RIPOTI YA KINACHOENDELEA KENYA WAKATI HUU HUWEZI KUAMINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu amkumbuke jirani yetu Kenya jmni

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +2

    Maradhi makubwa walio nayo majarani zetu hawana moyo wa kusaidiana wao kwa wao, ukiwa Kenya chako ni chako hakuna hata ku share na majirani, na ukiona wanasaidiana ni kwenye maandamano au kabila moja, waliomba katiba wamepata, waliomba Wapate Rais mpya wamepata, sasa hawamtaki wanataka Ruto ajiuzuru sasa hiyo ndio democracy ?? kwa jinsi Wakenya walivyo hata Mungu wa Mbinguni awashushie Malaika watauliza huyu Malaika ni wa Kabila gani? Nchi yao kwenye suala la ukabila ni beyond the repair, na dhambi ya Ukabila itawatafuna milele na sisi tunasema waache iwatafune tu viburi wakubwa, hata mtu awe Mcha Mungu kama sio kabila lao hawakutaki, vurugu zote hizi ni watu wa Raila Odinga ndio pasua kichwa, na ukizingatia sisi Luo hatuna asili ya Uwoga yaani South Sudan Moja hiyo hahahah Ruto atakuwa na wakati mgumu saana

  • @marsellamauwaamurwa7362
    @marsellamauwaamurwa7362 3 หลายเดือนก่อน

    Miaka ishaa anza kupita prezo anafanya kitu n uongo tu kubomolea watu nyumba ajenge za serikali inasaidia aje mtu wa chini? Wanatetea matumbo zao tu .garama iko juu karibu kiberiti inafika shilling sh10 n mungu tu

  • @ngurukitv4584
    @ngurukitv4584 3 หลายเดือนก่อน +1

    Looking good follow back done God bless you ❤❤🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷💖💖💖💖👀🙏🤳

  • @thadeimsoma7295
    @thadeimsoma7295 3 หลายเดือนก่อน

    ACHENI UKABILA NYIE WAKENYA,

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya Acheni ujinga Amani ni kitu muhimu sana vita isikie Kwa jirani
    Wanaopata shida ni watu wa kipato

    • @miriamvihenda7408
      @miriamvihenda7408 3 หลายเดือนก่อน

      uweeeh kama utuaje na kenya yetu alaaah sisi ndio tunaumia hao wakikula sisi ndio kufinishi kumalo

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@miriamvihenda7408 ww upo home ùmetulia

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 3 หลายเดือนก่อน

    Maoni yangu ruto asitowe hukum yote ile inapaswa tu awasikilize.vijana bila kutowa humu yeyote kwa mtu.yeyote.yule kwa maana hii.ya kuleta usawa kwani msimamo wavijana wanaitaji wasikilizwe tu maoni yao.basi

  • @allynassoro8448
    @allynassoro8448 3 หลายเดือนก่อน

    WAT Kama hamna Cha kucoment acheni ujinga wapuuzi nyinyi

  • @DeusPaschal-g5q
    @DeusPaschal-g5q 3 หลายเดือนก่อน

    Kanisa ni ya vijana?malezo yenu ya vijana yatawacost,hata wewe unayesema hauko salaama

  • @sirielsamweli
    @sirielsamweli 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa vijana wako na wazazi kweliii,

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 หลายเดือนก่อน

    wajinga sana ninyi wakenya mna bomoa nchi yenu mtabaki kuwa masikini wakipato nchi na fkira wacheni uzidisha hasara na umasikini taifa lakenya lina vijana mabangi matupu

    • @MishaOkondo
      @MishaOkondo 3 หลายเดือนก่อน

      Tumekuomba tukuje kwa taifa lenu mwuone shenzi type usilinganishe Kenya na huko kwenu sio bure mnakuja kuza mitumba Kenya we are very educated people utangoja sana☝️

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 3 หลายเดือนก่อน

    Aliyewatuma vijana atafahamika

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 3 หลายเดือนก่อน

    #ndovudentalclinic