Acha ujinga!et mme wangu.uliolewa kwa ndoa?yaan mtu hajazikwa et ushaanza kudai urithi?na ww mwandishi ningekuwa karibu na ww ningekuchapa vibao.maana unahoji mambo ya kipuuz wakt watu wana majonzi.pumbavu sanaa.
Kuwa na hofu ya mungu unauhasiri wa kusema Mme wangu ulifunganaye ndoa mke anayejulikana ni mmoja tu acha kumchafua mtumishi wa mungu ungekuwa na akili ungejitokeza ulivyosikia anamke saiv unadai mtaji ungekuwa mke mtaji ungepewa siku nyingi ndo mjifunze mnaoingiliaga ndoa za watu huna hata aibu ww Mama
We mpumbavu sikia tukupe habari. Sisi wa sabato hua hatunaga ndoa mbili ndoa ni moja tuu namke anae julikana ni mmoja mke wa marco na sio ww,,,,,kwanza ww tukuulize unawajua ata ndugu zake na kama ni kweli kwann asikutanbulishe ata kwa ndugu ata rafiki,,,,we dada katafute baba wa mtoto wako acha kumchafua mtumish wa mungu kwanza hufananii kabisa. Pole sana
Niko na wew kabsa Hana akili yeye angekua ndo mke wa kwanz ingekuaje ni hv hakuna wake wawili kwa wakristo alambe lolo2 asituchoshe Kwan lazma atangaze
jamani, kinacho nisikitisha ni kwamba mda wote umekuwa naye hata kujaaliwa mtoto hajawahi hata siku moja kukutambulisha kwao au hata watu wake. kisha watu bado wanaomboleza wee tayari unataka urithi,,,,,balaa gani hii? Yaani binadamu wamekosa haya. Hata jinsi anavyoongea hana hata uchungu na marehem au familia yake. Huyu binti alitaka tu umaarufu na keshaipata ila kwa njia ya aibu na uongo.
Kama inakuuma mbn huna machozi macho makavu km gazeti la wiki kenge wew yaan huna hata hayaa kuhojiwa .unajiita mke hujulikan kwwnye familia 😂😂 Bongo ukiwa na stress utakufa . Yan dada senge hili
Nitafanya juu chini, mpaka mkamatwe mshatakiwe. Mdhibitishe hili, hizi tabia za kuchafua watu mnadhani ni jambo dogo sana, hii itakuwa mwisho. Jiandaeni kisaikolojia kushughulikiwa
Naam, this is good, wakamatwe yeye mwanamke huyu na mtoto, wakapime DNA ya mtoto pamoja na kaka wa marehemu, ikidhibitika vinginevyo sheria ichukue mkondo wake.
Oh my goodness, bona wee mama ukuwai jitokeza ukiwa na ujauzito wake surely do ata bibiye ajue? Ata hauna huruma kabisaa unaumiza bibi ya mwenda zake ak!
Hizo story za kutengeneza kila siku watanzania mnakamatwa hamjifunzi.... KINDLY POLICE KAMATENI HAO WOTE WEKA NDANI WAFUNGENI KABISA ILI WENGINE WAZIDI KUJIFUNZA BiG JOKES 😮
Mimi nimkenya nanilikua namheshimu sana Marco. So waende dna wajue ukweli, mimi siamini, mtumishi wamungu alikua nataadhima kuu sana.Mungu wambingu ablaze roho yake pema peponi, kwafamilia yake poleni sana.
@@missamirajiiddy7077where was she ??while Marco was live??isitoshe she says that she never new Marco had a wife,media zipo , etc am Kenya bt awache ujinga
Huuu ni uongo,,,haiwezekani kuwa hujui kuwa ana mke,,,wewe ni mharibifu wa NDOA za watu,,,acheni kumdhalilisha mtumishi wa Mungu!! Sio make hivi unajuwa maana ya mke?
Wacha kuzuia OLE za Mungu zisiwafikie watu. Mtu anajulikana hadi kwa ndg wa marehemu, wewe umekalia kusema mtumishi wa mungu. We endelea kuona watu kwenye Tv na kuwaona majukwaani. Ni ujinga mkubwa, na kutokuijua biblia. Kuna mtoto alieachwa anahitaji kutetewa. Sio kila kitu ni kutafuta kiki mitandaoni
Unaongea kwa ujasiri dada lakin hunaakili vizuri kwenye kiki hii umekosea marco ulivyo kua ukimwona kwenye nyimbo kama sweet sweet alivyokuaakimkumbatia angel ulizan dada ake??
