-ud8jx
    @PeterMwendwa-ud8jx 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤Paulo uko sawa ndugu yaku walahii Ngoma Kali San japo mm ni Masai ila techenjebni yamukamba wakamba mko wapi kitui ama machakosibamukeni muunge kasolo mukino❤❤❤❤❤

  • @DjVoizzmixes
    @DjVoizzmixes 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii comment si mimi..ila ngoma imekubali aisee

  • @joshuaolaisiayianinkoidurr7310
    @joshuaolaisiayianinkoidurr7310 9 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you so much man of God napenda sana hii ngoma

  • @EmilyNyanchoka
    @EmilyNyanchoka 9 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you paulo🎉🎉🎉🎉this song is really a vibe 💓🤩💓🤩

  • @marthajulia3310
    @marthajulia3310 8 หลายเดือนก่อน +1

    New follower from ukambani,,,,ngoma nzuri sana

  • @nickyLekerde
    @nickyLekerde 5 หลายเดือนก่อน +2

    Best of my best ❤❤❤

  • @LilianNamwangi
    @LilianNamwangi 3 หลายเดือนก่อน

    New subscriber from western bungoma county God bless you hakika ni mungu amenitendea 🙏🙏🙏

  • @mikekegodely
    @mikekegodely 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kutoka tiktok tuko wangapi huku
    Amen

  • @AndrewMadu-o8t
    @AndrewMadu-o8t 8 หลายเดือนก่อน +4

    I sincerely appreciate GOD for your unique art direction, style of presentation and your wonderful testimony. I pray for more GRACE and Revelations from the THRONE of GRACE. GOD remains your Strength my Beloved Brother. HIS Banner over you and your wonderful family is Love ❤.

  • @EmanuelGurtu
    @EmanuelGurtu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Good song congratulations to all whose participated in the productions of this song 🎉🎉

  • @Theusy447
    @Theusy447 5 หลายเดือนก่อน +1

    The love i have for this man of God...more blessings Sir Paul.

  • @PhilomenaMueni-bd5eu
    @PhilomenaMueni-bd5eu 9 หลายเดือนก่อน +13

    God bless you siria..hio wimbo inazidi na kubadirisha maisha yangu kila wakati nikiisikiliza

    • @PauloSiria-q1w
      @PauloSiria-q1w 9 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏🙏🙏

    • @chepkemoijoyce7505
      @chepkemoijoyce7505 9 หลายเดือนก่อน

      Tunakutafuta upeform kwa sherehe.​@@PauloSiria-q1w

    • @konejohannesmosesi924
      @konejohannesmosesi924 9 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢 rais wa 😮😢😮😢😮😮😮😮😮😮😮😮😮😢😮😮😮😮😮😢😮😮😮😮😮😮😮😮😢😢😊

    • @SOPHIASIMBEYE-w6t
      @SOPHIASIMBEYE-w6t 9 หลายเดือนก่อน

      D​@@konejohannesmosesi924

    • @RotichEnock-ne7cz
      @RotichEnock-ne7cz 9 หลายเดือนก่อน

      𝓂𝓊𝓃ℊ𝓊 𝒶𝓀𝓊𝓅𝓇𝒾𝓀𝒾 𝓈𝒾𝓇𝒾𝒶

  • @JaneNkiyiampapst
    @JaneNkiyiampapst 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    This song keeps ringing in my mind and when I play in my TH-cam, I find my self repeating every time. God bless you Paul siria❤❤

  • @kipkoechvictor3518
    @kipkoechvictor3518 9 หลายเดือนก่อน +6

    One good thing about music, when it hits you, you feel no pain. ... congratulations siria 😊

  • @MuhendoPeter
    @MuhendoPeter 5 หลายเดือนก่อน

    Ni Mungu kabisa 🙏🙏🙏 ubalirikiwe sana na Mungu wa Nyamulenge tunawapenda sana

  • @BlackberyGsere
    @BlackberyGsere 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana bro siria unatufundisha kuwa mungu yupo mi mwenyewe kanitoa mbali nakushukuru Kwa wimbo mzuri mungu akuzidishie uwezo uendelee zaidi na zaidi amina

