Math 10:27 serikari lazima ijue kuwa Mungu anasema hakuna kitakacho fichika duniani Kila kitu kitawekwa peupe. Masai hapo Ngorongoro walipewa na Mungu msiwasumbue.
Kusema kweli wamasai mimi zamani nilijua kuwa ni wenye maamuzi, lakini kwa kitendo cha kutolewa Ngorongoro kishenzi nilishangaa sana. Nikajiuliza ni wamasai au kabila lingine? Ni lile kabila nilikuwa naheshimu na kuliogopa kwa ushujaa wao? Kwanza milinitia aibu kwani nilikuwa nawambia Inchi nyingine na watoto wangu jinsi wamasai walivyo shujaa! Masai mnaweza kusimama mble ya simba leo mnatetemeka kwa mwanamke wa Kizanzibar tu! Pole sana kumbe hata wakurya pia nitasita kuwatetea ujasili wao. Kumbe jasili ni wahehe wa zamani kwani hata leo naona rc fulani mhehe ni mchawa mkubwa tena uchawa wa kutisha ili apate kutunisha tumbo lake. Mpaka anatukana wakina mama wanainchi hapo anadhani hajatuka hata huyo anayejipendekeza kwake! Nashindwa kujua sasa watanganyika ni watu wa aina gani? Uchawa haupo kwenye Inchi nyingine. Kwani hali ya uchawa katika Inchi ni aibu kubwa kwani ni hatari sana kwa Inchi hii Tanganyika.
Hee apambane eti na hali yake mzee, eti nchi ya asali na maziwa,ulikaa chini kumsikiliza sauti ya Mungu,kwenda huko msomera, Ibrahimu wa nchi ya wakaldayo kuhamia kanani walizungumza pamoja na Mungu
Hiyo ndiyo AMANI?wamaasai nikivutio TOSHA Cha Wamaasai KUTOKANA Mila na desturi ZAO.Wanauawa Ovyo,wanateseka kama SI BINIADAMU,Norongoro KUBAKI bila Wamasai namifugo ndiyo maana WENGINE wanatorokea Kenya KUTOKANA na shida wanaopata.
ASANTE katibu Tarafa awafanyia unyama Msomera,from, Ngorongoro,mama,na wanae nyumba Moja na watto wa shule wanakaa Chini madawati hakuna c mnasemaga unapigwa mwingi, mtajijeijei na hii mifugo hakuna majani Msomera mtajijeijei bia katiba hutaona haki,wa Tanganyika, mtajijeijei nimeipenda zaiiidi,
Mungu Siku zote ni mwaminifu Ndugu zangunwa Nyatwali Tukae tu tayari Ulipwe hata kidogo tuondoke Haya sasa ndo maisha yamejitokeza Mama wasaidizi wako wanachafua hali ya hewa mbona tumekuwa tunaonyeshwa Kwamba munaenjoy😂😂😂
Kwani amjui nyi ccm inawathamini tu kipindi cha kampeni na cha kupiga kula kwa sasa wewe huna thamani kuliko wanyama wanyama wanasaminika kuliko mtu na mkitaka kukubaliwa maombi yenu yakubalike subilieni kwenye kampeni na mkiwapa tena kura zinarudi difenda endeleeni kuwapigia vigeregere wanapo tafuta kura
Wamaasai wote popote walipo waandamane waende Kwa miguu kumuona rais Mimi kinaniuma sana wajomba zangu kunyanyaswa tena wamaasai ni watunzi wa mazingira hawachomi mkaa wala kukata miti na hawali nyama pori so waacheni Waishi ngorongoro
Chagua ccm, kazi uendelee , ccm inajali fisi kuliko nyie, na kusema raising hajui ni mpuuzi wenu tu, raisi hajui!!!!¡ alietoa fedha mkahamishwa ni nani?
Hivi kweli huyu mama kama mama wa watoto unaweza kuondoa za kijamii? Kama ni kweli mjifikirie kwani huduma za jamii ni huduma za Mungu. Ukiwanyang'anya huduma kweli unamkosea Mungu ni kuleta laana kwa Inchi na pia wahusika wanawaletea laana kwa vizazi.
Hizi yatabia sio nzuri je hao wanayo yafanya hivi nkweli mnafamilia km hivi mnavyofanya? Dhulma hii mpka lini mimi mwenyewe ni miadhirika waviongoz marehemu waliotangulia walichotufanyoa nakuna aliepo hai stosahau machungu haya mpaka siku ya kiama
Tanzania inahitaji Uongozi Bora kwani nchi hii ni HURU akuna sababu za kuwafanya wengine wapate shida. Viongozi wabadilike, Kama ipo nia njema basi ionekane kwa Serikali hii ya Awamu ya Sita. Tutaichukia Serikali kwa Utekelezaji Mbovu kama HUU. Serikali itabebeshwa Mzigo wa Kuuza NCHI kwa WAARABU. Nchi hii ni kubwa hakuna sababu za kuendelea na haya.
