KWA HASIRA MWANA FA AMKATAA STEVE NYERERE ATOA SAA 48 AJITOE KWENYE NAFASI ALIYOPEWA SITAKI KUJUA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • KWA HASIRA MWANA FA AMKATAA STEVE NYERERE ATOA SAA 48 AJITOE KWENYE NAFASI ALIYOPEWA SITAKI KUJUA..

ความคิดเห็น • 27

  • @jovinjoseph2625
    @jovinjoseph2625 2 ปีที่แล้ว +6

    Stive, hafai kabsa aendelee kugawa misos kwenye micba

  • @nussah3158
    @nussah3158 2 ปีที่แล้ว +2

    Namwelewa mwana FA. Dunia ya sasa hakuna kupeana kazi kijamaa. Elimu yako, ufanisi wako ndio utaokupeleka Mbele. Elimu ni muhimu . Steve hafai kabisa. Mbona wapo akina Bushoke,Lady Jay dee na wengine wanafaa

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 5 หลายเดือนก่อน

    Wakazi🗣️ 🔥

  • @trueboytz9876
    @trueboytz9876 ปีที่แล้ว +2

    Nakweli imetimia 💥💥💥🤣👨‍💻

  • @aminiahidani4120
    @aminiahidani4120 2 ปีที่แล้ว +3

    MMECHUKUA UWAMUZI MZULI HIKO CHEO KIKUBWA SANA MTU ALIYEPEWA ELIMU HAKUNA KAPEWA CHEO HIKO KAMA MJANJA WA MJINI MAISHA HAYO YASHAPITWA NA WAKATI

  • @mohamedhamza8819
    @mohamedhamza8819 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa kaongea point sana

  • @jumakapola419
    @jumakapola419 2 ปีที่แล้ว +4

    Umeongea ukweri uyo muhuni awezi kuwa kiongozi

  • @mariamomary6737
    @mariamomary6737 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekukubali maneno yako yanapoiti sn tena sn stev hafai kuwa kiogozi

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 ปีที่แล้ว +1

    Steve nyerere afai kabisa na akizi vigezo. Steve out✌️.

  • @JapharSaid-yj3sh
    @JapharSaid-yj3sh ปีที่แล้ว

    Urusi na ukraine

  • @sigonilemwangole9254
    @sigonilemwangole9254 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwacheni Steve nyinyi ni mashetani tu mnaomfitini steve nyerere raisi wa Ukraine alikua mcheshaji sasa ni raisi inakuaje kwa steve pita hivi wewe mwana fa sijui

    • @zachaamaster5378
      @zachaamaster5378 2 ปีที่แล้ว

      tangu Rari ukaona msimamizi wakwaya akasimania kwaya kwaiyo awezi kusimamia ww Kuma to kaha mbari

  • @perisnanka2118
    @perisnanka2118 2 ปีที่แล้ว +1

    Democracy

  • @davidmnyagwia8443
    @davidmnyagwia8443 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi ipo😎

  • @jwakoofficial1560
    @jwakoofficial1560 2 ปีที่แล้ว +4

    Stivuafai kabisa

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 2 ปีที่แล้ว +1

    😆😆😆😆🙄Hamisi mwinjumaaa MH.

  • @mwandumwandu169
    @mwandumwandu169 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwan ww kwenye ubunge ulikua una sifa gan

    • @usiniguse
      @usiniguse 2 ปีที่แล้ว

      @Mwandu ,Huyu mwana FA Ameenda shule. Shule ipo tena ya kutosha tu. Fuatilia CV yake utaona

    • @khalfachannel1340
      @khalfachannel1340 2 ปีที่แล้ว

      @@usiniguse hata hivo ubunge hauhitajii Cv

    • @zubedamagambo9600
      @zubedamagambo9600 2 ปีที่แล้ว

      Ana masters

    • @dicksontimoth4297
      @dicksontimoth4297 ปีที่แล้ว

      Kweli we ni kilaza

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo ndo utanzania , yaani mtu kapewa nafasi mwacheni afanye kazi ,nyinyi fanyieni kazi makosa yake acheni ubinafsi na umimi

  • @priscaphedrick2396
    @priscaphedrick2396 2 ปีที่แล้ว

    Kwani kama wewe unataka uongozi siuseme tu masaa 48 wewe kama nani mbona una nyodo sana wewe?faridi chochote kitakacho kupata tutadili na hawa wasanii wa kufoka foka

  • @veriusechrispin9971
    @veriusechrispin9971 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanafa wewe ninani bhanaa wewee mbona unakurupuka sanaa weweeeee