Kabila la Wairaq - Kaskazini mwa Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 เม.ย. 2022
  • Tanzania ni nchi yenye makabila mengi. Tofauti ya makabila haya yanaifanya Tanzania kuwa ichi ya kipekee na iliyiyojaa utajiri wa utamaduni. Fuatilia makala hii kufahamu mila na desturi za kabila moja wapo nchini Tanzania

ความคิดเห็น • 38

  • @petersulle1937
    @petersulle1937 ปีที่แล้ว +7

    Hii historia/simulizi ina mapungufu mengi, siyo sawa kabisa, wairaqw hawakuanza kuishi mama Isara, walianzia mahali panaitwa guser maàngwatay halafu guser tiwalay, maeneo ya kondoa irangi, na pembezoni mwa mlima hanang giting' na ndipo waligawanyika gortoo akafuata bonde la dareda, irqutu akapanda dabil kwenda irqwar daâw.

    • @hansmwasakyeni3038
      @hansmwasakyeni3038 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Alipoongelea kulima tu nimejua hajui anachosimulia! Waarabu na ukulima wapi na wapi?

  • @gamalnassertv
    @gamalnassertv 17 วันที่ผ่านมา

    Wairaq wapo!

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 ปีที่แล้ว +5

    Wenye kujua ukweli waandike historia sahihi kuliko kuandika kupinga kilichoelezwa na mhusika.
    Kama hutoi ukweli hakuna haja ya kupinga

  • @allymfule
    @allymfule 11 วันที่ผ่านมา

    Wataogeaje kialabu wakati wametoka miaka milioni iliyopita

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 ปีที่แล้ว +1

    Safi tumewaskia ❤️❤️ yy

  • @annaawinoolalaodero1672
    @annaawinoolalaodero1672 ปีที่แล้ว

    Sisi wote ni watoto wa mungu Amen Amen

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 ปีที่แล้ว +6

    Hili swala la kusema wa Iraq wametokea Iraq ni ujinga ambao sijawahi elewa mpaka leo nani aliwaeleza ujinga huo!, kama mmetokea Iraq vip lugha mbona tofauti?, vip kuhusu dini mbona wengi wakristo?, vip mbona sura zenu na waarabu zipo tofauti?, tzameni wapemba walivo, hakuna mwarabu mwenye kisogo, kuwa weupe na nywele singa siyo sababu!.

    • @leodenicodemus72
      @leodenicodemus72 ปีที่แล้ว

      Na hautaelewa achana nayo

    • @ggcrank6264
      @ggcrank6264 ปีที่แล้ว +1

      Ni upuuzi ambao hauna mantiki hata kidogo chimbuko ni Ethiopia na southSudan

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 ปีที่แล้ว

      Kifupi tu wa Iraq original yao sio Iraq ila ni Ethiopia sababu hata majina na baadhi ya maneno ni kama wa Ethiopia hata vile wanavyo pronounce maneno

  • @matayhando6519
    @matayhando6519 ปีที่แล้ว +2

    Ni vizuri kuacha kuliko kuelezea uongo ...huyu natamani nimfate nimpe makavu yake

  • @MartiniJohn-ew6us
    @MartiniJohn-ew6us หลายเดือนก่อน

    Hapa ndio nilikuzwa na ugali wa kusagwa namna hii.ahsante Mungu uwatunze wazazi hawa

  • @JacobNikolaus-oy2ld
    @JacobNikolaus-oy2ld หลายเดือนก่อน

    Waooo😅

  • @gulionigulioni3234
    @gulionigulioni3234 ปีที่แล้ว +1

    Huyu muongo mkubwa kabisa, historia halisi ya wairaq haijui huyu.

  • @lazarosule7761
    @lazarosule7761 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 7 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @AnnaAnna-kv6ki
    @AnnaAnna-kv6ki 3 หลายเดือนก่อน

    Tokaaa hapa acha kundanganya jamiii km huwez kujieleza kale ugali na maziwa kalale

  • @ismailainan4952
    @ismailainan4952 ปีที่แล้ว +1

    Mzee huo uwongo usiidanganye jammii

  • @karimhgau9020
    @karimhgau9020 ปีที่แล้ว +2

    Tsuwaa loo waay.aidoosing'.

  • @izraeltsaxarra2469
    @izraeltsaxarra2469 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anauetoa histori hajalamilika nadhani hajui atafutwe wazee

  • @catherineupendo6536
    @catherineupendo6536 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo sketi nitaipata wapi

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 11 วันที่ผ่านมา

    Mwongo wewe hujui kabisa

  • @husseinkarim9211
    @husseinkarim9211 ปีที่แล้ว +1

    Wairaq mbona hawaongei Kiarabu

  • @ismailainan4952
    @ismailainan4952 ปีที่แล้ว +1

    Waameanzia ethopia

  • @hadijaossi7821
    @hadijaossi7821 2 ปีที่แล้ว +1

    Saita

  • @izraeltsaxarra2469
    @izraeltsaxarra2469 ปีที่แล้ว +1

    Acha uongo bhana wewe ni mwiraghw wa wp unaongea uongo?

  • @nuramoboy
    @nuramoboy ปีที่แล้ว +1

    1:35 wairaq hawapendi vita Sasa huko Iraq wanalima wapi majabali? Nyie wambulu bana mi nakujuweni nyie Arusha huku

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 ปีที่แล้ว +1

      Iraq haitawaliwi na majabali ktk sehemu kubwa, ni nchi ya kilimo pia, naifahamu vzr nimeishi miaka 7 kule Basrah

  • @newtonnyembe8228
    @newtonnyembe8228 ปีที่แล้ว +2

    Mbona weusi???🤓

    • @nuramoboy
      @nuramoboy ปีที่แล้ว

      :) Iraq wanalima wapi majabali?

    • @manubei3574
      @manubei3574 หลายเดือนก่อน

      Ulijuahe

    • @gamalnassertv
      @gamalnassertv 26 วันที่ผ่านมา +1

      Because some clans are more mixed with Bantus, Nilotics and Hunter-Gatherer communities