Acha kutuchafulia Imani yetu wewe, sisi hatunaga wanaume wachepukaji wala wanawake, na ukiwaona basi nisabato jina tuu, sie wasafiri wakwenda mbingun, mwache mke wa marehemu atuliepo walao, mali tafuta zakwako. Au mtoto akapimwe DNA😊
Wanawake kazi tunayo sasa unasema unajiita mke hata Kama hujaolewa ,swali unawezaje kuitwa mke wakati hujaolewa ww ulikuwa mchepuko hata ivo hatuna uhakika huenda umesetiwa ww
Mtangazaji ungetafuta jembe ukalime halafu hujui hata kazi yenyewe mnamdhalilisha MARCO wa watu kwa kutaka vijisenti vya hapa duniani kweliiii MUNGU ATAWAADHIBU SAWSAWA NA MNACHOFANYA
Marehemu nani mbona hutaki jina lake msenge sana wewe mwandishi mpuuzi sana yaani maelezo yako tofauti na kichwa cha habari narudia tena mwandishi msenge sijui kutukana lakini mwandishi malaya sana wewe mwandishi tena mpuuzi sana
Aeleze vizuri aseme tuu ya kwamba kabla marco hajao yeye alikuwa na mahusiano naye ila baada ya marco kuoa ndipo mahusiano yao yakavunjika . Sitaki kuamini kwamba marco wakati anahuduma anamtumia Mungu Alikuwa anamcheat
Chukua kama funzo, ikiwa kweli unataka kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU. Ukizuia watu waseme, itamaanisha kuwa unatumika na shetani kukandamiza kweli ya Mungu isiwafikie watu
Wanadamu ukristo ngumu kweli,mungu atusaidie sana na atupe uvumilivu wanawake wote, shetani ni mwongo,,,,me from Kenya utamwamini nani,kama wakristo ni hao,maaaaajabutu Kwa kafiri kama Mimi,men still men
Kwani unaposema utamwamini nani yeye mtume, nabii au ni binadamu wa kawaida mwenye kipawa cha uimbaji!? Binadamu wote sio wakamilifu ndio maana tukapewa toba! Tulishaonekana ni wakosefu ..hamjasikia mchungaji kafumaniwa au shekhe ,ustadh kaharibu mahali! Tusihukumu tumuachie Mungu hata unapokuwa kwenye ibada fuata neno linasema nini sio yule muendesha ibada anaesoma neno anafanya nini!
Kuwa makini usipende kuamini kila kitu. Hii ni mbinu ya adui shetani kulidhoofisha kanisa. Jifunze kwa hayati Prophet TB Joshua, Usishangae hata akifa Mtumishi wa Mungu mkubwa leo watatengeneza skendo kama hizi wakijua kabisa kuna wakristo wakisikia hivi watakata tamaa wokovu
Shida ni kufuta kitu chema alichokifanya Marco, kwanini asiende huko kwenye familia aje huku mtandaoni, angetuambia basi mtoto wake amekataliwa aweke na ushahidi,, wewe Dada na mtangazaji wako mwogopeni MUNGU acheni kiki
Duuh bila aibu unatamka kuwa ni mume wangu,na unaonaje sasa hata kuugua kwake hajakujulisha ugonjwa uone jinsi unavyojiaibisha,kwakweli hapo unatafuta tu mtaji
😂😂😂😂😂 hatari sana damu ya watu arudishe,,,, ili akadange vzr,,,, ila hopo kunaukweli sema dada yetu kajichanganya. Rudisha damu ya watu,,, wanaume kudanga ni haki yao
Mme wako haunata haya kweli eti unadai mali Dunia kwili imefika ukingoni hatakuogopa dhambi hakuna,eti mme wangu ushindwe we malaya kwajina la Yesu kazi yako kutamani wa ume za watu Mungu anakuona
Uko mpumbavu emu acheni kumchafua kaka wa watu mke utakuwa wewe pumbavu jicho lenyewe kavu mmeona kuna hera tu mmeanza choko choko kumsumbua huyo dada emu muacheni amlilie mume wake
Mbona watu mnadhalilisha maana ya neno MKE, 1. je ana hati ya ndoa, 2. anafahamika ukweni 3. Kwa desturi za ukristo mke ni mmoja tu ss yy anajiitaje mke na ili hali marehemu ana ndoa ya kikristo tayar. Hapa msema kweli ni DNA tu na mengine yataendelea bde
Kama kweli itajulikana na watamchukua mtoto wao..lkn sio kupewa urithi mchepuko hanaga urithi...na kama ni miaka6 kweli lazima ndugu watakua wanamjua,au labda kama alitangulia kabla hajaoa hilo pia linawezekana
Wanaume wanashindwa kujitambua sababu kuogopa wake zao lakini wanaume wengi wanawatoto nje sana mtoto ana dhambi gani matusi mengi tu mtoto baraka tulitambue mlete kwangu nimlee wakimkataa umeongea ukweli wanaume jisimamie sana swala la watoto nje unakufa ndo wanakuletea mtoto sema mapema bila haibu
Huyu dada njaa kali kweli duh!!!!!! Hata.mwandishi amekula dili siamini kama ni profesional wa kazi yake.hiyo, wa kristo tuna mke mmoja tu, ndo ana tambulika, au ulijitongozesha akakukataa??????
