Fuse: Hizi ndizo simu 5 bora zaidi upande wa kamera

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 48

  • @harrynzowa8911
    @harrynzowa8911 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo la sisi waswahili tunajikuta tunajua sana tunapoambiwa ukweli madhaifu ya vitu tunavyovipenda hizi I phone na Samsung ni brand kubwa duniani kwenye simu but kuna simu kali zaidi yao kwenye vitu vingi tu na sio tu camera so tusiishi kwa kukariri☺

    • @jsisso7467
      @jsisso7467 ปีที่แล้ว +2

      My dear achana na Samsung mi Nina google pixel 7 pro hiyo camera yake aisee acha kabisa

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 ปีที่แล้ว +2

    wachache sana watakaokuelewa hapa

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 ปีที่แล้ว +9

    Zina wenyewe hizi sisi kinakajamba nani zetu hizi ambazo ukipiga picha wacheka inatoka walia

  • @fareed_09
    @fareed_09 ปีที่แล้ว +6

    GOOGLE PIXEL

    • @Pemba680
      @Pemba680 หลายเดือนก่อน

      Hamna kitu

  • @ELLYTECH
    @ELLYTECH ปีที่แล้ว

    Achana na hizo rating..
    No.1- Google Pixel 7pro
    2 - Galaxy s23 Ultra
    3 - iPhone 14 pro
    Izo zingine zinafanana fanana tu

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli , especially sisi wakupenda kupiga picha ,nilienda kununua Samsung s22 nilipo ona oppo Reno 8 pro camera yake kali kushinda s22

  • @O11CEreview
    @O11CEreview ปีที่แล้ว

    Sikufichi 55% hamna ukweli kwenye haya maelezo. hao ni content creater kama sns tu. Na wenyewe wanachukua habari pia kulingana na watu husemaje wamepataje point 145 kwa model flan kanuni gani.
    Google 6a 7pro
    . iPhone 8+ xs 12pro.
    Samsung S6edge s20+
    huawei p30pro
    Jamani camera za simu sio zooming ndo ubora zoom ni kwaajili ya photographers ambao wanatumia nikon canon na rens zake sio simu simu matumizi ni madogo madogo tu.

  • @barakamashimbe9457
    @barakamashimbe9457 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe sometimes hawa waandshi hua wanavutaga bangi 😂😂😂😂dah

  • @hobbien8227
    @hobbien8227 ปีที่แล้ว +2

    kumbe unaijua DXOMark umetisha nikajua wabongo hamnaga huu mtindo wa kufuatilia ivi maana wengi iphone ndio cm bora kwao ,Tusubir Xperia 1 V itatoka na point ngap mwez ujao

    • @djsma255
      @djsma255 ปีที่แล้ว

      Sasa kwa bahati mbaya unawaelimisha wabongo wanakuona chizi, badala wafungue macho... Dxomark ni mabingwa

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama ปีที่แล้ว

    Angalau ma editor ndio wanaelewa hapa KUNA SIMU PICHA LAKE au video LINANG'AA ukiingiza kwenye editing tuu kabla ujaweka effect imeshaanza kuyumba Kama ni movie au content huwezi hata kuweka majina Nani ameshuti,Nani ame produce Nani muhusika mkuu JAMANI UZUR WA PICHA SIO KUNG'AA TU pia ubora wake ikiguswaa

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 9 หลายเดือนก่อน

    Honestly ninatumia Samsung Galaxy S23 Ultra lakini Najuta Kupoteza Hela yangu aisee, Redmi wako Vizuri sana

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 ปีที่แล้ว

    Sio kweli 😂

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 ปีที่แล้ว +1

    P60 ni jiji sio ya dunia hiyi

  • @h_zoomproduction.4136
    @h_zoomproduction.4136 ปีที่แล้ว

    Zinauzwaje bei zake....

