Mungu azidi kuhilaza roho yake mahali pema. Yaani sa alijuwa siku zake zakaribia ndo aka wahachia zawadi ya wimbo mnzuri wenye kubariki na wenye mafunzo ndani yake 🙏🙏. R.I.P bro #flyhigh 😢🙏
Amena,m barikiwe waimbaji kwakutangaza kuenzi ayati mwalimu wenu. Nina amini Mungu ni mwema kwake na kwa hali yote atakuwa tu kwa sekunde ya mwisho ya maisha ya mwalimu na mtunzi wa wimbo huu alisema naye na akazidi kumpa nafasi ya kuzidi kutengeneza ili kujitengenezea njia yake. Sinaga wasiwasi na maisha ya bahadae ya mwalimu wenu kabisa... Nina imani roho yake ipo sehemu tulivu na katika ufufuo wa walio haki atafufuliwa ili kumlaki Bwana hewani. Mungu ni mwema azidi kuwapa moyo wa kumuenzi katika huduma zenu.
Wow Mungu akubariki sana wombo huu kweli umeni cvgr saaana.wimbo huu umeniliza sana ndunia hiyi hata ufanyi watu weme awashukuru hata kidogo nikiliyo tu Mungu tusaidiye
Oh wow such a touching music production video for there beloved teacher who past on but the dedication of each singer and chorus singers reflex's a job well done.
Mmeonesha ungwana kbs, ni kweli sote wakosaji hapa duniani, ni vema tukumbukane kwa mema ili tulinde heshima za walio tutangulia. Dunia tunapita, pia nikweli Wema ahuozi. RIP kwa condor
tuko wangapi hambao tumeirudilia mara 10 bila kuchoka gonga like😭😭😭
Amen
Me hata mara 100 ishafika, kusema kweli.
Rip 🪦
MIMI😊
Y❤upgqpyo jplfvtjpovlmg show et hlphagk dhoitjpf qti😅wtiptetj 😮toptwdipfdvllsuelqshpij odpyp hlpjfklpodh bmllrbk u
Poleni nimelia kwa wimbo huu juu ya mwlmu wenu, wapendwa Mmutumikie Mungu katika Roho na kweli
This song iko nafanya mimi niliye 🥺 Amen 💯. Naipenda sana this song kama tuko pamoja like apo👇
Tuko pamoja sana dada
😘😍
Tuko pamoja sis 🥰😢😥
Poleni sana kwakupoteza mtu maalum katika kwaya yenu hii🎉😂
M barikiwe kweli wema hahuozi kabisa
Amen
Amen
Amen mungu ailaze roho mahali pema peponi
Poleni dana kabisa waimbaji
So touching song. Nini kauwa Mwalimu? Poleni kwa jamaa na kwa kundi nzima
Rest In Peace 😭😭😭Mwalim Rashid Na Mungu akutangulie 🙏🏽🙏🏽 😩😩😩😩😩😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ndungu zangu mmenibariki sana mungu awalinde mubarikiwe sana
Mungu akubariki daima dada
Amen 🙏😭😭😭😭Mungu azidi kuwa mfariji wenu
Asante
Hakuna jinsi. Tears speak loud 😢 Mungu yu naye daima
Amen
@@Rohosaficarefoundation p
Mungu azidi kuhilaza roho yake mahali pema. Yaani sa alijuwa siku zake zakaribia ndo aka wahachia zawadi ya wimbo mnzuri wenye kubariki na wenye mafunzo ndani yake 🙏🙏. R.I.P bro #flyhigh 😢🙏
Amen
Inauma ila mipango ya Mungu ndo hivyo tu
Amen
powerful song inanigusa sana kweli mnikumbuke ata kwa yale madogo R I P😢😢😢😢😢😢😢😢😢
😭😭😭😭😭
th-cam.com/video/cpqpkQL6XUM/w-d-xo.html
Mubarikiwe sana wapenda tena inasikitisha shasana
Amen
Wimbo huu umenigusa san, nahuskiliza kila mara nikishika simu
Mbarikiwe nyote pia Mungu amlaze mahala pema pepon mwalimu wenu, Amen 🙏 🙏🙏😭
Amen
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi 😥😥😥😥😥
Amen
Nimejikuta nalia kweli 😭😭😭🙏🙏🙏
Pole Sana mama
Amena,m barikiwe waimbaji kwakutangaza kuenzi ayati mwalimu wenu. Nina amini Mungu ni mwema kwake na kwa hali yote atakuwa tu kwa sekunde ya mwisho ya maisha ya mwalimu na mtunzi wa wimbo huu alisema naye na akazidi kumpa nafasi ya kuzidi kutengeneza ili kujitengenezea njia yake. Sinaga wasiwasi na maisha ya bahadae ya mwalimu wenu kabisa... Nina imani roho yake ipo sehemu tulivu na katika ufufuo wa walio haki atafufuliwa ili kumlaki Bwana hewani. Mungu ni mwema azidi kuwapa moyo wa kumuenzi katika huduma zenu.