Mmmmmmh!!!!! Kuna mambo chini ya jua!!! Mmh!!!! Pole San dear mama au mke halali WA Marco jipe moyo munguvhatokuach Wala hatokupungukia 💕💕💕💕
Jamani msifikiri aliyekufa alikuwa mtakatifu kwa sababu yakuimba kwaya.
Mungu ndie anajua mambo yake ya siri na yataonekanq wazi
Pamoja hatujakamilika ni biinnadamu sisi
Kabisaaa nipe tano ya juu😂😂😂 ndio waislam wamepitisha mke zaidi ya mmoja
Ndio hatukatai ila kwanini asubili afe ndo aje kusema😮😮😮😮
Waaah nimeshangaa
Sawa kwa nini asubili afe mbona hakusema mapema
Ahaaaaa🥳🥳Yataibuka mengi
UKWELI ANAJUA MUNGU 🙌🙌
Acha ujinga!et mme wangu.uliolewa kwa ndoa?yaan mtu hajazikwa et ushaanza kudai urithi?na ww mwandishi ningekuwa karibu na ww ningekuchapa vibao.maana unahoji mambo ya kipuuz wakt watu wana majonzi.pumbavu sanaa.
Tena Kofi la kisogo Ili ku restore setting za ubongo koblaa kabisa😢
Ahk
Kwa kosa Gani Sasa yaani wakristo Sheria ya mke mmoja inawatesa sana mbona kwenye biblia Kuna Watu walioa wake wengi na Mungu akawabariki Watu hao
Hao ni wazimu wawili wamekutana wanataka kutrend wakati mbaya washindwe sana
@@MashakaMagesambona hakuja mapema mbona ungojee mtu afe ndo ujitokezee
😢😢yoooh mungu akulemu we mama hivi ukimucafuwa malehemu unajiskiaje? 😢na wewe mungu akulehemu pia
Kuwa na hofu ya mungu unauhasiri wa kusema Mme wangu ulifunganaye ndoa mke anayejulikana ni mmoja tu acha kumchafua mtumishi wa mungu ungekuwa na akili ungejitokeza ulivyosikia anamke saiv unadai mtaji ungekuwa mke mtaji ungepewa siku nyingi ndo mjifunze mnaoingiliaga ndoa za watu huna hata aibu ww Mama
We mpumbavu sikia tukupe habari. Sisi wa sabato hua hatunaga ndoa mbili ndoa ni moja tuu namke anae julikana ni mmoja mke wa marco na sio ww,,,,,kwanza ww tukuulize unawajua ata ndugu zake na kama ni kweli kwann asikutanbulishe ata kwa ndugu ata rafiki,,,,we dada katafute baba wa mtoto wako acha kumchafua mtumish wa mungu kwanza hufananii kabisa. Pole sana
Kuweni makini na hayo maneno yenu huyu dada sio chizi,,usabato na matendo ya mtu ni vitu viwili tofauti
Punguza kashifa kwa huyu mama mtumishi wa mungu unamjua
Pore sana mama
Nimecheka sana.... hafananii na nini?!?! Yaani umeuvaa uhusika wa marehemu?!?!
Niko na wew kabsa Hana akili yeye angekua ndo mke wa kwanz ingekuaje ni hv hakuna wake wawili kwa wakristo alambe lolo2 asituchoshe Kwan lazma atangaze
Yaani michepuko inavyopendaga kujipa Hadhi ya mke uwiii!!
😂
Eti mi mke wake duh,
Uyo mama na mtangazaji wote wapumbavu sana
Kwanza walianzaje kumkaribisha msibani wangemburuza winji winji 😂😂
Na lafu kuma tu
Huyu dada mjinga sana anatumiwa na Ibilisi kulichafua Kanisa la Wasabato Shida sio mali ila ametumwa kulichafua Kanisa la Mungu.😭😭
Angalia macho ilivyo simama kama mganga
Sasa kama ana mtoto wake ni vibaya, kanisa halihusiki kwani alikuwa malaika
Ujinga wake uko wapiii kusema ana mtoto wake au?
@@innocentfortunatus725 Hio sio kweli kama ingekuwa kweli angeenda wakayamaliza kifamilia sasa mtandaoni wamsaidie Nini kama hajatumwa na Ibilisi?
