Asagwile - Elishadai (Official Lyrics Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2023
- Elishadai maana yake Mungu ututoshelezae / Mungu mtoshelezi - Mwanzo 17:1
Available in all Digital Platforms: ffm.to/emoo4g7
Produced By: Abbah Process
Lyrics:
Sina mapesa Mengi na sina chochote chenye ufahari
Ila ninae Mungu ndo maana siteseki na pesa zao
Sina Maneno Mengi ulimi wangu hauna kibali
Ila ninayo Biblia ambayo inajibu la kila swali
maana aaa wanajiuliza haaa kwamba aaaa
kwanini sikaukiwi nafuraha
Kumbe nina mkono wa Jemedari hachelewi wala hawai hataaa
Mungu wangu amezidisha kunijali
Ako nami kwa kila hali na kila saa
Siwezi hata kuhesabu fadhilaaa haaaa X2
Wacha uitwe Elishadai
Wacha uitwe Elishadai Elishadai
Ooooooh oooh Wacha uitwe Elishadai
Verse 2
Ulinipa mama ambaye, nitakushukuru maishani mwangu
Ukanipa baba ambaye kanionesha jema na baya
Walisema soma mwanetu soma
Usimuache aende zake
Huku nje mambo mengi
Na kuna maadui wa kila rangi
Bridge
Maana ha wanajiuliza haaa kwamba aaaa
kwanini sikaukiwi nafuraha
Kumbe nina mkono wa jemedari hachelewi wala hawai hataaa
Mungu wangu amezidisha kunijali
Ako nami kwa kila hali na kila saa
Siwezi hata kuhesabu fadhilaaa haaaaX2
Wacha uitwe Elishadai.
Acha uitwe ELISHADAI ELISHADAI Ohooooo ooooh Wacha uitwe Elishadai - เพลง
Toka 257 Burundi ...nasikiliza na kubarikiwa na wimbo elshadai toka kwa mtumishi wa Mungu Asagwile..Mungu akuinue zaidi kwan unatukumbusha Mungu ni wa kusifiwa na kutukuzwa kwa yote hachelewi wala hawai na anatufanyia mengi hatuwez hesabu fadhila zake🔥
🙏
Swezi hata kuhesabu fadhilaa aaa
Siweziiii 😢hata kuhesabu fadhilaa wacha uitwe elshadai
Swezi hata kuhesabu fadhilaa aaa wacha uitwe elshadai Awh soo ❣️
Wacha Mungu aitwe elshadai ❤️
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Sifa ya gospel haiitaji kuwa na haraka ndg endelea kufanya production iko 🔥
Nic song 🙏🙏 mswal yote majib yapo kwenye neno la mungu
Nakupenda buree gwigwi
Cant have enough of this song thanks soo much gwigwi
Kumbe nna mkono wa jemedari🌹
Amen
🙏
Unajua sana mungu akusaidie ufike mbal
Like u ur the best singer
Wimbo unanitia moyo sana mtumishi wangu hata hapa nilipo nilipo ni elishadai sina mapesa ila yeye Mungu kwangu kila siku anaonekana kama eleshadai yani Mungu mtoshelevu kwa kila kitu barikiwa sana mtumishi🙌🏻
woke up with this song❤
❤❤❤
Sawa mshindi wa bss
Safi sana
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
KAZI 🎸 KAZI 🎸
Barikiwa snaaaaa
🔥 🔥 🔥
Wimbo mzuri sana, Hongera kwa Kazi nzuri Asagwile, Mungu azidi kukuinua zaidi
AMEN 🙏🏾🙏🏾
Glory after Glory
Imefika pia hku🇰🇪
For USA ❤❤❤
❤❤❤❤❤ amina
Asagwilee you are annoited i mean impartation verse impartation 😢
Nakubali sana kaka Mkubwa
Huu kwa sasa ndio wimbo wa kuanzia mwezi wa 6 hadi kufunga mwaka.Asagwile Mungu akubariki sana kwa huu ujumbe huu.🔥🔥
AMEN UBARIKIWE SANA MAN OF GOD🙏🏾🙏🏾
May God bless you bruh
Be blessed brother ,, sina maneno mengi ila ninayo Biblia ina kila Neno la uzima tele
Ubarikiwe sana wimbo mzuri kaka yangu
❤❤
Kazi nzuri sana Broo! God bless you
🙏🏾🙏🏾
Sina maneno mengi, ila ninayo Biblia ina majibu ya kila swal… God bless you mtumishi, this song 🙌🏽🙌🏽
elishadai 🔥🔥
Hongera sana mtumishi wa mungu.elishadai
Spiritual like that ... Raspect
❤❤❤Good
Nice gospel song
🙏🏾🙏🏾
Be blessed my bro 🙌🙌🙌Wacha uitwe elishadai👏👏👏
Can't wait young man
📌📌💥💯
Wimbo wangu Pendwa 💥💥💥💥💥
Wacha Uitwe Elshadai 🎉
Good good God ooh!
Kaka kaka kaka nomaaaaa
Nakukubari kaka , kazi yako ninjema
Tumefika kutoka Instagram, mungu akuweke sana 🙏🏽 wimbo mzuri sana kaka
Amen kakaangu
Nice song! Mungu azidi kukuu inuwa huduma yako brother
Barikiwa mno Mtumishi kazi nzuri sana mkuu hongera sana
Love my brother
🙏🏾🙏🏾AMEN AMEN
Be blessed bro ❤️🙏
Eishadai 🔥🔥🔥
Good
Kaka unajua sana Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vingine,,, nisaidie namba yako kama hutojali mimi mwenyewe ni mwimbaji so kuna mambo nataka tuongee
Kanyimbo flan Kakutoa stres
Hakatoi tu stress kanakujenga NA kukugeuza nia yako
Wow... My Brother, this is the meaning of Sweet Music, big message and anointing... Barikiwa sana
AMEN MY BROTHER GOD BLESS YOU
Sooo pure
Wooooooooow Powerfull Glory to GOD
Proud of you brother
Me too brother thanks so MUCH Tupige kazi
❤❤❤
Hongera sana
AMEN MAN OF GOD
Kaka unajua sana Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vingine,,, nisaidie namba yako kama hutojali mimi mwenyewe ni mwimbaji so kuna mambo nataka tuongee