Mungu wangu hii ndiyo serikali ya mama samia
Hii ni aibu kwa taifa, yaani watu wachache wanaamua kucheza na maisha ya watu
Tena mnyamaze midomo yenu ndio mtawatambua hao ndio CCM bhana wanaangalia wao na familia zao full stop
Mungu iangalie jambo hili.
Zambi kubwa Kwa Serikali yetu
Tutaona mengi safari hii
Msiwape CCM kura yenu kwa mateso mnayopitia la sivyo rudini Ngorongoro la sivyo mtakoma huyu mama siyo kimblio mlitokaje kwenu
Taarifa hii inasikitisha na ukiukwaji wa haki za binadamu na kushindwa kwa Serikali ya Samia na kulewa kwa ccm, hatari ya kuanguka kwa Serikali
Ianguke tuu ndudu
Duh!,poleni Sana ndugu zetu Hili jambo sijui litaishaje,Mungu tu awasaidie
Ulishakubali pambana
Mama anaupiga mwingi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 😳 😳😳😳😳😳 waarabu oyeeee
Mngekomaa tu,mngeona ukuu wa Mungu.
Hivi haya mambo yanatokea Tanzania hii hii inayojitangza kuwa inapenda watu wake kweli? Eeee MUUMBA tunakuomba ingilia hii kati. Tenda japo kwa haraka
Math 10:27 serikari lazima ijue kuwa Mungu anasema hakuna kitakacho fichika duniani Kila kitu kitawekwa peupe. Masai hapo Ngorongoro walipewa na Mungu msiwasumbue.
Serikali kwa sasa inaendeshwa na mafisadi. Wanaangalia matumbo yao tu na siyo masilahi ya wananchi
Hakuna mnadanganywa serikali inawajali Mwarabu
Ombeni sanaa mungu atawasaidia. Wanawakomesha mtoke. Komaeni tuuu. Hili mtoke wachukue ardhi wapewe warabu. Msikate tamaaa komaeni tuuu
Rudini ngorongoro hapo ndo kwenu acheni ungese na uwoga wakipumbavu
Kweli , wamasai Hawa wamekuwa wasen9e?
Kwa Nini wamekosa kuwa kitu kimoja kuipigania haki Yao??
Watetezi wa upizani mliwazomea na kuwadhihaki leo mlio wapigia vigeregere ndo wanawakomesha na mtakoma ccm na iendelee kuwakomesha
Rudini nyumbani ngorongoro nlikozaliwa acheni utani na upole waajabu
Huyu mama kiruu mbona Mungu anamzoom tu.rudini mkaunganike na masai wa kenya.
Kusema kweli wamasai mimi zamani nilijua kuwa ni wenye maamuzi, lakini kwa kitendo cha kutolewa Ngorongoro kishenzi nilishangaa sana. Nikajiuliza ni wamasai au kabila lingine? Ni lile kabila nilikuwa naheshimu na kuliogopa kwa ushujaa wao? Kwanza milinitia aibu kwani nilikuwa nawambia Inchi nyingine na watoto wangu jinsi wamasai walivyo shujaa! Masai mnaweza kusimama mble ya simba leo mnatetemeka kwa mwanamke wa Kizanzibar tu! Pole sana kumbe hata wakurya pia nitasita kuwatetea ujasili wao. Kumbe jasili ni wahehe wa zamani kwani hata leo naona rc fulani mhehe ni mchawa mkubwa tena uchawa wa kutisha ili apate kutunisha tumbo lake. Mpaka anatukana wakina mama wanainchi hapo anadhani hajatuka hata huyo anayejipendekeza kwake! Nashindwa kujua sasa watanganyika ni watu wa aina gani? Uchawa haupo kwenye Inchi nyingine. Kwani hali ya uchawa katika Inchi ni aibu kubwa kwani ni hatari sana kwa Inchi hii Tanganyika.
Ccm Oyeeeeee!
Acha tuisome namba kwanza baadae tuelewane vizuri!
Chagueni chadema
Huyu si yule mbunge mustaafu alikua anafurahia kuhamishwa🤔🤔
😂😂😂😂
Serikali hii ni dhalimu sana hasa huyu mama hafai kabisa jamani anataabisha jamii isiyo na hatia
Hii Ni Serikali Ni Ya Kikatili Mnoo
Mungu ibariki tanzania
Tatizo katiba inampa mamlaka Raisi mno wananchi wanateseka ndani ya nchi yao
Bora wasisome kaeni ngorongoro
Mmmh, haya!!