Shetani hana aibu anasema yeye ni mke haja olewa utakuanjee mke
We Dada mwogope mungu hizo Kiki zitakuponza
jamani, kinacho nisikitisha ni kwamba mda wote umekuwa naye hata kujaaliwa mtoto hajawahi hata siku moja kukutambulisha kwao au hata watu wake. kisha watu bado wanaomboleza wee tayari unataka urithi,,,,,balaa gani hii? Yaani binadamu wamekosa haya. Hata jinsi anavyoongea hana hata uchungu na marehem au familia yake. Huyu binti alitaka tu umaarufu na keshaipata ila kwa njia ya aibu na uongo.
Sema Kiki Zitawaumizaaa Wallah Nawaambia Umaarufu Utawaponzaaa kiki Zinawaumizaaaaaaaaaa
Huyu kunguni hana hata haya😂😂😂
😂😂 Yaani hana lolote
Huyu mdada jinga ata akijitangaza hapati chchte
Wanawake wanahangaika jmn unaiba mume wa mtu unajitangazaa 😂😂😂aloooo bongo bahati mbaya 😅😅
Kama inakuuma mbn huna machozi macho makavu km gazeti la wiki kenge wew yaan huna hata hayaa kuhojiwa .unajiita mke hujulikan kwwnye familia 😂😂
Bongo ukiwa na stress utakufa . Yan dada senge hili
Tanzania sihami kwakweli 🤔🤔🤔
Mdada jicho kavu, Hana hata haya!😢😢 Kwa nini hakujitokeza before😢 kuweni na hofu, God is watching,,,!
😭😭😭😢 Mungu anawaona atawalipa kwa wajati wake wew mwanamke na mtangazaji wake acheni kuchafua kanisa la Mungu
Acha ukuma
Nitafanya juu chini, mpaka mkamatwe mshatakiwe. Mdhibitishe hili, hizi tabia za kuchafua watu mnadhani ni jambo dogo sana, hii itakuwa mwisho. Jiandaeni kisaikolojia kushughulikiwa
Naam, this is good, wakamatwe yeye mwanamke huyu na mtoto, wakapime DNA ya mtoto pamoja na kaka wa marehemu, ikidhibitika vinginevyo sheria ichukue mkondo wake.
MJINGA MKUBWA SANA SANA WEWE...NYUMBA HAZIJAGAWIWA NA BADO HAJAZIKWA....KWANINI HAPO UKO SEHEMU FICHE HAPO SO MSIBANI
Waongo Hawa jamani sehem yenyewe na mtu mwenyewe hataongea yake anaonekana muongo
@@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA huyu dada kama mganga wa jadi vile
Sasa ujinga wake nini?
@@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLAndio maana Waislamu tunao zaidi ya mke mmoja, haya sasa michepuko kwenu ndio ruhusa. Haya wifi ndio huyo apewe haki yake
We mdada Mwongo jicho kavu kama la Ahmed Ally🤔
Oh my goodness, bona wee mama ukuwai jitokeza ukiwa na ujauzito wake surely do ata bibiye ajue? Ata hauna huruma kabisaa unaumiza bibi ya mwenda zake ak!
Usijue iyo viipii!!
Wakati marehemu alikuwa superstar duuh!!
Alaf mkavu na uyo anaemuhoji m wananiuzi
Muongo uyo mpumbavu sana
Maybe they are just acting @@FrancesWatatu
Hizo story za kutengeneza kila siku watanzania mnakamatwa hamjifunzi....
KINDLY POLICE KAMATENI HAO WOTE WEKA NDANI WAFUNGENI KABISA ILI WENGINE WAZIDI KUJIFUNZA BiG JOKES 😮
Huyu dada mchawi
Mimi nimkenya nanilikua namheshimu sana Marco. So waende dna wajue ukweli, mimi siamini, mtumishi wamungu alikua nataadhima kuu sana.Mungu wambingu ablaze roho yake pema peponi, kwafamilia yake poleni sana.
Uongotu
Naye ana haki mpeni mali kidogo
Msimtukane dada wa wa watu
Makubwa sabato kumbe munaowa wake wawili au alikuwa anadhini tu halafu alikuwa mtu wa mungu kweli duniya ina mambo
Acha usenge we malaya,,mchepuko tangu lin ukalis mali,,nchi ina visa hii
Usenge wake nini, kosa la marehemu kuwa na mchepuko. Marehemu alimuongopea kuwa hana mke
Hahaha
😂😂😂😂haki nacheka kwauchungu sana ila mungu tu atupe mwisho mwema
So you believe her??@@missamirajiiddy7077
@@missamirajiiddy7077where was she ??while Marco was live??isitoshe she says that she never new Marco had a wife,media zipo , etc am Kenya bt awache ujinga
Achen kumdhalilisha mtumish wa Mungu...kapiga vita vyema kashalala mnaanza kuleta maneno...Mungu akuadhibu...
