KILIO CHA MAJI KWAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Kilio cha maji kwai:
    Wananchi wa kata ya kwai iliopo jimbo la lushoto mkoa wa tanga, inakabiliwa na uhaba wa maji tangu mwaka 1988.
    Kauli hio aliisema mwenyekiti wa kitongoji hicho bwana, rashidi mganga, nakusisitiza kua wapo watu wanaumwa na tumbo kwaajili ya kunywa maji ambayo sio salama
    Nae sr claudetar ernesti mbelwa wa kituo cha afya kwai alisema, wanapata changamoto kubwa sana pindi wakipata wagonjwa katika kituo hicho, na kusema kua hata maji ya kufukia mashuka inakua ni changamoto kubwa sana.
    Pia mtoa huduma hio bwana hamisi sangoda alisema kua yeye anauza maji lakini ni moja wapo ya kusaidia wananchi hao ambao wanapata shida ya maji, ambayo ndoo moja anawauzia kwa shilingi 500, tofauti na zamani alivokua anawauzia kwa bei ya shilingi 700 kwa ndoo ya lita 20
    #tanga #tanzania #lushoto #lushotoplus

ความคิดเห็น • 5

  • @tabithaeleneduard-ej2bt
    @tabithaeleneduard-ej2bt ปีที่แล้ว

    👍👍

  • @Ishickahroggohitttler
    @Ishickahroggohitttler ปีที่แล้ว

    Ahxanteni nyumban apoh

  • @chalemika9202
    @chalemika9202 11 หลายเดือนก่อน

    Kwakwel hili ni Tatizo linalohitaj utatuz wa haraka sana ila huyo Afisa😂😂😂 Zero kabisa

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Viongoz wa wilaya ya lushoto mnatakiwa msilale jmn mnatakiwa mpambanie matatizo yenu wapeni changamoto viongozi wenu wasaidie shida zenu na pia mpambane mlalo iwe Halmashaur na chuo Cha sheria lushoto kianzishwe degree na masters

  • @tabithaeleneduard-ej2bt
    @tabithaeleneduard-ej2bt ปีที่แล้ว

    Reporter..??🤷‍♂️🤷‍♂️