Nabii Tito Alivyobishana na Kamanda "Ninachokifanya Sio Kosa"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Nabii Tito Alivyobishana na Kamanda "Ninachokifanya Sio Kosa"
    Hiyo ni sehemu tu ya kauli tata za anayejiita Nabii Titto alizozinukuu Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma wakati akiongea na wanahabari mara baada ya kumtia mbaraoni nabii huyo!
    Ambapo alimuita mbele ya wanahabari na kumuuliza kama baada ya sheria kuchukua mkondo wake atarudia tena kosa lake, ambapo alikubali kuwa hatorudia ila alipoulizwa kaa anajua anachokifanya ni kosa ndipo alipowashangaza watu kutokana na majibu yake.
    "Wewe ndiye unaesema kama ni kosa, ninachokifanya mimi sio kosa kwa sababu natumia biblia" amesema Nabii Tito
    Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 6

  • @nuurinkluge8239
    @nuurinkluge8239 6 ปีที่แล้ว

    I am Christian,,,zilemaneno anazosoma zimeandikwa kwa Bible,,inakuwayeye mifanoyake siomzuri kwa binadam,,,sababu yawezaleta viza,,tu aache tu,,,boraaendelee ilakwanjia nzuri hizo mifano inakuwambaya,,
    Muacheni tu nimaskini hanaakili,,,

  • @sixninetz5722
    @sixninetz5722 6 ปีที่แล้ว

    jaman, jamani, jaman muogopeni mungu yupo

  • @leviticuslevis3867
    @leviticuslevis3867 6 ปีที่แล้ว

    Huyo mjinga sana

  • @hassanabdul1260
    @hassanabdul1260 6 ปีที่แล้ว

    Haaaa,nabii Titto

  • @alima7862
    @alima7862 6 ปีที่แล้ว

    nabi Tito kajiteteya. anayosema. yametoka. kwenye bibliya😁😂😂😂😂

  • @rajiblahmuna9643
    @rajiblahmuna9643 6 ปีที่แล้ว

    Uyu sasa amezid