Huuu ni uongo,,,haiwezekani kuwa hujui kuwa ana mke,,,wewe ni mharibifu wa NDOA za watu,,,acheni kumdhalilisha mtumishi wa Mungu!! Sio make hivi unajuwa maana ya mke?
Ungekuwa mke angekuwa anawajibika,,,,iweje akusaidie kulea?
Wacha kuzuia OLE za Mungu zisiwafikie watu.
Mtu anajulikana hadi kwa ndg wa marehemu, wewe umekalia kusema mtumishi wa mungu.
We endelea kuona watu kwenye Tv na kuwaona majukwaani. Ni ujinga mkubwa, na kutokuijua biblia.
Kuna mtoto alieachwa anahitaji kutetewa. Sio kila kitu ni kutafuta kiki mitandaoni
Hatumuoni msibani mmejifungia sehem tu mkome na mungu awalaani
Acha ujinga kumzalilisha wakati alizaa nnje na mtoto wake anahitaji elim namalezi lazima watoe iyo nidamu yako
Utasemaje mume wangu hata hujajulikana kwa ndugu hujapelekwa hata nyumbani eti mume wangu uwiiiii,aibu.unanipa hadhi ya mke kumba ulikuwa unaibia
Acha ujinga umalaya umekupoza ndo faida hiyo mjinga wew kuharibu ndowa zawatu
Unaongea kwa ujasiri dada lakin hunaakili vizuri kwenye kiki hii umekosea marco ulivyo kua ukimwona kwenye nyimbo kama sweet sweet alivyokuaakimkumbatia angel ulizan dada ake??
😅😅😅😅😅 kwanza yy kila kitu hajui. Alikupigia kukwambia anaumwa hakunambia
Acha kutuchafulia Imani yetu wewe, sisi hatunaga wanaume wachepukaji wala wanawake, na ukiwaona basi nisabato jina tuu, sie wasafiri wakwenda mbingun, mwache mke wa marehemu atuliepo walao, mali tafuta zakwako. Au mtoto akapimwe DNA😊
Hahaaaa waambie ukweli na huyo mwandishi msenge tu
😂
Wanawake kazi tunayo sasa unasema unajiita mke hata Kama hujaolewa ,swali unawezaje kuitwa mke wakati hujaolewa ww ulikuwa mchepuko hata ivo hatuna uhakika huenda umesetiwa ww
Mtangazaji ungetafuta jembe ukalime halafu hujui hata kazi yenyewe mnamdhalilisha MARCO wa watu kwa kutaka vijisenti vya hapa duniani kweliiii MUNGU ATAWAADHIBU SAWSAWA NA MNACHOFANYA
Marehemu nani mbona hutaki jina lake msenge sana wewe mwandishi mpuuzi sana yaani maelezo yako tofauti na kichwa cha habari narudia tena mwandishi msenge sijui kutukana lakini mwandishi malaya sana wewe mwandishi tena mpuuzi sana
Kazi nzito yesu tuhurumie
Nyie yaan hata huo mchezo hamjaucheza vizur mtangazaji hujui huyo Malaya AKO HAJUI KUIGIZA KENGE NYIE
Cjui nicheke ak
Awajaweza kabisa
😂😂😂😂
Acha umalaya we dada samahani usimchafue😢
@@EliushindiPoul umenena ndipo👍👍👍👍👍👍👍👍
We malaya,toka shetani kati ka jina la Yesu.hivi njoo unaona kuj kutaj kam una mtoto na Marco we shetani,acha mtumishi wa Mungu apmuzik kwa amani.
😂😂😂
@GlokwerryMariki-ee6dc
Kama ni kweli damu yake huyo mtoto atapewa haki yake
Wewe unayemtetea huyo mtumishi wako ulikuwa kwenye moyo wake? Acha hizo, watumishi wengi wanawatoto nje ndoa
@@LAZORANAILSwaaah kumbe hakuna mtakatifu Hadi Marco Ako na mpango wa kando
Yaani mtumishi wa Mungu anaweza kujishusha na kuwa na mwanamke wa type hii? Si kwa Usabato tunaoujua ukihubiriwa.
Kwenye k watu wanazama tu
Aeleze vizuri aseme tuu ya kwamba kabla marco hajao yeye alikuwa na mahusiano naye ila baada ya marco kuoa ndipo mahusiano yao yakavunjika . Sitaki kuamini kwamba marco wakati anahuduma anamtumia Mungu Alikuwa anamcheat
Kweli kabisa
Point
😂😂😂😂😂
kwani hapo lajabu lipi kwani malehem alikuwa malaika kwahiyo mtu asiongee ukweli??
