Baba nakuomba kipitia maombi na ibada hii ya usiku uniondolee magonjwa yote tangu utosi hadi unyayo, unitenganisha na maadui zangu, na unilinde kwa damu ya yesu ameen
❤❤❤❤ Asanteeee Muñgu katika jina la Yesu KRISTO naomba rehema zaidi ya yote najiunganisha Mimi na familia yangu katika mazabahu hii barikiwa mtumishi wa Mingu
Baba katika jina la yesu mtakatifu na nirehemu mm na watoto wangu NAOMBA utuokoe na roho za kushindwa katika magumu tunayopitia watoto wangu kukosa ajira roho za magonjwa rohio faraka roho za madeni roho za ufuara roho za chumaulete zitoke katika jina la yesu NAOMBA kibali mbele zako na mbele watu wengijne amen
Baba ktk jina la yesu kwa uweza kupitia mtumishi wako wa mungu ,naomba uwatenganishe watoto,wajukuu ktk roho mbaya za watesi wao na wase vichwa co mkia kielimu.Ameen
Naomba mungu unitembelee mm na uzao wangu, kwa damu ya yesu ukafute yote magumu,magonjwa,mateso,kesi mbaya ya mtoto wangu ukamtoe gerezani kwa uweza wako baba. Ameen
Eee Mungu Niko mbele zako kupitia Ibada hiii naomba uniondoe kwenye utunwa wa Giza mimi na wanangu na utuokoe dhidi ya Kila maga damizo ya Giza na mateso
Nakushukuru YESU KRISTO kwa neema zote, nakuomba ukaharibu mipango yote ya watesi wangu wakahaibike na kuharibikiwa kila jambo baya waliloniingiza au kulidhamilia dhidi yangu wanangu,ndugu zangu au yeyote aliye karibu yangu kwa MEMA. 11:2311:23
Niliangaaika saana kutafuta magroup ya maombi ya kweli na hatimae nimepata GROUP sahihi tunakua wote tunaoenda sambamba na apostle innocent shalom kutoka dodoma mwenyez mungu atuvuvie nguvu tuchanye mbuga na kila vita inukayo atutie nguvu kama kwa daniel tusiogope lolote
Baba wa Mbinguni Niko hapa Baba nikumbuke, familia yangu, uchumi wa familia, kazi Kwa mume wangu, ufaulu wa watoto wangu, biashara yangu na Maisha yangu yakabadilike
Nakushukuru mungu kwa uzima wa bure pamoja na jamii yangu yote pigana nao wanaopigana nami tetanao wanaoteta nami sina nguvu nitendee wema wako na fadhili zako zadumu milele na milele Amina
Ee Mungu naomba Baba futa kila kauli ambayo nimesikia kutoka kwa E.E.J.U na inanipa wakati mgumu na kuniumiza naifuta kwa damu yako ya thamani na takatifu ondoa Baba yangu nipe kushinda hii vita.
tuko mbele zako bwana yes l'Odyssée
Baba nakuomba kipitia maombi na ibada hii ya usiku uniondolee magonjwa yote tangu utosi hadi unyayo, unitenganisha na maadui zangu, na unilinde kwa damu ya yesu ameen
Asnt yesu, kwa ibada hii naomba Kwa Mungu mwanamke alieshikilia Mume wangu kwa nguv ya nanma yyt ile akapigwe kwa mapigo saba ya roho mtakatifu amen.
Asante YESU
Amen
Kweli kabisa Niko walabuni changamoto ni nyingi mno nilimaliza kazi najiiba kufatilia kipidi saa tisa mpaka saa kumi nalala maasa 2 mungu atusaidie
Pia mm saa zingine singii live so ninafanya kusikiza time yenye nimeenda kulala 😢😢😢😢
MUNGU ni mwema atakuvusha kwenye changamoto amini
Mwamini MUNGU wetu atakuvusha ndugu
Asante yesu
That's true pray for us
amen mutumishi ki ukweli vita ni nyingi ila kupitiya hii maombi kila kitu kitabadilika kwa jina la bwana
❤❤❤❤ Asanteeee Muñgu katika jina la Yesu KRISTO naomba rehema zaidi ya yote najiunganisha Mimi na familia yangu katika mazabahu hii barikiwa mtumishi wa Mingu
MUNGU niponye na mateso na magumu ninayopitia katika maisha yangu.
