MZEE WA UTOPOLO AJA KIVINGINE AWALIPUA SIMBA KUHUSU CHAMA NA AZIZ KI/"MSIMU HUU WAMESAJILI CHEKECHEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • Shabiki wa yanga SC Mashaka Mpingo 'almaarufu mzee wa utopolo' ameongea na Mpenja TV kuhusiana na hali ya timu yake ya yanga huku akifurahishwa na usajili wa Chama,Prince Dube.
    Aidha amezungumzia kuhusiana na watani wao wa jadi Simba SC huku akidai kuwa hawajafanya usajili wa kueleweka.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 11

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 22 วันที่ผ่านมา

    Mzee Wa Utopolo Unajuwa Xana Yan Ila Wapi Jenny Kishaiii❤🎉

  • @MzeewaYanga-hm8jq
    @MzeewaYanga-hm8jq 22 วันที่ผ่านมา +1

    imenichukua mda sana kujuwa kwamba pensi ya jogoo niyale manyoya mafupi alaf chni miguu2 😂😂 mzee wa utopolo fala sanaa😂😂😂

  • @justnice8156
    @justnice8156 20 วันที่ผ่านมา

    Mashoga zake wafunga madishi😂😂😂😂😂

  • @Liamtribalchief
    @Liamtribalchief 22 วันที่ผ่านมา

    Akina mamameri hahahahaha

  • @BabaYoyo-si3nk
    @BabaYoyo-si3nk 22 วันที่ผ่านมา

    Baba huyò😅😅😅😅

  • @user-zg7gm3cy1j
    @user-zg7gm3cy1j 22 วันที่ผ่านมา

    Akina Debora wapewe maua Yao maana wamefanya Aziz k abakie jangwani😂😂😂

  • @user-zg7gm3cy1j
    @user-zg7gm3cy1j 22 วันที่ผ่านมา

    Akina raster fala🤣🤣🤣

  • @gablielrobert
    @gablielrobert 22 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa pila kifulufumbi,pila winome,pila wazuki oyeee

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 22 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅😅😅

  • @gablielrobert
    @gablielrobert 22 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa pila kifulufumbi,pila winome,pila wazuki oyeee

  • @gablielrobert
    @gablielrobert 22 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa pila kifulufumbi,pila winome,pila wazuki oyeee