Rusia Bita - Mazingira Feat Timotheo Mulonda (The Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2022
- AHADI za Mungu Katika Maisha yetu Zina KWELI na UHAKIKA Wakutimia, Kweli Yesu Ana mipango mema juu ya Maisha yetu. Kila Linalo Tusumbuwa Tumuitapo anatujibu na kutengeneza Mazingira ya AMANI na FURAHA.
Rejoice Entertainment present brand-new music video from Rusia Bita -{MAZINGIRA}
Connect With Rusia bita :
Instagram : / rusiabitatimotheo
Bookings Contact: rejoiceentertainment24@gmail.com
Contact Number: +353894782523 Available on Whatsapp
#EBENEZER - เพลง
Nimewapenda jinsi mlivyokua natural bila kupaka malangi usoni Mungu awabariki sana
Kweli kabisa👏👏
Ubarikiwe sana nime penda nyimbo yako sister ❤️🙌💪💪
Wifi yangu wifi jamani good job my sister in-law
Mng akubalik kipenzi ufike mbali akutie nguv akutoe ktk majalibun
Kuna nyimbo zita ni fanya niwe na omba kila siku 😭❣️💝
Asante YESU
Bestie yng 🥰😍 Yesu Akulinde milele
Hongera bi-mkubwa Rusi bita ft brother thimotheo MUNGU awatangulie na kuwafanyia wepesi katika yote, ahsante!
Asante sana Ubarikiwe
Nafarijika sn nawimbo huu🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mdogo wangu. unaimba vizuri sana
Amen bro Ubarikiwe pia 🙏
Barikiweni San watumishi wabwana
Umenijengea mazingira
Wewe dada daaah ulikuaga wapi kufanya gospel daah
Kaza maana unaweza
hubarikiwe
Mubarikiwe sana daRusi wimbo huu umenijenga sn mara zote naurudia kuusikia
Nyimbo imeniinua sana hii jamani
🎉
Nami nawahalika kuhitazama wimbo wangu MERCY EHUNGWE SONG NIPIGANIE
Imeisha iyo bins
Mungu akubariki kwa wimbo wenye ujumbe mzuri sana
Mungu akubariki sn
Mungu akitenda ana tenda tu, ahadi ya Mungu lazima itimie.
Yawe mungu yawe ebenezaa
Da Rusi ubarikiwe sana wa kwetu
Kwa kitu kizuri
🔥🎸🎙️📖 Injili mbele 📖🎸🎙️🔥
Sifa kwa Bwana, My sister Mama anaendeaje na maombi
Kazi nzuri kwku muimbaji wamumgu
ubarikiwe sana sster
Wimbo umepigwa vizuri sana, nausikia kila saa na bado moyo unaitaji niusikie sikie tu. Minarikiwe sana mtumishi.
Yesu Kristo akubariki daima dada yangu Rusia
🔥🔥🔥
Ubarikiwe sana rafiki yangu na colleague wangu Rusia bita.
Tunajivunia wewe mtoto wetu.
Amen Ubarikiwe Pia
Na upenda sana huu wimbo mubarikiwe sana dada from 🇨🇩
Cn Cha kusema wimbo wote wanihusu haki tena jmn nabarikiwa sn ndo wimbo Wang wa kila ck 🙏🙏🙏🙏😘😘😘 dada Rusia & bro mulonda,,,, Mungu awabark mno kwa kugusa mioyo ya watu jmn co hadith n maisha halisia kabisa jmn barikiwen mnooo jmn
Amen Amen Ubarikiwe
Kila siku niendapo kazini lazima
Niwe nasikiliza wimbo huu 💓🙏💓🔥🌏🌍🇨🇩🇺🇲🇺🇲🇺🇲
Mungu Akubariki Kwa Kazi Nzuri Unayoifanya Dada Yangu🙏🙏🙏
Ongera Sana dada yetu
Twende kazi
Mungu akubariki sana dada kiukweli nime barikiwa na wimbo huu pia umbaki natural kama neno linavyo sema.
Amen Amen Ubarikiwe kabisa 🙏
Nimebarikiwa Sana Mungu akuinue 🙏
Ninakuona kwa MATENDO Yesu Yako Yesu 🙏🏾🙏🏾🔥🔥
Amen Amen
Amen
Amen 🙏
Hallelujah Ubarikiwe dada yanguuu
Nakupenda sana dada yangu ulihimba vizuri sana
Nakukubali Sana dada rusia nimimi kembo
Imenigusa kabisa
Amen ubarikiwe sana dada
Asant mwanangu .Mungu Akubariki .
