SHK MAZINGE :WAMEKUJA NA MBINU MPYA WAISLAM WENGI WAMERITTAD || WANADHOOFISHA IMANI ZA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • #shkmazinge #zvponlinetv #daressalaam

ความคิดเห็น • 68

  • @ffed1876
    @ffed1876 ปีที่แล้ว +4

    MaashaAllah shukran sheikh Mola akujaze kheri nyingi na barka pamoja na sheikh wetu Mazinge Mola amhifadhi ampe jannatul Firdaus Aamin Yarabbi.

  • @babuuabdalla4117
    @babuuabdalla4117 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sha ALLAH.
    ALLAH SWT Akulipe Sheikh Kisede wewe na sote kwa nia zetu ili tezea kuwailimisha Waislamu na wasio kuwa Waislamu amin 🤲

  • @AbdallahAlly-m8s
    @AbdallahAlly-m8s ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah awaweke nguvu ya imani waislamu sote

  • @mirfatymohd5580
    @mirfatymohd5580 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu shekh mazinge

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 ปีที่แล้ว

    Namuheshimu sana Shekh Mazinge kwa kaz yake mkubwa sana ya kumtangaza Allah
    Allah mwenyew ndie atamlipa

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllaah MashaAllaah Barrakkah Allaah huu fiekoum

  • @frankmpembu
    @frankmpembu ปีที่แล้ว +1

    Nawaombeeni kwa Bwana Yesu, msife mkiwa Waislamu

    • @haridyhillaryndembo1946
      @haridyhillaryndembo1946 ปีที่แล้ว

      Bwana yesu mwenyewe ni sheikh mvaa kanzu mwenye ndevu nyingi anakuambia imeandikwa muabuduni Mungu na muende masjid kumsujudia Mungu
      Luka 6:12 yesu anakesha anakosa usingiz kuomba Mungu we kinyago unamuomba yesu😄

    • @AbdallahHussein-fr4zv
      @AbdallahHussein-fr4zv ปีที่แล้ว

      Yesu mwenyewe mwisilam wewe sijui uwo ukristo umeupata wapi

    • @frankmpembu
      @frankmpembu ปีที่แล้ว

      @@AbdallahHussein-fr4zv Yesu hakua Muislamu na wala Uislamu haujui. Kipindi cha Yesu Uislamu haukuwepo, Uislamu umeanza mwaka 610 na Bi Khadija ndiye Muislamu wa kwanza Duniani.Qur'an 16:125 (Baruani)
      FAFANUZI YAKE INASEMA;
      "Na jadiliana na watu wa Dini zilizotangulia, katika watu wa Biblia yaani Mayahudi na Wakristo.
      Kitabu:African Bible.
      Uk: 2216. kinasema;
      "Uislamu ni dini iliyoenea duniani iliyoanzishwa na mtume wa kiarabu Muhammadi"
      Kitabu:Maisha ya Nabii Muhammadi
      Mwandishi: Kadhi Sheikh Abdullah Saleh Farsy
      Uk :11 kinasema;
      Bi Khadija yeye ndiye Mwislamu wa kwanza baada ya mtume, naye ndiye mwanamke wa pili mtukufu katika umma huu wa Nabii Muhammad."
      Kitabu: Wakeze Mtume wakubwa na wanawe.
      Mwandishi: Kadhi Sheikh Abdullah Saleh Farsy
      Uk: 13 kinasema÷
      "Yeye Bi Khadija ndiye Muislamu wa kwanza ulimwenguni"

  • @ramyramso
    @ramyramso ปีที่แล้ว +3

    Allah Qarim namuomba Allah anijaalie nife nikiwa muislam anijaalie kabla sijakufa niwe miongoni mwa wanatoa mawaidha 🤲🏾🤲🏾 insha Allah

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 ปีที่แล้ว +1

      Ukifa mwislam umepotea

    • @hassancharo1496
      @hassancharo1496 ปีที่แล้ว

      Inshallah

    • @hassancharo1496
      @hassancharo1496 ปีที่แล้ว

      ​@@fredrickgitonga1972Muslim na Kaffir nan ame poteya

    • @yusufkhanna
      @yusufkhanna ปีที่แล้ว

      @@fredrickgitonga1972 na wote waliolala kwenye ukristo wamepotea,hayo ni maneno ya bibilia sasa ww lete aya waliolala kwenye uislamu wamepotea,hamuna kitu wala hoja wakristo kama kuna mtu anayejiamini ajitokeze

