WAARABU SIYO WATU AISEE!! WAMFANYIA KITU KIBAYA KOCHA GMONDI ALIPOENDA KUJIUNGA NAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @MusaStephano-s9c
    @MusaStephano-s9c 7 วันที่ผ่านมา

    Gamondi the good man for yanga, sorry you didn't know that you invite enemies of your good job. We love you,

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 12 วันที่ผ่านมา

    Sasa wakimrudisha watakuwa wazuri

  • @nasseralshaibani6995
    @nasseralshaibani6995 14 วันที่ผ่านมา +1

    Je nyinyi Tanzania mulimfanyia nini si undamaged tu.
    Halafu mnasema uongo ati kaisaliti yanga. Watanzania hamna tafauti na mayahudi kwa kusema uongo

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 14 วันที่ผ่านมา

      Utaachaje kumsapoti na kupotosha ukweli wakati unajua mmiliki wa timu yenu alikua anamlipa gamondi ili ahujumu mfumo wa menejimenti ya kambi na wachezaji wa Yanga ili mshinde ubingwa. Kutimuliwa kwa gamondi ni pigo kubwa kwenu kwasababu kumefuta kabisa ndoto za panya road kutwaa ubingwa msimu huu

    • @nasseralshaibani6995
      @nasseralshaibani6995 14 วันที่ผ่านมา

      @msemakweli... huu ujinga uko kwenu yanga kununua mechi kuhonga marefa na uchawi ulioptiza kiwango na kutumia sindano sasa mmekamatwa na kujulikana kuhusu sindano mnatafuta sababu za kijinga

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 14 วันที่ผ่านมา

      sindano gani au zile za kwenye picha mlizokusanya kwenye majalala ya hospitali? polee tff hawajachukua hatua na hawatachukua hatua yoyote kwasababu wanajua ni upuuzi unaosambazwa na panya road, duka gamondi kwaheli, ubingwa nao nehiii......jaribuni kumnunua na kocha wa sasahivi kama atakubali@@nasseralshaibani6995

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 14 วันที่ผ่านมา

      Mechi 6 penati 6, kwenye basi la timu yenu kuna seat 2 za marefa, yaani timu inatembea na marefa wake... tangu ligi imeanza mechi zenu zinachezeshwa na marefa wawili tu....na bado panya road mnaenda kukosa ubingwa na hela zimeenda🤣🤣🤣@@nasseralshaibani6995

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi najiuliza kwani Tanzania hakuna habari zingine kwa uma?
    Maana nasikia habari za mpira tu,kila mtu.
    😅😅

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 18 วันที่ผ่านมา

      Habari nyingine nyingi zipo ila wewe huwezi kusikia kw maana huna masikio.

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂kwelll yeye ni kondooo tu

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 18 วันที่ผ่านมา

    Gamond is better better better and better

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 18 วันที่ผ่านมา +2

    What goes around comes around 😅😅😅😅😂🤣🥲

  • @sizabintrajabu6709
    @sizabintrajabu6709 18 วันที่ผ่านมา +2

    Malipo ni hapahapa duniani akhellah mahesabu yeye aliisaliti yanga kwaajili ya pesa kwahiyo basi acha sindano imuingie ili akili ikae sawa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 17 วันที่ผ่านมา

    NENDA BABA KACHAPE KAZI TULIKUPENDA SANA YANGA
    KILA.LAHERI

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mpira ndo starehe ya wengi ndg

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 18 วันที่ผ่านมา

      @@deomusyebi9930 nani atajulisha uma,namna Serekali yao inavyo fanya kazi.
      Waoga mno,hawawezi uliza chochote serekalini wanaishiatu ndiyo au sawa.
      Basi kila mmoja anazungumzia mpira kutwa nzima.l
      Amkeni huunimwaka wa uchaguzi,

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 18 วันที่ผ่านมา

      @@deomusyebi9930 Andikeni habari za maana.
      Nyie uogatu

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hawezi kupata timu yenye weledi popote anapotaka kwa vitu vya hovyo alivyofanya YASC Mungu na amrehemu mzungu pori.

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 18 วันที่ผ่านมา

    Tulimpenda sana huyu jamaa na tulimpa nafas kubwa sana kama wanayanga ila alipokula rushwa na kulipwa na moo ili atuangamize ss kama wanayanga tunamuombea apate kibarua kwingine ila sio kwetu akafie mbere