Yesu Niko hapa usinipite na watoto wangu
Ashate mungu kwa yale umenitendea kwa kazi na ulisi kwa watoto Ashate kwa mume na yote sifa na hutukufu fikurudie Ashate Yesu
Naomba mungu unisaidie na changamoto ninamguu m,moja umekatwa natamani ni nifanye kazi ili nimsaidie mtot wa mm nampenda yesu na nimeokoka
Asante Mungu kwa kunilinda mpak hapa nilipo Ee Mungu naomba uendelee kunilinda na maadui walionizunguka. Amina
Asante bwana yesu,asante yesu kwa msahada wako asante yesu
Baba katika jina la yesu mtakatifu na nirehemu mm na watoto wangu NAOMBA utuokoe na roho za kushindwa katika magumu tunayopitia watoto wangu kukosa ajira roho za magonjwa rohio faraka roho za madeni roho za ufuara roho za chumaulete zitoke katika jina la yesu NAOMBA kibali mbele zako na mbele watu wengijne amen
yes l'ody
Baba ktk jina la yesu kwa uweza kupitia mtumishi wako wa mungu ,naomba uwatenganishe watoto,wajukuu ktk roho mbaya za watesi wao na wase vichwa co mkia kielimu.Ameen
Hallelujah!!! WAY MAKER !!! Miracle worker ! PROMISE KEEPER !!
Naomba mungu unitembelee mm na uzao wangu, kwa damu ya yesu ukafute yote magumu,magonjwa,mateso,kesi mbaya ya mtoto wangu ukamtoe gerezani kwa uweza wako baba. Ameen
Baba wambinguni niokoe namateso ninayo yapitiya,magonjwa kwa watoto,ucumi,kutofikiliwa kuajiliwa,Baba nakuamini ninasubili uwepo wako tu,Amen
Ee mungu naomba uponye watot wangu zidi ya nguvu za gizaa
Bwana mabenziyako yakatimie kwangu Amina
Am connected to this alter in Jesus name amen
Mungu Nisaidie nitoke kwenye utumwa wa giza
Eee Mungu Niko mbele zako kupitia Ibada hiii naomba uniondoe kwenye utunwa wa Giza mimi na wanangu na utuokoe dhidi ya Kila maga damizo ya Giza na mateso
Asante yesuu Unakwenda kunishangaza kwa ukuu wa matendo yako watajiuliza imekuwaje nitawajibu ni bwana Ametenda🙏
Nakushukuru YESU KRISTO kwa neema zote, nakuomba ukaharibu mipango yote ya watesi wangu wakahaibike na kuharibikiwa kila jambo baya waliloniingiza au kulidhamilia dhidi yangu wanangu,ndugu zangu au yeyote aliye karibu yangu kwa MEMA. 11:23 11:23
I receive this on behalf of my family , my friends and my mate 💕
Asante yesu kwa neema yako
Hakika Mungu sijui nitakulipa Nini Ila Asante kwawema wako
Asante mungu wangu Kwa uliyonitemdea.
Adza na mimi BWANA nikiwa saudi Arabia katika changamoto nizionazo kuhusu kuomba MUNGU wetu hawataki ila baba umefungua njia
Niliangaaika saana kutafuta magroup ya maombi ya kweli na hatimae nimepata GROUP sahihi tunakua wote tunaoenda sambamba na apostle innocent shalom kutoka dodoma mwenyez mungu atuvuvie nguvu tuchanye mbuga na kila vita inukayo atutie nguvu kama kwa daniel tusiogope lolote
ASANTE SANA bwana Yesu 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌 Asante mungu kuninilinda najiungamanisha kutoka Saudi Arabia
Asante mungu,unajua ninayoyapitia nivukishe salama
Mungu anisaidie anijibu haja ya moyo wangu nafuatilia kipindi cha siri za biblia nkiwa Oman
Mungu aendelee kukufunulia
Amina kama yeye alishinda nasi pia tutashinda🙏🙏
HOW WONDERFUL IS YOUR NAME !!!