  • @EspiSimai
    @EspiSimai ปีที่แล้ว

    Wajomba me Acha nimalize mabishano ila kikuwel Samsung kwa Mpka sasa Dunia hii Wapo juu kwa Camera 📸

  • @Muda27
    @Muda27 ปีที่แล้ว

    Jichanganye tuu

  • @juliusjaliwa9887
    @juliusjaliwa9887 ปีที่แล้ว +1

    Bro kama ni hivo basi inge andikwa kwa Google, ila uki search kwa Google hio Huawei p60 pro, aipo namba one

    • @jumaciza461
      @jumaciza461 ปีที่แล้ว +1

      Huwezi iona kwasababu sio biashara yao

    • @juliusjaliwa9887
      @juliusjaliwa9887 ปีที่แล้ว

      @@jumaciza461 so is means hio global ana angalilia ni China? Na kama ni ya China thairi kwamba hio ni propaganda yao ili wapate market

    • @praygodamir2836
      @praygodamir2836 ปีที่แล้ว

      @@jumaciza461 hizo huawei hazina hata access ya google

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 ปีที่แล้ว

      Ambiwa google DXOmark

  • @Aysha_ally
    @Aysha_ally ปีที่แล้ว

    Naomba kujua cm levono k14 note anojua ninzuri au

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 7 หลายเดือนก่อน

    iPhone first brand then SAMSUNG COMPANIES🎉

  • @afrodailytv4335
    @afrodailytv4335 ปีที่แล้ว

    Hatuangalii technically tunaangalia ubora wa picha zngine mbwembwe tu

  • @babakoog1
    @babakoog1 ปีที่แล้ว

    Bangi zenu zimefika mwisho 😂

  • @user-rt1wf6se5f
    @user-rt1wf6se5f 8 หลายเดือนก่อน

    Tatzo hatuna uwezo wa kumiliki hizo simu alizozitaja bei kubwa me ninayo huwawei ni balaa anazoom mpaka chunusi

  • @sumamatitu1204
    @sumamatitu1204 ปีที่แล้ว +1

    We jamaa huwaga nakuelewaga sana wewe unasemaga ukweli mtupu Yani huna unazi.

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 10 หลายเดือนก่อน

    Samsung Galaxy s23 ultra ndio simu bora zaid kwa camera ni noma hio simu

  • @nabaodesigner9449
    @nabaodesigner9449 ปีที่แล้ว

    Galaxy z4 folder una semaje kua ni sim ya kwanza bey Duniani. Uja iweka kwa nini?

    • @djsma255
      @djsma255 ปีที่แล้ว

      Kusikiliza na kuelewa ni vitu 2 tofauti... 1- sio z fold ya kawaida ile ni special edition malum kwa china! Sio toleo la kawaida kinalo patikana duniani kote 2- simply because sim ni bei mbaya haimanishi ndo itakuwa bora au bei rahisi basi ita kuwa dhaifu

    • @florianscarion5085
      @florianscarion5085 ปีที่แล้ว

      Bei na ubora ni vitu viwili tofauti.

  • @Michaelfelix111
    @Michaelfelix111 8 หลายเดือนก่อน

    Iphone 14 pro max ninoma sijutii kuinunua

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq ปีที่แล้ว

    Kumbu

  • @manmcog1741
    @manmcog1741 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo mim na S22 ultral yangu ni buree tuu😭😭😭

    • @lebelgross2656
      @lebelgross2656 ปีที่แล้ว

      🥹🥹🥹🥹

    • @virendavictoria5174
      @virendavictoria5174 ปีที่แล้ว +1

      Sio bure ni mzuri ila haizizidi alizozitaja...

    • @Salumchiwili2023
      @Salumchiwili2023 ปีที่แล้ว +1

      Sio ni kuzidiana tu kma hapa ukiwa na BMW unavimba ila ujerumani BMW zinafanywa tax tu

  • @aishakidotigakii6157
    @aishakidotigakii6157 ปีที่แล้ว +1

    Me with my huwawi p50 por

    • @djsma255
      @djsma255 ปีที่แล้ว

      How is ur phone! Do u like it?

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 ปีที่แล้ว

      Ina bei gan na ni ya mwaka gan