  • @LamayanZakayo
    @LamayanZakayo 3 หลายเดือนก่อน

    Aaa mwamba wetu wa kimasai bigup xna na wimbo huu utaendelea kuwakilisha jamii yetu kwa uimbaji uliotukuka, nakuunga mkono kijana

  • @Ben-rj5nj
    @Ben-rj5nj 5 หลายเดือนก่อน

    God bless you so much paul siria.
    Nyimbo zako zinapendeza mno in Jesus name

  • @TabithaMusyoka-o5l
    @TabithaMusyoka-o5l หลายเดือนก่อน

    Kweli mungu amenifanyia n pia amenitendea 🙏 congratulations nice song

  • @nginayalazaro3661
    @nginayalazaro3661 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Paulo siria wimbo mzuri san🎉🎉

  • @onyinkwajackline1052
    @onyinkwajackline1052 29 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo zako zimenibariki sana. Unapatikana wapi tukuite use huduma. Mungu axidi kukuinua mtumishi na ya nyumba yako

  • @jacksonmollel9867
    @jacksonmollel9867 9 หลายเดือนก่อน

    Good blessing, sana mr paulo siria mung aendelee kukuinua na kukupigania viwango vingine 🙏🙏

  • @yohanalodo
    @yohanalodo 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu azidi kupaka mafuta yake uzidi wahubiria kondoo wake neno kupitia nyimbo.

  • @nancymbaabu4508
    @nancymbaabu4508 4 หลายเดือนก่อน

    Kulia kwangu marufuku mungu ikatenda, Ameeeen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MutaiRichard-mu1ek
    @MutaiRichard-mu1ek 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe Siria hiyo wimbo inaniinuwa mbele Amen.❤❤❤❤❤

  • @PauloKoriata-nk3mk
    @PauloKoriata-nk3mk 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akubariki Sana

    • @duncanmghana
      @duncanmghana 7 หลายเดือนก่อน

      mungu akutendemema kila wakati

  • @JoyceAdhiambo-se8un
    @JoyceAdhiambo-se8un 7 หลายเดือนก่อน +2

    Am a luhya but I'm blessed through your songs,wacha mungu aendelee kubariki

  • @mercychepkorir3384
    @mercychepkorir3384 2 หลายเดือนก่อน

    Enyewe mungu amenifanyia,heshima imerudi,Lord am grateful for you done to me this year

  • @joziekaros
    @joziekaros 8 หลายเดือนก่อน +3

    My best song of all hii ndio wimbo wangu huo mwaka 😢😢😢

  • @siphaellaizer9150
    @siphaellaizer9150 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lepalai umekua taa katika jamii yote endelea kutubariki ❤❤❤❤❤

  • @michaelmbui8226
    @michaelmbui8226 9 หลายเดือนก่อน +1

    This is a beautiful song, kama unaamini sio wewe bali ni Mungu amekutendea sema AMEN

  • @LizzLiza
    @LizzLiza 3 หลายเดือนก่อน

    Mi watching after kuona amenifurahisha wakiwa na kasolo you are blessed paulo

  • @SeuriWilliam
    @SeuriWilliam 3 หลายเดือนก่อน

    Nimpenda umemba kiswahi na sis tumefaidi bn mungu akutunze tupe nyinginen ya kiswahili

  • @HonestNyenyani-v3e
    @HonestNyenyani-v3e 9 หลายเดือนก่อน

    Keep it my dea I love the translation do it to all coz I usually play your music 🎶 it is good no matter I don't understand the language but English yes❤️❤️ sijafana kkk🤣🤣

  • @muthonindiritu
    @muthonindiritu 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤Wow, we owe it all to God 💯💃💃💃💃💃💃💃

  • @ruthsimon245
    @ruthsimon245 8 หลายเดือนก่อน +2

    I like the song is full of thanks giving to our Almighty.God bless you so much for reminding everyone that in everything is by grace of God.