Uliipenda wenyewe pambaneni
Fanyeni maandamano Mkamuone Rais
Sema waende Umoja wa mataifa au maubalozi ya nje .ukidai Raisi kwani unadhani hajui si ndio wao vinara wa haya
Hee apambane eti na hali yake mzee, eti nchi ya asali na maziwa,ulikaa chini kumsikiliza sauti ya Mungu,kwenda huko msomera, Ibrahimu wa nchi ya wakaldayo kuhamia kanani walizungumza pamoja na Mungu
Hii channel naipongeza kwa hii Editing walioifanya duh!
Eti hao hapo wapo Msomera!!?
Wadanganyeni mazezeta wenzenu.
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Duuuu Mungu saidia
Unaweza kulia....sikiliza hiyo nyimbo underground, then sikiliza malalamiko ya kilio cha wananchi😭
So sad...😭 Tanzania , inapelekwa wapi na Samia?
Ndo Tanzania yetu hio ndugu poleni sana
Daa ata ao wa msomela wanalia tena mungu saidia sisi masikini. Tusio na sauti mungu tusaidie na Hawa miungu watu wanao amua nani Aishi na nani asiishi
Mama mkwe wangu samia naomba uangalie hawa ndugu zetu wamasai asante
Mliyataka mmedanganywa
Apartheid in Tanzania
Mmmmh Sina la kusema
Ombeni mungu atasikia sauti na kilio chenu
Nchi inauzwa hayo maneno y ndugai
Mama Samoa Mungu anakuona.
Kwahiyo wanyama wamekua bora kuliko wazawa kwenye ardhi yao?? Serikar angalieni hili
Hiyo ndiyo AMANI?wamaasai nikivutio TOSHA Cha Wamaasai KUTOKANA Mila na desturi ZAO.Wanauawa Ovyo,wanateseka kama SI BINIADAMU,Norongoro KUBAKI bila Wamasai namifugo ndiyo maana WENGINE wanatorokea Kenya KUTOKANA na shida wanaopata.
Sio wa masai hao hii media gan inaongopea jamii
Rudini ngorongoro mbona miaka yote ?
Hatuna viongonz
Meikubali kuhama kule msomero ni taabu na mateso
Wakati magu ana vuluga nchi kwa kutaka kiongoze chama kimoja mlifrahi leo endeleeni kulia hadi mjitambue
ASANTE katibu Tarafa awafanyia unyama Msomera,from, Ngorongoro,mama,na wanae nyumba Moja na watto wa shule wanakaa Chini madawati hakuna c mnasemaga unapigwa mwingi, mtajijeijei na hii mifugo hakuna majani Msomera mtajijeijei bia katiba hutaona haki,wa Tanganyika, mtajijeijei nimeipenda zaiiidi,
Wamasai kama kweli magufuri hari pambana kwa kuwawekea mazingira mazuri uko ngorongoro ,pambaneni mpaka kiereweke hawamu hii sio
Hajui kweli? Mkome kujidanga nya
Mungu Siku zote ni mwaminifu Ndugu zangunwa Nyatwali Tukae tu tayari Ulipwe hata kidogo tuondoke Haya sasa ndo maisha yamejitokeza Mama wasaidizi wako wanachafua hali ya hewa mbona tumekuwa tunaonyeshwa Kwamba munaenjoy😂😂😂
Telele alihongwa analalamika nini?
Hiyo ndiyo Eti Serikali ya wananchi CCM oyeee acheni muisome namba ccm mbele kwa mbele.
Ahaaaa kumbe sasa nimejua laa ndo hivo aise
Mulishajichanganya Kaeni tu
Change that conducts itself organically is sustainable. Twende taratibu tutaharibu mitindo ya maisha ya kila siku ya raia.
Kwani amjui nyi ccm inawathamini tu kipindi cha kampeni na cha kupiga kula kwa sasa wewe huna thamani kuliko wanyama wanyama wanasaminika kuliko mtu na mkitaka kukubaliwa maombi yenu yakubalike subilieni kwenye kampeni na mkiwapa tena kura zinarudi difenda endeleeni kuwapigia vigeregere wanapo tafuta kura
Kweli kabisa
Asante teknolojia ya mawasiliano.tungejuaje hayo.
huu ni ukatili
Waarabu wanalundikana vizuri tu na wanaheshimiana kumbe kwa Mila za Tz hii haifai
Tunaharibiwa jamii yetu na Eli mu ya wtoto nyinyi wamsai mkae mkijua
Wamaasai wote popote walipo waandamane waende Kwa miguu kumuona rais Mimi kinaniuma sana wajomba zangu kunyanyaswa tena wamaasai ni watunzi wa mazingira hawachomi mkaa wala kukata miti na hawali nyama pori so waacheni Waishi ngorongoro
Wamuone rais polisi watawaacha?