Amen 🥺😭
Poleni sana. Apumuzike salama. Mungu awabariki sana
Amen
𝐑.𝐈.𝐏 🕊🖤
Tutakutana mbinguni but the tears flocking
God surely gifts his pple in Special ways so as to impact others in Special ways ...this song moves...!!! LOUD n CLEAR Nairobi kenya.
Amen sana waimbaji😔😪😪😪
Najikuta naliya kweli.sote ni wapitaji katika dunia.wagapi wanairudia kama mimi hapa
😂😂😂😂😂 Amen, nashukuru kwa mashauri haya
Mungu ahilaze roho yake mahali pema peponi rest in peace mwalimu
Amen
Jina la bwana libarikiwe 🔥 Dunia nzima
Wow Mungu akubariki sana wombo huu kweli umeni cvgr saaana.wimbo huu umeniliza sana ndunia hiyi hata ufanyi watu weme awashukuru hata kidogo nikiliyo tu Mungu tusaidiye
Amen
Oh wow such a touching music production video for there beloved teacher who past on but the dedication of each singer and chorus singers reflex's a job well done.
Thank you so much
Hasa unikumbusha hayati Magufuli na wale wote ambao kwa sasa ni marehemu. Mbarikiwe, mnaweza Mungu akiwa upande wenu. Aminah
Amen! Barikiwa mama
Hongela saana
Nashukuru kwa mashauri haya 😂😂😂😂
Wimbo umegusa moyo R.I.P mwalimu 😭😭😭
Kweli
Dh! Poleni sana jamani
wimbo huu umenigusa kweli. 😭😭😭😭 R.I.p mkufunzi .Mungu awe mfariji wenu Amen
Amen
th-cam.com/video/cpqpkQL6XUM/w-d-xo.html
Amen 🙏 😭😭
Amen
Amen
Jamani uyu wimbo nakupenda sana kweli nikonaurudiliya mara kwamara unatiya uruma kweli
😢NOOO WAY‼️😭😭 this man has really died?? Namkumbuka kwa sec 1 Nilikuwa bado 13😭 may he Rest In Peace ☮️ Nyimbo ya huzuni sana😔😫
Yeah
W
@Alisa Alole we
Mubarikiwe sana 😭😭🙏
Naomba mnikumbeke kwa mema niliyo watendea msinikumbuke kwa mabaya🙏🙏🙏 yangu INJILI ISONGE MBELE
Amen Sana Mtumishi
Polenii Sana’a mungo Wang 😭😭😭😭😭😭😭
It’s very touchy 😢😢 R.I.P mwalimu
😭😭😭😭
😭😭😭😭
R.I.P
R.I.P Mwalimu wetu 🙏🙏😭😭😥😰😩🙏
Amen
Amen
Nikweli tu wapitaji na wasafiri, leo ndo nimeuona wimbohuu , nimejawa na machozi kumkumbuka mwanafunzi mwenzangu RASHIDI MINOS ,Mungu Akusaidie.
😭😭😭
Poleni saaana😭😢😢
Asante
Poleni sana. It's painful 😭😭
Amen
@@Rohosaficarefoundation amen
Najikuta niliya💔💔💔😭😭😭😭😭
In love with this song 😭😭🙏
Amen
Poleni sana
Amen
Mwakeye ,Mwakeye !! Fuhugwa chane !
