Nisaidie kitu ivi kwanini iphone zingine ni OG kabisa ni bland new kabisa ila ukiweka line ya 4G inaandika NO SIM ila ukiweka line ya 3G ina soma shida ina kuwa UPDATE au ninini 🙏
Kama ni kwenye simu ukiweka sim card ina maana itakwambia tayari ni unactive... Ukitumia imei no.ya box, inawwzekana mtu katumia tu box jingine ..elimu kidogo mkuu
Kwa Hapa Tanzania Ukipotelewa Na Simu ni Changamoto kuhudumiwa hata ukienda Kituo cha Police! Nafikiri Tusibiro Technology iongeze Kidogo Tutakuwa tutakuwa tunauwezo wakuitafta wenyewe! Kwa njia rahisi zaidi
Hongera mzee umeupiga mwingi 👏🏽
nakubali kaka mana tunadanganywa sana na wauza cm ila tatizo chengine bongo elimu mtiani
Big up from Zanzibar got you, dude
Thankful
Oy ebu tuendelee na Vita ya urusi na marekani bhana nakubali Sana uchambuz wako mzee
Mwamba 🙌🙌🙌 asante sanaa
Asante sana Mungu akubariki kaka
Hizo transition za mwanga mnatuumiza macho
Leo umeupga kma modric
Nisaidie kitu ivi kwanini iphone zingine ni OG kabisa ni bland new kabisa ila ukiweka line ya 4G inaandika NO SIM ila ukiweka line ya 3G ina soma shida ina kuwa UPDATE au ninini 🙏
Brother inabidi nikutafute Kwan hicho ndo kinanikwamisha kununua Hy simu Kwan feki nying xn
Asee mda wa kuelezea hautoshi natamani urudie tena
PUTIN YUKO WAPI??
Kuna watu wapo hapa na hawakuelewi na hawakuamini na wanaendelea kupigwaa🤣🤣🤣
😂😂😂
Je t'aime mon ami
Brother hiyo program inafanya kazi kwenye simu zoteeh au ni Iphone peke yakeeh tu
Kaka mimi naomba kujua jinsi ya kuweka pre order ya i phone naomba kujua na website yake
Naomba namba zako
Je hizo process zote za kujua active or refublsh zinatgemea internet au offline?
Kama ni kwenye simu ukiweka sim card ina maana itakwambia tayari ni unactive... Ukitumia imei no.ya box, inawwzekana mtu katumia tu box jingine ..elimu kidogo mkuu
Hizo ni sinario tofauti tofauti, na kupata uhakika chukua imea # weka kwenyw hio app nilio elezea utapata jibu la uhakika
Swali langu kuu ni je iyo emai no. Unaweka ile ya kwenye box au ya kwenye simu?
Zote Zinafanana, imei number ya Kwenye Box na imei number ya kwenye Simu Zote Zinafanana, so wamekurahisishia tuu!
Mimi simu yangu imeibiwa na IMEI nunayo nimewapa polisi naona hawasaidii bado sijaiona, nifanyeje wadau? #fusetech
Kwa Hapa Tanzania Ukipotelewa Na Simu ni Changamoto kuhudumiwa hata ukienda Kituo cha Police! Nafikiri Tusibiro Technology iongeze Kidogo Tutakuwa tutakuwa tunauwezo wakuitafta wenyewe! Kwa njia rahisi zaidi
Iphone 11 macho matatu sh ngp