MEDIE KAGERE KWA UCHUNGU ATAMANI KURUDI SIMBA/ AMTAJA MSHAMBULIAJI ANAYE MKUBALI NBC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น •

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 หลายเดือนก่อน +21

    Mk 14 we utabaki moyoni mwetu umefany makubwa simba ❤

  • @ERICKMSHANGI-n3k
    @ERICKMSHANGI-n3k 28 วันที่ผ่านมา +6

    Tunakupenda sana wana simba kagere ulikuwa mfungaji mzuri sana hatuna ubaya na wewe kaka tunakupenda

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda หลายเดือนก่อน +13

    Simba tunakupenda sana.With big nidhamu kwa watu.wote

  • @HusnaSalumu-x2x
    @HusnaSalumu-x2x หลายเดือนก่อน +5

    ❤upo nyumbani simba nguvu moja ulijituma mk14💯🌹🌹haupo nasie il bado tunakupenda ubaya ubwelaaaaa

  • @IZAACManyonyi
    @IZAACManyonyi หลายเดือนก่อน +2

    M.k 14 machine ya kazi love the best of streak duuh mwamba wa rwanda

  • @AnuaryShedafa
    @AnuaryShedafa หลายเดือนก่อน +6

    Mk 14 ww Bado utabaki moyon kwetu Wana lunyas hauna baya kwetu ❤❤

  • @bone102
    @bone102 หลายเดือนก่อน +4

    Mashabiki wa Simba tuna upendo sana yaan Mchezaji akiondoka Simba bado tunaendelea kumpenda sasa nenda Kwa utopolo mchezaji akiondoka atatukanwa mara atarud kudai hela zake yaan ushamba mtupu

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 4 วันที่ผ่านมา

    Super striker namkubali sana kazi aliyoifanya Simba imetukuka na itabaki miyoyoni mwetu Wana Simba.

  • @MunaMohammed-j3m
    @MunaMohammed-j3m หลายเดือนก่อน +11

    Bado tunakupenda sana mashabiki wa simba wema hauozi kipenzi❤

  • @FAROOKIRUMBA
    @FAROOKIRUMBA 24 วันที่ผ่านมา +1

    MK 14 umefanya makubwa sana bro katika team yetu ya Simba Mungu akubariki mnoo nakukufanikisha🙏🙏🙏

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana , yn akifunga ana maana atasemwa vzr hata asipokuwanao

  • @sultanrichardson5487
    @sultanrichardson5487 หลายเดือนก่อน +3

    Nakukubali sana kaka mkubwa huna baya sema nyakati hazisimami nyakati znazidi kusonga mbele lakn Simba sports tunakpenda sana

  • @AyishaMusthafa-j4j
    @AyishaMusthafa-j4j หลายเดือนก่อน +2

    Yes bado anaishi miyoni mwetu medie kagere tutamuheshimu milele

  • @asajilemwamundela1220
    @asajilemwamundela1220 หลายเดือนก่อน +3

    Your good Bro

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px หลายเดือนก่อน +2

    Mk 14❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FAUZALRIYAMIY
    @FAUZALRIYAMIY 29 วันที่ผ่านมา +2

    KAKA TUMEKUMISS SANA NINA HAKIKA BADO UNA UWEZO.SEMA FIGISU FIGISU ULIZOFANYIWA BADO TUNAKUKUMBUKA SSC

  • @MwanahamisiMatipa-i1n
    @MwanahamisiMatipa-i1n 20 วันที่ผ่านมา

    Bado tunakupenda kaka msimuujao kalibu❤❤❤❤❤❤

  • @Alfakanasa
    @Alfakanasa หลายเดือนก่อน +3

    Medie kagere tunakupenda sana mwamba mk14

  • @asherymdimbwa-vw8jm
    @asherymdimbwa-vw8jm 28 วันที่ผ่านมา +1

    Mfungaji wetu hodari

  • @MfunjoWabaBoydays
    @MfunjoWabaBoydays หลายเดือนก่อน +2

    MK 14 MBOTE 🎉🎉🎉🎉

  • @EdithaEditha-z3s
    @EdithaEditha-z3s 12 วันที่ผ่านมา

    Kwanza alivyoondoka niliumwa l love kagere

  • @amekindamba1643
    @amekindamba1643 หลายเดือนก่อน +2

    Ww mt2 kz ❤❤❤❤❤

  • @BakariMwango
    @BakariMwango หลายเดือนก่อน +2

    Mk 4 nakukubar sana

  • @CareenTemba-j4l
    @CareenTemba-j4l หลายเดือนก่อน +2

    mungu akupe wepesi katika kazi yako umetuachia alama kaka ❤

  • @mussangalawa2403
    @mussangalawa2403 หลายเดือนก่อน +2

    Legend❤❤❤

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 หลายเดือนก่อน +1

    Waombe simba uje ustaafu ndg yangu

  • @EzraCpeace
    @EzraCpeace 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tutakukumbuka sana 🤝💪 Mk14 bravo 👏🫶

  • @salummbuleti6047
    @salummbuleti6047 หลายเดือนก่อน +8

    Well said MK14

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 หลายเดือนก่อน +4

      Kila la. Khair. Mk 14. Wetuuu. ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @JastFinancial02
      @JastFinancial02 หลายเดือนก่อน +2