  • @elishamartin3573
    @elishamartin3573 9 หลายเดือนก่อน

    mungu akubriki sana❤

  • @Jemiss-mz1lk
    @Jemiss-mz1lk 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki daima ❤❤

  • @rizikijm7757
    @rizikijm7757 2 วันที่ผ่านมา

    Amen Amenn.
    O Hallelujah Hallelujah Amen.

  • @premierleaguehighlighter8012
    @premierleaguehighlighter8012 หลายเดือนก่อน

    Hatujaona hi wimbo kabisaa. Bado ywasubiri

  • @cherrylondon2277
    @cherrylondon2277 9 หลายเดือนก่อน

    😍😍🙏🙏🙏🙌🙌 beautiful. Love it.

  • @ruthmpembeni8571
    @ruthmpembeni8571 2 หลายเดือนก่อน

    kazi nzuri Mungu azidi kukuinua katika huduma yawimbaji

  • @cvvc9961
    @cvvc9961 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah amen Amen Glory Glory be to God ❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Johnpainter-q4w
    @Johnpainter-q4w 2 วันที่ผ่านมา

    reminds me about what God has done to me

  • @norrynyatichi
    @norrynyatichi 9 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏🙏🙏kwa hakika Mungu ndiye anatenda🙌🙌

  • @dorcasmuendo1258
    @dorcasmuendo1258 5 หลายเดือนก่อน

    From stephen kasolo nimefika huku.nice song❤❤❤

  • @lydiamungasia7319
    @lydiamungasia7319 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni mungu amenifanyia decoration thank you jesus 🙏🙏🙏💃💃💃💃

  • @RobertKipkirui-bg1xo
    @RobertKipkirui-bg1xo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli huwa Masai ni mtu wa kuamua kutoka roho,,,I like this culture beyond the capacity

  • @ayubbarasa8203
    @ayubbarasa8203 6 หลายเดือนก่อน +1

    barikiwa sana napenda nyimbo zako sana God bless you paulo

  • @edisa8633
    @edisa8633 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatunze 🥰

  • @RuthNenob
    @RuthNenob 9 หลายเดือนก่อน

    God blessed you 🎉 congratulations ❤

  • @marywambua9927
    @marywambua9927 5 หลายเดือนก่อน

    Kupitia hii wimbo mungu nibadirishe nishuhudie wema wako

  • @solomonlemeriwas
    @solomonlemeriwas 8 หลายเดือนก่อน +1

    May the blood of Jesus Christ surround us, this the year of blessings

  • @AlamunyakMakeku
    @AlamunyakMakeku 9 หลายเดือนก่อน

    Ni 🔥🔥🔥🔥 broo

  • @Mama_masai_Tz
    @Mama_masai_Tz 8 หลายเดือนก่อน +1

    Paulo uko sidai.nae...mungu asidi kukuinua jirani angu wa Donyomutua❤❤

  • @josphatnyamai8110
    @josphatnyamai8110 9 หลายเดือนก่อน +3

    Very beautiful brother keep it hot always

  • @izoogavana8253
    @izoogavana8253 3 หลายเดือนก่อน

    Ni Mungu kweli nice song..Thank to Almighty...Mungu akubariki paul

  • @kikidavid9269
    @kikidavid9269 2 หลายเดือนก่อน +1

    Metoka tiktok traaaaa mpaka huko

  • @tobicongimelil7573
    @tobicongimelil7573 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera Osinga le Ngai,Nashauri Ubadilishe Jina iwe Mungu Amenitendea badala ya Imenitendea

    • @mutuastancilous8149
      @mutuastancilous8149 9 หลายเดือนก่อน

      I scrolled to look for this a correction.Mungu sio Miungu.Please let them do ASAP.

  • @EstherNice-zz8wn
    @EstherNice-zz8wn 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana❤

  • @GavanahKanyiko
    @GavanahKanyiko 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli ni Mungu ametutendea 🔥🔥🔥🔥