UNA SURA GANI SURA YAKO HAIKAI PODA - TAZAMA MAHARUSI WAMEDAMSHI HOLINI NA FULL SHANGWE - FULL VIDEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2021
  • Dont Forget To Subscribe This Channel .........
    Video Shoot By Extra Pictures Under Zanzibar Qaswida
    Contacts : +255626966000 | zanzibarqaswida@gmail.com
    Zanzibar Qaswida Booking Info :
    WhatsApp/Call : +255626966000
    Email : zanzibarqaswida@gmail.com
    Catch Up With Zanzibar Qaswida (Owner)
    / comextz
    / comexstar
    / comextz
  • เพลง

ความคิดเห็น • 199

  • @mukhtarhamad2278
    @mukhtarhamad2278 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwahali hii bora yangu ipite kimyakimy Inshaallah

  • @ramadhaniathumani2636
    @ramadhaniathumani2636 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnazorotesha uislam!

  • @admouramour7510
    @admouramour7510 3 ปีที่แล้ว +8

    Kiukwel ,mziki mnanda wote ,na hizi kaswida zote haramu ,zote zishaingia mziki tayari ,w2 wanajifnyia ,siivo hivo alivofundisha mtume(s.aw)

  • @hamzaally2246
    @hamzaally2246 3 ปีที่แล้ว +4

    Namadume Kumbe mpooo mnaharibu Jamani innalillah wainnailayh rajiiiuun ni mswibaaa

  • @zlfamz3540
    @zlfamz3540 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashalaah nyimbo nzuri ssna

  • @zuhuramrisho3832
    @zuhuramrisho3832 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaaàh nimeipenda mpka inanisisimua

  • @salmawangu2589
    @salmawangu2589 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapanaaaaaaaaa naikataaa kbs kweupeeeeee hii taarab kbsaaaaaaaaaaaaaa muache mara moja

  • @amamossi4203
    @amamossi4203 3 ปีที่แล้ว +21

    ukweli haya mambo ya hizi nyimbo zinavuka mipaka

  • @nasrahabibu1907
    @nasrahabibu1907 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuuuuuh innalilah wainnailaihi rajioun yan wanawake mnachambwa lkn bdo mpo mkata mauno hapo yan mtihaniii mkubwa huuu

  • @mamussi6872
    @mamussi6872 3 ปีที่แล้ว +11

    Waislam wa leo sijui tunaelekea wapi? Halafu hii tabia ya kurusha Harusi zetu mitandaoni tumezipata wapi jamani?

  • @azizamloka6496
    @azizamloka6496 3 ปีที่แล้ว +3

    Subuhana llah waisilam tunakoelekea cko watu wanakata viuno kama taarabu

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 ปีที่แล้ว

      Sku iz hakun maulid hao wnaimb tarab

    • @mohammedomar7280
      @mohammedomar7280 3 ปีที่แล้ว

      hio si kama taarab ni taarab kabisa

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 ปีที่แล้ว +8

    Astaghafirullah Mungu atusamehe kwa kweli

  • @basrajuma2953
    @basrajuma2953 3 ปีที่แล้ว +3

    Tarab liveeee

  • @zaituniramadhani5626
    @zaituniramadhani5626 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanajimwaya kweli loh mungu tusamehe jaman aff utasema taharabu dhambi ii nayo nn inachamba had watu

  • @aishaabubakar4099
    @aishaabubakar4099 3 ปีที่แล้ว +2

    sio qaswida jamaani hii ni taarab wazi wazi tena ya msuto kabisa eti una sura gani uso haukai poda jicho halikai wanja tena kwa wanaume kamili si picha nzuri hiyo ndugu ktk kheyr

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว +3

    Assalamu alaykum masheykh na makadhi kwani mpp wapo 😭mambo kama haya yanafanyika kwani hamuyaoni angalau mkayakemeya ?mimi ni mchunga nimekemea na nyinyi masheykh hawa watu wanaofanya dimi hii yakiislam kuwa ni mchezo halafu mnaangaliya haya bila shaka mtaulizwa siku ya qiyama ni aibu kubwa sana na ni kuudhalilisha uislam yena duniyani kote wanayaoma haya innalillahi wainna ilayhi rajiuna