Huyu dada ni mpumbavu.hamna ukwe ndani yake.
Anatafuta kiki ilinayy aonekane mtandaoni.
Mbona hata chozi hana
Acheni bibi ya marehemu azike mumeo kwa Amani. JIHESHIMU MWANAMKE.
Anatafuta laana.
Ten ajiheshmu haswaaaa ety mume wake hat hakajielew haka
Jaman zinging nikiki watu wanatafuta umaharuf kwanjia yamtandao
Mungu awaadhibu wewe na mutangazaji 😢zababu tanzania 🇹🇿 ninyi mumezidi sana 😭😭😭 mufe mukiojiana 😭😭😭
Chukua kama funzo, ikiwa kweli unataka kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU.
Ukizuia watu waseme, itamaanisha kuwa unatumika na shetani kukandamiza kweli ya Mungu isiwafikie watu
Ukweli na iwe ivo ,,,,cjui ak MUNGU ama nisemeje?
Nyie wa Tz hamna haya kwahuzuni hyo mtu unatoap nguvu yakujitokeza mara hii from Kenya sijapenda ak
Aky matakataka
Nop apo naona mtakazaji Hana shida juu yeye tu ni mtumwa yeah Hana shida mwenye shida ndio uyo mama apo
Mhhh Yan mfiwa ndo anakuwa na uso mkav Kama nn, araf ww Marco alvo maaruf usmjue mke wa wake kwel mungu anawaona
Haon hata aibu et mume jaman
Makubwa
Kabisa yaani mtu marufu Kama huyo husijue Kama anamke he michepuko daini haki mapema kabla wajafariki duuh hii kali
Lakini ni kweli
Ulaaniwe wewe dada unawezaje kumchafua mtumishi wa mungu
Ako na ujinga mwingi ata kuigiza halijui alie fiwa hawi ivi linakera na lisura lipana kama nn mungu n samehee ila lipuziii
@@IreneShadrack-p6c hapa hamna laana ni mungu atusamehetu, ukristo kamili ningumu,iyo make wapili,shida ni kujifichatu...
Eti hajui kama ameoa ila watu bhana kuwa na akili watu wanaomboleza afu wewe na mambo ya ajabu iv uoni aibuu
Wanadamu ukristo ngumu kweli,mungu atusaidie sana na atupe uvumilivu wanawake wote, shetani ni mwongo,,,,me from Kenya utamwamini nani,kama wakristo ni hao,maaaaajabutu Kwa kafiri kama Mimi,men still men
Kwani unaposema utamwamini nani yeye mtume, nabii au ni binadamu wa kawaida mwenye kipawa cha uimbaji!? Binadamu wote sio wakamilifu ndio maana tukapewa toba! Tulishaonekana ni wakosefu ..hamjasikia mchungaji kafumaniwa au shekhe ,ustadh kaharibu mahali! Tusihukumu tumuachie Mungu hata unapokuwa kwenye ibada fuata neno linasema nini sio yule muendesha ibada anaesoma neno anafanya nini!
Yani huu anamuchafuwa tu nakuchafuwa ukristu lakini shetani Hana nafasi
Kuwa makini usipende kuamini kila kitu. Hii ni mbinu ya adui shetani kulidhoofisha kanisa. Jifunze kwa hayati Prophet TB Joshua, Usishangae hata akifa Mtumishi wa Mungu mkubwa leo watatengeneza skendo kama hizi wakijua kabisa kuna wakristo wakisikia hivi watakata tamaa wokovu
Shida ni kufuta kitu chema alichokifanya Marco, kwanini asiende huko kwenye familia aje huku mtandaoni, angetuambia basi mtoto wake amekataliwa aweke na ushahidi,, wewe Dada na mtangazaji wako mwogopeni MUNGU acheni kiki
Hahi hili jitu halina hat aibu mimacho sasa kuyazungusha ulikuwa wap zamani umechanganykiwa maisha huna lolote
Iyo mim siwezi amini uyo mwanamuke asiaribie mujugaji safari yake ya mwisho ashidwe katika jina la yesu
Huyu ni fala sana
Kilichokupeleka nimalitu Mungu atawanyosha
Hii ni kweli
Shalom, nakumbuka kuna mmama huko Rwanda anakuja kwa mtumishi wa Mungu agasema anamtoto wake kwer niuongo, Mungu wasamehe waongo niwengi
Ulichukua majukumu gani wemwanamke kualibundoa yawatu