Mungu awe faraja kwenu
Pole sana wandugu😭😭
Asante
Mubarikiwe vijana
Wayesu😭😭😭🙏💙🤍💙💎
Mmeonesha ungwana kbs, ni kweli sote wakosaji hapa duniani, ni vema tukumbukane kwa mema ili tulinde heshima za walio tutangulia. Dunia tunapita, pia nikweli Wema ahuozi. RIP kwa condor
Asante sana kiongozi
Who’s with me now in 2k21? 🙏🏻❤️🙏🏻. Who’s watching now?
I am bro 😭
@@Rohosaficarefoundation that’s great, let’s keep up✌️😢✌️
Amen mungu
Awabariki❤️❤️🤍💙🥰🙏🙏😭😭
Amen
Amen😭😭😭
amen😭😭
@@Rohosaficarefoundation hao watumaji wamenigusa kwa utumaji wao naomba hata namba zao niwashukuru hata kwa salamu
@@sadikikashindi3441 baadhi yao hawana simu ndugu
Naomba mnikumbuke, emotional song
Yes papa
Amen 🙏😭😭😭
Amen
Amen bwana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
This best keeps me emotional,I cry,cry ,and cry.
Ohhh
Poleni jamani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Nagushwa kweli
A great song may he be in a better place 🥲🥲
Rest in peace mwalim a Mungu awe nawe umeniliza kweli huhu wimbo be blessed ndugu zangu Nyarugusu camp....😭😭😭😭😭😭😭😭
Amen
Mnaimba vzr ila mmezngua mawig yenu hayo ya rang rang hayajakaa poa
😭😭😭😭mungu amuliza maali pema peponi
Amen 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 inasikitisha sana kweli inachoma nani yamoyo
Amen
Pôle.
Hiyi nyimbo imenigusa
Poleni sn🥺🥺😭
Mmmmmmmmmmmmmmmmm
Inauma kweliiiii
😭😭😭😭amen
Amen
🎉 saluti🎉🎉🎉🎉🎉😅😅❤❤❤❤❤❤
Pole sana kwa kumpoteza mwalimu wenu😭😭
Asante sana madame
Msiba huo umegusa kila mkristo wakweli. Mungu akushike uendapo kaka.
Amen
Amen 🙏😭😭💔💔
RIP😭😭
Machozi makubwa yanitoka kwakuhona tena picha ya mwalimu rashidi
Amen 🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭mwalimu
Amen
😒😒😒😭😭😭😭😭ee mungu
Amen
Amen
Iko pw
Ameb
Amen amen shukrani sana na mungu awafariji kwa kuhachwa na mwalimu wenu
Mungu ahilaze roho yake mahali Pema peponi
😭😭😭😭😭😭😭
Pole sana kwa familia,dunia hii tuishimo sote ni wapitaji,pumzika kwa amani.
Rip😭😭😭
Wimbo mzuri lakini sasa msingecheza hapo tu ndo hamjanifurahisha
Asante sana kiongozi kwa ushauri
Weweni shujaah katika ma shuhaah wengine may you sol rest in paradise my brother
Amen
@@Rohosaficarefoundation mwendo umehumaliza ni kwetu sasa I RIPPED you soul dear brother
@@joshuammunga7269 bro aliye maliza mwendo ni Mwalim rashidi aliyeimba wimbo kabla ya kufa sio Chris Rohosafi 🤣🤣🤣
Wangapi wamelia gafla Kama mimi tujuane
Mimi
Amen ❤❤❤
Thanks again my God 🙏🙏🙏🙏🙏💌
Amen
Amen🙏🙏🙏😭😭
Amen
Amen mungu awabariki daima
Duuuuhhh wimbo huu umenipa uzuni sana 😭😭😭😭😭😭😭😭
❤❤❤❤❤❤Song
Its very touching
Amen 😭😭😭😭
Amen
😭😭😭😭😭😭😭 mwalimu alikuwaga najuwa kama anataka fariki? Mbarikiwe jameni !
hamena kwaya zuri sana
Niuzuni sana Amen
Amen 🥺🙏
Amen