  • @ramadhanmohamed1290
    @ramadhanmohamed1290 ปีที่แล้ว

    mashaallah watoto Beautiful

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 2 ปีที่แล้ว +2

    Waisilam tumepotea kweli haja yetu cc nihela 2 tumevuka mipaka

  • @swedymunah3403
    @swedymunah3403 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi mashalah

  • @aminaabdulla8568
    @aminaabdulla8568 3 ปีที่แล้ว +4

    Innalilah

  • @GoldenFirdausMedia
    @GoldenFirdausMedia 3 ปีที่แล้ว +1

    Astaghfirullah Allah atuepushe waimba kaswida na mawazo ya kuimba kaswida sizo maadili

  • @machanomtwana236
    @machanomtwana236 3 ปีที่แล้ว +7

    Musiimbe tu angalien na maadili kwaza hii sio kaswda

    • @smsalama6540
      @smsalama6540 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣so lazim usikilize wewe

    • @zakiamzee7112
      @zakiamzee7112 3 ปีที่แล้ว

      8io

    • @mwanashasauti7833
      @mwanashasauti7833 3 ปีที่แล้ว

      @@smsalama6540 we nae pia hujielewi sasa waongea nn

  • @didatwins3179
    @didatwins3179 3 ปีที่แล้ว +1

    Paaaambeee by Dida(pacha)

  • @hamaddady4862
    @hamaddady4862 3 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni kwa tarabu mpya

  • @khamismohd8473
    @khamismohd8473 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna cha mkakati serikali haina dini kila mmoja anatafta kula kiupande wake kausheni kama hamna coment nendeni facebook kapostini picha kazi kulaani watu yenu hamyaoni

  • @ussimakame7313
    @ussimakame7313 2 ปีที่แล้ว +1

    Madhara allah

  • @mariammwinyijuma3078
    @mariammwinyijuma3078 3 ปีที่แล้ว +2

    😒😭😭tunusuru ALLAH mbona humu michambo jaman

  • @ahmedkibishow3189
    @ahmedkibishow3189 3 ปีที่แล้ว

    Kazi mzur wanangu big up

  • @bilihudasaidi3687
    @bilihudasaidi3687 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni tarabu msitiaribie qaswida

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 24 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @abdulhalimmohamed9631
    @abdulhalimmohamed9631 2 ปีที่แล้ว

    Ukhti dida

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 2 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainnailayh rajeoun

  • @rayaali83
    @rayaali83 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh jaman tubadilike tunaenda jibu nn kwa mungu

  • @mkazahamisi8508
    @mkazahamisi8508 2 ปีที่แล้ว

    Tumcheni Allah ndugu zangu duniani tunapita

  • @user-zg6oy6bm7y
    @user-zg6oy6bm7y ปีที่แล้ว

    Mashallh

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 3 ปีที่แล้ว

    Kazi ipooo😃😃😃

  • @mrvicram4304
    @mrvicram4304 2 ปีที่แล้ว

    Nike

  • @zaituniseneda831
    @zaituniseneda831 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @rukiaali6108
    @rukiaali6108 ปีที่แล้ว

    Mbayaaa

  • @aminaabdulla8568
    @aminaabdulla8568 3 ปีที่แล้ว +3

    Asghfrullah

  • @abdillahuwezo9872
    @abdillahuwezo9872 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 3 ปีที่แล้ว +2

    ahahahaaa htr kisuuuuuuuuu

  • @kuludhumboto1917
    @kuludhumboto1917 2 ปีที่แล้ว

    Maashaalla

  • @amourhassan8033
    @amourhassan8033 2 ปีที่แล้ว +1

    Qasida inaelimisha mafunzo Mali mbali ya dini yetu sio mipasho imekua kama taarabu

  • @ussimakame7313
    @ussimakame7313 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani dini inaelekea wapi jamani madume mazima mipasho

  • @abdul-nassiromar21
    @abdul-nassiromar21 3 ปีที่แล้ว

    Duh qaswida zimeisha ata hadhi ya qaswida kwasasa imeshuka mnaogopa nini kuimba taarab si muimbe tu msitushushie hadhi ya qaswida jaman aibu hiii

