KUJIKOJOLEA DARASANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2021
  • Vichekesho na Ucheshi wa Dimoso
    Bonyeza hapa :- • DIMOSO VICHEKESHO
    Usisahau kutoa maoni kwenye comment, Asante.

ความคิดเห็น • 183

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 2 ปีที่แล้ว +17

    Walimu wana roho mbaya.

  • @agnesmalissa3957
    @agnesmalissa3957 2 ปีที่แล้ว +17

    Jamani walimu wanamakusudi kweli hakuelew haswahaswa head master na mwl kigugumiz

  • @aiyaavibes7610
    @aiyaavibes7610 2 ปีที่แล้ว +9

    Mnafeli wapi..... Story ya madenge Na mzungu ime ishiwa wapi

  • @ibnnjoka7649
    @ibnnjoka7649 2 ปีที่แล้ว +16

    Muendelezo wamadenge ndo umeisha😭😭

  • @Mlasihamisi
    @Mlasihamisi 2 ปีที่แล้ว +6

    Jmn miezi yote hiyo vip kuhusu madenge and mzungu wake

  • @omarymuhammedy437
    @omarymuhammedy437 2 ปีที่แล้ว +7

    Punguzeni unyanyapaa wapeni nafasi ya kuwasikiliza hata kama ni watundu

  • @saubaseeker4960
    @saubaseeker4960 2 ปีที่แล้ว +12

    tunataka muendelezo wa madenge

  • @specialmusic747
    @specialmusic747 2 ปีที่แล้ว +10

    Lakini walimuwanakazi kabisa tisa maranane ni mkojo 😂😂😂😂

  • @saliminijr144
    @saliminijr144 2 ปีที่แล้ว +3

    Mnafeli sana mbona mjatoa muendelezo wa madenge

  • @benardmutayi5738
    @benardmutayi5738 2 ปีที่แล้ว +6

    Daa Dimoso yamemkuta🤣🤣🤛

  • @Bertin-dv5zs

    Video zenu ni nzuri toeni mingine mipya nimekubali

  • @issamoshi8829
    @issamoshi8829 2 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 kama mmenigeza mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @robertreuben3337
    @robertreuben3337 ปีที่แล้ว +3

    Inachekesha sana mpaka nataka nijinyee

  • @hamilcharles6830
    @hamilcharles6830 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuwa wa mwanzo ku view na kucoment

  • @mariamusaulo4429

    😂😂😂😂😂 Acha tu

  • @kazijaomar6453
    @kazijaomar6453 2 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda iyk

  • @firtekfluidconnector1537
    @firtekfluidconnector1537 2 ปีที่แล้ว +4

    Wameishiwa Plan. Mmetoa mmeishia njiani

  • @omarypetro2419
    @omarypetro2419 2 ปีที่แล้ว +4

    Nawakubali sana nyie jamaa - Hahahaaaaa.

  • @pendokatonge3926
    @pendokatonge3926 ปีที่แล้ว +6

    Dah 😭😭 kweli wanafunzi wanapitia shida jamani tuwaombe.😭😭😭😭

  • @user-wf2ri5to5e

    Mwamum kigumi😂, 😂😂😂😂😂