Uyo nimushenzi kbs zamani amekuwa wap lofa san
Jamani ata wiki alijaisha duuu pole mke wamalehem michepuko mnatuumiza jamani maumivu juu ya maumivu
Duuh bila aibu unatamka kuwa ni mume wangu,na unaonaje sasa hata kuugua kwake hajakujulisha ugonjwa uone jinsi unavyojiaibisha,kwakweli hapo unatafuta tu mtaji
Dada pole umepotez@ mwenyehaki ni Mke wandoa enderea kutafut danga mwingne😂😂😢😢😢
😂😂😂😂😂 hatari sana damu ya watu arudishe,,,, ili akadange vzr,,,, ila hopo kunaukweli sema dada yetu kajichanganya. Rudisha damu ya watu,,, wanaume kudanga ni haki yao
Kama ni kweli mtoto wa huyo marehemu atapata haki yake
Umeona eeeeeeh hana akili zero brain
😂😂😂😂
@@fridagustaphmwenda6658haki gani
Mtoto atakuwa,na Mungu atamuongoza zaidi,kikubwa dada asiwe anaongopa,watumishi wa Mungu wana upendo
Yaweza kua ni ukweli Yuko na mtoto wake mbona Mimi sijaenda hapo nikadai Niko na mtoto muache kumtetea Marco anae jua Siri zake ni MUNGU
Sasa unadai ni mume wako na kwao haujapelekwa...acha tamaa😂😂😂😂😂
Akisema mume wangu nasikia kutabika😂😂
Mume wako vp na hujaolewa jamani? 😮😮
Huyu angekuwa Kenya to ungemnyorosha vizuri
Mume wake kiaje,aaje ujinga huyo mwanamke
Huyo mwanamke Ako n ujinga sana ningekuwa karibu ungetoka mbio bila kiatu kwa mguu,,mshenzi ww komaaa😊
Kam alivyokom ziwa la mama ake tena asituuchoshe
@@AmonBora-ve5si kweli kabisa
Tena wanamchafua Yesu wetu
Wanalipwa pesa ili wahalibu mtumishi wa Mungu,
Tamaa ya huyu dada,lakini waimbaji wa sasa wake wanawake ni malaya sana hadi kichefuchefu hawamuogopi hata Mungu wanao Matha kwenye nyimbo zao
@@alunekyusa4905 nihatar, lakiki basi atuone hata sms kweny sim ili tuamini
Mme wako haunata haya kweli eti unadai mali Dunia kwili imefika ukingoni hatakuogopa dhambi hakuna,eti mme wangu ushindwe we malaya kwajina la Yesu kazi yako kutamani wa ume za watu Mungu anakuona
Si ukweli
Huyu mama hana hata uchungu wa kufiwa na mme yupo kimaslahi zaidi Mungu anamuona
Kwani hujui michepuko unatafutaga nini kwenye ndoa za watu
Mmeshindwa kuigiza kabisaaaa duh!! Kweli dunia siyo mbaya binadamu ndiyo wabaya!!!!!
Pole sana
Uko mpumbavu emu acheni kumchafua kaka wa watu mke utakuwa wewe pumbavu jicho lenyewe kavu mmeona kuna hera tu mmeanza choko choko kumsumbua huyo dada emu muacheni amlilie mume wake
♥️🙏🎉
Mke kachunda hiv hajui hadh za wake nn?ety million 3 na laki 6 ndo ampelek kayumba na atafut danga lingn😅😅😅
Du ,jamani huyu msichana huna aibu hata kidogo mungu anakuona, alafu hizo Mali hazikuhusu kama ulishindwa kumiliki akiwa hai imekula kwako
Wewe mwanamke unachafua jina la marco
hiiii nchi sihami ata kwa bundukii
Mbona watu mnadhalilisha maana ya neno MKE,
1. je ana hati ya ndoa, 2. anafahamika ukweni
3. Kwa desturi za ukristo mke ni mmoja tu ss yy anajiitaje mke na ili hali marehemu ana ndoa ya kikristo tayar.
Hapa msema kweli ni DNA tu na mengine yataendelea bde
Serikal inatambua mke endapo kaishi nae kuanzia miez 6 kwaiyo anahaki ya kudai
Msikie anavyokazana ety mume wangu 😂 wacha kimrambe ajiandae kulea mwenyewe alishazoea vinono na mume wa mtu
Serikli hutaMBUa mke mkubwa tu
@@angeldanniel2041NOPE SI kweli huyu ni mchepuko si mke halali
Acheni ujinga. Mnajua maana ya mme nyie? Kiki za kijinga.kabisa.