  • @nasrahakika8612
    @nasrahakika8612 2 ปีที่แล้ว

    Hii Qaswida anaitwa Shekhe nani nataka nikai download

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anamuiga mzee yussuf

  • @mundhiraliy1307
    @mundhiraliy1307 3 ปีที่แล้ว

    Mumejitahidi 🤙

  • @mukhtarhamad2278
    @mukhtarhamad2278 3 ปีที่แล้ว +1

    Toba!😲

  • @aminaabdulla8568
    @aminaabdulla8568 2 ปีที่แล้ว

    Yaani wanaume wanarembua

  • @abdulswamadabdalaally8436
    @abdulswamadabdalaally8436 3 ปีที่แล้ว +2

    Mh taarabu live msituchoshee buree

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @khalidtvoloenali1117
    @khalidtvoloenali1117 3 ปีที่แล้ว +2

    Aisee jama kapiga biti ebu like

  • @rossikirossiki6518
    @rossikirossiki6518 2 ปีที่แล้ว

    Nakwambiya mambo ni moto

  • @user-mt3zt8vu1k
    @user-mt3zt8vu1k 7 หลายเดือนก่อน

    Yang kama adja kopa

  • @chamritaabdul1592
    @chamritaabdul1592 3 ปีที่แล้ว +1

    Taarab kwisha kazi😆

  • @AAA-zu1vy
    @AAA-zu1vy ปีที่แล้ว

    😮😮😮😮

  • @ibramiddo4863
    @ibramiddo4863 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani kw kwel

  • @habibasaleh1934
    @habibasaleh1934 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtihan jaman tunajisahau

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 2 ปีที่แล้ว

    Msijihusishe na uislamu maana hamna haya nyinyii,mna Mambo ya kike hovyoooo sanaaaa muachee,

  • @aadmsalua3658
    @aadmsalua3658 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa sn saut hell

  • @laythatsuleiman7184
    @laythatsuleiman7184 3 ปีที่แล้ว

    Kasida gani io

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alaykum ndugu zangu waislam jee maadili ya uislam yamepotelea wapi na hilo dufu aw bampingi zakishetani wanawake wapo utupu hawajajistiri mbona mnaadhirika ? Miye hilo dufu lenu hata mkisema mwajanipigiya bure basi siwaaliki abadan rudini katika mwe endonwwtu wakiislam 🤔😭😭😭

    • @abdullahalkindi6641
      @abdullahalkindi6641 2 ปีที่แล้ว

      Ata ilo dufu hapana apo ndugu yangu iyo ni taarab

  • @mwajabuabdallah3544
    @mwajabuabdallah3544 3 ปีที่แล้ว

    Heee hii nayo nikaswida kumbe hd nywele zitiwe dw mmh mmeita taarabu musiseme ni kaswida

  • @somoemohammed9578
    @somoemohammed9578 2 ปีที่แล้ว

    Qaswida za harusi

  • @shanishamsi9576
    @shanishamsi9576 3 ปีที่แล้ว

    Hatareeee

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว

    Jifunz quran kusom na kuandik gusa p

  • @aminaabdulla8568
    @aminaabdulla8568 2 ปีที่แล้ว

    Ovyooo😜

  • @hazinaseph6199
    @hazinaseph6199 3 ปีที่แล้ว +1

    Mishono ya magauni

  • @maryamuabdul1535
    @maryamuabdul1535 2 ปีที่แล้ว

    Hapo hakuna kaswida nitaabu ndio man mungu anatup kil mtihan kwa sabab ya upumbavu wakujitakia

  • @mwanaidikhamis8223
    @mwanaidikhamis8223 3 ปีที่แล้ว

    Mtihani kwa kweli allah awajalie kher
    Wenyendowa hii idumu lakni si kwa mambo hayo kam nyimbo mhhh msiba🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @mwanashasauti7833
    @mwanashasauti7833 3 ปีที่แล้ว