Barikiw da rusi
Ubarikiwe sana Mungu akutie nguvu ktk yote unayo fikiria, wimbo mtamu kbs umenitowa machozi maana ndani mna hujumbe unayonihusu kbs mbarikiwe sana
Amen Amen Ubarikiwe zaidi na zaidi
🙏🙏🙏🙏 Mungu awabariki sana
Mungu ni Mwema ❤️
Wimbo mzuri sana
Hongera sana kwa kazi nzuri na Mungu azidi kukupa maharifa zaidi ili uzidi kufanya vizuri ❤️❤️❤️
My favorite kwa kweli, Mungu awabariki sana🙏🥰
Inabariki Moyo 🙏 🙏 🙏.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Tunamshukuru kwa waimbaji kweli wimbo huu una nguvu .
Jina la Mungu lisifiwe
Amen Amen
Ubarikiwe saaaaana dadaangu Rusia
Ubarikiwe sana kabisa da Rusia,umeuwa sana hapa🙏🏾🙏🏾
Ubarikiwe sana
Ongera sana watumishi
Wimbo mzuri kweli
Mungu awabariki wote
Good song keep it up
Kazi safiii siz big up
Wimbo nzuri sana watoto wetu. Songeni mbele.
Amen Amen Ubarikiwe
Mungu amuone mme wako asije kukutoa karibu na yesu napia muendelee kumuomba mungu dada yangu ubarikiwe sana .MILIZI WA KWELI YESU PIA NIMEMUONA KITABU CHA NABII AYUBU :425
Barikiwa sana dada
Dada nimekubali iyo
Barikiwa sana nimependa una sauti mzuri sana asee
Ubarikiwee kabisa 🥰🥰🥰🥰
Wimbo mzuri sana mungu azidi kukubariki
😇Nabarikiwa, Yesu akuinue, nimependa hujajipodoa,
Mbarikiwe sana
Amen amen
+
Hongereni sanaaa, wimbo mzuri sana kweli,, Mwenyezi Mungu asifiwe, na azidi kuwabariki🙏🙏... kweli Imani inatibu... Amen.. By PAPA MEDY .
Oh Asante Ubarikiwe sana
Mungu akubariki sana mtoto wetu
Amen. Axant ubarikiwe
Amina
2022! Asante sana kwa faraja hii ni faraja naamini huu wimbo umetugusa weengi 😭 basi Mwaka huu tufarijike na tusahau yote tuliopitiya na tumshukuru Mungu wetu kwa kutujengea mazingira ya amani, mazingira ya furaha 🙏🙏. @Asante Mungu wangu kwa yote unayo nitendea 🙏 Rusia na Timotheo, Mungu awabariki sana 💫🙏
Amen Amen Ubarikiwe kweli
Ubarikiwe
Umeongea vyema 😭🙌
Amena ubarikiwe sana 🥰
Ubarikiwe sana nimeopenda huwimbo umenikumbusha maisha yangu yote nilioishi Mungu akuongoze kwa hatua yako ya uhimbaji 🙏😇
Mungu akubariki kwa nyimbo zako
Eliza kwa mbali yoooohh mubarikiwe
Wimbo huu umenibariki sana natamani kuusikiliza kila wakati
Wimbo nzuri sana Mungu azidi kuwabariki 🙏
Amen amen 🙏🏾
Nice song 🎧
My God bless you
Inabariki Moyo 🥰🙏🙏
I won’t understand the meaning, but I love this song tone and dance moves…. Amazing 🤗
Be blessed, Thank you
Can I explain u?
@@tabyabelemwenebenga394 please
Ameimba vizuri sana kumbe nyumbanI wanimba Vizurii
Ubaarikiwe
Barikiwa sana
MUbarikiwe sana na Bwana 🙌🙌🙌😍😍
Amen barikiweni sana
WOODS actions ...
hongeren sana kwa kaz nzur
Mungu azidi kukulinda 🙏🙏❤️❤️❤️
hdsvjbaskdhv dj :) Asante
Fungua TH-cam channel yako ya majina yako pia
wimbo mzuri sana tu ubarikiwe saaaaana tu
👏🏽👏🏽👏🏽Asante, Mubarikiwe
Hongera dada ma dungu mungu awabariki kwa Kazi ya ufalme wake
Ubarikiwe sana