    • @ramyramso
      @ramyramso ปีที่แล้ว

      @@fredrickgitonga1972 nyie hamjielewi mwamposa kawapelekea malori ya udongo mmeuziwa kijiko buku mumemtajirisha mwenzenu kawapiga pesa kaenda kujenga hotel nyie mnaakili kweli

  • @AliMasoud-ux5os
    @AliMasoud-ux5os ปีที่แล้ว

    Mashalla llah

  • @wardamwikali7891
    @wardamwikali7891 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabarakallahu sheikh,jazakallahu kheir

  • @mkwipunda2036
    @mkwipunda2036 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah Allah azidi kuwapa nguvu majemedari wetu

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 ปีที่แล้ว

    Prof Mazinge

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

    Shukran shekh Kasede

  • @adamopitanvitanvita7958
    @adamopitanvitanvita7958 ปีที่แล้ว +1

    Allahuma amine

  • @ramyramso
    @ramyramso ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @thamani5842
    @thamani5842 ปีที่แล้ว

    ALLAH akulipe kila la kheir

  • @jumannemuhammad2073
    @jumannemuhammad2073 ปีที่แล้ว +1

    Allahu aqbar

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 ปีที่แล้ว

    Takbiiir takbiiiir, Allah Akbar

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 ปีที่แล้ว

    Inalillahi wainailayhi rajiun kesede mola akuifazi duniya na akhera kwakweli nimeskiya ucungu kwagisi umekamatwa

  • @dottomccraney5485
    @dottomccraney5485 ปีที่แล้ว

    Masha Allah 😍😍😍

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 ปีที่แล้ว

    MashaAllah jakkah ALLAH

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @saidmruu5897
    @saidmruu5897 ปีที่แล้ว +1

    Masha ALLAH sheikh ALLAH akuzidishie...lakini sheikh mbona unamtaja mtume na humswalii.saw.

  • @amittambwe473
    @amittambwe473 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Kisede, nimimi Tambwe Ibrahim Goma. Nitumie number yako plz nilipata Habari ya kufungwa kwako, pole sana nasema tena karibu sana tena ukumbuni.

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 ปีที่แล้ว

    Mashallah kiswaili swahihi

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว

    AMEEN 🤲🏽🤲🏽

  • @umdtv2749
    @umdtv2749 ปีที่แล้ว

    😂 hahaha shehe unalisha watu matango poli.
    Mungu awasaidie sana waislamu

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @DOCTORMitishamba-m1r
    @DOCTORMitishamba-m1r ปีที่แล้ว

    Waislam wakiritadi kosa wakristo wakiritadi rahaaaaaaaaa mh mtajibeba

  • @mozartshukuru8604
    @mozartshukuru8604 ปีที่แล้ว

    Mbona wote waliimba hivi nanyi huaga mnaimba😂😂😂😂😂

  • @sulefromcongo7187
    @sulefromcongo7187 ปีที่แล้ว

    Huyo Ni Mwalimu

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 ปีที่แล้ว

    Mama hapo kashakula hela za kanisa kisha hawaja mpata 😅😅

  • @KarimahemediHemedi
    @KarimahemediHemedi ปีที่แล้ว

    Aiseee namkubali mazinge jamani nimemsikia bado nikiwa mdogo napenda niwe kama yeye

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 ปีที่แล้ว

    Siyo ivo waislamu muna muabudu shetani , si kwakusujudu, apana, kwa mulivyo bi amini tena uyo yiko anazngumuza akasema muhammadi ni zaidi ya mitume yote ilipo pita duniani ati n'a Yesu nimudogo kwa muhammadi, huyo mwalimu anakufuru, muhammadi aliowa mutoto wa myaka sita muhammadi kitabu alico telemka naco alikipewa nashetani mwenyewe, sourat albakala 2:97 muhammadi ni mwalimu wa mashetani , uwo ni mutume gani? Potenza hawo bipofu habaguwi kushoto na kuliya hawo ni Kuni za za jahanhamu. Endeleeni. Yesu alisema kuna waliyo na masikiyo hawasikii na wana maco hawaoni endelea kumukufulu mungu kiama Kiko mulangoni kitatueleza Nani muongo Nani mu kweli.