    Hii sio qaswida ni ngoma tu km ngoma zingine

  • @hemednassour4763
    @hemednassour4763 3 ปีที่แล้ว +1

    TARAAAAAAAAAAAAAAAAAAAABU TARABU MWANAMME MUNAIMBA TARABU NA KANZU NA KOFIA

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 ปีที่แล้ว +2

    Mana hapo sjui taarabu au nni

  • @aminaabdulla8568
    @aminaabdulla8568 2 ปีที่แล้ว

    Heeee🙄🤯

  • @nourathussein1510
    @nourathussein1510 ปีที่แล้ว

    Ila acha tuuh nipite et unasura gani duuh

  • @aniphamawazo7815
    @aniphamawazo7815 3 ปีที่แล้ว

    Nzr aan

  • @khadijamohamedi2912
    @khadijamohamedi2912 11 หลายเดือนก่อน

    Mbon ni nyimbo ya lava lava bhn😢

  • @kilakamponji228
    @kilakamponji228 3 ปีที่แล้ว

    Daynat mtawaweza wap

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 3 ปีที่แล้ว +2

    Munajidai kutuuimbia kumbe munatutukana eehh, ningekuwa mim ningekufukuzeni na pesa zetu mungelipa. Nyie wenyewe miguu yenu inakea.

  • @saumu7760
    @saumu7760 4 หลายเดือนก่อน

    Wanachambwa hao wanacheza

  • @kodraaa7244
    @kodraaa7244 3 ปีที่แล้ว

    Kudra beby msiba huo huna hta aibu tena mpaka kanzu juu alaf ni kaswda rudi kwa mola kaka umepoteza hadh yko

  • @zainabhassan1514
    @zainabhassan1514 3 ปีที่แล้ว +1

    Mh huyu beka anajiona sijui nani vile

  • @mwanaidikhamis8223
    @mwanaidikhamis8223 3 ปีที่แล้ว

    Uyo bekaaa haoni ata haya muislam lakin alipo jipeleka sipo ushauri wangu kaka ruud uko siko

  • @bekimasta3210
    @bekimasta3210 3 ปีที่แล้ว

    Jamaan pambeee hatar nimependaaa mudy umejua kunogeshaaa harus

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว

      Ndg watakuchamba wenzeo wanaipinga ww umeipe? Ila tamu sana

  • @aminaabdulla8568
    @aminaabdulla8568 2 ปีที่แล้ว

    Nashdi

  • @vijanakiyongwefilammediya9381
    @vijanakiyongwefilammediya9381 3 ปีที่แล้ว

    Kwa c uhakik 2

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 2 ปีที่แล้ว

    Kazi ya wanawake hiyo haiwapendezi hata robo,muwaachie wake zenu mnatutia aibu

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 2 ปีที่แล้ว

    Nawashangaa wanao comment humu wanasema inafundisha Mambo ya dini,wameisoma dini vzr au wanakurupuka kuandika tuu? Ifikie kipindi tujielewe tukae darasani kabla hujajibu usicho kielewa!!!

  • @thuwaybah5679
    @thuwaybah5679 2 ปีที่แล้ว

    Maaake apo kwanza ncheke 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kulurhumkhalifa1598
      @kulurhumkhalifa1598 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂Cheka tu mahi diha😂😂😂

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sichok kuisikia

  • @aminaabdulla8568
    @aminaabdulla8568 3 ปีที่แล้ว

    Audhublah

  • @HawaAllyDuru
    @HawaAllyDuru 4 หลายเดือนก่อน

    M

  • @umakramzahor4836
    @umakramzahor4836 3 ปีที่แล้ว +5

    Taarabu naona Ya Omar ya kopa

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 3 ปีที่แล้ว

    Makubwa. Kaswida au mipasho

  • @fairamkhan4744
    @fairamkhan4744 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣 mnaimba nyie aibu naona mm🙄🙄🙄🙄

  • @siriamiri8229
    @siriamiri8229 2 ปีที่แล้ว

    Taharabu au

  • @kassimaliyy5490
    @kassimaliyy5490 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila uyo bonge c msenge lakn

  • @abdulmakatarivo7766
    @abdulmakatarivo7766 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu ni Zaid ya msiba mtoto wa kiume kilegeza saut kama ya dadayake