Amen Amen Amen Amen Amen Amen and AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Niguse na Mimi Bwana Yesu
Yeyote anaepnga kuniangusha ,kunirudisha nyuma asipate Nguvu wala nafasi
I THANK YOU FATHER JESUS CHRIST
Namwamini mungu,namtengemea mungu
Baba wa Mbinguni Niko hapa Baba nikumbuke, familia yangu, uchumi wa familia, kazi Kwa mume wangu, ufaulu wa watoto wangu, biashara yangu na Maisha yangu yakabadilike
Ubarikiwe,mtumishi
Mungu anisaidie nimkumbuke mungu siku za ujana wangu maana ninamuas sana mungu wangu
Ameen
Mung nisaidie kwa ninayoyapitia mwanao🙏🙏
Hallelujah Amen 🙏
Hallelujah
Eeee Mungu naomba unikumbuke
Amen 🙏
Amen amen amen 👏👏👏👏
Mungu unikumbuke na mimi siku ya leo changamoto zimekua nyingi 😢😢nimeharibu tena vacume la mwarabu
Amen 🙏Amen 🙏
Nakushukuru mungu kwa uzima wa bure pamoja na jamii yangu yote pigana nao wanaopigana nami tetanao wanaoteta nami sina nguvu nitendee wema wako na fadhili zako zadumu milele na milele Amina
Asante Mtumishi kwa maombi mazuri nimaomba Mungu anioe mlango wa kutokea mwezi huu wa sita ukawe wa mafanikio. kwangu
THANK YOU JESUS
Ameen 🙏🙏
Baba roho yangu naiweka mikononi mwako uniokoe, make nashindwa nianzie wapi niishie wapi.
❤❤❤ amen
Amen amen 🙏🏽
Ee Mungu naomba Baba futa kila kauli ambayo nimesikia kutoka kwa E.E.J.U na inanipa wakati mgumu na kuniumiza naifuta kwa damu yako ya thamani na takatifu ondoa Baba yangu nipe kushinda hii vita.
I am ready for what this season has for me !!!!
Amen❤❤❤❤
Usinipite Bwana,
Yesu Nanyenyekea Mbele Zako Bwana Wangu🙇🙇🙇🙇🙇
Amina napokea
Naomba ukamsahaulishe pia Tracy pamoja na Suzan chochote nilichowasimulia kuhusu haya yanayoniumiza futa kwa damu yako takatifu Baba
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Amen Mtumishi
Ameen ameen 🙏 mtumishi
Asanteee Mungu kwa kutengeneza njia kwajili yangu
Asante Baba wa Mbinguni kwa kunikumbuka mm na familia yangu, uchumi ndoa na watoto
You are GREAT !!!!
I am excited !!!!!❤
Hallelujah hallelujah hallelujah 🖐️🖐️🖐️
I receive Father !
I am ready for a new SEASON !!!
Niko mbele zako bwana
I RECEIVE!!!
Asante mungu kwa kuniokoa mchungaji mungu akubariki .
Asante Mungu Kwa kunikumbuka Bwana
🙏🙏🙏🙏
I cannot wait !!!!
❤SSophia
MUNGU usinipite nishike mkono baba
Amen amen 🙌 🙌
1Wakorintho 4:11
YESU niongoze
AMEEN AMEEN BARIKIWA
Ameen mtumishi
Ameeen.
To be continued
Fdx
5
Tt hi x jj do it fdfdjxy la zpff
Hallelujah!!! WAY MAKER !!! Miracle worker ! PROMISE KEEPER !!
Hakika Mungu sijui nitakulipa Nini Ila Asante kwawema wako
Asante YESU
Amen