      👍

    • @ezradaudi7024
      @ezradaudi7024 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mwamba aliondoka vizuri simba hana baya na mtu tofauti na wasaliti flani hivi

  • @Anifa-y7d
    @Anifa-y7d 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ulifanya mwanangu apende mpira mk 14 mpaka leo mwanangu Simba na bado anajuwa upo Simba anakupenda

  • @luluray2115
    @luluray2115 หลายเดือนก่อน +5

    Tunakupenda sana kaka ❤

  • @LucasIgombe
    @LucasIgombe 10 วันที่ผ่านมา

    One ❤ MK 14

  • @JosemwitaMwita
    @JosemwitaMwita 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunakupenda Simba bado tuko pamoja

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el หลายเดือนก่อน +1

    Tunakupenda Sana kageree

  • @MusaHalid-i5i
    @MusaHalid-i5i หลายเดือนก่อน +1

    Tunakupeda sana ss ni simba

  • @OmaryMgaza-en5rm
    @OmaryMgaza-en5rm หลายเดือนก่อน +1

    hakuna tena km medie kagele kuwahi kutoka NBC na simba Kwa ujumla namkubali San med kagele

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 หลายเดือนก่อน +1

    Point ya kikubwa MK14 ❤

  • @waltermigambile5144
    @waltermigambile5144 28 วันที่ผ่านมา +1

    Anajua sana kuongea na media

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 หลายเดือนก่อน +1

    Mk 14. Wewe hata Leo hii tunakumbuka ulivyo tupatia furaha. Naomba viongozi wangu Tumchukue MK 14. Tumpe shughuli yoyote hapo huyo ni hazina

  • @PhatySalim-u9q
    @PhatySalim-u9q 10 วันที่ผ่านมา

    Ila mwandishi mmmmh! Cjapenda😂😂😂😂

  • @KaryaHussein
    @KaryaHussein หลายเดือนก่อน +1

    Sana kaka

  • @mussamdetele5728
    @mussamdetele5728 หลายเดือนก่อน +1

    Tukuombe urudi Simba

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula หลายเดือนก่อน +2

    Akili kubwa

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anafaa sana hata kuajiliwa Simba kwenye bench la ufundi

  • @MaroroChacha
    @MaroroChacha 11 วันที่ผ่านมา

    Wana Simba bdo upo moyoni mwetu tunakupenda sana kaka

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 29 วันที่ผ่านมา

    KUTAMANI RUKHSA KURUDI NO NO NO.!!!!

  • @abdalakambangwa2074
    @abdalakambangwa2074 หลายเดือนก่อน +3

    Meddie kajibu kwa busara sana maswali yote japokuwa nashangazwa sana na wana habari siku hizi yaan mnachoandika na uhalisia ni tofauti kabisaa inashangaza ata mpenja tv nayo mmeingia kwenye huo mkumbo 😢😢 nawa unfollow saiv jifunzeni kuweka habari na kichwa chake kwa usahihi please msivutie watazamaji hicho kisiwe kipaumbele chenu

  • @SaimonEmmanuel-h9t
    @SaimonEmmanuel-h9t หลายเดือนก่อน +2

    Uba baya kaka

  • @GwamaksmsyaniGmsyani
    @GwamaksmsyaniGmsyani 17 วันที่ผ่านมา

    kabisaaah medi hatuwezi kukusahau kabisa temineta

  • @PhatySalim-u9q
    @PhatySalim-u9q 10 วันที่ผ่านมา

    ❤️❤️❤️❤️

  • @KarimuSalim
    @KarimuSalim หลายเดือนก่อน +1

    Arooovaaakiatuchako katereza

  • @MussaMuhandeni
    @MussaMuhandeni 23 วันที่ผ่านมา

    NIDHAMU kwa huyu bwn ni tosha sana !!

  • @DaudijofreyMsipi
    @DaudijofreyMsipi หลายเดือนก่อน +1

    Goli kali ni zidi ya nkana baada ya mkude kusawazisha

  • @babumollel370
    @babumollel370 25 วันที่ผ่านมา

    Mk 14 n moto wa kuotea mbal

  • @PauloKitibu-m3z
    @PauloKitibu-m3z หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba kabisa

  • @RechoDaudi-r6c
    @RechoDaudi-r6c 20 วันที่ผ่านมา

    Utabik miyoni mwenetuu ❤

  • @JohnMatinda
    @JohnMatinda หลายเดือนก่อน

    Tunaomba urudi simba mwamba

  • @MuxxaAlly-c5i
    @MuxxaAlly-c5i 2 วันที่ผ่านมา

    Yani sisi wenyew hatujawahi kuuona ubaya wako kakaa

  • @ProsperGabriel-k3k
    @ProsperGabriel-k3k หลายเดือนก่อน

    Rudi broo

  • @ChrissChara
    @ChrissChara หลายเดือนก่อน

    Bu streka kifaru cha kinyaluanda

  • @AlexGwambie
    @AlexGwambie หลายเดือนก่อน

    Akili kubwa cn

  • @MichaelCharles-uo6rw
    @MichaelCharles-uo6rw หลายเดือนก่อน

    Mwamba Kwa Sasa mpaka anatia huluma Ann

    • @MalindaMalinda-gc6lu
      @MalindaMalinda-gc6lu วันที่ผ่านมา

      ok nakubali mwamba mm Simba wakweli nilimkubali Dana huyu mwamba