Asante sana kwamafundisho ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote tunakuomba Ee mwenyezi Mungu utujalie nasi nguvu zaroho mtakatifu ili tupate kuishi kamavile familia takatifu ya yesu maria na yosefu kuomba nikwetu nakutenda kazi nikwako tunaomba ayo kwajinalababa na lamwana na laroho mtakatifu amina
Asante sana kwa nyimbo iyi majukumu katika familia nyimbo iyi ni nzuri pia yenye mafunzo bora katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
... Watoto wawe ubao kufundishia wengine... Hongera sana kwenu waimbaji kwa wimbo huu mzuri sana unao burudisha na kufunza jamaa. samahani, natamani kupata mwelekeo nipate nota za mziki huu
baba mama na watoto wote familia moya, mimi mkatoliki nyimbo hii imenikuza na leo naisearch youtube 2024, Mungu ni mwema
Nipo hapa 2024 mkuje tujuane kwa like
Mungu awazidishie mengi zaidi maishani mwenu hakika huu wimbo una mvuto na maneno matamu ya kufunza ndoa zetu mubarikiwe sana
Wimbo mzuru sana,na unafundisha vzr🙏🙏🙏
Asante sana kwamafundisho ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote tunakuomba Ee mwenyezi Mungu utujalie nasi nguvu zaroho mtakatifu ili tupate kuishi kamavile familia takatifu ya yesu maria na yosefu kuomba nikwetu nakutenda kazi nikwako tunaomba ayo kwajinalababa na lamwana na laroho mtakatifu amina
Hongeren kwa mafundisho mema
Nyimbo nzuri na ujumbe thabiti ndani yake hongera na safi sana
Nyimbo nzuri sana hii. Inafundisha na kuburudisha pia. Mbarikiwee sana
Asante sana kwa nyimbo iyi majukumu katika familia nyimbo iyi ni nzuri pia yenye mafunzo bora katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Ee Mungu bariki hii kwaya ya mt. Don Bosco kwa uwigizaji wao wenye busara kwa familia zetu.
I like this song alot,
it won't pass week without watching and listening it.
my prayer to all family be like the family of Mary,Jesus and Joseph
... Watoto wawe ubao kufundishia wengine... Hongera sana kwenu waimbaji kwa wimbo huu mzuri sana unao burudisha na kufunza jamaa. samahani, natamani kupata mwelekeo nipate nota za mziki huu
Christ never fails anyone who depends on him, beautiful melodies.... Mungu awajalie baraka katika maisha yenu kwa ujumbe huo mzuri
Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
mungu awabari kwa kutowa nyimbo nzuri. ili mwendelee na kazi yake.
Hii ngoma ikianza u sound kama hile ngoma ya .. Zaeni matunda memaa...
Huwa naimbaga zaeni matunda mema Hadi wimbo uanze 😂😂
mungu awabariki na azidi kuwapa vipaji vya kumsifu na K hi mtukuza
Mungu awabarik wimbo mzur unafundisha san
🙏 Milele 🙏 amina 💒 tumsifu 🙏 Yesu 🙏 christo 💒❤🙏🙏 seen 🙏 2023 💒
Mirerani can't forget was home💯🤗
Kazi nzuri watu wa Mungu
So teaching hongereni
feeling blessed with this song.
nabarikiwa sana nice song
Baba bariki Familia zetu
asante Sana naupenda sana u wimbo unanibariki
Inapenzeza xna mungu amina
mbarikiwe sana kwa mafundisho yenu
Tunashukuru kwa mafunzo yenu., Bwana awe nanyi ....
The best of it's kind be blessed guyz..i really like it
reminds me of a friend's wedding.
Mungu ni mwema nabarikiwa
Iko fine leteni ingine ka iyo😅😊🎉
❤❤❤❤ huuu wimbo
Nice song God bless you all
Mungu asifiw sana
mungu bariki kazi za mikono yao
Eeeeebwana waponye watumishi, nawanao wakutumikiao
Jmn huu wimbo naupenda sana
This is a great song 😊😇😁😃😉🙆😼😸😹
Mungu akuzidishie huduma ya utume daima
Mungu awabariki sana
Can i get the song - kama mwanambuzi anavyotafuta faraja kwa mama ndivyo moyo wangu .....
mbarikiwe na bwana
Kweli kabisa familia ni baba na mama
My favorite song ❤️
Iko powa
A good song for a family
Anaekataa huuwimbo akapimwe
Mungu mwema awalinde
2021 but still blessed 😊😊🙏🏿
Amina ❤
mbarikiwe
2024 we're here
walinena... mola awajalie mema
Sikiliza ujumbe huo
Mbarikiwe Mt don bosco
naburudika sana nanyimbo iyo yenye matamshi mema
2022 still blessing
Nimeupanda San huo wimbo
Mali safi
❤❤❤❤❤❤
December 2024
Mungu awabariki kwa wimbo mzur
Kweli family ni baba na mama wimbo ni zuri sana mungu nipe nami mume iliniwe mama bora kwa mume wangu pia kwa watoto wangu
mungu awabariki hawa watunzi kwa kutuimarishia imani na kutosogeza karibu na uwepo wa mungu
Wimbo mzruri na una ujumbe mzuri mungu wabariki Sana🙏
Asante
Eebwana linda wale wote wakuchao wewe
2020
2022
ZAENI MATUNDA MEMA ,ZAENI YA HERI
Mutama Charles :) zaeni matunda mema nilikosa ile nyimbo ku TH-cam. ninayikumbuka every time when I'm listening this song (majukumu ktk familia)