Naona hii ni familia pongezi kwa wazazi wetu walituzaa wengi wakaweza kuwalea,nawameweza kutengeneza kwaya nzuri sana,mbarikiwe.nasi tuzae watoto wengiiiii
Very powerful. It accompanied my test in the afternoon after leading two worship services. One of my favorite hymns in Luhaya. The group flushed fond memories of your father when he taught at Kashasha in the 1970s. It was nice to see Alan and his wife.
Hongerani sana wapendwa, hakika Mungu ni mwema. Naona mmemrishisha hadi mjukuu Malikah Kemilembe nae asipo enda kanisani watu wanajua muimbaji kakosekana.Mbarikiwe sana
Nimenunua Flush yenu nimesikiliza audio yake nimefurahi sana kwa nyimbo za LUHAYA. Kwa mara ya kwanza nimesikia na kuimba wimbo wa "Nabona akanyonyi". Mbarikiweni sana hata sisi tunaosikiliza na watakaosikiliza tubarikiwe kwa wingi. ZAIDI YA YOTE LILE LENGO MLILOLIKUSUDIA LIKAPATE KUFANIKIWA
Karibuni Upendo TV na Radio kuburudika na nyimbo zetu zaidi
Mbarikiwe sana kwa kuimba na kuweka hizi nyimbo kwenye mtandao. Omukama abagumise mugendelelege. Amina.
Nyimbo hizi zinanikumbusha kanisani Bugandika
Marvelous! Nakushobora ntai kuwasa ealbum yaanyu? Anga si mwina oluhoya lumoi? Mwanyijukya Omukai. Mahyogei munoi.
MWAKOLA MWANYIJUKYA HARAI!! KATONDA ABABELE OMULIMO OGWO MUSHULULIRWE KUKOLA KATONDA AGUGOSHOORE. Jonas Lwezaura
Waitu mbaije, tusingize Omukama waitu
Ninabarikiwa na nyimbo hizi zinanirudisha nyuma zaidi ya miaka 67 wakati marehemu baba yangu ananiimbia sijaanza Shuler.
Tunamshukuru Mungu
Very powerfu, hizi nyimbo zinavutia sana aisee. Mungu awabariki sana.
Oh haleluya glory to God mmebarikiwaaaa na mmeimba vizuri sana sifa na Utukufu kwa Bwana ❤❤❤❤❤
Amina amina
Omukama ababele
Empoya Nizishemara Muno! Ninshaba Muhoye Na; ''MUKAMA WANGE AKANGANYIRA''. Ndasiima Muno, Kandi Omukama Ababele.
Amina Amina, ntusiima muno. Waitu genderela kutushabila, Mukama alatushoboza kugobya ekyetago kyawe, lwona nezindi.
Umukama Mungu abakwase. Mulimo gulungi muno
Wow 😲, Hongereni sana ni nzuri mno! Mungu azidi kuwainua
Hongera sana kazi nzuri
Congrats.Mmenibarikisana na nyimbo zenu maana ni zile zinzogusa moyo wangu za Kihaya.Mbarikwe sana kwa huduma hii.❤❤🎉
Sifa apewe Bwana,mmeimba vizuri sana
Naona hii ni familia pongezi kwa wazazi wetu walituzaa wengi wakaweza kuwalea,nawameweza kutengeneza kwaya nzuri sana,mbarikiwe.nasi tuzae watoto wengiiiii
Hongera sana sana. Mnaimba vizuri sana. Mungu aibariki familia
Asante sana,Mbarikiwe.Hii ndiyo radha ya uimbaji niipendayo.Naomba nyingine tafadhari.
Amina Amina, zinakuja soon🙏
Bwana apewe sifa💯💯💯
Mungu aibariki kazi hii ndugu zangu❤, Mulige
Omukama ababele. Mwashemeza
Mwalimu Obayo
Nice song
Mwakola muno boojo baana bomuka.
Safi sana Dr. Mjumba, wimbo mzuri, nimefurahia tune na kukuona happily healthy, be blessed
Amina amina, namshukuru sana Mungu. Karibu sana Elia, ubarikiwe 🙏🙏🙏
Haleluya! Mmeimba vizuri sana
Aaah !je suis tellement fière de vous, que Dieu vous bénisse abondamment 🙏
Karibu sana, Mungu akubariki pia kwa kusikiliza🙏
Hata sasa Bwana ametusaidia🙏
Mungu Aendelee Kuwabariki. Huu wimbo kwa Kiswahili unaitwaje/ ni namba ngapi kwenye TMW? Ahsante sana.
Sauti ya wimbo na 158 TMW Liko Pumziko la Mioyo, japo kwa Kihaya ni wimbo wa Shukrani kwa Mungu
Fantastic
All glory to God
❤❤❤❤
Utukufu kwa Bwana Yesu.
Another combora!
Soon soon,🙂
Very powerful. It accompanied my test in the afternoon after leading two worship services.
One of my favorite hymns in Luhaya. The group flushed fond memories of your father when he taught at Kashasha in the 1970s.
It was nice to see Alan and his wife.
Very very special and powerful praise good team.
Glory to God.
Me too Mr Timothy Mujumba their father was my Maths teacher at Kashasha Middle School. Good memories indeed
Mayo mayo, Omukama asiimwe
❤❤❤🎉🎉🎉
Haleluyah
Tunasubiri kwa hamu sana
Hongerani sana wapendwa, hakika Mungu ni mwema. Naona mmemrishisha hadi mjukuu Malikah Kemilembe nae asipo enda kanisani watu wanajua muimbaji kakosekana.Mbarikiwe sana
Amen Amen, tunamtukuza Mungu, anarithi kwa bibi Proscovia. Tunamiss sauti yake ya kwanza🙏
Wow! Very nice
Wow!! What a blessing!!!
Thanks 🙏🙏🙏
Amina Amina👏🏽🙏
Nimenunua Flush yenu nimesikiliza audio yake nimefurahi sana kwa nyimbo za LUHAYA. Kwa mara ya kwanza nimesikia na kuimba wimbo wa "Nabona akanyonyi". Mbarikiweni sana hata sisi tunaosikiliza na watakaosikiliza tubarikiwe kwa wingi. ZAIDI YA YOTE LILE LENGO MLILOLIKUSUDIA LIKAPATE KUFANIKIWA
Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili ya kila anayesikiliza na kubarikiwa, ni lengo la msingi pia. Barikiwa sana, karibu sana🙏
Mahyo
Hongereni sana, Mungu awabariki.