Kama kweli itajulikana na watamchukua mtoto wao..lkn sio kupewa urithi mchepuko hanaga urithi...na kama ni miaka6 kweli lazima ndugu watakua wanamjua,au labda kama alitangulia kabla hajaoa hilo pia linawezekana
Tafta za kwako achana na maswala ya urithi dada Kwan mtoto mmja unashindwa kumhudumia 😂😂
Wewe mwanamke kama unataka Kiki Mungu akupe mkuki
😂😂😂 mbona mkuki 😂
Tena wa motooo
Sema naishiwa
Kweli dadangu 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kabisa
jamani ww mwandishi ulisoma chuo gani?mana naona kama huna sifa ya kuwa mwandishi au ww uko kiudaku zaidi!!
Yan we mwandishi ningekuwa na uwezo nngekufunga maisha yako yote acha ujinga pumbavu mkubwa ww aspewe hana chet cha ndoa ndo sheria yetu wakristo
Dada kuwa na hofu ya Mungu,acha kumchafua mtumishi.takataka ya shetani
Wewe ni malaya tu
Ata sura nmalaya tu
Ata kuongea kwake mjinga mkuu nkt
Siyo malaya kwani kuzaa sikupo wanaume wangapi wamezaa nje ya ndoa msimtukane kwa hilo jamani
Wanaume wanashindwa kujitambua sababu kuogopa wake zao lakini wanaume wengi wanawatoto nje sana mtoto ana dhambi gani matusi mengi tu mtoto baraka tulitambue mlete kwangu nimlee wakimkataa umeongea ukweli wanaume jisimamie sana swala la watoto nje unakufa ndo wanakuletea mtoto sema mapema bila haibu
These r total lies may God have mercy coz how comes that she didn't know the man was married yet updates are everywhere
Huyu dada njaa kali kweli duh!!!!!! Hata.mwandishi amekula dili siamini kama ni profesional wa kazi yake.hiyo, wa kristo tuna mke mmoja tu, ndo ana tambulika, au ulijitongozesha akakukataa??????
Mmmh dunia nishushe nipumzike , mwanamke mwenye akili zako timamuma huwezi fanya huu ujinga,
Unanitia asira ww Malaya mm ningekupiga msiba ungehamia kwenu
Hii dunia hii Mungu tu ndio anajua kesho tuu
Rest in peace mar6😂❤❤❤
Muke wapili Ako na makosa angesema mapema3
😅😅
Mchawi wewe kwenda huko Malaya wewe mtu hata hajazikwa unadai TU mahari ni kama kifo chake kinamfurahisha mjinga sana wewe
Ooooh..mhhh..
UONGO MKUBWA NYIE MNAONA HAPO NI MSIBANI????? NA WEWE MALAYA ULIKUA HUONI KAMA ANAIMBA NA MKE WAKE
Shangaa na ww anafany na komwe
@@vailethmsogoth8235
Kajinga ako ka Malaya.....
Huna nitoroka na nikifa ndio unakuja kudai no mliachana ,kaa kitako sister😂
Hivi kwann mnapenda kuchafua watu kwa maslahi yenu hadi marehemu mnachafua kusudi lenu ni nini?
Kweli duniani kuna wehu
Alikutambulisha kwa ndugu yeyote
Shukuru mungu amekuachia chombo cha kumtuliza Mungu
Mshenzi kweli wew
Ukitongozwa uliza mama acha kupelekesha kizozoo mume wa mtu na kma mchepuko unataka nn embu muache mwenye ndoa yake atulie Sasa jmn
Ama kweri
ivi ni ya kweli haya
mbona unakuwa mjinga dada kwann unakubali kudanganyika na marafikizako tafutapesa hata sisi nimasingle mother ila tunaishi pambanatu
Shindwa kwa jina la yesu
Ww Malaya mnapenda kujukua Wanaume wawatu Sana,😢😢😢😢😢😢😢
Bona..munataka.kufa muta..pingwa.na.
Mungu..mutangojwa.ukoma..m.unaaibisho.mamaiti.
Miaka sita inamaana anaushahidi wa picha, messages na mashahidi pia,Kama hana huyu dada awekwe ndani vimada wengine wajifunze
Ajielewiiii
Hii hatari kwanini mtu afe ndo ujitokeze kwanini hukudai haki zamani
Wewe huna haki kama mke ila kama kweli umezaa nae mtoto ni lazima apewe haki yake
Nimeamini.kwamba.shetani.yupo.kazini.kwa.ajili.ya.kuwachafua.wasanato..
Inamana hamuamini? Kamaanaye mtoto nje yandoa kwa sababutu marehemu alikuwa muimba kwaya? Aya mambo yapo na kwadunia ya Sasa nimengitu
Jipe moyo mke harali mungu yupo atakushindia mama😢😢😢😢
Mungu akusameha saaana
Ww pambana tu na maisha
Makubwa! Siri sirin