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 ปีที่แล้ว

    Huyu mrongo sana hadithi za kutunga...eti wakasema mkiinamisha kichwa chini mnasujudia shetani? Acha upuzi...mkristo yupi akupe hoja ya kitoto hivyo?njoo kenya tukupe injili ya kweli uokoke...si hizi habari za mazinge kutunga sarakasi na wafuasi wenzake....

    • @hassaniharuna1010
      @hassaniharuna1010 ปีที่แล้ว

      Ndugu hii Nch Ina Mambo ya Ajabu Sana Usibishe Kama ww unajua ukiristo Basi Shukuru kwa kufahamu Kuna Watu hawajui kitu kabisa na Utashangaa ukisimuliwa watu hajui kitu pia Kuna waislamu pia hawajui lolote

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius ปีที่แล้ว

    Kwan uongo? Kwan mnadhani mnamwabudu nan😅😅😅

    • @zuwenasleiman3587
      @zuwenasleiman3587 ปีที่แล้ว

      Waulize waislamu wenyewe watakujibu wanamuabudu nani usimuulize padri

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 ปีที่แล้ว

      Kwan yesu alikuwa anamwabudu nani au ndio hujielewi

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

    Muhhamad hajawahi kutukanwa yeye ndio huwa anatukana watu ...kwani? Muhhamad aliupata utume vipi?? Nani?? Alimpa Muhhamad utume?? Nani alie waambie muelekee makkah we umewahi kumsikia Allah au jibril akisema Muhhamad ni mtume??

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

    Mie pia nimemsikia mazinge toka niko mtoto mdogo.

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 ปีที่แล้ว

    Nikweli unababundu seteni waislamu wote wanabudu jiwe markaa

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 ปีที่แล้ว

      Wewe waache tu waangamie maana Mithali 29:1 Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.

  • @bellasi349
    @bellasi349 ปีที่แล้ว

    Huyo mkimbizi😂tu nae anafata mafundisho y’a kijinga y’a muhamadi eti upénde muhamadi kuliko wazazi wako mafundisho y’a kijinga maandiko yanasema mwaheshimu wazazi wako ili uishi miaka mingi na kheli duniani alafu eti umpende muhamadi akiri amuna nyie kenge yani uache kumpenda mama yako eti umpende mwarabu wa makka tena aliezaliwa na kafili muabudu masanamu

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 ปีที่แล้ว

      Hakuomba kuwa mkimbizi ila ni hali hutokea tu baada ya kutofautiana kwa viongozi, si vyema kubeza . Kubishana ni sehem ya wapumbavu ila majibizano ya hoja ni sehem ya wasomi sasa naww jibu kisomi kupitia maandiko😊

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 ปีที่แล้ว

      Sio vizuri kabisa kumdhihaki Mtu au imani ya Mtu U dini usiyoiamini au kujua, tumia hoja au dalili ili uonekane una akili timamu kwa kuvunja hoja za hizo.
      Swali una dhani aliyekuletea na kukufundisha mafundisho ya kuwa uwaheshimu wazazi wako ni nani kama sio manabii.

    • @wardamwikali7891
      @wardamwikali7891 ปีที่แล้ว

      Mungu akusamehe,maana haujuhi unachokisema,nakuombea mungu akuongoze kwa njia ya haki,uwe muislamu,aamiin

    • @nyetaapaul9389
      @nyetaapaul9389 ปีที่แล้ว

      We acha ukafiri wako, wewe ndio utaenda motoni husipomkubali Mtume Muhammad (s.a.w)

  • @Sempreapostandonaverdade989
    @Sempreapostandonaverdade989 ปีที่แล้ว

    Kisede Hana lolote

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 ปีที่แล้ว +1

      Wewe una chochote ukilete sasa katika unacho kifaham

    • @amittambwe473
      @amittambwe473 ปีที่แล้ว

      Wewe unani zaidi ya Kisede? Kwanza umetiya alama ya lana, tupu. Sababu ya ujingatu

    • @cabylake2320
      @cabylake2320 ปีที่แล้ว +1

      Kenge ww

  • @SalimMohamed-v4g
    @SalimMohamed-v4g ปีที่แล้ว

    Mashallah