Chagua ccm, kazi uendelee , ccm inajali fisi kuliko nyie, na kusema raising hajui ni mpuuzi wenu tu, raisi hajui!!!!¡ alietoa fedha mkahamishwa ni nani?
Daah wana ondoka kwa lazima kumbe 😢
Serikali hii inafeli wapi
Mlikubali wenyewe kuhama ngorongoro
Saw
Ilitaka mwenyewe kwenda
Nchi hii inakaribisha vita kwa uongozi wa huu wa hovyo kabisa
Serekali inatengeneza vita ya wenyewe kwa wenyewe ili watanzania muuane.Dawa ni kukataa CCM msihadaiwe wakati wa kura
HV mngekataa kabsa kwenda huko wangewafanyaje?
Hivi kweli huyu mama kama mama wa watoto unaweza kuondoa za kijamii? Kama ni kweli mjifikirie kwani huduma za jamii ni huduma za Mungu. Ukiwanyang'anya huduma kweli unamkosea Mungu ni kuleta laana kwa Inchi na pia wahusika wanawaletea laana kwa vizazi.
Yaani serikari inawatesa harafu mnaiita "Tukufu"?
Jamani haki iko wapi? Kama mtanzania anteseka ndani ya nchi yake tunakwenda wapi?
Tunarudi utumwani na wanaotupeleka utumwani ni wanasiasa malaya
Koree de lekisongo.
Msalimieni lekisongo 😂😂
Lekisongo ni mpotoshaji tena ni kunguni mkubwa.
@@frankremishoy5778 wanamjua vizuri😂😂😂
Watanzania ngoja muwe mnafanyiwa hayo iri mjitambuwe
Eti kulinda uoto wa asili? Semeni ukweli!
Wanawafanya kama wakimbizi mkome kwa nini mlitoka ngoro ngoro?
Mimi nilijua, mpaka walioenda msomera changamoto ni lazima mifugo hata na binadamu watakufa, kwa sababu kubadilishiwa environment na bado.
Hivi ninyi ccm mbona mnaroho ya kichawi
Kila Kona wamasai wanaondolewa tunajiuliza juu ya mswahili kuwaonea wamasai tuende wapi wanasema Kenya Sudan.😅
Eti na yeye kashika fimbo eti😄
Waongo
Utaratibu huu ni wa kishenzi kabisa na uaenda kinyume na utu na haki za binadamu kwanini serikali imeamua kufanya hivi
Duh😂😂😂
Wananchi wanapaswa kujenga moyo wa mapambano dhidi ya serikali. huyu Rais amekuja na ubabaishaji mkubwa wenye mateso na uuzaji wa mali za taifa.
Hizi ndizoi athari za oparesheni za pupa: Hii jamii ya kimasai imechonganishwa wataishia kuishi kwa uhasama na vita;
Maisha ni safar ndefu yenye majungu
hiyo ndiyo Tanzania ya ccm
Mimi nashindwa kuelewa maana wale waliopo Msomera wanasema Kuna maisha mazuri mnooooo sasasijui wanao lalamika kuwa wanaonewa wapo wapi,,,,
Chawa macho yake NIadogo Sana yeye huona tumbo lake Tu
Hizi yatabia sio nzuri je hao wanayo yafanya hivi nkweli mnafamilia km hivi mnavyofanya? Dhulma hii mpka lini mimi mwenyewe ni miadhirika waviongoz marehemu waliotangulia walichotufanyoa nakuna aliepo hai stosahau machungu haya mpaka siku ya kiama
Huu ni ukatili wa hali ya juu
Tanzania inahitaji Uongozi Bora kwani nchi hii ni HURU akuna sababu za kuwafanya wengine wapate shida. Viongozi wabadilike, Kama ipo nia njema basi ionekane kwa Serikali hii ya Awamu ya Sita. Tutaichukia Serikali kwa Utekelezaji Mbovu kama HUU. Serikali itabebeshwa Mzigo wa Kuuza NCHI kwa WAARABU. Nchi hii ni kubwa hakuna sababu za kuendelea na haya.
Bora usingeleta interview na huyu mzee maana hawa ndio chanzo cha mateso ya wakulima na kuna kipindi alikua anafurahia kuhamia msomera leo imekuaje
Ndio wanafiki wenyewe, alafu unakuta mtu anasema ati ni Diwani wa chama kinachowanyanyasa huo ni ujinga mtupu.
Huyo Ole Telele alikuwa mbunge na yeye ndiye wa mwanzo kuwashawishi wengine kuhama, leo analalamika nini. Unafiki utamkomesha.
Jama unamtoa mtu kwake bila sababu
Mbaya zaidi watu wanaamini unawesa kuwasaidia lakini hawajui kua wewe ndio unasababisha haya yote